Yes yes yes. Hii ndiyo injili ya kweli. Mtumishi sikufahamu Ila hii ndiyo habari njema iletayo wokovu. Aaminiye ataokoka na asiyeamini amekwisha hukumiwa.
Ninacho mshukuru Mungu ni mwena wapo watumishi ninyi mnaohubiri injili ya kweli na ya wokovu na kanisa za mfano ni vielelezo kwa wakristo. Makanisa ya wokovu ya kipentekoste ya zamani yamekengeuka kabisa hakuna maadili kabisa yapo kidunia na wanaookoka Sasa hivi wanaamini kuwa huu ndiyo wokovu kumbe wanapotoshwa.
Nikweli mtumishi sikuzi mambo yamebadilika niwachache anaotowa ujumbe kama huhu ubarikiwe mtumishi sema kweli uwaelimishe watu Wana angamiya kwaku lose Mali fa mtumishi umendingusa moyo to wangu amina
Kweli kabisa Yani sasaiv Kanisa limekua maigizo yn watu tumeligeuza Kanisa kua nyumba za uzinzi mabinti wengi wanabeba mimba wakiwa ndani ya Kanisa na wanao wabebesha mimba ni vijana wakiume walio apo apo kanisani,
Ee mwenyezi mungu naomba uturehem bwana kwani ss tusio na imani tulio hama dini zetu za wazazi tukaona tuingie kanisani tu mtafute yesu ila sasa unajiuliza hv kweli nilipokuja ni sahii kweli mbona kama nimepotea kutokana na matendo ya waumini unao waona emungu nitetee bwana
Kwer kabsa baba yani umesema kwerii kabsa na mbadilike waimbaji8 MUNGU sio wa mizaa zaaaa tumuitaji MUNGU wa kwer mnapofanya huduma mazabauni badilikeni ninyi kwanza mbn mnamzaaa na MUNGU waimbaji
Kuna muimbaji alikua kuimba sehemu kasketi aliko Vaa kamembana kamemchora maumbile yake vimakalio vimejichora aibu tuliona sisi MUNGU atusaidie... Wana andiko lao wanao jikingia MUNGU ana angalia moyo
KWA NINI MNAHANGAIKA NA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA DINI?. HAO NI WAFANYABIASHARA TUU KUPITIA NYIMBO ZA DINI. HAINA MAANA WAKIIMBA ETI WANAMWIMBIA MUNGU. HAO WANAIMBIA WATU ILI WAPATE KUAWAPA PESA.
Ukitazama albam ya kwanza ya Shusho, Martha, Bukuku na Rose Muhando ukalinganisha na albam zao za baadaye utajua kwamba hawa dada zetu wamechochora siku nyingi. Leo nyimbo zao ni mipasho na ushereheshaji ndiyo maana zinapigwa baa. Yesu muda wowote atanyakua kanisa kwanini tufichane wapendwa.
Yes yes yes.
Hii ndiyo injili ya kweli. Mtumishi sikufahamu Ila hii ndiyo habari njema iletayo wokovu.
Aaminiye ataokoka na asiyeamini amekwisha hukumiwa.
Amen amen
Sijawai kusikia wimbo wowote wa marehem Fanuel Sedekia unapigwa bar au disco
Hallelujah hallelujah 🙏 Sema tupone🙌
Mungu akubariki sn Mtumishi wa Mungu hii ndy inijli ya Yesu Kristo Bwana
Wakristo wakijua kile Yesu Kristo alipitia kutukomboa,alipigwa Yesu Hadi akaharibika sura, jameni tuache mzaha Kwa wokovu.
Kwakweli naumia sana MUNGU atuhulumie tu😭😭
Duh! Aiseee!🏃🏃mimi namkimbilia MUNGU hizi ni nyakati za hatari sana, si kitu cha mchezo, mtumishi Naomba usibadilike kama wengine😭
Amen amen amen unanifariji baba
Amina mtumishi nakufatilia niko zanzibar
Baba mungu akubariki sana
MUNGU atuhulumie ndugu zangu tupo katika nyakati mbaya sana niwakati wakutengeneza wapendwa😭😭😭😭
Injili ya kweli.keep it up.
Sema tena mchungaji anaenda Jim kutengeneza misuli Mungu tusaidie
Mungu akubariki mchungaji . Sema kweli tupone. Hii ni injili yakweli .
Amenn
Amen ubarikiwe mutumishi nikija Tanzania nitaritafuta hilo kanisa,
@@BiraronderwaAlbatros karibu sana
mungu akupe maisha malefu uendelee kuitangaza injili ya kweli
Amen amen
Amen
😅😅😅😅😅 ni kweli tumehalibika sana twavaa vibaya tupo na.mishetani tu nyimbo za ajabu
Huzuni Sana .Bwana lisaidie Manisa lako
Amina mtumishi sema tupone baba
Ubarikiwe mch, waimbaji wabadilike wamtafute Yesu kristo
Mungu tusamehe kabisa
Amina ubarikiwe sanaa mchungaji
Ukweri kbs ubarikiwe sana
Aminaaa
Usihukumu hata nyie wachungaji mnamadudu mengi...fundisheni neo sio kukashifu.🎉😊
Ninacho mshukuru Mungu ni mwena wapo watumishi ninyi mnaohubiri injili ya kweli na ya wokovu na kanisa za mfano ni vielelezo kwa wakristo. Makanisa ya wokovu ya kipentekoste ya zamani yamekengeuka kabisa hakuna maadili kabisa yapo kidunia na wanaookoka Sasa hivi wanaamini kuwa huu ndiyo wokovu kumbe wanapotoshwa.
