Kwa mara ya kwanza, nisamehe wasanii wengine, but , I think, I respect Vanesa! I dont know you, but, I think you are a great lady! Wow! Proud of young Tanzanian girl!
Jux ameniboa sana kuachana na vanexa maana namkubal sana vee money wachina hao hawana inshu bhna big up madam vee lningekuw na uwez ningemuoa madam vee nikamuepush na mabalaa ya kina diamond
Nimependa sana ongea yako dada, huna madoido ya kuchangamya kingreza na Swahili kama wengine na kati unajua kuongea English fluently. Big up bby girl, I like u naturally.
vee money real loves jux trust me love is crazy thing just look at the jealous over that Asian lady.sometime its so hard ather people to understand feelings.
Kwakweli kuhusu VMoney kuongea kiswahili Mtangazaji umesema kweli kwasababu hata Sporah alishawahi kumwambia Vanessa the same thing and so the fans have always felt the same way. Anaongea kiswahili flani ambacho sio broken but still kinafanya mtu ujisikie kuendelea kumsikiliza
Ndio hapo tuone tofauti ya sisi binadam. Wasanii wengi ambao walikuwa hata hawajui neno 1 la kingereza basi wakijua kidogo ni shida mpaka msikilizaji unaboreka!! Maana wanapoteza hata maana ya interview! Tujivumie lugha yetu!!
Katika Maisha Yangu huwaga najuwa hakuna MTU mwenyeamani ya moyo kama vanesa ila nilicho kisikia kutoka kwako kimeniumiza sana yani nimejikuta natoa machozi kwaajili ya vanesa na nilitamani niwe naye kalibu nimwambie yeye ni mwanamke jasili sana nakupenda vanessa i wish ungekuwa dadaangu
kwa kwel mungu tunaitaj huruma yko watoto wa kike mapenz yatatuua jmn kwanin sisi tunawachulie wenzetu siriasly wakat wao dakika mbili mbele hawapo kabisa wako upande mwingine kabisa na furaa yko inakuwa palepale l hte mens jmn uuuuwii l real hate u mens l hate u
Love you you keep it real you are an inspirational lady that your peers and other young people needs to pay attention to you the best wishing all God blessings showers you
Vee is hardworking ,ametoka mbali na anaenda ata mbali sana..You can tell she has such great vision for herself,.On the other hand Jux ni Slay King..Anafurahishwa na Udiva,sidhani ata anataka kua the best musician in Africa let alone Tanzania..Vitu zinafurahisha Jux ni kuslay pale Instagram,ndio aweze kupata fame tu na wanawake.What does he even have in common with the Asian chic?.Dame mwenyewe ata Kiingereza ni shida..You can tell they both want fame(Jux and the Asian chic).Wataachana tu na Jux atapata kengine kale kako fashion.Vanessa will heal with time,makosa ni roho haichagui inayopenda.Vanessa was always too good for Jux.Fullstop!!!!!
if only you guys can speak English for interviews that will be on youtube you will do us a great thing..how do you espect the whole world to learn swahili i love vanessa so much but i fail to watch her interviews because i don't understand swahili...do interviews in english for everyone to understand otherwise you only do it for tanzania.
My Role model vanessa mdee is another level
Uwiiiii cant compare she is blessed
Kwa mara ya kwanza, nisamehe wasanii wengine, but , I think, I respect Vanesa! I dont know you, but, I think you are a great lady! Wow! Proud of young Tanzanian girl!
Jux ameniboa sana kuachana na vanexa maana namkubal sana vee money wachina hao hawana inshu bhna big up madam vee lningekuw na uwez ningemuoa madam vee nikamuepush na mabalaa ya kina diamond
The original cashmadame indeed a Queen ,,,,,unatisha sana vee #sheking jux hadeserve kabisa kuwa na bright girl like vee go giirrllll
Vee is so beyond jux .was wondering why shes with him
Vanessaa nakupenda sana kipenzi toka nikujue yaan sichokagi kukuangalia
Okoka Vanessa umwimbie Mungu,utavutia zaidi ukiimba upande WA Mungu
Lucy
Mbona we uimbi
Kwa muda was Mungu,atamuokoa
@@royaldangoteboy2626 😁😁😁
Nimependa sana ongea yako dada, huna madoido ya kuchangamya kingreza na Swahili kama wengine na kati unajua kuongea English fluently. Big up bby girl, I like u naturally.
