Mara ya mwisho tumeona akimkimbia yule mhalifu aliyekua anataka kumkamata(mbwela) kwa upande wangu naona atakua kaamua kwenda mbali na mazingira hayo🌚 @Steve_Mweusi kesho tunaomba mwendelezo😂😂😂😂
Akiii from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪naipenda hiii movie.. kweli tuwe maakini wakati tunakuchagua mabibi za kuoa..mungu atuonekanie huyu mama hana tofauti na kichaa ata heri yule kicha ana roho ya utu...😢😢
Sele anapitia changa moto kweli lakini mungu yuko Hongera kwa wale wote wamechangia ina mafundisho kwa wote wanao tesa wasio na bahati, 👍👍👍👍🌹🌹🌹🌹👍👍👍 Congratulations Watching from UAE
❤❤dah sele vumilia yatapita2 kazi nzuri sana Mungu azidi kukupigania katika sanaa Yako Naimani Utafika mbali kiufupi hiii movie nzuri sana nimeipenda sana nakufatilia mwanzo mwisho maana ni movie nzuri sana na Ina fundisha ni maisha halisia Watu wengine wanapitia hizo Changamoto naombeni mjitahidi kuwahisha mwendelezo episode ya 6 Kwa wakati
Mwisho wa ubaya ni aibu, namba 6 itakuwa moto, Dogo Sele amuumbua mama wakambo. Nina hakika tunajifunza mengi kupitia hapa❤. Washiriki na wahusika wote wa hii movie nawapa hongera 😅 wameweza
mbona hyu mama anachuki sana na selemani jamn aki waaaaah aki mama wa kambo duuh!!!Mungu ananilinde kwenye mahangaiko yangu nirudi nyumbani kuwalea mwenewe watoto wangu sjuti kuachana na ez wangu cz ya mambo kam haya waaaaah
TABIRI UNAHISI MAMASELE ATAKUA AMEENDA WAP ? YULE KICHAA COMMENT HAPO CHINI
Ameenda kwa mungu
Atakua ametekwa😢
karudisha jezi kwa kocha😅😇😇
Mara ya mwisho tumeona akimkimbia yule mhalifu aliyekua anataka kumkamata(mbwela) kwa upande wangu naona atakua kaamua kwenda mbali na mazingira hayo🌚 @Steve_Mweusi kesho tunaomba mwendelezo😂😂😂😂
Walimteka
Congrats sele nice one ,big up boy👍👍👍
Next episode ❤❤ Much love frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Sele nakupnda mungu akupe umri mrefu 🙏🙏🙏 Akulinde na kila shar🤲🤲💗💗💗
Ug 🇺🇬 we love these series ❤❤ keep up the good work Steve 💪🏿
One love ❤️ 😍
One love from Quatar Burundi congratulation steve mozes best comedian ever❤❤
Burundi tujuwane
From BUJA🇧🇮
Much love 💟 from Kenya 🇰🇪
From Burundi 🇧🇮 ❤ 😍 ❤
Qatar moja
Tusubulll iyo sehemu nyingine kazi nzuriiii nmeipenda iyoooo😅😅😅😅 inafundisha pia enafurahisha
Number one kutaka USA 🇺🇸 Nipe Basi like zangu 😂😂😂❤❤❤❤
Usa?
The best I've ever watched highly talented 🎉🎉
Nawapenda sana 🥰 may God continue developing your talent
Hongera wote lakini kijana huyu Sele we❤❤❤❤❤young boy we pray you to be like marehemu
Kanumba(RIP)
@@AbdurahmanKinia 🙏🙏🙏 nakana soma kweli
Mama WA kambo ndio kamteka mama sele....
Amemtumia mama sele watu.... 😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢❤❤❤
Nakukubali duu💕💕💓😊😊😊😊🤔
Talented Boy Selle keep moving
Mzee stive uwekewe Mnara pale Kigamboni feri kaka
Waoo 👏👏👏👏🙏🙏🙏!!! Steve, hongera!! Mbona kipengere kbs kitamu tu!!!!!! Endeleeni zaidi Ndugu Steve!! Niko nafurahi sana 👏👏👏Lebanon tunawafuatiria zaidi.
