Sasa kwa mtizamo huwo kosa la mondi nilipi kwani mondi ndo alipanga utaratibu za show nyie wote mlialikwa , pili umesema unahisi, neno nahisi linamaanisha ,hauna ushahidi
Mimi nimemuelewa Jamaa, yaani anamanisha, mfano choo cha kuchangia harafu mtu anaingia ndani, anaanza kuchezea simu , wakati watu wapo nje wamebanwa na haja . Siyo sawa
Baba badilisha kazi wabongo hatuna furaha utamuchekesha nani tuna hasila bro hata Baar zenye mziki siku hizi hatuingi mawazo maisha ni magimu sana alafu nyinyi munach
Kwani aliekuwa ana panga wasanii kuim ba ni diamond hebu muulize swali bamb o aliekuwa anapang a wasanii kupanda jukwaani ni Nani ma nake msipende kum laumu mtu bila kosa
Kawaida kwenye shoo kila kitu kipo kwa mc anaratibu muda wa pafomance na muda na ww unamuliako acha umanga bambo kutembea magomen to fire imekuchanganya😂😂😂😂😂😂😂🎉
Huyu mzee nae njaa inamsumbua mda mrefu sana huwa anamtukana kiba na kumsifia Mwambino kama mme wake,,sasa leo unajitilisha huruma ya nini...achana na vijana kaa kwako utulie ulee watoto 😅
Diamond ni tunu ya taifa! Kwanza anauma sana, na kila alie potea ktk game anatumia jina lake kutaka kurudi mjini 😅 sasa diamond show ya mwenge ni yake? Enzi zenyu zishapita hamkutumia umaarufu wenyu ipasavyo acheni wivu nendeni ITV
Mondi mumuache mondi ni brand kubwa , lazima awe makini ,sio kila mwenye kutaka jina apatiye kwamondi , wewe pesa ulipata ugali wako uliula Sasa nini tena, unaroho mbaya na wivu Kama unataka sapoti kwa mondi wewe sema
Bambo Tuuungane wasanii tumuombee kifo huyo ni jini mtuuu kuwapoteza wengi kina rich mavoko nk wengi mimi ata radio yake sisikilizagi kama kumkataa baba yake mzazi mzee Abduli Utakua Wewe Bambo??? sasa ivi anajiita ukooo WA muuza mchele huku kwetu tandale sokoni
Yani apa duuh Amna ata ukweli ila mjue mnavojitaftia chakula ivo hamjuy tu Yani mnazidid kumuongezea rizki tu Yan mtasubiri sana duuh mtakufa wajukuu zenu ndo watashuudia akianguka simba
Nassibu usiwe na tabia ya kuwazibia wenzio ridhiki sio jambo jema.Wewe ni tajiri sana sio wa kugombana na wenzako. Mimi nakupenda sana Nassibu. Ukipata show za kwa pamoja waachie wa chini yako.
POLE SANA,, BAMBO,, NIMEKUELEWA VIZURI SANA, WEWE NI COMEDIAN,,, MZURI SANA SANA, NA WALA UJAZEEEKA KIIIVYO, NIMEANGALIA, MAIGIZO YAKO YOOOTE KABISA, TOKA ENZI HIZO HUJAWAHI KUCHUJA, BADO UKO VIZURI MNOOO, WEWE NA MTANGA, WASAMEENI BURE TU, KWA WALICHO WAFANYIA, MIMI NAWA KUBALI SANA.
Huyu jamaa n muongo coz ile sherehe ya kupokea mwenge ilikuwa ya kiserikali..na diamond na team yake ya wasafi walikuwa waalikwa na ile show ilikuwa na ratiba zake sasa huenda hamkuwa kweny ratiba ya show za mwenge...mzee acha kuzeeka kwa ktafuta kiki ...si ungemwambia aweso na si diamond .