Wow vee money nikama umeshusha mzigo u are so beautiful umekua mrembo zaidi
So beautful vee money and you always talk about motivations...inspiring💕lov you
Ni Mungu amemtoa vee kwa juma he doesn't deserve such a queenangel
True
Very true
Wanawake bhana!!
Jux double crossed Vennessa!!Keep your head high girl i feel ya!!
Wow, I really love u so much Madame V.
Upo vzr muonekano usiumizwe na mshenzi eyote bhana vee upo juu
Vee is a young lady that understand that life goes on even when it rains you go pretty girl
Exactly girl HAKUNA KUPROMOTE SUMAKU ❌❌❌ we got MOYO ☺️
vee money real loves jux trust me love is crazy thing just look at the jealous over that Asian lady.sometime its so hard ather people to understand feelings.
Nmependa umefanya show vzr sana kiufupi umetusikiliza shabiki zako😘
The best is yet to come dear. You are blessed. Keep the faith.
Kwakweli kuhusu VMoney kuongea kiswahili Mtangazaji umesema kweli kwasababu hata Sporah alishawahi kumwambia Vanessa the same thing and so the fans have always felt the same way. Anaongea kiswahili flani ambacho sio broken but still kinafanya mtu ujisikie kuendelea kumsikiliza
nakupenda sana dadaang mungu akubarki
Ndio hapo tuone tofauti ya sisi binadam. Wasanii wengi ambao walikuwa hata hawajui neno 1 la kingereza basi wakijua kidogo ni shida mpaka msikilizaji unaboreka!! Maana wanapoteza hata maana ya interview! Tujivumie lugha yetu!!
I love this girl, can't explain, my crush
Katika Maisha Yangu huwaga najuwa hakuna MTU mwenyeamani ya moyo kama vanesa ila nilicho kisikia kutoka kwako kimeniumiza sana yani nimejikuta natoa machozi kwaajili ya vanesa na nilitamani niwe naye kalibu nimwambie yeye ni mwanamke jasili sana nakupenda vanessa i wish ungekuwa dadaangu
Bwanaweeeeee
That Asian babe is a rebound Jux atajirudisha mwenyewe ( yay! My Swahili is good!😆)
I love her soooo damn much um hurt if she ia hurt...i love you vanessamdee
ooh she make me to stay strong with my issues .....vmoney gal god is with u
bora umelitua kontena LA miba a mean uko real sana Ila jux kontena
Napendag san my twin love y majivuno na engilish anaijua vizuli tu angekuwa mwingine apo vituko hongela dada
Dah pole Vanessa but maisha lazima yaendelee mungu mwema
Omgosh so open and honest n vulnerable. I have a new found respect for you queen!!
