JUX: Vanessa Alidata / Kifungo Cha Jack Cliff / Niliachana Na Wolper Kisa Pesa - EXCLUSIVE PART I

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 287

  • @melvo_2547
    @melvo_2547 5 лет назад +9

    Dogo Janja hujui kuvaa!!! Jux ni shidaa👏👏❤❤Nani anakubaliana na mm #Like

    • @kokise75
      @kokise75 3 года назад

      Amevaa tu vizuri acha wivu na labda wewe unavaanga crazy wear 😡

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 5 лет назад +115

    Yani nilivojipinda kuangalia interviw kisa nimskie anavomuongelea vanesa 😂😂😂umbea kaz jamani

  • @ivantompoo7843
    @ivantompoo7843 5 лет назад +1

    B. Dazen suto imekukaa na jux pia naipenda clouds

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 5 лет назад +16

    Wanaume jifunzeni hapa, si vizuri kumsema vibaya mtu ulieachana nae, kwenye mahusiano kila mmoja hua ana mchango na maisha ya mwinzake, utakuta wengine wameachana na wana watoto wanasemana vibaya.Jux we ni mwanaume na Vanesa songa mbele wewe ni mwanamke bora kuliko yote uliyopitia.

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 лет назад +33

    Duh sijawahi kusikia Wolper alipita na Jux shikamoo mapenzi

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 5 лет назад +1

      😂😂😂😂😂😂Wolper ni mama wa kukuza vipaji🤣

    • @arerimanafatma4021
      @arerimanafatma4021 5 лет назад

      Isunga 1 😀😀😀jux nikijan mweny anaji elew

    • @rahisalovely9622
      @rahisalovely9622 5 лет назад

      Alipita nae kitamboo kipindi icho instagram haipoo famous...2011-2012 walikua wanagongana

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 5 лет назад +52

    waliogundua hawa watu bado wanatakana wagonge like tuuuuu😁

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 лет назад +6

    Interview ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Jux unajieleza vizur asanteni

  • @jndaki8273
    @jndaki8273 5 лет назад +13

    Dozen selection iko vzur sana,

  • @ivantompoo7843
    @ivantompoo7843 5 лет назад +1

    Nc b dazen

  • @juliusdaniel3514
    @juliusdaniel3514 5 лет назад +1

    Bdozen tunashukuru kwa kuiboresha dozen selection kuondoa microphone na sauti iko bomba

  • @sabynerarizona6126
    @sabynerarizona6126 5 лет назад +20

    Great interview Dozen umejua kumuuliza questions from the scratch which many people wanted to know 🔥

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 5 лет назад +26

    Sikujua kama huyu Jux ni mtu wa kufunguka ivi..now i know..wale wa 'No comment' laleni mbele uko

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 5 лет назад +2

      Miaka yote alokua akisoma china hakuwa akiongea kiswahili lakini mwanzo mwisho hakuna no wala yesMwanaume wa ndoto yakila mwanamke

  • @janethmarealle3594
    @janethmarealle3594 5 лет назад +6

    'Uzuri wako' best song ever!

    • @rashidsaid1092
      @rashidsaid1092 3 года назад +1

      Huo mkao sio wa kiume usipende kukaa huo mkao

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 5 лет назад +30

    Nakupendaga sana kati ya wanaokupenda na mm nione

  • @mkomatembo
    @mkomatembo 5 лет назад +1

    Safi sana Jux nimeipenda Story yako ya Kimziki na kimaisha Very Good History si wengi wajuao

  • @swagimachafu8689
    @swagimachafu8689 5 лет назад +1

    congulatulation kk kwa kupendezaaa

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 5 лет назад +18

    Hapa bongo ni Jux na Ommy Dimpoz pekee wanajua fashion kwa wasanii wa kiume

  • @hilarysamwel6496
    @hilarysamwel6496 5 лет назад +32

    kama unasubiri part 2 gonga like apa

  • @musaalex2579
    @musaalex2579 5 лет назад +23

    Daah hizo pamba sio za nchii hii, ila Jux kauwa kama sio kumfunika Dozen

    • @halisiaisaya7832
      @halisiaisaya7832 5 лет назад +1

      Musa Alex jux yupo juu sana pia mzuli sana

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 5 лет назад

      @@halisiaisaya7832 Museme mashallah midomo mengine husda

  • @benimagaya2968
    @benimagaya2968 5 лет назад +3

    Sawa sawa Mfaume Wa Rnb #Jux Like Hapa

  • @lindsey9460
    @lindsey9460 5 лет назад +4

    both of these people are still in love

  • @ibrahimmariam7252
    @ibrahimmariam7252 5 лет назад +18

    Jux nakukubali. Sio uachane na mtu alafu unaanza kumchafuwa

    • @lucyaspenas4384
      @lucyaspenas4384 5 лет назад

      Kati ya wasaniii ambao nawakubali hapa tz, ni wewe jux keep it up ila chonde naomba mrudiane na wifi yetu wa Taifa V,money

