NABII KAIRUKI AREJEA TANZANIA KUTOKA KENYA - ATUMA UJUMBE KWA MARTHA MWAIPAJA NATAKA DNA YA MTOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 155

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 2 дня назад +3

    Nabii alifanya usherati na haoni ni dhambi 😢 kweli Hawa watumishi wa Mungu wanatusikitisha sana bila kutubu Wala kuona haya 🙆🏾‍♀️🙆🏾‍♀️

  • @shyneafya
    @shyneafya 3 дня назад +12

    YAN KINACHONIFURAHISHA KWA KAIRUKI ANAPOSEMA MM SINA MANENO MENGI 😅😅😅 WAKATI ANAYO MENGI SANAAA😅😅😅

  • @KULKID
    @KULKID 14 часов назад

    Huyu Mtumishi Lege Lege wa Kihaya anapenda Sifa sana 🙌🏽

  • @UpendoMichael-p1z
    @UpendoMichael-p1z День назад

    Jamaniiii. Mungu awaaibishe wote wanaotumia jina LA mungu kumbe sio wa mungu. Mungu muumba wa vyote awaaibishe , awafedheheshe, awasambaratishe. Mtu wa mungu hapiganagi vita vya mwili. Na mtu akijua mtetezi wake ni mungu Huwa hajitetei mwenyewe. Mnatia aibu . Mnamdjalilisha na kumtukana mungu. Mtapata thawabu yenu nawaambia . Maana mungu Huwa hawai Wala hachelewi. Ana wakati wake wa kujibu. Mnatumia Hadi maandiko kutetea na kuficha uovu wenu
    Mungu anawaona.

  • @MadamLucy-c4x
    @MadamLucy-c4x 2 дня назад +4

    Wewe mtangazaji mshauri kwanza uyo Nabii apunguze nywele kiduku kimezidi uwiiiii jmn 🙆🙆🙆🤷🤷🤦

  • @sarahezekiel5170
    @sarahezekiel5170 3 дня назад +4

    Mungu alichungulia wanadamu,akaona wote wameoza na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.Iwe mkristo,kuhani,mwislamu,shekhe wa sala 5,tumeoza kwa matendo, mawazo na maneno yetu.Mungu aturehemu.

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 3 дня назад +3

    Bwana Yesu kristo tusamehe Baba. Haya mambo ni ya aibu sana wanalichafua kanisa, nabii ana watoto kumi na wanawake kumi tofauti, alooooo.

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 3 дня назад +2

      Kanisa ni bahari haiweki uchafu acha wawekwe hadharani

  • @esuvathmollel2475
    @esuvathmollel2475 3 дня назад +5

    Ila hawawatu wanao zihaki Dini jamani Mungu anawafichua ebu angalia huyu anavyoropoka kama kachanganyikiwa yaani mtachanganyikiwa mpaka mheshimu dini

    • @salomemtwale5370
      @salomemtwale5370 3 дня назад

      Huyu nae ana afya ya akili,na hili sqala lake anapangwa huyu wale wanaonchafua martha,ukute Lao moja na John Said

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 3 дня назад +3

    Weeeh mungu wangu uyu kichaa ametokea wapi jamani haya yote nikwa sababu yauyo Kaili Bite

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 3 дня назад +7

    Hii takataka mmeitoa wapi tena jamani😮

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 3 дня назад +5

    Mmekosa watu wa kuwahoji....mnamsikiliza mlevi😢

    • @RebecaLembe
      @RebecaLembe 2 дня назад

      Ona tuuu😂😂😂😂

    • @DismasVenance
      @DismasVenance 2 дня назад

      Waandishi nao wajinga wanatafuata TU hela.

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn 3 дня назад +6

    Aaa si kweli,umeamua kumchafua tu Martha,hata kama uliwahi kutembea nay,siyo busara kutomstili,sis apa tunachodili nacho ni Martha na familia yak,na si vinginevyo,huo ni uzushi tu,ila ni kweli hata ww umeshindwa kujistili utamstili mwingine,Mtumishi wa Mungu unazaa na wanawak 10🤔achana na Martha,Mungu anampigania,hii vita atashinda tu

  • @josephineatieno8713
    @josephineatieno8713 3 дня назад +1

    Maajabuuu!!

