Sema na Mimi baba yangu nilindie family yangu pamoja na Kila mtu ambaye sijui,naomba hii asubui Jehovah kwa wale wako gulf countries tulinde na utufunike na damu yako Jehovah tukikuja kujitafutia Bali sio kifo God please protect everyone who is struggling to end meet 🙏
Linda nchi yetu Kenya,wakati huu mgumu, sema na nyoyo zetu, linda na afrika mashariku, wakumbuke wa congo, twa kulilia eh Jalali. tukumbke.usinyamaze,wewe ndie tumaini letu
It's always a blessing when I hear of this gospel songs🙏🙏may God expand your territories of gospel brother 🙏give you wisdom n knowledge pia nasi tuzidi kubarikiwa Zaidi🙏🙏mungu sema nami kila wakati niwe karibu yako maanake wewe ndiye msaidizi wa wanaolemewa na mizigo🙏shusha yote na utueke Hutu🙏 kupitia Kwa neema yako ndugu tubarikiwe pia nasisi 🙏🙏🙏
Ee Yesu,they planned for me, they ashamed me, Father Lord,sema nami. Usiwaache. Fight for me,make me victorious before them. Scatter their plans in fire. You're the Boss
Hallelujah,hallelujah at last the song is here,very powerful songs ,so touching and soaking,full of annointing,through these songs,i see total turnarounds,Victory,Abundance ,Overflow and supernatural blessings IJN,Remember you are blessed to be ablessing to many,all the doors of heaven are open for the good work you are doing hallelujah,HS the GOD you serve is more than enough for you ( 2 PETER 1:12)
May the almighty grant this young brother of ours more power to preach for us the gospel of the lord through his songs🧎♀️🧎♀️🧎♀️today am more than blessed through his songs,thank you lord jesus🙏🙏🙏
Wimbo umenibariki sana huu.Mungu akubariki mtumishi wa Mungu na aibariki kwaya ya mamajusi maana waliimba huu wimbo kutoka moyoni.
Sema na Mimi baba yangu nilindie family yangu pamoja na Kila mtu ambaye sijui,naomba hii asubui Jehovah kwa wale wako gulf countries tulinde na utufunike na damu yako Jehovah tukikuja kujitafutia Bali sio kifo God please protect everyone who is struggling to end meet 🙏
Glory to Almighty God 🙏
AMEN❤
Amen
Amen🎉
May God cover you all with the precious blood of Jesus.....the name Jesus has solved all your worries,in Jesus Holy name you are safe,Amen
My favourite song from Mamajusi inanirudisha 5yrs old how life was❤alafu ile ya Majira ya jioni, Watoto wa Rael, Yesu nina haja nawe
I wish you sing all these old songs 🎵 i love this them rhythm❤🎉
Linda nchi yetu Kenya,wakati huu mgumu, sema na nyoyo zetu, linda na afrika mashariku, wakumbuke wa congo, twa kulilia eh Jalali. tukumbke.usinyamaze,wewe ndie tumaini letu
sema na moyo wangu bwana , Asante MUNGU Kwa mtumishi wako Dany bless
Sema nami bwana kila siku,kuwa nami baba ,nimehahidi Yesu kukufuata wewe milele Bwana wangu, rafiki na mwalimu, vitani siogopi ,njiani sipotei ,umenitangulia🙏🙏
Amen.This song has been such a blessing in my life.Praise to God .May God continue blessing you to be a blessing to all generations.
Siogopi maana Mungu ako pamoja nami amen 🙏..more grace Mtumishi kwa huduma yako
This is God's doing!!! The far the servant of God is being lifted is in the hands of Jesus Christ of Nazareth
Wow! I came right on time❤❤❤❤.May God bless his servant🤲🤲🤲🤲
Amen amen 🙏
This is what I call True worship, there are still remnants in Kenya, barikiwa sana Minister DannyBless. and impact more
my favorite song in the playlist
Ameeen,glory to God
Sitaogapa kwa Yesu nko xw....
