DAKIKA | Episode 9

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 253

  • @ChimèneIrankunda
    @ChimèneIrankunda 10 дней назад +6

    Movie nzuri sanaaa shey shey ila kp na zebu naomba murudishan mulikuwa mukiigiza safi mno munajuwa saaana musahabu yaliopita musamehane ila murudiyane basiiii nawapendaaa saaana from Bujumbura 🎉🎉🎉🎉

  • @WalterkunduBarasa
    @WalterkunduBarasa 12 дней назад +39

    Wanao mpenda shey shey like hapa.🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FatumaIssa-g9t
    @FatumaIssa-g9t 12 дней назад +19

    Jmn nilisema shey shey hawezi kukamatwa kizembe na kweli naisi mmejionea wenyewe km mnakubaliana na mm tujuane Kwa like hapo chini ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @minahsamwel
    @minahsamwel 12 дней назад +9

    Nakupenda mway shey shey wakwetu unajua sana hongera watu wasikukatishe tamaa we songa mbele my dear🎉🎉🎉🎉

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao 12 дней назад +10

    🎉🎉mauwa yako shey shey...maana we dada kama jini aseee daaah nakukubali mpk naogopa❤

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 12 дней назад +14

    Hey una roho nzuri umempa mtoto chakula

  • @KautharTahir-i5z
    @KautharTahir-i5z 12 дней назад +14

    jmani like zangu please from Oman ❤ na kwa wale walikuwepo Oman pia like zangu

  • @Nillahvoice-uz2pv
    @Nillahvoice-uz2pv 12 дней назад +6

    Huyo jambazi mwenye nywele ndefu mwambieni siwezi kuishi bila yeye 😂😂

  • @jozifjozif7283
    @jozifjozif7283 12 дней назад +3

    Tunawapenda zaidi Ila mnagawia sana ndio mnaendelesha

  • @Dibozi_manuva
    @Dibozi_manuva 12 дней назад +16

    Let's do it. 💪

  • @MelissaUwimana-zn7dy
    @MelissaUwimana-zn7dy 12 дней назад +5

    Jamani sheria nakupenda kinoma hongera kwaz yako nzuri endelea kupambana utafika mbari kipenzi from Burundi aki natamani sikumoj nikutane nawew nitafurahi

    • @MoudricNgoda
      @MoudricNgoda 11 дней назад

      Hizi simu hizi tayari kashaitwa sheria😂😂

  • @JackDaniel-f3x
    @JackDaniel-f3x 12 дней назад +5

    Kaz nzul Sana shey Ila kuna mambo mawili Tu ukizingatia utatisha Sana moja dakika tuongezee hajapo nusu saa mbili kuwah kutoa mana tunasubili mpk tunasahau sasa

  • @FelisterJonn
    @FelisterJonn 2 дня назад

    Sheila napeda kuwaona mkiwa wakina kp mlikuwa mkifanya kaz nzur msikilize maon ya washabiki zenu tunawapeda🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉

  • @magdalenasylvester112
    @magdalenasylvester112 12 дней назад +3

    Wowowo ❤️❤️❤️❤️ kazi makini my dear cc🌟

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 12 дней назад +11

    Dakika zinakwenda dakika,
    Dakika zinakimbia dakika.
    YALIYOPITA, KWENYE DAKIKA 🙌
    nakukubali sana Shey

  • @johncenamakori2000
    @johncenamakori2000 12 дней назад +3

    Johncena from nairobi napenda dakika mkuu ❤❤❤😂

  • @MasauShida
    @MasauShida 9 дней назад +1

    Kazi nzuri sana🇹🇿

  • @Velma-b3m
    @Velma-b3m 12 дней назад +8

    Sheila hatali kweli 😂😂😂

  • @AthumaniWaziri-js5ut
    @AthumaniWaziri-js5ut 12 дней назад +16

    Sasa kama Kuna anae jiamini alike comment yang aone mana sitaki ujinga 2025 mana sioni faida za like

