A.I.C CHANGOMBE VIJANA CHOIR - TULIA
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: bit.ly/WyldSubs
Wyld Pytch / 51 Lex Records
Web - wyldpytch.com/
Instagram- wyldpytch51lex
Facebook - / 51lexrecords. .
Tiktok: / wyldpytch51lexrecords
Twitter - / wyldpytch
Mung awatangulie mzidi kutangaza neno Lake kwa nija ya nyimbo mmbarikiwe vijana wa yesu
A strong message. Watu wapendao Mungu watulie kwa yesu. Mungu awabariki sana.
Amina❤❤❤
Bado Niko hapa.wapi like yangu aki
Tulia kwa Yesu what a song ❤
Bado best songs l love to listen spiritual
I thank God for the very encouraging songs from these blessed Tanzanians AIC choirs.
Tulia kwa Yesu. Am really blessed. Pastor Richard from Kenya.
Amani na utulivu kamili vinapatikana kwa Yesu. AIC Chang'ombe vijana kwaya nawaombea kibali mbele za Baba Mungu.
mungu hazidi na kuwainua,nambarikiwa sana na nyimbo zenu
Ameen moyo wangu umetulia kwa Yesu kristo barikiwa sana
When gospel music was truly filled with the holy spirit. I miss these songs. Who,s still watching in 2019?
Tulia kwa Yesu
@@wakembetajaphary3648 Amen
A.I.C Chang'ombe Vijana, what an advice and inspiration. You are always a notch higher.
Keep on blessing young talents. At agbaou village, Divo region, Ivory coast.
Kweli huu wimbi umenibariki sana. Ni vyema kutulia kwake bwana Yesu maana kwake kuna ulinzi. Naweza kupata vipi kanda hii hapa Kenya?. May our Almighty God richly bless you Changombe AIC Vijana kwaya.
Mungu awabariki kwa kazi nzuri mlizozifanya kuwafikishia watuwake Ujumbe kwa njia ya nyimbo. Mbarikiwe sana
Nimetulia namsikiza Yesu akinena nami. Thanks for sharing
2024 l'm still enjoying this song🔥🔥🥰🥰
Kwa Yesu nimefika, mwisho wa matatizo yangu yote. Namtegemea zaidi.AMEN
naungana nawe kwa hilo, aamen. tuzidi kumtegemea Yesu pekee!
my the lord bless those singers hv been touched alot
kila mtu akitulia hakika upendo wa mungu utatawala kote duniani, maofu ya kuana kila wakati yataisha amen.
2024 bado the best 🎉
% na bado itakuwa best mpaka mwisho wa dunia
Mungu wa mbinguni nimesha chagua fungu zuri naomba unisaidie nimalize mwedo salama
This is an encouragment. Lets live and wait upon the Lord always. Love these songs.
2
Great song ...mimi nimetulia kwa yesu
Mungu yu mwema kila wakati kila wakati Mungu yu mwema na ni asili yake
beautiful song with many teachings. listening you from Rwanda as I tulia kwa yesu as I wait for these customers to come what they have ordered
doreen kananu mungu akubark sana
May the Almighty God bless you abudantly...You bless us who are talented in other things other than singing
Dah! Tanzania ni simply the best in gospel music. Lovely song and choir!
Kweli utilivu ni kwa Yesu,,hongereni sana kwa wimbo na ujumbe mzuri na hata uchangamfu mliyoonyesha. Mzidi kubarikiwa sana.
for sure guys may you stand firm in evangelical ministry till Christ's second coming ,you songs touch my heart dearly
What a blessing song. AIC Changombe you are really a blessed choir
leo ni furaha kwa kugunduwa iyi nyimbo! Mungu awabaliki, na hiyi sauti ya huyo dada ni amusha roho! Amen Amen
Nimependa ka wimbo kazuri Mungu awabariki kwa uinjilisti mzuri though media
Tatulia kwa yesu all the day of my life Amen
tulia kwa yesu ukihangaika huko mbinguni kwa yesu utafanikiwa
changombe be blessed you touch my soul so much when I listen to your music in kenya
We're still here in 2019
God's word will never expire.
kumsikiliza Mungu ni bora kuliko kumtumikia...naupenda huu wimbo
umesema haki ndugu! ukitaka nyimbo poa,movie ni Tanzania! barikiweni tu sana.