Hivi huwa mnataka diamond awanyenyekee? Hata mkimchukia haimpunguzii kitu huyu bambo kalipwa na harmonize juzi tu alikuwa na harmonize nyumban kwake et leo anaongea utumbo na maelezo yake hayaeleweki kwan diamond ndo alikuwa promoter
Usipoteze muda na Diamond hana mji wa kujibu na bado utaongea mpaka utajiona mpuuzi inapoteza nguvu zako. Maana unaongea media zote. Take your time..Time is money
Huyu mnafiki tu
Sasa kwa mtizamo huwo kosa la mondi nilipi kwani mondi ndo alipanga utaratibu za show nyie wote mlialikwa , pili umesema unahisi, neno nahisi linamaanisha ,hauna ushahidi
Yaaani Kila mtu akitaka jambo lake liende lazima amtaje diamond
Kweli
Mtaje na ww tuone kama utaenda mbali😂😂
Fuatilien Chanzo mpaka kufikia hapo achen kukurupuka Bambo anajielewa
Muache kutumiya jina la mondi kwakutaka kupandisha vipaji vyenu anapambana kama mwanaume na nyie pambaneni kivyenu
Jamani wewe mchekeshaji,diamond na wewe wapi na wapi?Acha kiki,hamtoki mpaka diamond mwacheni mtoto wa Sandra,wanga wakubwa na hamumwezi
Unazeeka vibaya bambo unabaniwa nn wakati huna mpya
Ila wewe jaman 😂😂😂😂
Mzee bambo umekua chawa wa makonde
Kwani bambo umenuna au umefrahia maana sikuelewiiii😀😀😀😀😀
Ukweli lakini msamehe
Mimi nimemuelewa Jamaa, yaani anamanisha, mfano choo cha kuchangia harafu mtu anaingia ndani, anaanza kuchezea simu , wakati watu wapo nje wamebanwa na haja . Siyo sawa
kkkkk
Bambo kama unatafta kiki hapo sawa ila kwa kudai wenae msanii mmmmmh kweli
Kalee wajukuu mzee acha kuzunga Media kuntukana momdi
Wewe babo umeshachoka turia murikuwagawapi zamani tusapotisana hakunana murichokifanya
Mtangazi mwenyewe choko,hajui kuhoji maswali
Nilikuwa nampenda mondy lakini kwa kumkosea huyu mwamba legend nimechukia kama kinyesi
Kaka bambo nichuma cha zamani sana
mboso haangalii nyuma,,
najikuti nacheka tu😅😅
Mboso ni fata upepo hata kwa harmo ametengeneza chuki ata haihereweki
Nakujibu zigge. Mimi siko kwenye list. Mimi niko mashambani tu huku LInd vijijini. Nampenda tu Nassibu mwanangu namwelimisha tu.
Bambooo kwa hili huna jipyaaaa jipange upya na huna la MSINGI ktk unacho semaaaaa
5:37 eh banaee
mstari uu
We bambo umetumwa kumuharibia mond,a
Diamond Ina maana alikua MC
Baba badilisha kazi wabongo hatuna furaha utamuchekesha nani tuna hasila bro hata Baar zenye mziki siku hizi hatuingi mawazo maisha ni magimu sana alafu nyinyi munach
Yaan wasanii wetu bila mondi kwenda nishida sana sana yaaan mond mond kila sku
Kama huyo mondi wenu ni mshezi,atabaki kuwa mshezi tu,,kitambo alikuwa mzuri bt anaendelea kujiaribia sifa zake
Kwani aliekuwa ana panga wasanii kuim ba ni diamond hebu muulize swali bamb o aliekuwa anapang a wasanii kupanda jukwaani ni Nani ma nake msipende kum laumu mtu bila kosa
🤣🤣🤣🤣Sasa hapo diamond anahusika nanini?.
Jamaa haja nyooka mm mwenyewe si muelewi yani ana baniwaje mtu kama hakua kwenye ratiba
aukuwepokwenye ratiba
Bambo nakukubali unchoongea safi sana
Zee zima akili chenga
Jamani Alrmasi NAE mtu na kama walitakiwa kupanda bambo awakupewa nafasi kwanini Kuna kitu apo
Nimekupenda bambo umenyooka sana
SIMBAAAA ni brandi kubwa daraja
Mwacheni aseme ya Moyon kwenye Music kuna kubaniana Sana
Daaaah!kweli diamond ni mti wenye matunda cz kwa hapo sioni kosa la diamond
kiekiekiekiekie hatumujuwi congo huyo anatafuta treding na jina la platnumz
Wasanii wa kizazi cha leo ni wavuta bangi hawaoni matunda ya malegend
Siku diamond atakapoanza kufuatilia hizi lawama watafungwa wengi sana .huyo kiongozi aliyewalipa kina bambo mbona hasemi jambo ?