  • @annaki318
    @annaki318 12 дней назад +5

    Chuma cha moto
    Hatupoi hatuboi
    Ni mwendo wa dakika tu😂

  • @WalterkunduBarasa
    @WalterkunduBarasa 12 дней назад +5

    Congratulations shey shey tuko na wewe ngangana ukwuwe kama Kelvin Kan WA donta TV.❤❤❤❤❤❤

  • @zabroniwankyo4308
    @zabroniwankyo4308 12 дней назад +1

    Mimi Namwita Sheila Mbabe😂😂 Nakukubali sana Sheila

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid 12 дней назад +17

    Kama unamkubali Sheila bint likoma basi like zake ziwekekwe hapo

  • @RahimaSaidi-q3c
    @RahimaSaidi-q3c 12 дней назад +5

    Big up shey shey much lv❤❤❤

  • @WavinyaNthusi
    @WavinyaNthusi 11 дней назад

    Shey shey nakupenda Sana 🎉🎉🎉🎉 good job 🎉🎉🎉

  • @JaimeSilvestre-c7m
    @JaimeSilvestre-c7m 9 дней назад

    Estão de parabéns pelo vosso trabalho, força mana Sheila

  • @beautyhennayummyfoodmwechi6833
    @beautyhennayummyfoodmwechi6833 12 дней назад +1

    Kumbe mama mzazi wa binti aliye uliwa ndio anashirikia na sheyla 😂😂❤❤ movie Tamu sana twende nalo 😂😂

  • @PiliOdundo
    @PiliOdundo 10 дней назад

    Sheila much love from Kenya continue going nakupenda sana❤

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 8 дней назад

    Miii Niko upande wa Sheila ata akue jambazi siesi kaa mbali na nyenye 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤love you mora sweet shey shey 😊

  • @ElizabethWavinya-s4s
    @ElizabethWavinya-s4s 12 дней назад +2

    Kazi nzuri sana sheyshey❤❤❤❤❤

  • @JumaKitila-y8z
    @JumaKitila-y8z 11 дней назад

    J.from singida iramba,shely ni nomaa sana

  • @MwizikuluSixtus-q5g
    @MwizikuluSixtus-q5g 12 дней назад +3

    Congratulations shey shey kipenzi chetu

  • @MilleureDunia
    @MilleureDunia 10 дней назад

    Kazi nzuri sheila

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 12 дней назад +1

    Sheila jambazi nyie mkikuta njiani kimbieni😂😂😂

  • @khadija2113
    @khadija2113 12 дней назад

    KAZI NZULI SANA ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉NAWAPENDA TU

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 11 дней назад

    Shey shey wew hapana yani hii yani huogopi kila kona jamani 😂imebidi nicheke to 😂😂😂😂nawapenda bure

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 12 дней назад +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 12 дней назад +2

    Namba moja leo ❤

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 12 дней назад +4

    Mmh hii scene ya afande mmetudanganya bhn😂😂 iv kwel wanaenda kumkamata mtuhumiwa wa kike alafu anaenda askari wa kiume pekeyake sasa hapo angemkamataje🙄🙄🙄

    • @NabiiAmosi
      @NabiiAmosi 9 дней назад

      Hapana hawajatudanganya walitegemea bastola mzee

  • @kimaromarry643
    @kimaromarry643 12 дней назад

    Wa mwisho leo jamani woooooh! kazi nzuri Shei shei

  • @RogersRugumisa
    @RogersRugumisa 12 дней назад +1

    Sema hii movie mnachelewesha kuitoa

  • @MAdh-q5x
    @MAdh-q5x 12 дней назад +1

    Kazi nzuri

  • @Sharohkenyatta-d3h
    @Sharohkenyatta-d3h 11 дней назад

    Kazi nzuri sheyshey and the team 😊❤

  • @VictoriaSarwat
    @VictoriaSarwat 12 дней назад +1

    Kazi nzuri sheila❤❤❤❤❤

  • @ZablonMunene-m7e
    @ZablonMunene-m7e 12 дней назад

    Shey she nakupenda bure❤❤❤❤

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 12 дней назад +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki jamani