I like the first soloist lady.... She has a commanding voice and body language..... It's my favourite song
Hiiii Kazi naielewa sana Asante Sana Dogo langu yusufu huo mpini
daaaa huu wimbo nataka niusikilize saa zote ,hongereni na mzidi kutuburudisha rohoni.
Laban Mkinga
I love this choir alot am blessed with your s song God bless you so much
Solo list abarikiwe sana anasauti mzuri aendelee kutulia kwa yesu.
At any given time I listen to your gospel music, I'm blessed. God bless you all.
May almighty God bless you
Iko faida kubwa kutulia kwa Bwana Yesu kwaya mbarikiwe
December 16, 2024.Tuimbe kwa furaha tumsifu mungu Amina.
mungu awabariki sana muendelee kuimba nyimbo za kubariki zaidi
Kwamajina naitwa valency Thomas nabarikiwa na yesu nice song
tulia kwa Yesu ,, be blessed guys
Habarizenu waimbaji wapendwa nirizipendanyimbozenu shidanipo Mbari amerika nawezapata sidiyenu ipi?
big up so much aic choirs god blexx you so much for the service your providing to the whole
I love i love this song 🇰🇪
ni nyimbo nzuri sana zina bariki zina fariji tena zina tuhimiza kwa safari ya kwenda mbinguni
Bado nipo na nyie hapa mungu awabaliki
Being blessed even now.
Huu Wimbo mtamu kweli, umepangwa sawaswa
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kusikiliza nyimbo zenu za injili.
nimeupenda huu wimbo,hongera sana chang'ombe
Mwanandam
pongezi kwa kazi nzuri ya kueneza injili ya kristo yesu
God be with you as you spread the Gospel
am speechless kwa kweli!!!
Tulia tulia kwa yesu 🔥🔥🔥
Wawu wimbo mzuri saana 😘😘😘😘
Hii nayo haizeeki, it's 🔥🔥🔥🔥🔥
watumishi Mungu awatie nguvu ili shetani asipate nafasi yakuharibu hicho kikundi
Natulia kwa yesu hakika
l like so much gospel songs, l blessed with it.
2021 may 25 still am receiving the blessings from this song # JESUS is a MESSIAH❤️❤️❤️❤️
AMEN
Nani badi ako ndani 2024
Mungu awabariki sana na wamtumikie kwa myo na kweli
Wimbo mzuri sana huy
Hakika kwa YESU ndio mahala sahihi pa kutulia
Be still in the lord and everything will be fine just have faith
ITS REALY A BLESSING SONG. FEELING BLESSED.
Naipenda hii song sana from Canada nawapenda sana
Mungu bariki hawa waimbaji
Mungu awabariki sana watumishi
Glory Be To The Almighty In JesusMighty Name Ameen🙏🙏🙏
This song was at that time they released it and still a blessing to me in 2022 ❤️😍😊😊
Wimbo mzuri sana hongereni
nawapendaaa sana na ujumbe mzuri sana
Wimbo huu mkali sana. Mbarikiwe
hizi nyimbo simeniguza xana tulia 2.
great.iam blessed by your songs.GOD bless
T Kipkebut df b
hakika mtapewa dhahabu safi mbinguni kuimiza Roho za waaminio ilnjili
this songs blesses me so much,,
Hongereni sana! Wimbo mzuri, ujumbe safi na zaidi ya yote muziki safi!
Mimi Debora nakupeda sana p
nitatulia kwa yesu siku zote
AMEN ,GOD'S SERVANTS ,BE BLESSED MORE AND MORE
Fantasic
2022 and still anointed song.
Here in 2020 after corona thanking GOD for my health
Miye tulia na tulia mu yesu ,nashukuru sana
emeni
enyewe tutulie kwa yesu,nimebarikiawa sana.
only changombe vijana choir gives me message of God through singing iam very blessed keep up.
Kweli tulia kwa yesu
i love this song soo much..
mungu awabariki sana kwa kazinzuri
Tulia haki Kwa yesu
huwa sichoki kuangalia ii video cz nammic sana mama angu
Great message which enable a christian to hold on
kweli tulia kwa yesu
Tulia kwa Yesu...
ameen mungu bariki waimbaji wako!!
May God Bless yo
You Mightily Ameen
Big up bahati 4 your voice
Am back 2024
tulia tulia Kwa Yesu