Japokuwa nimechelewa nitaangalia zote kabisa......❤❤❤love you from Kenya
Akiii from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪naipenda hiii movie.. kweli tuwe maakini wakati tunakuchagua mabibi za kuoa..mungu atuonekanie huyu mama hana tofauti na kichaa ata heri yule kicha ana roho ya utu...😢😢
Kwakwel Tujifunzen kupitia haya😢😢
Cha maana ni dume liwe na busara + hekima kila kike ni nyoka wa kupuliza
Me nilijua kipaji anacho clm vevo eeeh nastven unacho kipaji hongera Sana Sana. God blees
Mambo imechemka kwa ma mdogo😅😅keep it up bro Steve&dogo.mafunzo mazuri kweli kweli
Ameenda kunya
🎉this is the best film I have watched ever thanks for this brother and also the young boy ,keep it up , because it has more teachings 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Much love from Kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Goood acting dogo sele iam ur number one fun ...huwa nawach coz of u broh
Much love from uganda 🇺🇬
Njooni Tz
Sele anapitia changa moto kweli lakini mungu yuko
Hongera kwa wale wote wamechangia ina mafundisho kwa wote wanao tesa wasio na bahati, 👍👍👍👍🌹🌹🌹🌹👍👍👍
Congratulations
Watching from UAE
Oyah Leo eti nimechelewa kweli kweli ila najua hamuezi kuninyima like hata tano basi mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣
Jmn kuna wa mma na kuna mama kama huyu hajielewi wamama kama ww wajifunz kuwa mma bola haya Asante kwa mafunzo mazuri ❤❤❤
Japo ni kuigiza ila inaumiza pia, much love from Kenya. Wateja wamemzoea stive kweli😂😂😂
Alikwenda mafichoni😢
Nikweli mii mwenyewe hua navuta hisia kama ndio nimekufa wanangu wanafanyiwa hivi mmh
@@habibasungur9375 inauma kwakweli sio vizuri
Wateja washajua stiv anawazidishia chenji 😂😂😂😂😂hata sio kumzoea
Ihii movi ni tamu san na inamafundisho sana kwa wababa wenye famlya na alafu wanalelewa na mama wakambo kwa kweli iko vizuli san naipenda kwa kweli
One love from kenya 🇰🇪 ❤️❤️❤️
From mozambican 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤷♂️🤷♂️😭😭
Kama unamkubali sele weka like apaaa❤
❤❤❤
hongera sana kutoka kenya kutokana hii series nmejifuza kitu kubwa sana
Best one ever ❤❤❤❤ much love
Steve tupe kituu!!! hmm tamu san kbs, ila wew kayakanyaga kwa boss wako shida tu🤭😁😁.
Mwenyezi mungu akutangulie katika maisha yako mdogo wangu 🙏🙏🙏🙏
Safi sana sele yuahuzinisha aki hongera kwa kanzi nzuri ❤❤❤
Hapo sawa bro Steve mweusi walikua wanatuletea ep. Ya 5 feki Tisha Sana broo💪💪💪
Am a Kenya but watching from Saudi episode 6plz❤❤❤❤
Good idea bro well done from Zambia 🇿🇲
❤❤dah sele vumilia yatapita2 kazi nzuri sana
Mungu azidi kukupigania katika sanaa Yako Naimani Utafika mbali kiufupi hiii movie nzuri sana nimeipenda sana nakufatilia mwanzo mwisho maana ni movie nzuri sana na Ina fundisha ni maisha halisia Watu wengine wanapitia hizo Changamoto naombeni mjitahidi kuwahisha mwendelezo episode ya 6 Kwa wakati
One love from Burundi ❤❤❤
❤iko poa sana hii series nmeipenda
Ono love from Kenya 🇰🇪 😍
Kazi nzur xna wabongo mnaweza jmn nawatizama nikiwa saudi❤❤
Steve kawa msanii ghafla 😂😂😂😂😂 ongeren nyte team Steve ❤❤❤❤❤mama wa kambo naona dalili ya kuachwa pia 😂😂😂😂
Monsieur Steve toute mes félicitations pour votre histoire monsieur je suis avec toi depuis congo 🇨🇩🇨🇩 RDC courage frère
Jamani sele nakuonea huruma na huyo mamawakambo aki kweli mapenzi ya mama ni bora kuliko wakambo badhi mama wakambo ni wazuri lakini hii inafunza ❤❤❤
Mm namkubali sana dogo sele ❤❤❤
5part naipenda saaaaaana Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️❤️
Hongera kwenu nyote kiswahili kinaslap