Hallelujah powerful sema nami Bwana wangu niko tayari kukutumikia 🙏🙏🙏😭😭😭niko tayari
Hallelujah
Siogopi kwa Yesu mambo yote sawa........Yesu nipe ujasiri usiku na mchana...Amen
Be blessed very much , your praise songs are blessing to my heart
Amen ameni barikiwa mtumishi
Siogopi kwa yesu mambo yote sawaa am kimchong Charles from cheptais market mt elgon bungoma County
Very powerful and touching songs can't get enough of listening them.May God bless Heaven sound and uplift your talent
Amen amen
Sema nami Bwana
Ameee ni Mimi kaka wA .....
Haki Bwana Yesu,sema Nami,niko tayari. Forgive me Lord and accept my request. Sema nami
Sema nami bwana, niko tayari.
It's always a blessing when I hear of this gospel songs🙏🙏may God expand your territories of gospel brother 🙏give you wisdom n knowledge pia nasi tuzidi kubarikiwa Zaidi🙏🙏mungu sema nami kila wakati niwe karibu yako maanake wewe ndiye msaidizi wa wanaolemewa na mizigo🙏shusha yote na utueke Hutu🙏 kupitia Kwa neema yako ndugu tubarikiwe pia nasisi 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Upo vizur karibu singida tz kwa huduma ulionayo
SEMA na mwoyo wangu baba nilindie familia yangu Jehovah
Sema nami bwana siku zote za maisha yangu,hallelujah jehova nitakusifu bwana wangu,
Amen
Njiani siogopi kwa Yesu yote ni salama..am blessed
Amen
Good morning heaven sounds, may our good Lord continue to protect your huduma
Amen amen
Kwa yesu Mambo yote sawa
Amen,sema Nami Yesu
Wow so amazing nawasikiliza nkiwa uku dar es salaam
Am really blessed may God bless you PAPA
Amen amen
Sema nami Bwana Nikotayari mimi
Mungu Asante kwa baraka zako, naomba unitangulie Kila wakati, kazi zangu zote nazikabidhi mikononi mwako, nibariki mola wangu🙏
Ee Yesu,they planned for me, they ashamed me, Father Lord,sema nami. Usiwaache. Fight for me,make me victorious before them. Scatter their plans in fire. You're the Boss
I like your songs,my request is if possible insert English so that I get the full meaning of your songs
Good afternoon heaven sounds may God bless you so much ,let him guides you any day any time ❤❤
Amen amen 🙏
Hallelujah 🙌🙏 Sema nami bwana wangu, a very powerful song 🙏🙏
Amen amen 🙏
Baba sema nami linda watoto wangu madui ni wengi sana
Hallelujah hallelujah sema nami Bwana nko tayari kukutumikia🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Amen sema nami bwana wangu very powerful may God continue using you in amighty way be blessed🙏🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Great melodies of all times. I luv this....
Siogopi kwa yesu mambo yote sawa
My favourite song❤❤
Amen 🙏🙏🙏 hakika Mungu ni mwaminifu
Danny, Mungu akubariki
Mbarikiwe watumishi wa mungu
Amen
Sylvia amen🙏ndio yesu nkotayari bwana kukutumikia wewe baba naomba useme nami🙌♥️🙏
Amen
GOD speak to your disciples thiz month we need your favour
Ubarikiwe sana Mungu akuinue zaidi.
