A.I.C CHANGOMBE VIJANA CHOIR - KWA MACHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 277

  • @batistamngullu9235
    @batistamngullu9235 11 месяцев назад +13

    Mimi naangalia leo 2024 Mwenyezi Mungu awabariki sana waimbaji hawa 😇😇

  • @promisejoel1909
    @promisejoel1909 6 лет назад +78

    Aliyeguswa na nyimbo hii agonge like Yake hapa

  • @christinaanatory1962
    @christinaanatory1962 11 месяцев назад +10

    Mimi nabarikiwa Leo 2024 ❤❤❤❤❤🎉

  • @geraniz3046
    @geraniz3046 11 лет назад +9

    Ni ukweli mutupu! Kama hauongozwe na Yesu, nguvu za giza zikuzunguka na zunakuangamiza, lakini kama uko na Yesu, nguvu za giza hazigusogelee, macho yako, amabae anaongizwa na Yesu, anaziona hapo hapo, na zinashindwa! Jamani tumupe Yesu nafasi zetu tufurahi maishani hapa duniani nna Mbinguni tunaenda kabisa! Amen

  • @mariamhumphrey4622
    @mariamhumphrey4622 3 года назад +8

    2022.. Bado nausikiliza huu wimbo.. hakika Mungu anatupigania Kila siku kwenye ulimwengu WA roho bila ya sisi kufaham ... Mbarikiwe San 🙌🙌🙌🙌❤️

  • @sophiamwita434
    @sophiamwita434 24 дня назад +1

    Nawapenda sana nabarikiwa sana na uimbaj wenu❤

  • @HonoréBazibuhe
    @HonoréBazibuhe 4 месяца назад +2

    Mungu awajaliye nguvu kila siku kwakuhubiri watu kupitiya nyimbo

  • @juliethlucas9260
    @juliethlucas9260 7 лет назад +19

    nabarikiwa sana na nyimbo zenu AIC Chang'ombe Vijana Dar. Mungu awabariki

  • @philimonambilikile6645
    @philimonambilikile6645 3 года назад +4

    Ndo mara yangu ya kwanza kusikia nyimbo zenu wapendwa mbarikiwe sana

  • @NuruAshery
    @NuruAshery 9 месяцев назад +6

    2024 tujuane kwa like❤

  • @wilsonniwagila9534
    @wilsonniwagila9534 8 лет назад +14

    Karama ya uimbaji no sehemu kubwa ya kutangaza matendo makubwa Mungu aliyomfanyia mwanadamu. Uumbaji, ukombozi na msamaha wa dhambi vyatusukuma kumwimbia Mungu wimbo mpya. Nawapongeza sana ndugu zetu kwa kutushirikisha violates hivyo

  • @wambokatzmwandishi9302
    @wambokatzmwandishi9302 6 лет назад +14

    Hii ndio choir kubwa Tanzania
    God bless you all

  • @davidmaximmilian9734
    @davidmaximmilian9734 9 лет назад +3

    Bila yesu kweli n kazi bure, wimbo huuu unanifanya kuwa jasri sana kw kumtegemea yeye anayenipigania siku zote za maisha yangu.

  • @daudsunzula2169
    @daudsunzula2169 5 лет назад +9

    Asante kwa nyimbo nzuri vijana chang'ombe mungu awe nasi daima

  • @naftalimimbi4924
    @naftalimimbi4924 5 лет назад +32

    26.5.2019 kama unasikiliza gonga like twende sawa

  • @jonathanmunyoki5161
    @jonathanmunyoki5161 2 месяца назад

    From Kenya 🇰🇪, Nairobi.. Mbona tangu niskize huu wimbo unanirudisha miaka ya kitambo sana in the late 1990s.. It's as if this song was there in one of my dad's radio cassette. It sounds very familiar.. I don't know why.. But it's blessing me in 2024..my son actually loves it but he discovered the modern version you guys have. Another song I remembered after watching this is a song from Tanzania as well "katikati viumbe vyote vilivyoumbwa, binadamu kaumbika...." I don't quite remember the rest.. God bless you people

  • @berthakobelo140
    @berthakobelo140 9 лет назад +16

    I love this song, kwa macho ya nyama huwezi ona

  • @levinasamwel8346
    @levinasamwel8346 Год назад +9

    2023 wekaa like hapa kam bado unaguswa

  • @chausikuarfred6785
    @chausikuarfred6785 3 года назад +4

    Tarehe 15.7.201 Nina angalia Mungu awabaliki

  • @elctelvdnyakatohospital5602
    @elctelvdnyakatohospital5602 5 месяцев назад +1

