From Sweden nabarikiwa sana na hekima za Mtumishi wa Mungu GeoDavid Tanzania yote Mungu amewapa mtumishi wa maana sana Ila mtaelewa Baadaye nawaombea isiwe too late Huyu ni zaidi ya viongozi wote ambao mko nao
❤🙌♥️veel zegen profeet ✨️💫✨️💕✨️💫ik heb zoooo veel goeds over u gehoord van apostel k⚘️thryn😊ik ben zoooo dankbaar voor julie ❤prijs jezus vanuit belgie ❤❤❤halleluja amen
Nabii wa mataifa 🙏🏻🙏🏻MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANA NABII MKUU
From Sweden nabarikiwa sana na hekima za Mtumishi wa Mungu GeoDavid
Tanzania yote Mungu amewapa mtumishi wa maana sana
Ila mtaelewa Baadaye nawaombea isiwe too late
Huyu ni zaidi ya viongozi wote ambao mko nao
Wa Mombasa Kenya 🇰🇪 kupitia online nabarikiwa Sana my prophet geodavie popote ulipo ubarikiwe Sana 🙏🤝
very smart man with great IQ, power and wisdom.. Ishi sana Mh.Nabii mkuu
Hapendi unafiki majungu wala yasemayo hamchmichomi shindwa tunakupenda Baba yetu George Davie mungu hakutunze tunakuhitaji
Love you my Spiritual Father Senior Prophet GeorDavie Balozi wa Amani. ❤
Nabii Wa Mataifa Kenya We Love You Daddy
Hongera sana kwa utumishi wa muda mrefu tunajifunza mengi
Ongera sana baba -niko Mozambique
❤🙌♥️veel zegen profeet ✨️💫✨️💕✨️💫ik heb zoooo veel goeds over u gehoord van apostel k⚘️thryn😊ik ben zoooo dankbaar voor julie ❤prijs jezus vanuit belgie ❤❤❤halleluja amen
Nabii wetu mwaminifu anapinya nawapenda unafiki🎉🎉🎉🎉❤❤👌👌👌🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kweli Daddy Kuhusu masomo ya mafanikio ninajifunza kila siku kutoka kwako kocha wangu na Nina yafanyia kazi,
Asante kwa Hekima na Busara🙏🙏
👏👏👏👏master
From Sweden we love you Papa🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪❤️
Hekima zaidi MUNGU ni Mwema sana
I envy you our strong 💪 daddy The Grand Prophet H.E Dr. GeorDavie
Nabii mkuu Bwana Yesu asifiwe hongera kwa kazi nzuri naomba nisaidie hela Nina maisha. Magumu
Karibu sana Sweden
Faza..... 🎉very humble
Uyi anaye uliza maswali yuko smart saaana akika
Yaaah very true
saantee sanaaa baba nabii kw maneno masurii
Hapo umeongea kama mzee pongezi kwako
Baba Unajua Sana ase ❤❤❤
Waoo, akili kubwa🎉
Ameen🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kabisa
1Sam19:24 Pia NGUVU iliyo ndani ya Nabii Mkuu ilimfanya Sauli kufanya asiyotegemewa kufanya
❤❤❤❤
Uko sahii mtu wa MUNGU
❤❤❤❤🎉🎉🎉✝️🇧🇮🇰🇪
Hii imeenda uchoki kumzikiliza hekima hii Kwa mtumishi wa MUNGU hapo Tz Maisha Ni fumbo kilamtu ambambanue lake iwe kwenye uhalisia 😅
😂😂😂 Maisha ni Fumbo hii ni kweli kabisaaa kila mmoja apambane .
Kweli kabisa baba unaongea kwa hekima
LABDA WEWE NDO AKUFUNDISHE. WE MWEHU NINI?.