  • @salumjumah4820
    @salumjumah4820 5 лет назад +7

    Dozen selection interview iko motoooo

  • @e.m.lgishinganotv7834
    @e.m.lgishinganotv7834 5 лет назад +1

    Jux man Good

  • @irankundasada4927
    @irankundasada4927 5 лет назад +9

    Nakupenda saana jux

  • @allymnzava3818
    @allymnzava3818 5 лет назад +5

    Jux umesoma bhana! Acha kuongea kiswahili kibovu! Sio "nyimbo yangu" bali 'Wimbo wangu'

    • @maryjosephat2885
      @maryjosephat2885 5 лет назад

      Jamaniii

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 5 лет назад

      Mi cjawai kusikia wimbo mpk nimekuwa mkubwa ujue.Nimeishi Zenji na nimezaliwa huko huku bara nimekuja kufanya kazi ndo nasikia wimbo ila mi najua nyimbo

    • @harnize_msafi
      @harnize_msafi 5 лет назад

      Una pesa ama unajua tu kumkosoa mwenzio?

    • @ishany6005
      @ishany6005 5 лет назад

      Riziki Bakar kbsa ni nyimbo huyo ni mshamba t

    • @CeeIgamba
      @CeeIgamba 5 лет назад +1

      Na bali ndio nn😏😏😏

  • @igorivannovnimbona2683
    @igorivannovnimbona2683 5 лет назад +24

    As our ex #teamvee +257 Niko hapa kusikiya his side talk about the sagga..like

  • @gastorjohn5308
    @gastorjohn5308 5 лет назад +4

    Talented host

  • @queenofambitiondeus8780
    @queenofambitiondeus8780 5 лет назад +8

    Jux umeniangusha mwanangu wa kike alikuwa anakuwa anakupenda Sana umuoe lakini nikamwambia huwezi muoa sababu unampenda Vanessa asome tu,ila Leo umemuacha Vanessa badala uoe mwanangu umeenda kuoa mchina why jux

  • @danielkembo2177
    @danielkembo2177 5 лет назад +2

    Napenda hii session asee

  • @samsonabel2031
    @samsonabel2031 5 лет назад +5

    Bro #dozen napenda Sana huki kitu chako inanisaidia kujenga imani ya safari yangu ya mafanikio, good interview, jux Yuko simple sama kumbe

  • @christinajoel7073
    @christinajoel7073 5 лет назад +4

    Nakukubali Sana Dozen

  • @ashurathabiti695
    @ashurathabiti695 5 лет назад +9

    Jux kupendeza ndo kitu anajuaga

  • @juliusdaniel3514
    @juliusdaniel3514 5 лет назад +4

    Kama Jux kaachana na Vanessa mimi ni nani nisiachane na Asha wa tabata

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад +10

    waandixhi nikama mnaigana baadhi ya vitu ,,,sio mbaya jitahidini kuwa bora zaidi na kufanya utofauti ,wa interviews,,,

  • @elishamwaipasi5469
    @elishamwaipasi5469 5 лет назад +1

    Hii interview mmeuwa ile knyamwezii

  • @TOP10-c9r
    @TOP10-c9r 5 лет назад +2

    the way he talks about Vanessa!!!!!anampenda huyu

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 5 лет назад +9

    Dada wolper nawe umekitembezaaaa 😂😂😂😂

  • @CobbaltTz
    @CobbaltTz 5 лет назад

    Dazen nataka unisaidie namba ya jux

  • @aishayahya7687
    @aishayahya7687 5 лет назад +2

    Nakukubal sana jux

  • @heriegbert6064
    @heriegbert6064 2 года назад

    Ninge full happy kama wangerudiana na vannesa mdee.

