DOTTO MAGARI AMJIBU MWIJAKU SINA LAANA DEGREE YAKO SI CHOCHOTE BABALEVO AMEKUSHINDA ANA MEDIA YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 47

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 6 месяцев назад +3

    Mm nakupenda kaka doto❤❤❤ unanikosha ukinitajia kwetu kizimkazi

  • @jjkinara6576
    @jjkinara6576 6 месяцев назад +6

    Doto ni fire😂❤❤

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 6 месяцев назад +8

    Namba za Mungu Dah mtihani Mungu atakujibu muda ukifika

    • @dullywa9973
      @dullywa9973 6 месяцев назад +1

      tafakuri alichomaanisha kaka😂😂😂

    • @sharbaidysalum
      @sharbaidysalum 6 месяцев назад +1

      Ukitafsiri juju unaweza kusema amekosea ilaa Namba za mungu ni 07 IBADA. SADAKA . ZAKA. NA YALEO YOTE YANAOMBENDEZESHA WW ZIPIGE HALAFU TUONE UCFANIKIWE

    • @AhmedMohamed-mw3ev
      @AhmedMohamed-mw3ev 6 месяцев назад

      Mbona anakufuru huyu jama anafìka mbali Allah amuongoe pumzi zisimuhadae awe makìni anapoongea

    • @Saidyomarybakary
      @Saidyomarybakary 6 месяцев назад +1

      Ila huwez jua mungu anaemzungumzia yy mana siku hzi watu wana miungu wengi

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 6 месяцев назад +7

    Sasa dotto mbona hata wewe unawasemaga wenzako nyie wote ndo system zenu

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 6 месяцев назад +1

      hawa ni chama kimoja hamna kitu hapo, influensaaaaaa"""""""""""""""""""

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 6 месяцев назад +1

    Nakubali mtoto wa mama kizimkaz naapa ipo

  • @brezjohmc
    @brezjohmc 6 месяцев назад +1

    Kinyerez kwa Maboss weeeeee Chawaaa

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 6 месяцев назад +1

    Dotoooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MonicaMarealle
    @MonicaMarealle 5 месяцев назад +1

    Kweli dotto mwijaku hana akili angekuwa ana akili asingekuwa anawongea watch vibaya wasiokuwa na hatia

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 6 месяцев назад +3

    😂😂😂😂dotooo atiii ulikua mukabaji😮😅😅

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 6 месяцев назад +5

    Wigi limepauka kwa upepo 😅

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 6 месяцев назад +1

    ❤❤❤🎉🎉Nakupendagha bule

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 6 месяцев назад +3

    Mchizi kapanic inawezekana kashikwa pabaya na Mwijaku

  • @jonhwamaratv
    @jonhwamaratv 6 месяцев назад +1

    Yaani huyu jamaa hawezi kuongea mwanzo mwisho usisikie Mama kizi mkazi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 6 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 6 месяцев назад +2

    Awe msafi

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 2 месяца назад

    Unasahau na hapo ipo siku hizi Dotto

  • @GraceTemba-nx3mw
    @GraceTemba-nx3mw 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂kaka Dotto🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnmwalwembe3036
    @johnmwalwembe3036 6 месяцев назад +1

    Je ? Kuna kwali ndani yake Jamani Ivi doto magari ni mtoto wa mzee magari naonba jibu ?

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 месяцев назад +2

    Na kweli magari ni mabati tu,anaongea ukweli

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 6 месяцев назад +1

    Kweli jamaa alikuwa mwizi

  • @shabanipande5379
    @shabanipande5379 6 месяцев назад +1

    Eti nikupe namba za mungu😂😂

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 6 месяцев назад +2

    Doctor?nishidaaa

  • @GraceTemba-nx3mw
    @GraceTemba-nx3mw 3 месяца назад

    Jembe

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 6 месяцев назад +1

    Jumps Jumps No Position

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 6 месяцев назад +1

    Acha kulia lia

  • @keshenidaniel770
    @keshenidaniel770 6 месяцев назад +2

    Amna kitu hilo

    • @KelvnShoo
      @KelvnShoo 6 месяцев назад

      Acha makasiriko

  • @MohamedSalumMtumwene
    @MohamedSalumMtumwene 5 месяцев назад

    Gereza

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 6 месяцев назад

    Acha wiv

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂JAMBO ZITOOOO

  • @israelisrael2513
    @israelisrael2513 6 месяцев назад

    ❤❤❤😂😂😂😂

  • @SalumuOmori
    @SalumuOmori 5 месяцев назад

    😂😂😂

  • @RamadhaniKhamisi-hs8um
    @RamadhaniKhamisi-hs8um 6 месяцев назад +1

    Doto ulinikabaga ww kibaka

  • @BarakaMalekela-nf6gv
    @BarakaMalekela-nf6gv 6 месяцев назад +2

    Dotto hanaga akil kelele tu pia anazalau

    • @annamapunda431
      @annamapunda431 6 месяцев назад +1

      Mvuta bangi tangu lini akawa na akili

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 6 месяцев назад +1

      Bangi ni dawa so what is a problem?

    • @adolfmathew9698
      @adolfmathew9698 6 месяцев назад

      Oi bangi iheshimiwa please Naomba nipo chini ya miguu Yako bangi usihusishe na vitu vya kijinga hivi. 🙏​@@annamapunda431

    • @emanueldunia0014
      @emanueldunia0014 5 месяцев назад

      Unavuta?​@@ashuraomar4935