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 2 дня назад +1

    Yani kipo km mwanamke uwiiiiii watumishi Wa mungu kwann msiseme mazuri ya Martha,kweli walokole wana chuki sn,aijui mnasali nn,aibu

    • @peter23mapunda79
      @peter23mapunda79 2 дня назад

      Sasa nyinyi mtu amemkataa mama yake mnatetea nini sasa

  • @brainyieldschools
    @brainyieldschools День назад

    Ukinifollow nakufollow😅😅

  • @shyneafya
    @shyneafya 3 дня назад +3

    Af mwandishi kiboko una maswali ya kumkalisha Kairuki kila akikuaga huelewi😅😅😅😅

    • @misskiama8156
      @misskiama8156 День назад

      😂😂😂😂😂

    • @shyneafya
      @shyneafya День назад

      @misskiama8156 😁😁😁🙌🙌

  • @sifaortence
    @sifaortence 2 дня назад

    Hiki ndo mama Martha angekiwaza kabla yakumuweka mwanae kwenye media haijalishi mazaifu yake maana yule ni mzazi nakusamee wazazi Mungu alitubariki icho kwa watoto wetu.Angemuachia tu Mungu nakuomba basi.Ila media ilienda kuaribu zaidi

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 День назад

    Suleiman alipendwa na mungu licha ya maisha ya wanawake 300 mungu alimpa hekima na Mali ya dunia. Tusi msimhukumu ako wazi hafichi lolote .

  • @bakariWahida
    @bakariWahida 3 дня назад +4

    Watoto 10 na wanawake 10 huyo ni mchungaji kweli

  • @WalterkunduBarasa
    @WalterkunduBarasa 3 дня назад +2

    Hii takataka mumeidoa kwa shimo gan imeyoa kama kuku jogoo na nime ona ukweli ni kuku kwasababu wanawake kumi na watoto kumi wachana na Mather kabisa please.

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 3 дня назад +1

    Anatafuta umaarufu lakini bahati mbaya haya Fact, porojo tuu, hajajipanga, speech zake hazina mvuto nk

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 День назад

    Afichaye thambi hataokolewa huyu mchungaji ako sawa, amefanya thambi lakini hajaficha kitu chochote .

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 День назад

    Mwacheni akapime DNA kwani Kuna tatizo gani

  • @AngelAfric
    @AngelAfric День назад

    Alafu huyu sijui kama Huwa Yuko sawa anapendaga kiki Sana tangu e

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 3 дня назад +2

    Kailuki unajidharirisha sana na ynajivunjia hadhi yako,Martha wamsingiz8e mengine yote tunaweza kuyatafakari kwa jicho la 3,labda yana ukweli,ila hili la kwako ni uongo moja kwa moja usio na maswali

    • @salomepangani7969
      @salomepangani7969 3 дня назад

      😂wanamsokomeza😂😂😂😂

    • @misskiama8156
      @misskiama8156 День назад

      ​@salomepangani7969 mimi la kwangu ni kuzisoma commenti zenu zina😂😂😂😂

  • @sinaidahamagove
    @sinaidahamagove 3 дня назад +2

    Huyu nae martha kaokota wapi jamani...mwanaume kidomo utadhani chiriku😂..hata feature hana jamani

  • @PiusNgugi-bm3yp
    @PiusNgugi-bm3yp 3 дня назад

    Amenyoa (ndenge)leviticus 19;27

  • @aminajuma34
    @aminajuma34 3 дня назад +1

    Km freemason si sio frmmn ni yy ni maisha yake wewe kuwa na imani huyu sio mungu ni mtu kama nyinyi

  • @MagrethThomas-f4o
    @MagrethThomas-f4o 2 дня назад

    Dada Mather nae anachangamoto nyingi jamani hivi akilala anapata usingizi kweli?

  • @peterntandu1919
    @peterntandu1919 3 дня назад +3

    Mambo mengine sio umaarufu ila ni ushetani mtupu... Mimi najisikia aibu Kwa huyukairuki duuh UKRISTO UNADHALILISHWA.

