THE CLASSIC JAY MOE PT 1 EP 2:LANGA ALINILIZA SANA/NAZIZI ALINIPA JINA HILI/BEEF NA ZAHRANI/MAJANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 апр 2024
  • Sehemu ya pili ya simulizi za Jay Moe katika safari yake ya maisha ya kimuziki hapa anazungumzia mengi ikiwemo namna Nazizi wa Kenya alivompachika jina la Jay Mo,Beef zake na Zahrani na Langa na mengine mengi

Комментарии • 96

  • @ericktona3638
    @ericktona3638 Месяц назад +10

    Huyu jamaa ni muandishi haswaa
    1: ukisikiliza alichoandika Mvua na jua utakubaliana na mimi kuwa mle aliumiza kichwa sana
    2: kama unataka demu aisee aliandika kusifia madem kitu ambacho alichotaja mle hadi sasa hizo sehem kuna madem wakali haswa
    3: Maisha ya boarding Aisee mle vitu alivoandika sisi tuliosoma boarding tunajua nini alisema 😂😂 ni ukwel mtupu
    4: Sasa akajaa kuuwa haswa kwenye Story 3 aisee 😂😂🙌
    5: Sikiliza I need Money 😂 vers moja kachapa kingeleza tüpü Afu kimenyoka haswaaaa
    6: Maliza Famous afu uje nitajie mwandishi wako bora wa hip-hop kumpita Super man 😂😂😂
    4:

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Месяц назад +15

    Wasanii wa zamani wanajuwa kufanya interview wanaongea vzr ,positive kabisa

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 Месяц назад +5

    Mo Tech Mo Fleva…..Best Storyteller best interview 2024, hizo zitakazokuja labda iwe ya Prof J au Majani au Mr. J.

  • @shedrackminja7334
    @shedrackminja7334 Месяц назад +6

    KUVI niaje mwamba kazi nzuri, ombi langu kwako ni uturahisishie na sisi mara moja moja uwe unatag hizo nyimbo unazokuwa unawasikilizisha kweny wasani kweny presentation. Najua nyingi hazitokuwa kweny online platforms cause ni oldies 😂, Ila fanya mambo mwamba KUVI much respect brother 💪🏾.

  • @saveklima4494
    @saveklima4494 Месяц назад +1

    Jay moe Mback yard, we ni msanii mahiri sana unajua sana. Unatakiwa kuungana na wasanii wengine kuunda chuo cha rap na historia ya bongo Rap. The Interview iko poa sana. Nawasikiliza toka Hamburg

  • @user-xm9wr1lk4t
    @user-xm9wr1lk4t Месяц назад +3

    Albums zake zote mbili ninazo ya kwanza ni ulimwengu ndiyo mama na mawazo ya jay moe

  • @kyambahacharles-mr4zk
    @kyambahacharles-mr4zk Месяц назад +4

    Much respect sana kwako brother, ndiyo msanii wa kwanza kwangu kutoa hela yangu ya Pocket money ya shule kununua tape yake ya ulimwengu ndiyo mama Ile ni mshambaaa..., mshikaji noma sana.

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j Месяц назад +7

    Jamaa yuko vizuri kwanzia kichwani shukurani kwa jabir kwa kutuletea vichwa

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 Месяц назад +1

      Kabisa hawa watu wenye akili ndio wanatakiwa kuhojiwa sio unahoji mtu anaongea upuuzi

  • @gRaY_S9N
    @gRaY_S9N Месяц назад +1

    Respect sana kwa #Jay #Moe
    Huyu Jamaa ni Talented sana ni mmoja kati ya Good Storyteller. Ishi sana Brother #So #Famous..🙏🏾🙏🏾.
    Endelea Kupeperusha Bendera..🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mashakamakoba7955
    @mashakamakoba7955 Месяц назад +2

    Shule ni jambo la msingi sanaa wasanii walosoma wanajua nini chakuongea na kuandika pia

  • @kherisalum6304
    @kherisalum6304 Месяц назад +5

    Huyu jamaa Ana consistency ya ajabu hajawahi kushuka Kama marapper wengine wa Bongo ✌️✌️

  • @NoahMalanga
    @NoahMalanga Месяц назад +5

    Jay to the mo, Mo technique, Mo fleva, Mo famous.....Living legend

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 Месяц назад +3

    Interview bors kabisa mzee jabir kuvichaka....naomba mum mumlete noorah babastyles inshaallah ❤️

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 Месяц назад +2

    It's true bro....sisi Kenya J ikiambatana M tayari wewe ni J moe❤

  • @wilsonrichardmabala6616
    @wilsonrichardmabala6616 Месяц назад +4

    One of the best interview, jamaa mkali sana sana...

  • @leonardcharles3169
    @leonardcharles3169 Месяц назад +5

    Wanamziki wa kizazi Cha kati wanatakiwa kujifunza sana kutoka Kwa jay Moe, hususani Nidhamu

  • @user-xo4re6ip9t
    @user-xo4re6ip9t Месяц назад +3

    Jay Moe yuko mbele ya muda sana.

  • @georgemathew9326
    @georgemathew9326 17 дней назад

    Broh naomba kuonana na wewe Jay Moe

  • @pewaabagenge
    @pewaabagenge 19 дней назад

    Nimependa hii podcast JayMo, big up Naz.