Amiina nyingi barikiwa cna mutumishi wa mungu ainue ministry Yako Amina 🙏🔥🔥🔥🙏
Great praise... God bless and keep you to the end... Amen
Sema nami baba usiwahi nisahau kwa ufalme wa mbinguni
Sema nami bwana
Amen amen 🙏 balikiwa San MUNGU akupe roho yakumtumikia zaidi yahapo
Amen Glory be to amghty father❤
Nimeaahidi yesu kukufata wewe
Hallelujah Hallelujah GLORY to OUR MOST HIGH GOD, Sema nami JEHOVAH kwa kila jambo
Amen amen 🙏
I thank God to that,imenitowa mahali.Danybless keep it up
Amen Amen Amen sema nami YESU wangu siku zote za maisha yangu. Barikiwa sana Dan
Amen amen 🙏
Huu wimbo unanibariki sana kiukweli. Kwa siku mausikiliza hata mara nane. Siuchoki . Ahsante kwa hii huduma kaka
Umenigusa mtumishi balikiwa
Hii nayo nimeipenda
I'm ready to hear from you lord
Good 👍 evening Man of God 🙏 your gospel songs is blessing to me, even though am passing hard life you in courage me thank you,
Waooo am blessed ❤❤amen
😢😢the sounds of heavens
Amen;Grace to you forever my brother;Be Blessed forever and ever;Amen.
My God bless .Danny bless siogopi kwa yesu mambo Sawa team strong Saudi tusiogope mungu atatushindania.
Very nice song feeling blessed indeed❤
Hallelujah,hallelujah at last the song is here,very powerful songs ,so touching and soaking,full of annointing,through these songs,i see total turnarounds,Victory,Abundance ,Overflow and supernatural blessings IJN,Remember you are blessed to be ablessing to many,all the doors of heaven are open for the good work you are doing hallelujah,HS the GOD you serve is more than enough for you ( 2 PETER 1:12)
Hallelujah Hallelujah 🙌
Eeh Bwana, mbariki muimbaji huu, muinuwe Dany bless, Bwana 🙏🏼;
Hallelujah I can't just get enough of worshipping with u mutumishi wamungu
Amen amen
My lovely song Every day kila time Naskisa may God blesse you brother
Amen God bless you man of God
Amen amen 🙏
May the almighty grant this young brother of ours more power to preach for us the gospel of the lord through his songs🧎♀️🧎♀️🧎♀️today am more than blessed through his songs,thank you lord jesus🙏🙏🙏
Sema nami bwana wangu niko tayari kukutumikia siku za maisha yangu niwe nawe
Aminaa kaka mungu akubariki sana nakazi yako ienderee kusonga mberee
Amen amen 🙏
Sema Nami banana wangu nko tayali kukutukiaa
Mungu akuinue zaidi
this is what I Love most
Sema nami bwana wangu niko tayari .aijalishi napitia hali gni ila naomba useme nami
Amen,,kupitia kw wimbo huu umenijenga xna ubarikiwe xna mtoto wetu
Amen
Soo nice be blessed 🙌
Amen
Amen and Amen blessings 🙌🎉🙌🎉
Amen
Strong message administered directly to our everyday,today life...mama jusi ❤❤❤
May Almighty God give you strength and your team am much blessed max from lanet barracks Nakuru ❤❤❤
Amen!❤ Really praising God almighty!!!
❤Sema nami Bwana, sema na wa Congomani, Bwana sema na taifa langu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
GD song God bless Amen Amen Amen Amen
Thank you for that song❤❤❤ nimebarikiwa kabisa
Amen amen 🙏
Hallelujah all power belongs to you oh lord hizi wimbo hunibariki sana amen
Amen and amen 🇿🇲🇿🇲
Wonderful worship ❤️ amen
Vita hii siogopi karibu yangu ukikaa njiani sipotei Yesu ukinitangulia.
Sema na mi bwana, everyday oh Lord 🤲🤲🕊️🕊️🕊️✌️✌️✌️💖😇😇🌹🌹🇰🇪🇺🇬🇩🇪 God almighty bless you more in Jesus mighty name Amen 🙏📖💒💖🌹🌹🌹✌️✌️✍️✍️😊
Lord I have sin alot and I know am very dirty .Forgive my sins and restore me so as to serve u my lord
Hallelujah
REMEMBER FATHER
Naitwa salum tobert kutoka tz mungu awatie nguvu na hekima watumishi wa mungu hakika mnanifariji sana kwa nyimbo zenu mungu awabariki sana