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa 3 дня назад +1

    Jamani mwacheni mtoto wawatu kaaa sasa kama ni mtumishi ulikuwa wapi mwazo na kwanini iwe mitandaon

  • @CyprianNyakundi-m8d
    @CyprianNyakundi-m8d 3 дня назад +1

    Kairuki ako sawa kabisa DNA ndio msema ukweli na swali langu ni Martha mweametulia ataweza jibu hilo swali kweli

  • @juliusakello3421
    @juliusakello3421 3 дня назад +2

    Ingia chumbani ukameza Arvs wacha kujinyonga

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 2 дня назад

    Watoto 10 iko kazi

  • @WalterkunduBarasa
    @WalterkunduBarasa 3 дня назад +1

    Hii ni takataka kweli na mungu ashuke 2

  • @syliviamurondoro4690
    @syliviamurondoro4690 2 дня назад

    Jamani msimtharau mtu siyo vizuri maana kila mtu ameumbwa na MUNGU.

  • @JustaSimon-m1p
    @JustaSimon-m1p 3 дня назад +1

    Hata wew ni malaya tu uliwezaja kufanya zinaa na wewe ni mtumishi wangu acheni mambo yenu ya kipuuzi mnaziririsha kanisa acheni upumbavu wenu

  • @philemonmwanjilwa20
    @philemonmwanjilwa20 3 дня назад +11

    Hana lolote huyu. Nabii hawaongei sana. Hawana muda wa kidomodomo. Most of their time, they spent with God. Praying and listening to God. Huyu wazimu. Kumchafulia Martha jina

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q 3 дня назад +2

      Kabisa hakuna nabii muongeaji hivyo kiasi hiki. Alaaaaaaa

    • @JekobuNgwara
      @JekobuNgwara 2 дня назад

      nanyinyi wamama mmeziea kuonjaonja mukieda kwenyemikutano yoyote mnapenda kukumbatiwa hoyvo

    • @JemaMdendemi
      @JemaMdendemi День назад +1

      Nabii wapi wewe,😅😅muulize kwa bibi Mery wanapika pipa ngap za pombe😅😅

    • @philemonmwanjilwa20
      @philemonmwanjilwa20 День назад +1

      @@JemaMdendemi 😂😂😂

  • @BoydMutaba
    @BoydMutaba 2 дня назад

    Uyo kaeruc nimulevi au,muchungaji kweli,au,.niwalewale matapeli

  • @JeniferMeena
    @JeniferMeena 2 дня назад

    Nywele kama kiota Cha ndege kwendaaa

  • @JemaMdendemi
    @JemaMdendemi День назад

    😅😅😅 wewe acha uwongo dna 😅ata ela ya kipimo cha malaria hana😅😅

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 3 дня назад +2

    Nabii kazaa bila ya kuoa

  • @ZaujiaAbdul
    @ZaujiaAbdul 2 дня назад

    Acha uzalilishaji we nabii

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 2 дня назад

    Huyu tapeli,nimeamini maandiko:watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa,hivi kweli waumini wa huyu tapeli,mnamsikia nabii wenu

  • @Marryjohn-t2s
    @Marryjohn-t2s 2 дня назад

    Yani wewe sijui nabii Gani ila wauogo watatokea wengi sana

  • @christinamsoka
    @christinamsoka День назад

    Hata km Martha kakosea jamani sio kumpkaa matope hivi ...Martha anapitia magumu akisikia mambo ya aibu km haya ya ujinga.

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 3 дня назад +1

    Busara akanyamaza tuu, naona kama kachoka hivi,

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 3 дня назад +2

    Kaka haufanani na gudluck wetu wala.

  • @peter23mapunda79
    @peter23mapunda79 2 дня назад

    Sasa nyinyi mtu amemkataa mama yake alafu mnatetea nin

  • @DismasVenance
    @DismasVenance 2 дня назад

    Kairukii ni bangi tuu zinamsumbua

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 3 дня назад +2

    Kariuki jamani 🤣🤣🤣🤣

  • @HaznaLuhanjo
    @HaznaLuhanjo 22 часа назад

    Mtetesi wako hatetei wazinzi shenzi wew 😂

  • @Purity-zl4wt
    @Purity-zl4wt 2 дня назад +1

    Huyu kanywa beer kapoteza fahamu

  • @BoydMutaba
    @BoydMutaba 2 дня назад

    Acheni ,upuzi ,mnataka, kk

  • @JemaMdendemi
    @JemaMdendemi День назад

    Alfad ya mafi😅😅😅

  • @RoseKillian-b8k
    @RoseKillian-b8k 2 дня назад

    Huyu ni mchungaji kweli, mbona achafue msichana wa watu hivi, acha kudhalilsha wanawake

  • @doreenkissia
    @doreenkissia 2 дня назад

    Sasa kama Martha ndio anaweza kuthibitisha sasa sisi huku yanatuhusu nini? Unatuletea sisi huku ili iweje?