    Hongera saana chang'ombe nabarikiwa saana na nyimbo zenu

  • @johngabriel7683
    @johngabriel7683 7 лет назад +8

    Mungu awazidishie katika uimbaji wenu

  • @queenietheamaizing2
    @queenietheamaizing2 5 лет назад +6

    Mwenye yuko na mm December 17 __ 2019 tujuane kwa like

  • @ellakapugi3498
    @ellakapugi3498 10 лет назад +1

    Mungu awasaidie ndugu zangu,tuishi kwa sheria na ushuhuda ikiwa hatusemi sawasawa na neno hilo kwetu hakutakua na asubuhi,Mungu awaimarishe mstawi saana ili uimbaji wenu uendelee kuwahubiri watu wamjue mungu. barikiwen saana watumishi!!

  • @magesamweli7018
    @magesamweli7018 4 года назад +3

    Naendelea kufarijika na nyimbo zenu nzur mbarikiwe

  • @beatricemuthusi7905
    @beatricemuthusi7905 Год назад +4

    A very touching song
    2023 but still hits like it was sung yesterday 🎉

  • @elishapaulo9790
    @elishapaulo9790 7 лет назад +3

    Kweli bila Yesu asubuhi wajikuta upo uvunguni. Kweli hii imenibariki Mungu azidi kuwainua na kuwapeleka mbali zaidi. Barikiwa sana

  • @zephaniaumburi5368
    @zephaniaumburi5368 12 дней назад

    Hizi nyimbo ni tiba , zinatakasa na kuponya sana mioyo yetu.. mbarikiwa sana waimba

  • @janefrey9471
    @janefrey9471 Год назад +4

    2023 bado nabarikiwaaaa🙏🙏🙏

  • @fraidamsemwa5518
    @fraidamsemwa5518 Год назад +1

    Huu wimbo unanibariki mnoo ❤Mungu wambinguni awainue zaidiii

  • @tumsifushoo3379
    @tumsifushoo3379 10 лет назад +10

    Jamani nimebarikiwa sana na wimbo wenu wenye ujumbe na sauti nzuri na hata kila kitu..Mungu azidi kuwabariki.

  • @georgenyamongo4622
    @georgenyamongo4622 9 лет назад +5

    Nawapenda sana Chang'ombe! Awesome song! Hongereni sana ndugu zetu.

  • @HakunaMatata_2024
    @HakunaMatata_2024 Год назад +3

    wanaosikiliza wimbo huu December 2023 gonga like hapa

  • @mbonikelubiloh1012
    @mbonikelubiloh1012 10 лет назад +7

    Mawakubali sana wapenzi na hii kwaya

  • @doricesamwel7785
    @doricesamwel7785 2 года назад

    Amen mmebarikiwa video nimependa zaid,,jins watu wa Mungu wanavyolindwa na jeshi la malaika maana si malaika mmoja ila hatuoni kwa macho ya nyama

  • @vanessaandrew737
    @vanessaandrew737 Год назад +3

    2023 bado nasikiliza this song🙏

  • @nananana4885
    @nananana4885 5 лет назад +6

    😢😢😢😢😢 Mungu azidi kuwatumia❤❤❤❤

  • @samsonfongo4213
    @samsonfongo4213 9 лет назад +1

    Mbarikiwe sana waimbaji, kweli " USIOGOPE HATA NJEMBE UKIWA NA YESU MOYONI" Amen

  • @elikanaboyi8925
    @elikanaboyi8925 3 года назад

    Amen. Nimebarikiwa Sanaa. Usiogope hata chembe kama unaye Yesu moyoni

  • @benithabeneth4637
    @benithabeneth4637 10 лет назад +1

    Nawapenda nyote nyimbo zenu znanibariki sana mungu awape baraka tele na vizaz vyenu vibarikiwe. Ila naomba mtoe albam nyingine Nina ham sana kuiona na kuiskiliza

  • @paulsimiyu3466
    @paulsimiyu3466 8 лет назад

    wimbo huu Kwa macho unabariki moyo wangu ,Jina la Yesu Kristo libarikiwe milele, Na hongereni sana choir ya aic vijana chan'gombe Kwa Nazi nzuri.Mungu awabariki.