  • @tazasfilms
    @tazasfilms 5 лет назад

    aiseee

  • @fatumadaudi6453
    @fatumadaudi6453 5 лет назад +1

    Jux nakuelewaga sana we mtu

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 5 лет назад +17

    harmonize kwenye list ulimwacha jux hahaha huyu Dada kawakung!uta sana wanaume daa! kumbe na jux kapita makubwa

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 лет назад +17

    Daa bonge moja la show iko hot Sana

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 2 года назад

    Uyo Jack amelambwa jaman🙆🏿🙆🏿 kahaaa

  • @nasibukiangai4639
    @nasibukiangai4639 5 лет назад +3

    Mwendelezo plz

  • @DULLAHMASTER
    @DULLAHMASTER 5 лет назад +3

    B dozen nakubali sana umekua mfano mkubwa sana katika industry hii nikiendele kufualia kuanzi xxxl nagundua kua unaakili nyingi sana afu iq kubwa na industry unaijua

  • @dismaskelvin7522
    @dismaskelvin7522 5 лет назад +2

    Levels 🔥🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @princelukas5380
    @princelukas5380 5 лет назад +8

    Jamaa ukimskilza hachoshi anajua kuongea vzr

  • @dangoteeddow5118
    @dangoteeddow5118 5 лет назад +2

    Jux ulikwama wapi kwa Veeee Mapesa?

  • @nickymeel986
    @nickymeel986 5 лет назад +2

    Kumbe na wolper kapita huku😂😂😂

  • @yasmenoozm8094
    @yasmenoozm8094 5 лет назад +1

    Jux nakueshimu sana

  • @amoxisaac4912
    @amoxisaac4912 5 лет назад +1

    Na ipanda sana

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 5 лет назад +1

    Hawandowatu wakuhoji siounamuhuji limtuhalijitambui jux unashawishi kusikiliza kwakweli

  • @igorivannovnimbona2683
    @igorivannovnimbona2683 5 лет назад +3

    First viewer.first like

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 5 лет назад +8

    Mama miparushuti nae Katombesha Wengi

  • @beddahboy7757
    @beddahboy7757 5 лет назад +1

    Huyu ndo Star Wang

  • @emanueligidion8248
    @emanueligidion8248 5 лет назад

    Kijana unaeza walai

  • @richiepaul9383
    @richiepaul9383 5 лет назад +5

    Aixeeh DOZEN dondoxha part 2

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 лет назад +4

    Mwanaume unavaaje cheni tatu km dem bado hereni wakati kina juma naowajua ni makomandoo jeshini we kweli wa mama

  • @abdulmaster8550
    @abdulmaster8550 5 лет назад

    shoo kali shoo z kibabe big broo

  • @emanuelmhagama8193
    @emanuelmhagama8193 5 лет назад +6

    *interview kali sana dozen*

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 лет назад +3

    Jux, blue kabyser nä Ommy dimpoz km inspector Haroon kweny pamba

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 5 лет назад +12

    Jux upo juu umedeti na Jack wa wili

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 5 лет назад +6

    Maswali hayo jux kaulizwa interview nying sana bro jaribu kuwa mbunifu kwenye maswali kama lil ommy😊 ila show kali

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 5 лет назад +2

    Mmmh.....🤗

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 5 лет назад +6

    Binafsi naona Jux na Vee hawawezani too bad Vee was madly in Love with this mama boy😅 Sijamaanisha Vee alikuwa msafi ila alimpenda mwana. Interview bora sana japo jux yuko speed sana ongea yake haha lakini if you think hes talking too fast you all listen slow hahahah you here me?
    AY atabaki kuwa moja ya wasanii bora kabisa kwene maswala ya interview

  • @ramlaameer2057
    @ramlaameer2057 5 лет назад +3

    Dah jux ku2pia tyu

  • @jumasaid442
    @jumasaid442 5 лет назад +1

    Unajuw

  • @zachariabernard9660
    @zachariabernard9660 5 лет назад +2

    I am waiting for you

  • @monicaalute1777
    @monicaalute1777 5 лет назад +5

    Jamani umbea kibarua kwakwel, nimekomaa kuangalia interview ili nickie kile anaongea kuhusu Vanessa. Duh umbea mzigo sana

  • @tausishabani8778
    @tausishabani8778 5 лет назад +4

    Jux kaka napenda mavazi yako nyimbo zako nakukubali vibaya

  • @juliusdaniel3514
    @juliusdaniel3514 5 лет назад +1

    Dozen eee hiyo couple mliyotoka nayo leo inapatikana born two shine??

