BALAA la WAZIRI SILAA Awasha Moto MBEYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 апр 2024
  • #Waziri #JerrySilaa #Mbeya #Live #subscribe #jaytvtanzania

Комментарии • 42

  • @user-gr9px4pi2w
    @user-gr9px4pi2w Месяц назад +6

    Waziri wa ardhi tunamkubari sana nchi yetu ina adhina ya kutosha ya viongozi wazuri yaani wanafaa sana kuwa marais wa baadae

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 дня назад

    hii kazi ngumu sana kwa waziri. inabidi afatize kama baba mkwe wa Musa alivomshauri..tunamuomba Mungu Amshushe Roho wake aingie kwa watendaji wote ili kazi ifanyke kwa wepesi na kwa haraka kisha wanchi wote kupata haki zao

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 Месяц назад

    Nampenda sana waziri Slaa hana longolongo au upendeleo. Mama Samiya ulioteshwa kumweka huyu waziri wa Ardhi? He is fit for this job,tafazali usimtoe hapo.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 2 месяца назад +2

    Kaka ismail pole sana,,

  • @MudhiryHassan-pq4se
    @MudhiryHassan-pq4se Месяц назад +1

    Huyu jamaa hawawezi kutoboa kwa huy kka. Na ana kila document

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 Месяц назад +2

    Mnununuzi lazima kua makini,na manunuzi ya ardhi,buyer be,,,,,,,,,,

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Месяц назад

    Mweshiwa hawa watu ndio wanao sababishaga vifo vyawafanya biashara.Kwatamaa zao

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 2 месяца назад +5

    Kwani maafisa Arizi kwann wasinyongwe

  • @husseinmachozi6674
    @husseinmachozi6674 2 месяца назад +4

    Huyu dada hapo mpigaji anavyomkata jicho mlalamikaji😅

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j Месяц назад

    Isaidie HAKI itande, itapakae kila upande (Quran 4:135)

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 2 месяца назад +1

    Udongo kwa ufongo unanyang'anya udongo bila ya utaratibu wa wizara inayosimamia udongo na udongoni tutarudi kama udongo.... Ardhi ni swala la kiroho

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 2 месяца назад +1

    Awa wtndj da 😢 yn hwana uluma

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 2 месяца назад +2

    Mashetani watu hao, kuanzia surazao mpaka roho zao, 😏😏😏

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o Месяц назад

    Uyooo munamtoaa mboni yureee mwenyeee gorofaaa mumemuachaaa vp

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 2 месяца назад +3

    Hao watu ni mashetani aisee fukuza kazi hao

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 2 месяца назад +1

    Hapo kama wanampa kiwanja basi ni lazima kiwanja ambacho na yeye aridhike sio kumtupa madongo poromoko lazima wizara iwajibike

  • @user-oy2fi5qz9n
    @user-oy2fi5qz9n Месяц назад

    Huyu dada hafai kuwa hata kiongozi,anadharau sn

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Месяц назад

    Safari hii uku Makonda uku Silaa hapatoshi lazima haki itapatikana tu

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 Месяц назад

    Hao wame hukua hela😢😢😢

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi Месяц назад

    hao watu ni matapeli Bw Waziri, kwanini wanambughudhu huyu Ismaili ?

  • @abdulimecksoni2424
    @abdulimecksoni2424 Месяц назад +1

    Nnchii hii daaah wanyonge wanaonewaa snaa

  • @user-vv9kk3gz5f
    @user-vv9kk3gz5f Месяц назад

    Watu wanapiga hatia mnawarudisha kwenye umasikini sisi masikin tunateseka hakuna wakutusaida wala wakutusikiliza uuuwi mugutuagalie

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 Месяц назад

    Nchi ya kitu kidogo.

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 2 месяца назад +1

    Muogopeni aliye waumba

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 2 месяца назад +1

    Ulimwambia kama unampa kiwanja kingine

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 Месяц назад

    Afisa ardhi anavyomsemelea uongo mlalamikaji ni ajabu. Mh

  • @user-vv9kk3gz5f
    @user-vv9kk3gz5f Месяц назад

    Hawa viogozi wa ardhi wanajali matumbo yao nafamilia zao magufuli baba upowapi utusaide

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад

    Hawa watu wako wa chini waziri wanataka kukualibia jina lako majambazi fukuza kazi wakalime shamba wezi watupu Ao Mtu Anayo kalatasi zote lisiti zote majambazi Umekahaa nao kulia kwako waziri

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 месяца назад

    Wele jamaa wanapiga makofi ya nini

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 месяца назад

    alafu mbona waislamu wana sikilizwa sana nimefatiliaa sana

    • @saidmohammed1458
      @saidmohammed1458 2 месяца назад

      kama haki na ukiwa mkristo hausikilizwi? inaangaliwa haki na sio udini wakati mwingine ni coincidence

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 2 месяца назад +1

      Ww huna akili Wacha uchochezi wanasikilizwa watu walio zulumiwa mchina pia amesikilizwa na haki yake amepewa Wacha chuki ndugu Tanzania hakuna ukabil wala udini

    • @mwinyiadadi1604
      @mwinyiadadi1604 Месяц назад

      Mm nakushauri bwana ismail wadai pesa zako hao sio watu wazuri kwako

    • @jazeerajuma5014
      @jazeerajuma5014 Месяц назад

      We nae acha udini

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 12 дней назад

      Acha ushamba wewe