  • @angelinanoah1779
    @angelinanoah1779 12 дней назад

    Mungu awabariki kwa kazi zenu nzuri nami naangalia leo 15/12/2024

  • @natachamunezero5239
    @natachamunezero5239 5 лет назад +13

    Nyimbo hii inanibariki sana. 2019 october

  • @gabriellnkya8625
    @gabriellnkya8625 5 лет назад +12

    We are still waiting that beautiful song of God at 2019

  • @alexjacob3255
    @alexjacob3255 5 лет назад +1

    Nyimbo hii ukiiskiliza kwamakin lazim upate chochot wala huwez kuondoka hvyo hvyo jalibu kuirudia rudia mara kwamala hatimae utapata kitu Mungu awabarik san

  • @sirielikisefu5112
    @sirielikisefu5112 5 лет назад +27

    Tunaongalia 2019 like

  • @RuthBabu-uv2kq
    @RuthBabu-uv2kq 6 месяцев назад +1

    Mubarikiwe sana waimbaji

  • @hurumaelly4199
    @hurumaelly4199 10 лет назад +8

    Wimbo Babu kubwa!

  • @ramadhanimbwambo1932
    @ramadhanimbwambo1932 6 лет назад +1

    Kwa macho ya nyama huwezi ona yakupasa kuwa naye Yesu.

  • @estherluciomwita3987
    @estherluciomwita3987 8 лет назад +1

    Amina Mungu azidi kuwainua kufanya kazi yake, kwa njia ya uimbaji

  • @lilianmnzava8458
    @lilianmnzava8458 9 лет назад +5

    Nawapenda sana tena sana...naomba Mungu kila siku anikutanishe na nyie na tutakutana soon nikija Tanzania nitakuwa mgeni wenu tutaimba wote..Mungu awabariki sana.Amen

  • @sweetchanzi5468
    @sweetchanzi5468 8 лет назад +5

    naupenda sana huu wimbo,Mungu awabariki..

  • @pendochima7573
    @pendochima7573 3 года назад

    Mungu ni mwema.kwakweli nyimbo zenu zinanigusa sana mungu awabariki

  • @salmamkomwa4955
    @salmamkomwa4955 4 года назад

    Macho uwezi ona mungu ndo kimbilio la maisha ni baba wa wote

  • @edinamwambipile3813
    @edinamwambipile3813 4 года назад

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu aic chang'ombe, mungu azidi kuwabariki mala dufu

  • @daynessmollel7660
    @daynessmollel7660 5 лет назад +1

    Nawapenda sana Mungu azidi kuwainua kila Siku, kila saa!

  • @nthewawabwenzi5329
    @nthewawabwenzi5329 7 лет назад +10

    god bless you all for this wonderful song

  • @estherndunge3064
    @estherndunge3064 2 месяца назад

    Bila macho ya kiroho nivigumu kuyaona Asante yesu .

  • @evalinekaaya8305
    @evalinekaaya8305 Год назад

    Mbarikiwe sana kwa nyimbo zenu"" katika nyimbo ambazo siwezi kuchoka kuiskiliza ni hii.

  • @JuliethMabuga
    @JuliethMabuga 2 месяца назад

    Weka like hapa kamabado unabarikiwa 2024

  • @hullcanada
    @hullcanada 9 лет назад +13

    you know that these kind of songs can take over the world....these guys need concerts all over the world since people don't know what Africa is all about....collect good songs like this one for a good 3 hours concert and trust me Africa will own the world eventually.

  • @mercywandha2187
    @mercywandha2187 8 лет назад +1

    asante sana kwa nyimbo yenye mzuri,barakiweni sana,nafarijika sana

  • @dangalafransis626
    @dangalafransis626 5 лет назад +8

    Wangapi bado tunaangalia wimbo huu 2019 hii?

  • @mwezanephta1107
    @mwezanephta1107 7 лет назад

    Mungu awabariki saana, endeleeni kutangaza injiri kwa njia ya uimbaji

  • @gracembinya1909
    @gracembinya1909 10 лет назад +10

    i really like this choir,it blesses me.

  • @gracemasanja9122
    @gracemasanja9122 7 лет назад

    Hakika MUNGU angetufumbua macho ya nyama daaaah, acheni MUNGU aitwe MUNGU, barikiwa sanaaaaaa watunishi ,wimbo huu unanitoa machoz ,ni mambo ya kutisha kweli.

  • @magezilucas5854
    @magezilucas5854 8 лет назад

    Mungu ni mwema kwa kila jambo.tumsifu na kumuabudu Amina.