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 лет назад +8

    Jux kumbe nae ana domo😂😂

    • @zaliali9412
      @zaliali9412 5 лет назад

      🤣🤣🤣🤣Njo kuyiyona ?

    • @CeeIgamba
      @CeeIgamba 5 лет назад +1

      Na mate ,waaaaaa!!!

  • @nabyswabz1522
    @nabyswabz1522 5 лет назад +21

    Wambea Mko Faster....Hehe Sisi Wa Free Wi-Fi Tujuane Hapa

  • @saluuhans2037
    @saluuhans2037 5 лет назад +1

    biggest baddest wanyama wakali wamekutana

  • @ashurasaloum6012
    @ashurasaloum6012 5 лет назад +9

    Kumbe umesoma green acres 🔥

  • @terryabuu4884
    @terryabuu4884 5 лет назад +3

    Sawa wakuu

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 5 лет назад +7

    Makubwaaaa jacline worper kapitaaa hadi kwa Jux uwiiii🤔🤔🤔

  • @vanwizzy8658
    @vanwizzy8658 5 лет назад +2

    Dressing codes.. Noma saana

  • @gibsonyshadrack4543
    @gibsonyshadrack4543 5 лет назад +6

    Kwanzia Leo sitaki demu wangu aende harusin,kunakina jux watamchukua ahaaaa

  • @pilikasimu1593
    @pilikasimu1593 5 лет назад +3

    Wamependeza na suit zao

  • @jamaly5710
    @jamaly5710 5 лет назад +23

    Nazani mlipania kupiga pamba ila Jux shikamoo

    • @ramabendera8183
      @ramabendera8183 5 лет назад +1

      Jux akoseagi kwenye kutupia

    • @marymalaika476
      @marymalaika476 5 лет назад +1

      .....inaonekana wamevalishwa/wamenunua sehemu moja maana suti zinafanana tofauti rangi tu!🤔

  • @tinaseth7550
    @tinaseth7550 5 лет назад +4

    Duuu Jack cliff ,,,😭

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 5 лет назад +2

    Jux nakukubali sanaaa

  • @almasitv9748
    @almasitv9748 5 лет назад +6

    jux kweli vanesa umemtema,umekubali kumtaja jina na kumzungumzia jacline walper

  • @catherinephales4646
    @catherinephales4646 5 лет назад +4

    visuti vimekaaaa jaman mweee

  • @mwashbabytz2427
    @mwashbabytz2427 5 лет назад +2

    wolper tamaa zilimuandama jaman kaah sas huy mtu mbna hajamuoa

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 5 лет назад +2

    😢😢😢😢mwiendeleza jomon plz

  • @donkingtz1629
    @donkingtz1629 5 лет назад

    ruclips.net/video/es2xuQiyKB0/видео.html
    Huuu ndio moto wa street lab records #street lab records #konde boy #dimond platnamz #habba #contry boy #master j #darasa #mauwa sama #nandy #rubby #tetema #kanyaga kanyaga #luffa #s2keyz #mr t turch @preyzo #ekothe Kenya

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 лет назад +1

    oyaa leta part2 bana

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 5 лет назад

      Kumbe list ya hormonize ilikuwa kweli, wolpe ushadanga sana mpaka umezeeka

  • @masongatz
    @masongatz 5 лет назад +4

    Bonge moja la interviewmdundo.com/in/profile/139541

  • @modestebirindwa8693
    @modestebirindwa8693 5 лет назад +1

    😺😺😺😻

  • @aishamawalla1839
    @aishamawalla1839 5 лет назад +1

    Hii suti ni tam+hicho ki tisheti cheusi daaaah umenizuuuza

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 5 лет назад +5

    🤣🤣 ile yenye taa ipi sasa 🤣🤣clock tower bana

  • @Caromartial
    @Caromartial 5 лет назад +3

    Waah wolper shikamoo😅

  • @hellenimmaculate5953
    @hellenimmaculate5953 5 лет назад +10

    😂😂😂😂😂watu hawajamaliza video ila washadondosha komenti

  • @elickjohn3760
    @elickjohn3760 5 лет назад +3

    Jux ndo king rnb hakuna kama wewe

  • @watownsuleimany2470
    @watownsuleimany2470 5 лет назад +2

    Dozen🔥