Mnachelewesha Sana episode mpaka mnatufanya tukae lonely jaman😢😢😢Kama vp muwe mnatoa hata episode 2 Kwa siku ili tuzidi kuenjoy😂kama mnakubaliana na mm likes zenu hapa❤❤🎉🎉
Nikikupa hiki kichwa huezi beba...utakufa Kwa mawazo ... Yaani sema nilikuwa nimesubiria hii episode kweli unayempenda hakupendi anapenda mwingine asiyempendaga 🇰🇪🇰🇪🙏❤️❤️
Manyanya upwe maua yko coz u know how to make ur fans happy....en here we are enjoying 😎 watching dunia....mashallah Allah aibariki kazi ya mikono yko ndgu....❤🎉
Manyanya ukigusa hii comment nakutongoza 🎉🎉 mungu akubark unae fuatilia dunia cz inafunzo kubwa kwa maisha hali haswa wenye ndoa🎉🎉 mungu azd😂kuwabark nawapenda
Ilikuwa ni wake wenza nikasema haitakuja kama ile ila Dunia ni moto wa kuotea mbali tunaipenda sana ila mwishoni msije mkaja kuzingua jmn wasanii wetu pendwa ❤❤❤❤❤❤❤
Mapenz shikamoo 🙌🙌🙌 manyaya ,mpka kakonda nahisi anamuaza maty ,Amani nae ,,shindwa katika jina la yesu ,haaa 🤣🤣,bodaboda ,nae ,unapenda kupokea kutoa aaaaa ,mapenzi shikamo ,yaani hii movi inapita mulemule yote haya yapo kwenye uhalisia wanaokubariana na me gonga like hapa tujuane ,na Mungu atubariki huku tukisonga na dunia yetu
Allah Akbar, Kwa Pamoja Leo Tumejumuika Hakika Ni Jambo la Kumshukuru Mungu, Kama Umebarikiwa Kuiona Leo Like, na Kutype Upendo wako kwa Mungu Wetu🙏🙏❤❤ Nawapenda Team Dunia Series🎉🎉❤❤
Woyee Cindy nakushauri uende tu ukae chini na mudy muongee kama familia and everything itakua poa.you have power to change your man to be the way you want him to be.❤❤❤❤🇰🇪
Vailet mme wako alikuwa mzuri na mtiifu na mwenye mapenzi kwako na alikuwa mwelewa lakini unaendelea kuharibu ndoa yako kwa mkono yako mwenyewe wale wa kukupa ushauri pale wagombania vibenteni utakuja kulia dadako kule ndoa ni kama movie vile mimi niko pale nakusubiri kukuona ukilia mama . 😂😂😂😂😂
Na junior kutoka Congo jijini kalemie Na fatilia sana KAZI yenu sana ila Muna nikata sana Munavo towa EP Moja Moja angalau ingé kuwa ata Tano Tano kwa mara moja
Mungu awape upeo mzuri wa kuendelea kuandika maneno mazuri ya kufunza katika huu ulimwengu wanawake Kama Vaileth wapo ila tuu Safari yao haiwagi ndefu anakua amekwisha kuumbuka hivyo katika familia tujaribu kuheshimiana na kupeana respect kila mmoja kwa nafasi yake nashukuru nimetoa maoni na sijaomba like ya mtu👏👏
Sisemi dhambi siwapendi wanaoomba like andika comment yako ya ushaur au pongez zuri hiyo sis tutalike kwan mkishapat like mnazifanyaje labd haipendz bor ingekua inalipa ni kujiendekez ujinga tu