  • @evapaul3450
    @evapaul3450 8 лет назад +10

    nimebarikiwa sana

  • @aminaephraim4553
    @aminaephraim4553 7 лет назад +1

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu.... May God bless you

  • @Jack-v5w2n
    @Jack-v5w2n Год назад

    My love for this song is on another level.
    I listen to it thrice a day. It really blesses me, gives me the knowledge to know the spiritual world. Naipenda sana❤❤❤

  • @atienograce7564
    @atienograce7564 3 года назад +1

    Hiki kipindi gospel song zilikuwa na upako...❤❤❤

  • @MrsEdmond_2.0
    @MrsEdmond_2.0 8 лет назад +7

    I truly love this song so much. God bless u so much with other songs that can take someone from this place to other place by feeling the holy spirit of Jesus Christ in heaven. Amen.........Amen....... Hallelujah

  • @agnesszefania_ad6138
    @agnesszefania_ad6138 8 лет назад +4

    asanteni sana kwa nyimbo Mungu awabariki

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 5 лет назад +1

    Wapo Vizuri Sana hi kwanya!! Waimbaji hawabadiliki!! Wapo imara hakika

  • @davidhyera4504
    @davidhyera4504 7 лет назад +3

    Mko vizuri sana

  • @sadockamos8899
    @sadockamos8899 Год назад

    Mungu awabariki zaidi. Msichoke/msizimie mioyo.

  • @maryjerad1578
    @maryjerad1578 7 лет назад

    wimbo mzur sana jaman ubalikiwe muimbishaji nakupenda mama

  • @Jack-v5w2n
    @Jack-v5w2n Год назад

    2023 still my favorite❤❤❤
    Huu wimbo unibariki sana aki

  • @nasiadomary4893
    @nasiadomary4893 10 лет назад

    nafarijika sana moyoni mwangu ninapo sikiliza nyimbo za dini! kazi njema katika utunzi

  • @sibuboytz
    @sibuboytz 3 года назад

    mungu aendelee kuwatumia katika kazi yake

  • @juliusrichard1786
    @juliusrichard1786 5 лет назад

    barikiwa Wana na nyimbo hizi za kwaya hii zote nzuri zinanibariki

  • @leahmathius7691
    @leahmathius7691 6 лет назад +1

    kwa macho ya mungu naweza ona haya

  • @Salomesalomejoseph
    @Salomesalomejoseph Год назад

    Old is gold am just Inlove with this songs 😢😢😢😢😢 mayeGod hear my strength 😢

  • @paskalipaulo1719
    @paskalipaulo1719 5 лет назад

    Amina Amina nabarikiwa mno na huuwimbo

  • @magdalenemusyoki4893
    @magdalenemusyoki4893 3 года назад

    Napenda kuusikiliza kila siku. Lovely music

  • @happymgaya3936
    @happymgaya3936 8 лет назад +5

    Wimbo huu unanibariki san mungu awabariki mzd kumtukuza

  • @judithnyaboke4112
    @judithnyaboke4112 7 лет назад

    Nimebarikiwa na nyimbo zenu.Mungu azidi kuwabariki

  • @janekuriain580
    @janekuriain580 5 лет назад

    Natamani kujiunga kikundi hii napenda sana mungu awabariki

  • @ganital2223
    @ganital2223 6 лет назад +7

    Am soo much blessed ,God bless u guys most

  • @hullcanada
    @hullcanada 9 лет назад +3

    awesome,,, these kinds of songs make me weak for sure...

  • @ZIPPORAHMWENDE-bb5ze
    @ZIPPORAHMWENDE-bb5ze 27 дней назад

    Kweli kwa macho ya Nyama hauwezi kuona,11yrs na Bado wimbo unanibariki,kweli wimbo unuhai.

  • @JuliethMabuga
    @JuliethMabuga 2 месяца назад

    Me nawapenda sana watumishi wa mungu

  • @langatkibet7980
    @langatkibet7980 5 лет назад +10

    Still 2019 August watching.

  • @fettyramadhanfettyramadhan3584
    @fettyramadhanfettyramadhan3584 4 года назад

    Nice song mungu awabariki sanaa

  • @WinifridaLubango
    @WinifridaLubango 9 месяцев назад

    nabarikiwa sana Hawa watu jmn🙏🙏

  • @irenejohnson
    @irenejohnson 2 года назад +1

    Through your own physical eyes,,you can't see those frightening things.i like this song.

  • @Multi10091974
    @Multi10091974 6 лет назад +1

    Amina ! YESU A awabariki sana ! Hallelujha ! Amina 💙🕊🕊🕊🙏

  • @ProsistrSimon
    @ProsistrSimon Год назад

    Nice song watumishi keep it

  • @dadilydanny7653
    @dadilydanny7653 8 лет назад +2

    Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya kuhubiri neno la Bwana kwa njia ya uimba#AIC VIJANA CHANG'OMBE

  • @enockshiamola6323
    @enockshiamola6323 7 лет назад

    kwa macho ya nyama kukaa ndani ya Yesu.

  • @neemamatayomasanyiwa1658
    @neemamatayomasanyiwa1658 2 года назад

    Hakika mungu aendelee kutupigania kwenye ulimwengu waroho malaika watusimamie hat tukiwa tumelala usiku was manane