Nakupenda sana v
Vee is really open minded person
Jux alikuwa anakukondesha na pia alikuwa nakufanya mwonekano wako uwe kama m bibi umeachana nae umekuwa mzuriii sanaaaaa
Mlikuwa best couple ila mioyoni mwenu mnabeba mambo mengi. Kuanza upya sio ujinga japo wengi tunafeil hapo
kwa kwel mungu tunaitaj huruma yko watoto wa kike mapenz yatatuua jmn kwanin sisi tunawachulie wenzetu siriasly wakat wao dakika mbili mbele hawapo kabisa wako upande mwingine kabisa na furaa yko inakuwa palepale l hte mens jmn uuuuwii l real hate u mens l hate u
v money nakupenda adi naumwa jmn
Love you you keep it real you are an inspirational lady that your peers and other young people needs to pay attention to you the best wishing all God blessings showers you
hii relationship ililast vile vee alimpenda sana jux alipogiv up ndio yakaisha,so jux hakumpenda
Alikuwa anamtumia kukua kimziki na ajulikane nje...jux anapenda wanawake weupe
Nakupenda sana sana Vanessa
Pole v umeongea kwa hisia sana hapo kwenye sumaku na moyo
Vanesa ww mrembo bana
I love you so much vee money
You're blessed veee .. I love u
Unakaa alone like me wow spending time alone is ma best moment
amida
@@protasndunguru852 nn
Oohh my goodness am prone to depression too. Waah and am so like," this thing will not kill me" I get up and get on with life
Nakupenda sana v money
Yeah keep on that ‘this thing will not kill you, DO NOT GIVE DEVIL A PLEASURE’ depression is devil minded
Nampenda vanessa
Vee is hardworking ,ametoka mbali na anaenda ata mbali sana..You can tell she has such great vision for herself,.On the other hand Jux ni Slay King..Anafurahishwa na Udiva,sidhani ata anataka kua the best musician in Africa let alone Tanzania..Vitu zinafurahisha Jux ni kuslay pale Instagram,ndio aweze kupata fame tu na wanawake.What does he even have in common with the Asian chic?.Dame mwenyewe ata Kiingereza ni shida..You can tell they both want fame(Jux and the Asian chic).Wataachana tu na Jux atapata kengine kale kako fashion.Vanessa will heal with time,makosa ni roho haichagui inayopenda.Vanessa was always too good for Jux.Fullstop!!!!!
Time will tell Miss Vee...
Go girl,i love you vee😍😍
Pole vee wangu nakupenda sana
Kipindi kiko smart👍🏻😍
such an honest interview
nice interview
V money nakukubali
utabaki juu sana vanesa
Vanessa mrembo mno😘😘
Nimependa hiiii veeeee umwaaaaaaa
Nakupendag bure we mdada jins unavyo ongeaga dah
Love u Vee.
V money...V pesa nakukubari sana like zake zishuke hapa
Vanessa nakupenda mpaka
nimempenda mtangazaji
Nakupenda sana V
I love V........
I just Love u Vee.
Jamn dada Vanessa mliendan San na kak jux but ndio hvy
Loving you more vee Na Xo
Uare so cute dear, kiukweli nakupenda vee uare my number one ktk wasanii wote wa kike tz big up sis, and keep it up
Lv u V Money #Cash Madame
Mwanamke unaejiamn V money nakupenda bure.
She sounds so sad n broken
Much love vanessa
Nyie v mzuriii😍😍😍😍
Wow love you veee😍
Great interview
V waooo umependeza
Hongera kipenz
Ndio mama
Nakupenda vee jamaniiii nakupenda sanaaaaaa
Mm nampenda vee
Vanessa mdada wa bongo land mzr kabisa!!!!
She is damn brilliant
Suzan Elias very bright, very intelligent on top of that very beautiful
Jux mtu mbaya, Anamuachaje mtoto mzuri vee??❤❤
Labda kaachwa yy
@@neemajohn7540 inawezekana coz ata v alikua aamini jux kama anaeza kuja na chombo kipya..
Mussa Hassan ni mwanamme Mbona kawaida sana kwa hawa wenzetu!
Kaza mama Mungu akikuweka juuu nani wakukushusha?
Vee hekoo kwak nakupnda sana
Venessa ni mrembo
Mrembo sana😉
Hii nimeipenda with a glass of wine 🍷
Interview ya kistaarabu sana
I love love vee
V unapenda kigereza
always Ur loved here Vanessa
Mbona host kafanana na Vera sidika ama nimacho yangu
Haki tena nimekupenda bure +254
Amina Hassan nd ivoo
I like u girl
Though kuongopa... nilipenda couple yenu wee na J
I'll be her one day ✨
♥️💞💞
Lov u vee money
napenda San kuckia interview Zak vee
if only you guys can speak English for interviews that will be on youtube you will do us a great thing..how do you espect the whole world to learn swahili i love vanessa so much but i fail to watch her interviews because i don't understand swahili...do interviews in english for everyone to understand otherwise you only do it for tanzania.
Vee kanenepa jaman
Nakupenda bure V wangu
Unizid napenda yaan
Kwann unapenda kunsemee vee kisell this time moyo
Nice