Congratulations Steve and sele big up much❤❤❤❤ from Kenya 🎉
Hii movie imenikumbusha mbali sana 😭😭 ila mungu ndio muamuzi bt ina mafunzo mazuri sana❤❤❤ masha allah 🙏🙏🙏
Niya huzuni sana
@@lalylaabdi2572 wallah tena
Tunakuomba ukuje pa Congo Dr / Bukavu Steven mweusi ❤ unatisha sana baba mwenye fatuma😂😂
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪❤️
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Kenya ❤❤❤
@@cyndy6923 ❤️❤️💞
Nice show you keeping it up Steve mweusi
Dogo sele ana kipaji kikubwa sana Mashaallah ❤❤❤
One love from Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
One love from 🇿🇦
aky msicheleweshe jamani hii series inanitoa stress za warabu jamani congratulations sele kiboko❤
🔥🔥🔥dogo anakipaji sana
Inaniumiza nakunilizaa jamn Allah atujalie wote wenye watot maisha marefuu na tuwez kuwalea watot wetuu ,
Never disappoint 🎉🎉
Br stev yaan da Story mzur move mzr ongera sana mi shabiki yko ndakindaki
Na watasema hapa ni mawe juu ya mawee😅😅😅😅❤
Kazi nzuri jamani part 6 Steve bwana❤❤❤❤❤
Feel loved from kenya❤❤❤❤
On love from burundi❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ one love from Kenya broo congratulations
One love form buja🇧🇮🇧🇮💖💖🙏🙏
Husna, mlembo, Mwalimu wa Roho nzuri ❤❤🙏🙏
Atakuwa ame enda Tibiwa nahisi
Big up Steve❤
Bro hakuna mtu duniani creative kama wewe stive na hakuna atakae nichekesha KAMA wewe may God bless you in Jesus name na KENYA tunakuitaji ututembelee
Mama sule kachukuliwa na ndugu xake na ashapona kichaa no 6😂
Much love from Kenya 🇰🇪 keep it up guys, alafu hawa warembo wanafanya kazi safi tena ni wazuri jamani dah
Big up sele ur the best actor ❤️❤️❤️❤️❤️ chukuwa maua yko
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤
Sele the best actor and steve the best writer 👏 💙 🙌
One love from kenya ❤
Nawakubali sana Steve mweusi n'a Dogo sele miye mina tokeya Congo
I'm crying all the way from Kenya 🇰🇪....this movie..so touching 😭
Sele najua unaumia sana episode 5 uyo mwanafunzi aliyesema mamayake Nikicha hafanyi vizuri
😭😭😭 pumzika kwa amani mama haya yote niliyapitia baada ya kifo chako
Pole😢😢😢❤
pole
Ulivyosema hivyo hadi nmesisimuka kwa uchungu
Naikubali sana kaka steve naipenda sana kutoka kenya
Waiting for episode (6)🇰🇪
Muwe munawaha kuweka mwendekezo 🔥🔥🔥
Good job bro ❤😢😢😢😢
Jaman Steve MUNGU hapendi ivyo yaan unatukata stimu peupe kweli😂😂😂😂😂😂😂
Very emotional 🥺
😂😂
❤❤❤❤ muchlove from Tanzania
Nipe like zangu wakwanza hapa
steven moses hiiii movie naipenda hongera zako💋😀
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipo nawewe bega kwa bega uwo ndo umaharufu wako sasa ❤️❤️❤️❤️❤️
Hata mm niseme nin ?? Kiueli sehem hii kali kbx pia nakukubal ww steve kuliko clam hongera kbx endelea na kuwua wanyonge😂🤣😂
Dogo selee amewezaa mnoo ❤
Uuliza sere toboa Siri Bana🤔🇧🇮🇰🇪👍mkiwa mnahalakisha Bana.
I love from kenya❤❤❤sele good acter
Much love from saudi ❤️❤️
Congratulations Steve and sere much love ❤ from kenya
Mwisho wa ubaya ni aibu, namba 6 itakuwa moto, Dogo Sele amuumbua mama wakambo. Nina hakika tunajifunza mengi kupitia hapa❤. Washiriki na wahusika wote wa hii movie nawapa hongera 😅 wameweza
Steve mweusi wewe ninoma Sana,tunajifuza sana.dogo sele hogera sana😎😎😎
Hajrha mtoto afunguliwe biashara kwa umri huo😂😂😂
Dg sele wewe una weza dg pambana ufikie malengo 🙏❤️❤️❤️
mbona hyu mama anachuki sana na selemani jamn aki waaaaah aki mama wa kambo duuh!!!Mungu ananilinde kwenye mahangaiko yangu nirudi nyumbani kuwalea mwenewe watoto wangu sjuti kuachana na ez wangu cz ya mambo kam haya waaaaah