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 12 дней назад

    Sheila Sheila uwiii Jamani 😂😂😂unanifurahisha ❤❤

  • @AgnesJohnson-l8m
    @AgnesJohnson-l8m 12 дней назад

    Nkupenda san sheyshey Niko na nyie mpka mwisho❤❤

  • @NeemaHabibu-d3k
    @NeemaHabibu-d3k 12 дней назад +1

    Na mim pia WA mwanzo kutoka Kilimanjaro

  • @FettyGian-e1o
    @FettyGian-e1o 8 дней назад +1

    🤣🤣 shey shey ni htr wakumkamat hayupoo

  • @venustetuyizere7618
    @venustetuyizere7618 12 дней назад +1

    Shey Shey uko sawa mkono kwako

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 9 дней назад

    Heee kumekuchaa mbona mama wa mtoto wa mwendazake tena namtuhumiwaa kulikoni😮😮😮😮😮

  • @umirishasmgeni6360
    @umirishasmgeni6360 12 дней назад

    Yaliopta kwenye dakika aloooh😂😂😂😂😂😂😂

  • @MaryamMgawe
    @MaryamMgawe 12 дней назад

    Nakuaminia sheishei sungurawangu mjanja ujawah kuniangushakwenyedelizako

  • @MohdMchezo
    @MohdMchezo 12 дней назад

    Asante dada kazi nzuri sana

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 12 дней назад

    Nimechelewa lakini nimefika Kazi nzuri sana shelysheily ❤❤❤❤🎉

  • @FatumaAwadhi-wy3hn
    @FatumaAwadhi-wy3hn 12 дней назад +1

    Uyo jambaz nimemuadmiree 🎉😂

    • @RomanMansifield
      @RomanMansifield 12 дней назад

      Asante, endeleeni kufatilia kazi zetu na mungu awabariki sana kwa upendo wenu ❤❤❤🙏🙏🙏

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 11 дней назад +1

    Shey shey unajuwa mpaka unakera jamani

  • @MathewpollMpar
    @MathewpollMpar 7 дней назад

    Good jobu my sister👍

  • @OmbenBalagomwa
    @OmbenBalagomwa 8 дней назад

    Shey syo nyamela wala jambaz jmn ana roho nzr ya kusaidia,shey nfany member niigze naww😂