📮Mie ni shabiki mpya wa 📌Dunia🎬 na 📌Manyanya nikitokea kweny ushabiki wa 📌CHADO Masta na 📌MISSION IMMPOSSIBLE🎬 nimekufatilia sana 📌Manyanya kazi nzuri raha kuwaangalia hasaa ila mnachelewesha sana 📍Epsod zenu jmn tunasubiri mpaka hoiii😢 hisiwe ivo jmn mumantain ili swala 🙏🙏
*VAILETH hatumpi maua yake kwakuwa kawekwa nafasi ya ukatili. Lakini ukweli usemwe, Vaileth ni hatari kwenye uigizaji anakipaji kikubwa sana. Anaongea kanakwamba haigizi yupo live. Naomba tumpe mauwa yake kwa wingi VAI ni moto wa kuotea mbali*
Mnachelewesha Sana episode mpaka mnatufanya tukae lonely jaman😢😢😢Kama vp muwe mnatoa hata episode 2 Kwa siku ili tuzidi kuenjoy😂kama mnakubaliana na mm likes zenu hapa❤❤🎉🎉
Kweli kbsa
Mpak tunaanza kususa😢😢
Hat4 bhn xema ku2ng xtr inaitj akil xan ila kimj kw wik jau
Toka nianze kutazama Dunia sijawahi kukomenti leo ndiyo mara ya kwanza. Wasanii wa Dunia mna dunia yenu aiseee 💓💓
❤❤❤kwa kweli
♥️♥️♥️ all
Mungu atupe mwisho mwema 🎉🎉🎉
Amiin😢
Inshaallah
Aminaa 🙏
Amina shoga, Matrida
haujarudi tuu kutoka nyumbani😅
Church boy bhn 😄😄 baada ya kumla cndi ndo kaona pepo mchafu haaa😂😂
Jamaa yani ana mega alafu anaacha😂😂😂
kamlaaaa😂😂😂😂
@@BrunojnrMzmalaya wa kisir siri
Wanaume bhna sijui wapoje
Pepo mchafu baada ya kumudinya 😂😂😂 alaah
Wangap wanaomkubar manyanya kuwa yuko vzr anafanya uhalisiya wa move ya dunia dondosheni apaa mauwa yake 🎉🎉🥰🥰🥰🥰
Tupo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shida boss manyanya hana ata gari yan
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
2po wengi
Nikikupa hiki kichwa huezi beba...utakufa Kwa mawazo ... Yaani sema nilikuwa nimesubiria hii episode kweli unayempenda hakupendi anapenda mwingine asiyempendaga 🇰🇪🇰🇪🙏❤️❤️
Oya me shabiki mpya wa manyanya aya mnipe like hizo😂❤
Usipokuwa makini Vai utarudishwa kwenu😂❤❤.
nawapenda jamani❤
Hamnambii chochote leo mm ndo wakwanza ila sitaki like zenu😂😂
*Amani leo kakaza! 😂 Shindwa pepo mchafu, toka hapa HII NDIO DUNIA BWANA*
😂😂😂😂😂
@@JacobMarco-r2t 😁
Aki huyu kaka Kila mahali Yuko nakupenda bure😂
@zainabalex9810 😁 hahahahahaaaaa asante sana kwakuona comment zangu bana. 😁
😂😂😂 amani
Msenge. Sana
Manyanya upwe maua yko coz u know how to make ur fans happy....en here we are enjoying 😎 watching dunia....mashallah Allah aibariki kazi ya mikono yko ndgu....❤🎉
Naipendaaa sanaaaa hiii muvi jmanii daahh wanajuw kuigiz hatari jmnii wakwanza wao mati nampend mnooo❤❤❤❤❤❤❤
Kazi zuri sana kaka manyanya mungu akuinuwe zaidi
Wanomiss matty tukusanyike hapa❤❤
Tupo wengi
Tupo wengi
Apa😅
Nawakubal san
😢
Manyanya ukigusa hii comment nakutongoza 🎉🎉 mungu akubark unae fuatilia dunia cz inafunzo kubwa kwa maisha hali haswa wenye ndoa🎉🎉 mungu azd😂kuwabark nawapenda
