Nay Wamitego - Happy Day (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Stream/Download: vyd.co/NayWaMi...
Video Director: director kilonzo
Sound by Gach B
Mixing by themixkiller_
Listen to Nay Wa Mitego on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music:
/ nay-wa-mitego
Boomplay:www.boomplay.c....
RUclips:
/ @naywamiteg
Spotify:open.spotify.c....
Ney wamitego tafuta sam spibes tv mfanye collabo u make same kind of music .mya unda hit.love your music.happy day
Ney wa mitego ni moto wa kuotea mbali naamini huu wimbo itaenda kuwa ngoma Kali wa mwisho wa mwaka kama unaamini gonga like twende sawa
sure... ametugusa wapambanaji wa kitaa
Kidogo unaanzaa kumjua mungu nmeipenda
President 🔥
Ney bro dua wetu kwa Allah one day ndoto zako zitimie uwe bungeni
Wueh! Ni fire Mr true boy. Come Kenya upige show bana
Raid wa kitaa
Kanda yetu tunaishi nayo hii
Much love kaka🎉🎉❤❤
Alipo nanga na mimi nipo😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Huyu ndio mtu wa vibe sasa keep going safe Mr. Nay wamitego ❤︎🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ unyama sana
Safi sana👌🏽
🎉🎉🎉🎉 asante baba for the happy day🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙌🙌🤭🤭🤭🤭
Nay nakubali kwaiy song 🎵
Raisi wa kitaa nakuelewa sana mwamba❤❤❤
Love from KENYAAAAAA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kuiona siku ni utajiri tosha... Aminia rais wetu
Jamani hii nyimbo imegusa maishayangu ety
Asante Baba for the Happy day🙏
Woo ow hongera blood nyimbo kali mwamba wa kitaa cha Tanzania ila leo nimemisi kuwa wa kwanza ku like na ku comment ila nipeni tu like zangu
Mungu katutunuku furaha ni utajiri tosha
Watoto wamungu tunachelea kula ila tunakula nipeni linke ngoma kali san❤❤❤🎉
Huyu jamaa anaelewa nn maana ya mziki🔥
Duh zuchu ni mbunifu sana napnda unavyo imba umechangamkq sana zuchu ❤❤🎉🎉 ❤🙌
Asante.. "BABA"..HIT SO HARD..🙌🏿🙏🏿
Respect🎉🎉
True boy..wimbo mukali
Ngoma kali ya kufungia mwaka no hii happy day🎉🎉
PRESIDENT 🙌🙌🎧🇹🇿
Nay haya ndy mangoma sasa🔥🔥🔥
Salute kaka upon sawa mashallah 🥰
Happy day with nay wa mitego napenda sana hii jana from Kenya 🇰🇪 tz 🇹🇿 wapi like hapa zote🎉🎉
Asante baba! Kuishi ni baraka!
Goma la wananchi, vibe kibao! Buku kama million!
Thank you Street president!
Goma la wananchi wote hilo. Twende nalo
Ngoma kali tunafunga nayo mwaka safi kabisa 👍🤛✌️❤❤
Mwamba ❤❤❤
Nakukubali sana Broo unaweza sana
Ney juu sana🎉🎉
Kwa hili goma nay naomba tukutane manzese upate zako tatu saaafi kabsaaa🎉🎉🎉
wewe rais wa manzese unajua sana nakupa pafect 🌻
🎉🎉🎉🎉🎉ngoma kari sisi watoto wa mungu
Rais wa kitaa 🔥🔥🔥🙌🏾 🙌🏾
Kwel kaka ngoma yetu Ii lazm iende viral
Acha usenge dogo, acha ujanja ujanja utapotea! Usiimbe wimbo mwnyw alaf unatafuta ma video ya nyimbo nyingne unaunganisha unganisha! Kwanza wimbo ulioimba na watu wanachocheza ni vitu viwili tofauti! Acha bangi zitakuponza
Unapelekewa moto sio bure
Sana Brother kaka mkubwa
Hongera Sana nay 💯🖐️💥
Hii ngoma ni hatariiii, saafii saana Baba yaga 🎉🎉🎉
Ngoma kali vibaya mnoooooo
Wa pili leo nipo happy nipe like 5 tu *333#
Hii kali
Kama godrov msafala gari kumi million tano
Watu mnapenda like kulikoa hata kulike kazi hii kazi nzriii ney keep it
❤❤❤unyama
Imeenda..iyi..❤
Mupaka..Congo🇨🇩🇨🇩
Mziki mzuri
Hatari 🔥🔥
Raiz.wa.kitaa.kwenye.ubora..❤❤❤
Trueboy salute🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kweli Mr Nay Wamitego
Kuishi ni Baraka ❤❤
ni utajili tosha kuiona siku🔥🔥
Hongera rais ney wa mitengo
mambo iko uku wakuu
Ney nakukubali!!