  • @happynessdaudi1597
    @happynessdaudi1597 12 дней назад

    Wangap mnaangalia saiv🎉🎉

  • @NajmaJomy
    @NajmaJomy 12 дней назад

    Keep it up shey .like kw mama wa kambo bibi ya diboz una mpango gani na shey 😅

  • @Faithzawadi-c1v
    @Faithzawadi-c1v 11 дней назад

    Safi sana Sheila 🎉🎉

  • @jazilaahmed7791
    @jazilaahmed7791 12 дней назад +30

    Wa kwanza leo from singida

  • @kilingahousedesigners2722
    @kilingahousedesigners2722 12 дней назад +1

    Kila Afande wa movie anatokea kituo Cha kati 😂😂

  • @RuthNyatuka-qe3kd
    @RuthNyatuka-qe3kd 12 дней назад +1

    Kazi nzuri lakini mtoe mapema

  • @KassimMjore
    @KassimMjore 11 дней назад

    Namkubali huyu Shely Shely aka commando Kipenzi

  • @jozifjozif7283
    @jozifjozif7283 12 дней назад

    Jaribuni daily sii kugawia sana hivo😊

  • @GladysUchi
    @GladysUchi 12 дней назад

    Nmukubali Sheila kzi nzur pokea hio🎉🎉🎉🎉

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 12 дней назад

    🤣🤣🤣🤣🤣Sheila weye nikiboko 🎉🎉🎉❤

  • @sanilenkirikai
    @sanilenkirikai 12 дней назад

    Sheyshey and your team big up ❤❤❤

  • @GladysTsuma
    @GladysTsuma 11 дней назад

    Umkali naona umebobea Sana na maswala ya IT itwae

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi 12 дней назад

    Sheila hatuna mbambambaa❤❤❤❤

  • @Madline-tz8mf
    @Madline-tz8mf 12 дней назад +2

    Shey Shey unakaa kuogopewa aki wueeh 😅

  • @franktodory
    @franktodory 12 дней назад +3

    daah ila shey unapg kaz mama

  • @DianaPascal-vv4we
    @DianaPascal-vv4we День назад

    Mbona hatupati mwendelezo

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa 12 дней назад

    Yani uyu dada utasema jambazi kweli😂😂

  • @usterbae
    @usterbae 10 дней назад

    Yaliopita kwenye dakika❤

  • @Thedy-tp5ei
    @Thedy-tp5ei 12 дней назад +2

    Sheila hyo kapelo😂😂

  • @DolyEsta
    @DolyEsta 12 дней назад

    Kazi nzuli sana sheira

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 12 дней назад

    Huyu kwani ni askari wa aina gani mbna hata simuelewi😢😢😢😢😢😢boys kabisa iiii

  • @JoelWafula-in3xh
    @JoelWafula-in3xh 10 дней назад

    sheila unafahamu ukikamatwa ww kwisha ,pamoja na ubabe wako,,

  • @PriscaFesto-s5l
    @PriscaFesto-s5l 12 дней назад

    🎉🎉 🎉maua yako dogo

  • @MariamKaba-jh3dw
    @MariamKaba-jh3dw 9 дней назад

    Jamani mbona kama huyu mama aliekutana na sheyshey ni yule bibi ya dibozi😢😢😢

  • @amanimwamahusi6107
    @amanimwamahusi6107 12 дней назад +1

    Kama kweli Kuna askari wa aina hiyo basi serikari itakuwa imekula hasara Kila siku ni kufeli tu hongera sheira Kwa kuigiza hivyo ya wezekana kweli askari kama hao wa mchongo wapo

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 12 дней назад

    imekua yamoto kweri😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @Reginatungaraza
    @Reginatungaraza 10 дней назад

    Kazi nzur

  • @Tabitha-y4f
    @Tabitha-y4f 12 дней назад

    Much love from kenya 🇰🇪

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 12 дней назад

    We sheila😅kiboko🎉🎉🎉

  • @ShahrazadSiyah
    @ShahrazadSiyah 12 дней назад

    Naomba kuigiza na nyinyi serious

  • @Awoshy
    @Awoshy 12 дней назад

    Mama mdogo kwani imekuwaje 😊🎉🎉

  • @khadijamoss293
    @khadijamoss293 12 дней назад

    Wawoo miss shyeyshey❤❤❤

  • @MSUKUMA.OG.MWANZA
    @MSUKUMA.OG.MWANZA 12 дней назад +3

    Msukuma wa kwanza

  • @JULIETHGORWA
    @JULIETHGORWA 12 дней назад

    Duh Sheila wewe ni noma sana

  • @HalimahMakokha
    @HalimahMakokha 12 дней назад

    ❤❤❤❤🎉 🎉🎉🎉❤❤ Much love

  • @FadhilaElisha-t4k
    @FadhilaElisha-t4k 12 дней назад

    Waoo Sheila nakukubali sana

  • @EMMANUELGENERAL-n1r
    @EMMANUELGENERAL-n1r 12 дней назад +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 12 дней назад +1

    Ohooo! Kumbe mke wa Dibozi ndio wale wale 🙆‍♂️😁

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 12 дней назад

    Kaah shy wwe umekua zungu😂😂😂😂I'm from Kenya 🇰🇪 guys like jamani na mie❤❤❤❤

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 10 дней назад

    Sheila safi sana