Mimi ndio manyanya
Njoo unitongoza mim apa mdogoake manyanya 😂😂
@@GeraldElias-s7j😂😂😂😂
😅😅
😂😂😂Weeeeeeeeeeeee😅😅😊😊, Nitongoze mimi😊😊😊
Nammiss matty zaid ya alivommiss manyanya😂😂❤
Kama una amini mungu ana kupenda like hi comment ❤❤❤❤
❤ kupendwa na Mungu raha wew😂😂
Mmeanza kutumia mungu kutafta likes 😅😅😅
Are you serious!?❤️
Acha tumia Mungu kwa usenge wa likes kuma wewe. Fanya kazi
@@TheDonn007 samahan km nakukwaza the donn007 naomba usiweke matusi kama haya please
Jamani toka nianze kuangalia dunia sijawai pewa like ata moja naomben namm
Like Ina muhimu upi
Wanaopenda hii Dunia isiishe weka liki hapa ❤❤❤
Weeee hoooo😅😅 hii kma chakoriiii
ety iishe ww tutakufukuza hapa mbio
🎉🎉
ndo inaanza
Walio muona madam maina like plz😂
Kaka manyanya upewe mauwa yako🎉🎉🎉🎉mana yote yaliyopo kwenye Dunia ni ualisia
Tunao amini manyanya atamlipizia mkewe kwa mati😂😂gonga like hap🎉
Nilikua nasubiri Kwa hamu hatari
Alipize nn tena 😂😂
Namuona manyanya akitia huruma kwa housegirl na kumla baadae
Manyanya mwisho wake arakuwa na house girl sio ramli ni utabiri
😂😂@@DixonBramb
Yeyote anaesoma huu ujumbe ,,,,nakutabiria mambo makubwa na mema toka kwa mwenyezi mungu🙏🙏
Ameeen barkiwa sana
Balikiwa sana 🎉🎉
Amen
Daaah tamthilia hii naipenda sana ❤❤❤❤
Finally ❤❤❤❤❤sio kama zenye watu wanaongea wakati movies inaendelea❤❤❤❤I love it
Ilikuwa ni wake wenza nikasema haitakuja kama ile ila Dunia ni moto wa kuotea mbali tunaipenda sana ila mwishoni msije mkaja kuzingua jmn wasanii wetu pendwa ❤❤❤❤❤❤❤
Mdeme na mkewe cwaoni,,,, mnanikosea sana akina manyanya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Toka nianzw kuangalia dunia sijawah pewa like jaman nipen like namiki niinjoy😂
Tushakupa
❤❤
We lak za nn
Kaka manyanya upo vizuri sana nimejifunza mengi sana kutoka kwenu
Mi leo wa kwanza from mozabique like bac ata 5 tu
Sijawahi pata hata like mbili ebu nami munipe ata mbili jamani the one kutoka Congo bukavu
Sawa 🎉
❤
pamoja sana mkongomani
Yaaani na kumfanyia ujinga wote huo na deni umelipiwa simbilisi wewe😊
😂😂
Amani uzazingua brother umeniumiza sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️♥️ sindi pore mama 😭😭😭😭😭
Tunaojuana manyanya ana mategee tujuane kwa like😂😂😂😂😂
naninayapenda matege yake 😂
Etty pepo mchawii shindwa kwa jinaa la yesu mlivokuwa mnalala mkujuaa kuwa kunamjumbee😂😂
Jamani mtoe basi vipande viwili viwili au adi tutoe rushwa 😂😅😮
Mi nawapenda sana mashabiki wa dunia mungu awape afya mzidi kutusapoti 🎉🎉🎉
Ameen
@CindyKakolanya uko na mahaba sawasawa.