Pole bambo
Kawaida kwenye shoo kila kitu kipo kwa mc anaratibu muda wa pafomance na muda na ww unamuliako acha umanga bambo kutembea magomen to fire imekuchanganya😂😂😂😂😂😂😂🎉
Bambo kwani ulikuwa kwenye ratiba, ya performance, au ni chuki tuu.
😅😅 kwaiy ela alilipwa y nn au alienda kufanya Nini japo anachekesha😂😂
Hata alichokiongea hakieleweki bamboo Acha uchiz
Huyu mzee nae njaa inamsumbua mda mrefu sana huwa anamtukana kiba na kumsifia Mwambino kama mme wake,,sasa leo unajitilisha huruma ya nini...achana na vijana kaa kwako utulie ulee watoto 😅
Mondi apendwe na.watu wote kwani yeye pesa! Mwacheni mtoto wa watu apite na maisha yake! Mondi brand kubwa sasa na huyu mzee mwenzangu hajamaliza tu!!
❤❤❤❤❤ yes good
Katoka kwa konde kunywa bia sasa anamchafua simba wasanii wa bongo hamna kitu kichwani
Bambo usha potea jitafute saiz mond anakubalika😅😅😅
Diamond ni tunu ya taifa! Kwanza anauma sana, na kila alie potea ktk game anatumia jina lake kutaka kurudi mjini 😅 sasa diamond show ya mwenge ni yake? Enzi zenyu zishapita hamkutumia umaarufu wenyu ipasavyo acheni wivu nendeni ITV
Nani alikuambia bamboo anachukaga 😂😂 neno Moja tu la kuchekesha tayari yupo mjini😂😂 .. hapo Enyewe anaongea ni vichekesh 😂😂
Mondi mumuache mondi ni brand kubwa , lazima awe makini ,sio kila mwenye kutaka jina apatiye kwamondi , wewe pesa ulipata ugali wako uliula Sasa nini tena, unaroho mbaya na wivu Kama unataka sapoti kwa mondi wewe sema
Mtangazaji unarudi rudia maswali mtu anahasira Halafu unamwambia anapenda wimbo gani wa adui yake ni aibu
Sasa bambo naye apande stejini kupaform nyimbo zipi sasa?mzee bambo unazingua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyumanyuma kama wachezaji ngonjera....🤣🤣🤣🤣🤣😅
Bambo mkongwe sana kwenye fani
Bambo Tuuungane wasanii tumuombee kifo huyo ni jini mtuuu kuwapoteza wengi kina rich mavoko nk wengi mimi ata radio yake sisikilizagi kama kumkataa baba yake mzazi mzee Abduli Utakua Wewe Bambo??? sasa ivi anajiita ukooo WA muuza mchele huku kwetu tandale sokoni
Uchawi
Yani apa duuh Amna ata ukweli ila mjue mnavojitaftia chakula ivo hamjuy tu Yani mnazidid kumuongezea rizki tu Yan mtasubiri sana duuh mtakufa wajukuu zenu ndo watashuudia akianguka simba
Anatafuta kaz ya urinzi
Nassibu usiwe na tabia ya kuwazibia wenzio ridhiki sio jambo jema.Wewe ni tajiri sana sio wa kugombana na wenzako. Mimi nakupenda sana Nassibu. Ukipata show za kwa pamoja waachie wa chini yako.