Happy day indeed,thanks to the most high 🙏🇰🇪
Same to you!
@NayWaMiteg thanks for replying to my comment brother..have been your big fan tangu enzi ya itafahamika..naupenda mziki wako siku zote...
Nakubar ney ✌🏾🇹🇿
Respect to nay wamitego song of the year ❤❤❤❤ tuna funga mwaka nauyu muziki🤫🤫🤫
Sisi watoto wa Mungu tunachelewa kula lakini hatulali na njaa🔥🔥🔥💣💣
Nyinyi wote ati likes likes,hivi ni ninyi mumetunga huu wimbo kweli? Jirekebisheni bwana!! Munazingua
AWOTEEEEEEEEEEEEEEE kubwa kinoma papapaa
Kazi imetulia big up
Nay ...Msanii anayejua kile anaimba.
Uyu jama do anaye tuma Na imba namimi
Pamoja sana Ney,huu ndio uhalisia wetu tunavyo isha kikubwa kwetu furahaa
Nice song kbx Happy day🎉🎉🎉
May God bless you nay sir I really like your energy and songs
You made it
Happy day kwako yyt Mpambanaji
Nakukubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nimekua wa kwanza nipeni like zangu jamaniii
Goma kalii
Mr nay msani mkubwa tz na dunia mzima rais sema tena na nakujia colabo na wewe kaka ni wadron music kutoka kenya
Happy day president
All the way from kenya show some love🥳🥳🥳piga like kaa wamkubali Mr Ney
Tunaidaka hewani🎉🎉🎉
Mzuuuuuuka🔥🔥🔥🔥🔥🙏🤝🔥
Achia ngoma🎉
NAMKUBALI kinyama nyama saaaa
Noma sana Nay🎉
Ney wa mitego mu Congo 🇨🇩🔥
Life Is To Short Raha Jipe Mwenyew❤🎉✊🔥🔥🔥🔥
Nay hatoi ngoma anatoa HIT
Street President Nay wa Mitego 🫡
Dj yussuph wakwanza katavi
nipeni like zangu 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana rais wa kitaa naye wa mitego shukrani sana nakupata kutoka nchini Msumbiji 🇲🇿🇲🇿
Wasumbiji mnakielewa Kiswahili haswa noma sana
Ukijua unachonikifanyaa rahaa saana jaman brooo love saana maana unatusemeaa
Hit song mkali wa mtaa by dj bahati drc🎉🎉
kazi nzuri MR NAY WAMITEGO KEEP IT UPFROM KENYA MASSIVE RESPECT
Mnajua mondi alitolewa jukwaani na pozze kweli
Wakwanza nipeni like zangu jamaniii
Kula, like Huna baya 😂
Tukikupa like unaenda kupelek wap😅
Kumwagilia Moyo sio Ujinga huo ndio Ukwl Na Watoto wa Mungu Tunachelewa kula lakin hatulali na Njaa duuuuh kbx Warundi gonga Like kwng
Tangu huyu chali aende ughaibuni alirudi akiwa mtoto..mad vibes from 🇰🇪
Je vais déjà je suis là