Ameni
❤❤❤ mimi wewe Dada nakukubali
Nawajua kuvumilia mamaa nakupenda bure🎉❤
Mbona mimi nawapenda sana lakini amunipi ata like moja munanioneya😢😢😢😢😢😢
@@SophiaFura mambo
Like upeleke wapi surely
hizo like zinakusaidia nn mpaka unazililia ivo
Wewe nlnk baya
Atukoeneyi chukuwa🎉🎉🎉
Mapenz shikamoo 🙌🙌🙌 manyaya ,mpka kakonda nahisi anamuaza maty ,Amani nae ,,shindwa katika jina la yesu ,haaa 🤣🤣,bodaboda ,nae ,unapenda kupokea kutoa aaaaa ,mapenzi shikamo ,yaani hii movi inapita mulemule yote haya yapo kwenye uhalisia wanaokubariana na me gonga like hapa tujuane ,na Mungu atubariki huku tukisonga na dunia yetu
😂😂😂
Mnaependezwa mkewamudi kuachana na amani gonga like hapa
Nawakibali Sana Ila tatizo nimoj hamuumpi mda mwingi mudi kuonekan
Church Boy Ameamua...hataki mahusiano na Cindy katika Jina la Yesu❤❤❤😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hahahahahah katika jina la yesu
Sema mnazingua sana dk 23 ni ndogo sanaa wekeni ata 40dk wazee
kabisa yani wanacelewesha kisha wanapunguza dakika
Allah Akbar, Kwa Pamoja Leo Tumejumuika Hakika Ni Jambo la Kumshukuru Mungu, Kama Umebarikiwa Kuiona Leo Like, na Kutype Upendo wako kwa Mungu Wetu🙏🙏❤❤ Nawapenda Team Dunia Series🎉🎉❤❤
Aamin🙏🏻
Mungu yu mwema
Game hii ni hatari kila mahali DUNIA AH! TAMTHIRIA nzuri .
Vailet dadaangu nimekuita mara 3
mimi pianawapenda❤
Woyee Cindy nakushauri uende tu ukae chini na mudy muongee kama familia and everything itakua poa.you have power to change your man to be the way you want him to be.❤❤❤❤🇰🇪
umekuwa serious sana hii ni movie ndugu yangu
Movie bila maty nikama mboga bila chumvi😢😢🎉🎉🎉🎉 manyanya unajuwa mungu akuongezee uliko punguza🎉🎉🎉
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet mudi muzungu paka la bar❤❤
Vailet mme wako alikuwa mzuri na mtiifu na mwenye mapenzi kwako na alikuwa mwelewa lakini unaendelea kuharibu ndoa yako kwa mkono yako mwenyewe wale wa kukupa ushauri pale wagombania vibenteni utakuja kulia dadako kule ndoa ni kama movie vile mimi niko pale nakusubiri kukuona ukilia mama . 😂😂😂😂😂
😂😂😊
Umeandika ukweli Vailet atajutia Sana
Lakinii vaii hajawah kuwaa n mtu mwenginee jeur t zinamponzaa😢
Anahisi mumewe anamsaliti, ila uhakika hana ndio maana hasira haziishii
@@TauhidaKhamis-k1f
@@TauhidaKhamis-k1fanawafatish wale wamama wakat wao wanagombania mwanaum mmja
Wakwanja toka pande za Congo nipe liké zangu tafazali❤❤🎉🎉🎉🎉
Jamani Mme muona mudy muzungu Leo Hana ata hamu ya pombe nipeni like hapo mlio muelewa mudy
Sema akiwa halewa Yuko poa sana
Wangapi huwa tuna enjoy zaidi Muddy muzungu au paka la bar akiongea huku akiwa amelewa 😂😂😂😂
Tunajilamba au sio Cindy
Mimi hapa nihesabu
Anabana pua akilewa😂😂😂
Nipoooohapaa
@godfreysasi3946 😂😂😂😂🙌
Hatimae sindi ametoa yaliyo moyon😢 ila Aman mung anakuona kwa kumliza sind kakulanya😅
Mhhh amanii kakazaa Sasa kalud kwa mungu wake😂😂