Kwani ulikua kweny list
Kama mbwa koko😂😂
Mbona nyinyi wambongo munafituko sana why kila mtu simba fanyeni kazi asheni simba in peace
Diamond hana mak osa msipende kuml aumu mtu bila kosa utaratibu pengine s io wa diamond mum laumu aliepanga sio diamond
Bambo mbona hujanyooka maelezo yako halafu mtu mzimaa
Hapo umemuone mzeee pia huo siouungwana bambo
Hapan vyema wasanii kupenda
Kumbe Huna akili yeye alikua mc au muandaaji? Umekwisha nenda songea ukalime au endelea kunywa visungura
Mbona aeleweki kwani iyo show ilikuwa ya simba mpaka awazuie wao wasipande
Simba yeye anakuwa kimbele mbele kila sehem kama mtu mkubwa anaeweza kuamua chochote ndo alichokifanya kwa kina bambo
Duuu Atari laxana mwamba ndoyuko ivyoo😂😂😂
bambo mhuni anatafta Hela tuu hahahah uongeaj wake tu niuhun anausanii gan mkubwa wakati joti peke yake tu amuwezi hahahahah
Mpuuzi uyoo anaongea pumba
Sa we upaform unapaform nn vitu vingine bwana
salehe umetisha hahahahahahha
13:41
POLE SANA,, BAMBO,, NIMEKUELEWA VIZURI SANA, WEWE NI COMEDIAN,,, MZURI SANA SANA, NA WALA UJAZEEEKA KIIIVYO, NIMEANGALIA, MAIGIZO YAKO YOOOTE KABISA, TOKA ENZI HIZO HUJAWAHI KUCHUJA, BADO UKO VIZURI MNOOO, WEWE NA MTANGA, WASAMEENI BURE TU, KWA WALICHO WAFANYIA, MIMI NAWA KUBALI SANA.
kkkkkkkk mlienda kuuzasula
mond hanakosa kwa hapi
kkkkkkkk we kicha
Atulize pumbu
RAKINI MACHO YANGU WEWE NA DAIMOND MSIKITI NA KANISA MUPO MBALI MBALI SANA WASANII WETU MJIPANGE SIO CHUKI NA ROO MBAYA 😂😂😂
Huyu jamaa n muongo coz ile sherehe ya kupokea mwenge ilikuwa ya kiserikali..na diamond na team yake ya wasafi walikuwa waalikwa na ile show ilikuwa na ratiba zake sasa huenda hamkuwa kweny ratiba ya show za mwenge...mzee acha kuzeeka kwa ktafuta kiki ...si ungemwambia aweso na si diamond .
zitakukosti ww
Nahona majabu yeye diamond amelipwa naww umelipwa Sasa awezi kumzuhiya msani wowote
Kiki hzooooo
Kwann usimfuate mwenyewe unaongea mitandaoni na una levo gn ya kupanda stage na diamond halafu bambo we mshamba Sana au tuseme ni mjinga uliezeeka
hahahaha
uyo choko mbona diamond akuwepo alikua dubai
Hamna tunu wala nini ana roho mbaya
Dah pole sana Bambo
Mtu mjinga na mpuuzi ndio atasikiliza huu ujinga shughuli ya serikali WCB ni nani kupanga nani atumbuize huyu ni chuki na mfitinishaji.
bambo acha zako una lolote wana kijiji wametaka mpafomu inaonekana hamkua mumepangiwa sasa la wama zanini kwa daymond wala hakujua kama ukopale
Ni kweliii
Sasa wewe ulilipwaje alafu uzuiliwe kuingia mimi nazani umetumwa na hamo
No .sorry kwa storry ndogo niliyyo sikia bc my bro ulitakiwa uwa kuze pleas say sorr for that my bro
huyu mbwa tu mchekeshaji atakuwa yeye? tafuta pesa mzee kwanza hata huchekeshi, acha njaa njaa zako kajambe mbele huko
Aliogopa kufichwa Mbwa yule pole sana Bambo
😂😂😂 eti aliogopa kufichwa
Nyie wapumbavu sn kutafuta riski zio lazima kuwa kijana wala mzee ndio nyie munawatoa wazazi wenu mafala wa kibongo
Iliii msanii afanikiwe nilazima amchane diamond? Huu ni ushamba tena ushamba mkubwa
Do you remember what happened 2 chid benz
Hivi huwa mnataka diamond awanyenyekee? Hata mkimchukia haimpunguzii kitu huyu bambo kalipwa na harmonize juzi tu alikuwa na harmonize nyumban kwake et leo anaongea utumbo na maelezo yake hayaeleweki kwan diamond ndo alikuwa promoter
Usipoteze muda na Diamond hana mji wa kujibu na bado utaongea mpaka utajiona mpuuzi inapoteza nguvu zako. Maana unaongea media zote. Take your time..Time is money
We mtangazaji mnafiki mkubwa we!
Sasa una mlaum mtu sio mwenye sherehe na wala hujaongea nae na wala yy hakuelewa lengo laww kuepo hapo je km ulienda tu km wengne yy atajuje .
Mshamgeuza diamond jalala sasa
Mimwenyewe cjaelewa jamaan