  • @capatinaugustingatari
    @capatinaugustingatari 2 дня назад

    Hivi Keli huyu hajalewa kweli?

  • @gracekahunda
    @gracekahunda 3 дня назад +1

    Huyu hana akili kumbe!! Nlidhan ni mtu wa maana kumbe hata ni chizi huyu....mshenzi

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 3 дня назад

    Huyu ndiyo anajifanya alitabiri kifo cha TB Joshua,hivi mnaamini hicho kitu,hivi uyu chizi anaweza akatabiri kifo cha nabii mkubwa TB Joshua, wakati TB Joshua alitabiri mwenyewe kifo chake,had alisema asherehekee birthday yake maana baada ya hapo anaweza asiwepo

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa 3 дня назад

    Wakati umeokoka ulifanya uzinzi wa kuzaa, maana ulikuwa umekuwa mtumishi ilikuwaje mtumishi ila hii ni aibu mtumishi bora ungenyqmqza

    • @frickchristina6175
      @frickchristina6175 3 дня назад

      Martha nae kaokoka huku na kule analala wa watoto wakike
      .dunia imejaa unajisi...wamechafua injili

  • @nancymonyangi7861
    @nancymonyangi7861 3 дня назад +2

    Huyo nabii amenyoa aje halafu yeye ni nabii mwasherati hafai kuwa mtumishi wa Mungu

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 2 дня назад

    Na wewe mdada ulie jiweka mikono shingoni unae tuandikia upumbavu wako hapa haya kuhusu unasema Nabii hana lolote mwana mama gani ambae huna hata huluma au hauna watoto

  • @Peace-x6s
    @Peace-x6s 3 дня назад

    Kenya tu hapo unachokaje hivi😂

  • @NdayiTitia
    @NdayiTitia 3 дня назад +1

    Hata sijui kwa nini na cheka

    • @PascalWankyo-c1v
      @PascalWankyo-c1v 2 дня назад

      😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephifanda5626
    @josephifanda5626 3 дня назад

    Hamnakitu hapa

  • @dinaetabo1706
    @dinaetabo1706 День назад

    Uyo mtumishi mbona anafanana mlevi?

  • @JeniferMeena
    @JeniferMeena 2 дня назад

    Nyie watangazaj muache huyo baba Si mtamuua kwenyemahojiano hamuoni afya yake

  • @FridaMatanila
    @FridaMatanila 3 дня назад +1

    Tapeli wa dini huyu tabia mbaya sana na kutaka aifa yaani ndo unaonesha ulivyo mzinifu

  • @doreenkissia
    @doreenkissia 2 дня назад

    Huna hata aibu.
    Unatelekeza mtoto halafu unakuja on tv kumdhalikisha mwanamme? Huna adabu kabisa

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 3 дня назад

    Uyu baba ana akili anasema ukweli

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 3 дня назад

    Swali langu ni hili, Nabii ulizaaje na martha kabla hajafunga ndoa. Nakuuliza hivyo kwa kuwa ni nabiii.

  • @evanssomba
    @evanssomba 3 дня назад

    Mwogo kabisa

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu 3 дня назад

    We mwizi laaana mkubwa eti nbii sura mbaya kama tako la nyani

  • @aminajuma34
    @aminajuma34 3 дня назад

    Watu ni wa gum kuelewa mwenzenu kasema mpaka akafanye DNA mueleweni kwani nyinyi ni wakamilifu Kila mtu anachepuka

  • @ApostleElisha-u2m
    @ApostleElisha-u2m 3 дня назад

    YAAN WAROKORE MHHH?