Chombo cha sifa cha kumfaa Bwana. Mungu akulinde na kukutunza kwa ajili ya utukufu wake.
Amen
Nikweli mtumishi sikuzi mambo yamebadilika niwachache anaotowa ujumbe kama huhu ubarikiwe mtumishi sema kweli uwaelimishe watu Wana angamiya kwaku lose Mali fa mtumishi umendingusa moyo to wangu amina
Amen mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
Ameni tunamtaka yesu ubalikiwe mtumishi wa kweli inayotuweka hulu
Yesu atusaidie
Amina umesema ukweli...Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Ukweli usemwe keep it up mtu wa Mungu
Amina mtumishi,
Kweli ituweke huru
Amen barikiwa sana
Is true pastor
Kweli kabisa Yani sasaiv Kanisa limekua maigizo yn watu tumeligeuza Kanisa kua nyumba za uzinzi mabinti wengi wanabeba mimba wakiwa ndani ya Kanisa na wanao wabebesha mimba ni vijana wakiume walio apo apo kanisani,
Aise inaumiza sana kwa hali ya kanisa lilipofikia EE ROHO MTAKATIFU tusaidie maana wewe ndiyo mhimili wa kanisa
Sema Baba
Tumtazame yesu tu.Ukitazama pembeni umekwisha.Mungu atusaidie sana ,waimbaji hawa wote walianza vizuri sana lakini wanakoelekea Mungu atusaidie.
Sema kwel kabisa Mtumishi watu hawataki kusikia mahubili kama haya sisi tunao ikubali injili hii lazima tubadilike ili twende Mbinguni
Kaza mwendo mtumishi
Hili kanisa lipo wapi Hapo nyumbani Tanzania?.
Wachungaji ndo mmepotea mara mia moja plus sio waimbaji tu
Mungu tusaidiye sisi
MUNGU tusaidie sana kanisa lako
Aminaaa baba
Amen I received
Kwa kweli Mungu atuponye ni aibu sana
Amen
Mwaipaya huyo😢😢
❤❤❤❤umeongea ukweli mtupu alafu magembe sijui kwanini wamemtoa kanisani nawakati anahubiri injili iliyo hai
Hawajamtoa kaongozwa na Mungu kutoka ili akatimize kusudi la Yesu
Ee mwenyezi mungu naomba uturehem bwana kwani ss tusio na imani tulio hama dini zetu za wazazi tukaona tuingie kanisani tu mtafute yesu ila sasa unajiuliza hv kweli nilipokuja ni sahii kweli mbona kama nimepotea kutokana na matendo ya waumini unao waona emungu nitetee bwana
Kweli ni nyakati za mwishooo hz😢
Huzuni kwa kweli
Huzuni
Hakika umeongea ukweli
Hiyo ndiyo inaitwa injili isiyo ghohoshiwa
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Truth huruma sana 😢😢😢Hukumu inakuja soon inaanzia huku makanisani 1petro 4:17
Mungu anisaidie mimi kubadilika kabisa
Hawana tofauti nakuleta kahaba madhabahuni
Kwer kabsa baba yani umesema kwerii kabsa na mbadilike waimbaji8 MUNGU sio wa mizaa zaaaa tumuitaji MUNGU wa kwer mnapofanya huduma mazabauni badilikeni ninyi kwanza mbn mnamzaaa na MUNGU waimbaji
Piga Injili mtu wa Mungu Obedi
Huyu ndio musem kweli haogopi chochote
Ipo siku hao waimbaji watavuna Wanacho kipanda wakumbuke mungu aziakiwi
It is true
Muñgu atusamehee
Piga panapo uma, ili wakiumia leo kesho hawataumia tena !!
AMINAAAA
Kuna muimbaji alikua kuimba sehemu kasketi aliko Vaa kamembana kamemchora maumbile yake vimakalio vimejichora aibu tuliona sisi MUNGU atusaidie... Wana andiko lao wanao jikingia MUNGU ana angalia moyo
Nimecheka sana ulivyosema sket
Ameen
Look to Jesus
MUNGU aturehemu
I need the truth
Yes
KWA NINI MNAHANGAIKA NA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA DINI?. HAO NI WAFANYABIASHARA TUU KUPITIA NYIMBO ZA DINI. HAINA MAANA WAKIIMBA ETI WANAMWIMBIA MUNGU. HAO WANAIMBIA WATU ILI WAPATE KUAWAPA PESA.
Vipi bahasha za wachungaji.achen kuhukumu hata wachungai wafanyabiashara.hata huyu anapokea sadaka na anakula😂😂😂
Ufalme ukifitinika uwezi kusimama,wacha kuongea vibaya kwa wa kristo na wewe ni mkristo
Bibilia msitu mnene wewe umepotelea humo humo soma wagalatia 6:7
Izi ndio injili tunazotaka kusikia
Ameni
Tuleeteen full video
Video full ipo hapo juu