mwisho wa manyanyaso red ended yaani usalama taifa kitengo cha saaa na umahili wa udereva unaweza ukapata hiki cheo utakapofika miaka 42 na ndipo utaanza soma yaani usimuone mtu anakuwa usalama kwaurahisi🎉🎉🎉love you Tanzania ndio maana tuna amank
Jamaa bana mzee Dutch enzi hizo kharaf &sons nangulukulu likong'o kikwetu mmongo kariakoo lindi kwa makunguru manlaka ya korosho mtange ngoma mingoyooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂
Wa 9 ku comment, Mzee yupo vizuri kwa comedy, naomba like please
Tunaomkumbuka mzee wa mjegejoooo gonga like hapo
Kabisa 😢
mwisho wa manyanyaso red ended yaani usalama taifa kitengo cha saaa na umahili wa udereva unaweza ukapata hiki cheo utakapofika miaka 42 na ndipo utaanza soma yaani usimuone mtu anakuwa usalama kwaurahisi🎉🎉🎉love you Tanzania ndio maana tuna amank
Safi SANA mkongwe ume pendeza sana leo❤❤❤❤❤
Namkubali sana ba mkongwe
Dereva mkongwe na swaga zake za miwani hatari
Oyaa mzeeya unatisha sana kwa mastory yakinyamwezii
Natural talent
Mzee ana hatariii.... Pilot aliwachanganyia mambo . Abiria wakaona isiwe tabu , wakajitwisha jino....😅😂😅😂
"Abiria anafia kwenye Basi mnaendelea nae kimya kimya ham a kutangaza"
Kula shave dereva mkongwe
Waa shelui tujuaneee apaaa
Dereva umependeza sana baba suti imekaa maali yake
Huyu jamaa alivyoanza mlimdharau. Saizi amepiga hatua mnamuonea wivu.
Hata wewe Bado haujachelewa, anza kijitafuta kwa njia yako ya pekeako utatoboa tuu.
😂😂😂😂😂
Muda sio mrefu atapotea ameingia siko
Wanajidai masharo kumbe Hawana ela 🔥 sana
❤❤❤🎉🎉🎉Mkongwe kama mkongwe 😂😂👍👍🙏🙏
😂😂😂nani kamuona mkongwe ana wei kchwan😂😂😂😂
Barikiwa dereva mkongwe kula shavu
Nikweli dereva mkongwe, madereva wa sasa Ni masharobaro
dereva mkongwe unatufrahisha sana tupo na wewe mwanzo mwisho😂😂😂😂😂
Dereva uko vizuri sana
Kesho atakuwa kwenye Film hii nji
Nipee kazi ya meneja ulifaa kuwa na microfone kwa sikio nikikuelekeza la kusema mzee wangu
😂,,😂😂😂😂😂 namkubal mzee wa lalanayo nakuamini babuuuuuu....
Jamaa bana mzee Dutch enzi hizo kharaf &sons nangulukulu likong'o kikwetu mmongo kariakoo lindi kwa makunguru manlaka ya korosho mtange ngoma mingoyooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂
Mnao muoji Leo kazi mnayo
Kijanaaaaaaaaaa wetu
Uyu wa mboso
Wamchukue cheka tu😂😂😂😂😂😂
😂😂😂dingi ohoooo some time Huwa anapwaya vitu vingine anaongea ukweli
Kweli kabsa apo kwenye kujipanga
Inawezekana mkongwe ndo anaanza kutoboa kama utani maana hii nchi duh kama muuza madafu ikulu tu
Sawa ndanda cosovo
Umetisha
Ngurumo hiyoo😅
Wanafunzi wana penda pesa jibu:pesa ndio kaziyake
Una kiasi gani? Jibu nina kibiriti tu mfukoni.
Yupo vizuri.
Kaka umependeza lakini hizo ndevu ndio tatizo natamani nichukue mkasi nikunyoe
Vijana wa comred 😂😂
UMEMSIKIAEE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee katoboa musimuonee wivu.pambaneni na hali zenu
Hawa wandishi wa hovyo sana
Sasa ulitaka aongee nini?😊
kwa hii bongo, huyu mzee kashatoboa
Ivi kumtukana mzazi ni kosa?
Mkongwe taratibu mbona inatoboa mtumbwi🤭🤭🤭
Wampe Mkongwe Jukwaa achekeshe
Mzeee amejipata uzeeni tena maji ya shingo
Leo amengara
Somchezo
Unapata nafasi kubwa huongei pwent
Wakati ww mwenyewe unashindwa kuandika (points)
@@elvis_shuma😂😂😂 kazi kweli kweli
Sasa unategemea point kwa mchekeshaji, kazi yake ucheshi,, wewe ndio comment Yako haina afya
nakupata vizuli mkongwe nikiwa congo korwezi by yuda master
Point kamsikilize mo dewj😂
Hapa mfukoni nina kibiriti.