Ukadhani Kuna ukiristo wamaana😂😂@@FurahaHaule
@@FurahaHauleHuyu Amani miyeyusho ana nn wala nn
@@kibibimlaula2526 jamani ata ajanogewa kweli
Na junior kutoka Congo jijini kalemie Na fatilia sana KAZI yenu sana ila Muna nikata sana Munavo towa EP Moja Moja angalau ingé kuwa ata Tano Tano kwa mara moja
Jmn nawapenda wote muliigiza dunia hongereni snaaa❤❤
Mlio kimbilia kusoma comment mwenyez mungu awalinde 🙏🙏🙏🙏
Ameeeeeeen
Mungu awape upeo mzuri wa kuendelea kuandika maneno mazuri ya kufunza katika huu ulimwengu wanawake Kama Vaileth wapo ila tuu Safari yao haiwagi ndefu anakua amekwisha kuumbuka hivyo katika familia tujaribu kuheshimiana na kupeana respect kila mmoja kwa nafasi yake nashukuru nimetoa maoni na sijaomba like ya mtu👏👏
Yaan church boy aturambie asali afu atuite pepo mchafu huyu ni wa kuviziwa njian tumbonde😂😂😂
😂😂😂😂😂 kiukweli amenikera sana litamkuta na yy asubiri to 😅
😂😂😂😂😂😂
Church boy ndo tabia yake,Hata Kwa mati ilikuwa hivi hvi
Anaringa kisa kanunua kitanda 😂😂 mbwa huyu
@ kumbe kashawahi toka na mati
Nimemmiss mate manyanya❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nimekuwa wa kwanza leo 🎉🎉🎉
Mnachelewesha ep fanyane ata mbili mbili au mnasemaje wadau
❤❤❤❤❤❤❤
Kwel kabisaaa bwana watu tunasubir af inawaii kuishaa
@@PromiseElia Na Wanalet kipand k1 tyuuu 😊
Kweli wanakela sana
Kwakweli jamn wanachelewesha sana
Kam unaamini mungu ndo kakufany uyione leo dunia basi sema tu asant kwa kumushukuru🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Sisemi dhambi siwapendi wanaoomba like andika comment yako ya ushaur au pongez zuri hiyo sis tutalike kwan mkishapat like mnazifanyaje labd haipendz bor ingekua inalipa ni kujiendekez ujinga tu
Ni wajinga
Bora umesema😅
@@jadidaramadhani3836 Kwa kweli
Wa kwanza Leo jmn na mm nipewe like jmn "Mimi ndio yule mjinga nilo kataa shule chekechea""""........
👍👍👍👍👍kaz nzur sana 👍👍🔥🔥🔥
Leo manyanya ameact kama real actor.....ameingiza kabisaaaaa leo congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana wote mlio igiza dunia🎉🎉🎉
Wanaoamini manyanya akilipa milioni9 vai atapewa taraka 😂ili mati aingie mjengoni gonga like twende sawa
Mimi Wa kwanza
Manyanya njooo uniowe ila kama kweli una moyo uyo ila kama unaigiza tu nakupa hi
Amani sio mtu wa Mungu Uyoo na imani anatumia kivuli cha dini kufanya ulaghai 😢😢😢 wanaungana na mimi gonga like 👍 🎉🎉🎉🎉🎉
Kabisaa
S kwel huoni kama yukataa
❤❤❤❤❤
Hapana , yoyote anaweza ingia kwenye hali hiyo, ndomana kaona anaendelea kumkose mungu, ndomana kamkana,
Amani malaya tu nyoo anajifanya mcha mungu hana lolote mi limeniboa kwel leo😢
Aka kawimbo pia Kako sawa.nawapenda sana team dunia
Manyanya unajua sana kama unajua manyanya anajua like please
Wakenya kutoka 254 lets gather here to congratulate Matomatoes and the entire team🎉🎉🎉 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ma....,. 😂😂😂😂
