WAZIRI SILAA ASHANGAZWA NA MBUNGE WA ZAMANI | ANADAI HEKA 10 ZA MASHAMBA | MZEE BENDENDA HUNA SHAMBA

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 22

  • @edsonleonci5113
    @edsonleonci5113 Месяц назад

    Matatizo ya aridhi na makazi ni meengi mnooooo waziri unajitahidi ila uwezi kuyamaliza kwa njia hii lazima uongeze waasaidizi na vikosi maalum kusikiliza matatizo yao nchi nzima na wakuletee yale ambayo yanahitaji nguvu ya waziri ….
    Ila nawe endelea , kazi nzuri saana 👏👏👏👏👏👏

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Clip za slaa sy tam we nambie mi niko hapa mawazo

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад +1

    Anafanya kama makonda ila zamakonda tamu sana zinasikika vizur

    • @RahimRaiTZA
      @RahimRaiTZA  Месяц назад

      Na sisi tumeiona Hii shida ya Sauti Next time tutalifanyia kazi

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад

    Ulishindwa kutunga sheria bungeni nawewe mwenyewe unaumia komesha huyo mbunge

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад

    Silaa ya drone hinapiga mabomu kwa Mazuluma ya mali za masikini😂😂😂

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Месяц назад +1

    Mpiga picha ubalipwa nunua boom tupate sauti nzuri. Video ni sauti kama hamna unaaribu kazi za watu na unatupa makelele

  • @davidlinus6940
    @davidlinus6940 Месяц назад

    Ndugu bunge

  • @cclaudeshilling957
    @cclaudeshilling957 Месяц назад +2

    Mheshimiwa umekosea sana ungetakiwa usimamishe mahujiano mpaka azana hiishe alaf ndio uendelee mazungumzo yen

    • @nth3512
      @nth3512 Месяц назад +4

      We nae, wadhani kila mtu ni muislamu? Mi mwenyew ni muislam ila inabidi ufaham huyu sio muislam, unayoyajua ww haina maana kila mtu anayajua. Em tumieni akili na uhalisia wa mazingira

    • @melkizedekikalanga3349
      @melkizedekikalanga3349 Месяц назад +1

      Tumia akili, usifananishe kitambi na mimba

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Месяц назад +2

      Wewe unajua sheria za liturugia? imani yako ni yako wengine haituhusu.

    • @sakayonsakihunga3496
      @sakayonsakihunga3496 Месяц назад

      Umekalili

  • @user-mp4yt7ps5q
    @user-mp4yt7ps5q Месяц назад +1

    Huyu mwenye upala sina imani naye

    • @RahimRaiTZA
      @RahimRaiTZA  Месяц назад

      Mjanja mjanja au ha ha

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 Месяц назад

      Kweli kabisa mwandishi mfikishie ujumbe slaa awe makini na huyo kamishina

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 Месяц назад

      Halafu kama anatumia dumba huyo anaonekana mwizi

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Месяц назад

    HAO NDO WANAOTUMIA VYEO KUJILIMBIKIZIA MALI. 😂😂😂. VIONGOZI WETU WA KITANZANIA NI MIMI, MIMI, MIMI. WENGINE WAJIJUWE.

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Месяц назад

    Wewe usileti mambo ya udini hapa

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai Месяц назад

    Azana ndo nini wewe

    • @musayosia4081
      @musayosia4081 Месяц назад

      Ni uwito kwa waislam pindi wanapotaka kufanya ibada.