  • @JustaSimon-m1p
    @JustaSimon-m1p 3 дня назад

    Muacheni msimhukumu Mungu ndo atahukumu

  • @Mamasdaughter-pv5do
    @Mamasdaughter-pv5do 2 дня назад

    Ambia uyu poster awache kiherehere ako n jaba sana kwani nani alimwambia mtoi n wake wanawake sisi ndio tunajua baba ya watoto wetu koma wewe jinga

  • @gracekahunda
    @gracekahunda 3 дня назад +1

    Hata ile ctory ya Kanumba alidanganya huyu....

    • @JemaMdendemi
      @JemaMdendemi День назад

      Mwongo tuu uyo,pombe zinamchanganye tena zile za kienyej kwa bib mery😅

  • @SammyLaizer-s9u
    @SammyLaizer-s9u 3 дня назад

    Mungu gani unaye msalilisha hivyo

  • @cyprian497
    @cyprian497 3 дня назад

    Ndo maana ukiristo umekuwa ni jambo la ajabu

  • @PaschalJohn-e4l
    @PaschalJohn-e4l 3 дня назад

    Kiduku hiyoooooooooooooooo

  • @elizabethkituku7761
    @elizabethkituku7761 3 дня назад

    Hapo Kwa Ruto atukubaliani na wewe kabisaaaa, Kenya twazama jameni

  • @petergichanga3380
    @petergichanga3380 3 дня назад

    Hapo kwa Ruto nimekataa kabisa!!!

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 3 дня назад +1

    Nabii wewe nina mashaka nawe kama wito wako ni wa Mungu kweli siamini, labda bado uko freemason bilashaka

  • @naomingese2435
    @naomingese2435 День назад

    Sasa mnatuletea mtandaoni mambo yenu si yanatuhusu nini? Au na wewe unamtafuta kiki

  • @PamelaHezron
    @PamelaHezron 3 дня назад

    Mbona kama mtambo huyu.

  • @apostleogunaministries3846
    @apostleogunaministries3846 6 часов назад

    Huyu ni nabii ao mganga, mtu mlevi na anaongea hata bila hekima, watu na waumini wanaomtegemea kama baba yao wa imani wamepotea, ni kama vile huyu mjinga wa kenya anaitwa Fake apostle nganga anaita watu ngombe

  • @EzekiaYamawasa
    @EzekiaYamawasa 2 дня назад

    Mpuuzi tu huyu

  • @MaryNjoka-i3t
    @MaryNjoka-i3t 3 дня назад

    Hata kama Martha amekosea,ss tumekataa hili Huyu ni mtumishi wa wapi,Mbona watu wanalitaja njina la yesu ovyo??

  • @jullientministries8351
    @jullientministries8351 3 дня назад +1

    Hapo kwa kusema ruto anaiendesha kenya salama sikubalianinawe mtumishi

  • @LowassaMollel-s9w
    @LowassaMollel-s9w 3 дня назад

    Umetumwa na shetani

  • @JustaSimon-m1p
    @JustaSimon-m1p 3 дня назад +3

    Wewe ni mzinzi tyu

  • @AmynerNeph
    @AmynerNeph 3 дня назад

    Mnatia aibuuu kabissa

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 3 дня назад

    Nilitaka kumwamini kwa sasa hapana

  • @GetrudaMwakipesile
    @GetrudaMwakipesile 3 дня назад

    Anataka umaarufu kupitia mathar huyu ni wakala wa kuzimu hakuna nabii mpumbavu kama huyu

  • @ApostleElisha-u2m
    @ApostleElisha-u2m 3 дня назад

    AMTOKQ KENYA ILI AJE AMCHAFUE TU MARTHA?

  • @JohariMwanda
    @JohariMwanda 3 дня назад

    Bange

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 3 дня назад

    Ukute aliolewa na mimba.Matha.nawaza kweli dunian kuna vita kubwa.au Matha kakosea.masharti mbona madudu haya.heeeee Daudi anasema maadamu Bwana.atanisitiri heman.siku ya mabaya.yangu.heeee.Matha.siku y'ako ya mabaya.hii apa kila.kazi ya mtu itapimwa da nifundisho.hili kubwa sana tumejifunza

  • @CatySungula
    @CatySungula 3 дня назад

    Mather ana mtoto mmoja wa mume wake wa ndoa. Hana mtoto mwingine na wewe.