@@philipmutua6643 😂😂😂🇰🇪🇰🇪mbona wewooo 😂😂
Kutoka Congo nimaanza nanyi mwanzo adi hapa mlipo jamani na wapenda sana
Mwendele na hiyo roho 😂
And movie is so...👌👌👌
📮Mie ni shabiki mpya wa 📌Dunia🎬 na 📌Manyanya nikitokea kweny ushabiki wa 📌CHADO Masta na 📌MISSION IMMPOSSIBLE🎬 nimekufatilia sana 📌Manyanya kazi nzuri raha kuwaangalia hasaa ila mnachelewesha sana 📍Epsod zenu jmn tunasubiri mpaka hoiii😢 hisiwe ivo jmn mumantain ili swala 🙏🙏
wanaoamini mudy ataacha pombe nakuwa mtu mwema gonga like❤
Tena Cindy atashangaa sanaa
Naamini Ivo namimi kwa alivosemwa Leo na mkewe
Tafurahi sana
Oyeeee kumekucha uku twende kazi❤
Jameni Sindi kawaka moto hapa kwa Muddy.Pombe ikona hasara❤❤❤❤
Sema MIMI napendaaaa mwendooo wa manyanyaaa🙌🙌🙌🙌
Dunia ni tamu sana Shida ni moja tyu mda ni mchache alafu mnachelewaa kutoa ila nawapenda wote ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
San yani Yan mpk Leo tunagand ndo Kwan ya40 kweli
wanakawia sana naona wanataka ladza ipungue
*VAILETH hatumpi maua yake kwakuwa kawekwa nafasi ya ukatili. Lakini ukweli usemwe, Vaileth ni hatari kwenye uigizaji anakipaji kikubwa sana. Anaongea kanakwamba haigizi yupo live. Naomba tumpe mauwa yake kwa wingi VAI ni moto wa kuotea mbali*
Bora umeliona hilo bro🎉
@FurahaKulapha ⚘⚘⚘⚘
Vaileth ni anajua mno
Kabisa yupo vizuri sana
@@mhojaphilipo9963 ⚘⚘⚘
Jitahidi basi Ukaniblokolowee 😂😂 tuliosikia Hapo Tupooooh😆
Leo nimekua wa kwanza kufika hapa 💯💯
Duuh SAS kila mtu wa kwanza bas mm wapili naomb like zangu jmn
Tuliommic maty Jamani like zihusike hapa
Nawapenda sana ❤❤❤❤ matt sikuoni kipenzi unaboa jamani
Wa kwanza leo naombeni like zangu jmn😅
Hiz like za nin
Watu mnakesha humu mtandaoni basi na mm naomba like hata Moja
Nimekuwa wa kwanza jamani naomba like zangu from USA 🇺🇸
😂😂😂 aman bhana kwahiyo Kuna pepo msafi na mchafu
Mwanamke jeur dawa yake muibie mumewe😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hii imeeenda😅😅😅😅
😂😂😂😂
Vita bado mbichi 😊
Jaman naomben like ata moja tanguy nimeanz kuangalia Dunia ata like moja jamn duh
Tamthilia Tamu Sana, wapi likes za Wakenya tunao fwatilia Dunia. Kudos Manyanya🎉
Fanyeni kujaribu mtume episodes Kwa muda mfupi, mnachelewa sana
,😂🤩🤩🤩🤩 noma sana nmeipenda hii ety "sema kuludisha vitu dukani vibaya"
Yaani hawa wamenifurahisha mno dah 😂😂😂
Chezea njaa ww😂😂😂😂😂kupokea 2 kutoa aaaàah
@Rebeccaclaud 😂😂😂
@@shijaluziga 🙏🏽
@@Rebeccaclaud mchezo nin 🤩🤩🤩
Nakuona maina ndani ya Dunia ❤❤❤
Wakwanza kutoka kenya so please like zangu aki❤❤❤❤🎉
Duh kwer Bana pesa ni mbaya sana pmja na umaskini
Niite pepo mchafu toka apa ,,niko uganda naombeni lake zangu❤❤🎉
Aisee watu mna lala u tube 🎉🎉🎉🎉 yenu
🤣🤣🤣🤣Mimi pia nashangaa Yani minutes 10 nimekuta comment mia nne naa kitu
Wakwanza leo nipeni like zangu jamani
Nimeoza ndani Kwa ndani 😂😂😂