  • @Lg4343
    @Lg4343 Месяц назад +2

    Daah respect sana Faza huyu Jamaa namkubali sana natamani nije nimuone live aise nimpe salamu

  • @nehemia397
    @nehemia397 Месяц назад +3

    mzee safi sana unajua kumuacha mtu aongoe inakua safi sana ..

  • @ndesafanamfala5800
    @ndesafanamfala5800 Месяц назад +7

    Jmore Ukipenda Mbakiaji Ww ni Moja ya Washika kipaza Wenye kuogopwa ktk Hip hop ya bongo ni full package Nyota Yako siyo Mchezo Wajina Juma kiloboto analijua Hilo ww sooo...More Tec

    • @nicholausmbilinyi3587
      @nicholausmbilinyi3587 Месяц назад +2

      Nadhani Jay Moe hana nyota kali..maana kwa uwezo wake!alipaswa awe na heshima kubwa zaidi ya hii aliyonayo

    • @ndesafanamfala5800
      @ndesafanamfala5800 Месяц назад +1

      Kipindi Jmore anaingia ktk game Nature alikuwa Wamoto Majina Yao ya yanafanana Michano tofauti radha Kila Mmoja anayo kukawa na battle ya chini Kwa chini Juma yupi anatokea pande zp

    • @simonmwakifuna1287
      @simonmwakifuna1287 Месяц назад

      ​@@nicholausmbilinyi3587kabisa mkuu

    • @amonijajila1218
      @amonijajila1218 Месяц назад +1

      Live kabisa

  • @deopogbajr1304
    @deopogbajr1304 Месяц назад

    Anko jay moe unatema madini ki professor alaf juu suit chin moccasin, umepoa kiutu uzima kabisa yani salute ankol.

  • @antonyyohana6148
    @antonyyohana6148 Месяц назад +1

    Mwana yupo mbele ya mda sana so Namkubari sana iyo Bishooo Enz izo ilikuwa noma so much Respect Buddha.

  • @kibisionlinetv
    @kibisionlinetv Месяц назад +1

    Nafatilia sanaaa sijawahi comment ila jamaaa yuko vizuri

  • @ngomenyikani8475
    @ngomenyikani8475 Месяц назад +1

    Madini yakitema tutafanya docuseries 1 day

  • @frankkilemile2980
    @frankkilemile2980 Месяц назад +1

    Tunaomba tuletee huyu mwamba na nusu Crazy King GK mtu hatareee sana ewe mr Kuv Fact🙏

    • @boniphace1
      @boniphace1 Месяц назад

      Crazy GK hatari kabisa

  • @chandengao8795
    @chandengao8795 Месяц назад +3

    Akina mo walisoma music wengine katika mchakato wa maisha wengine walipata kipwampwam Cha mziki hawajui wengine walofanya mziki kabla yake.
    Nadhan haja ipo ya kuwatumia hawa watu kwenye kuunda kozi za muziki kwenye vyuo mbalimbali nchini
    Maneno yake ukiyachunguza yapo juu ya wakati

    • @hiphopoldschoolkalama1405
      @hiphopoldschoolkalama1405 Месяц назад

      Jamaa wamesoma. Hawa wa sasa ni balaa tupu.

    • @paulchaula2583
      @paulchaula2583 Месяц назад

      Watu n walimu was mziki Ila sio Wana mziki no content kabisa kumbe wapo watu wenye content na wanaishi nao

  • @abuubaqr5808
    @abuubaqr5808 Месяц назад

    Trueeeee, we grew up listening to jay, story tatu was huge back n made major impacts on our lives

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 Месяц назад +2

    Story 3 tofauti mzee wa kuvi iguse

  • @peterjohn8405
    @peterjohn8405 Месяц назад +1

    Hongera kwake jay Mo kwa kuendelea kujiweka vizuri.

  • @BabuuWakitaa-pb6gr
    @BabuuWakitaa-pb6gr Месяц назад +2

    Brother fanya kutuletea DIZASTA VINA tulishe ubongo kk please

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 Месяц назад +1

    🙌🏾

  • @lucaspius1048
    @lucaspius1048 Месяц назад

    Big up to jaymoe, nakumbuka album yake ya kwanza ilikua moja ya album zangu kali kabisa ambazo niliwahi kumiliki wakati huo.

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Месяц назад +1

    Wasanii wa sahv empty head kbs

  • @razackkasanga5288
    @razackkasanga5288 Месяц назад +2

    Jay Moe 🎉🎉

  • @VisualsByEnokaOti
    @VisualsByEnokaOti Месяц назад

    Nimesubiri kwa muda kusikiliza wale jamaa toka SOLID GROUND FAMILY walitoa wimbo kwa jina Asubuhi, Mchana na Usiku

  • @nsajigwajuliusmwakatobe
    @nsajigwajuliusmwakatobe Месяц назад

    Jay moo yupo vizur kwa upande reall hip pop

  • @Yegon254
    @Yegon254 Месяц назад

    I am eagerly waiting for part 2

  • @stephenmwita5857
    @stephenmwita5857 Месяц назад

    The interview was lit,Jaymoe kept it real

  • @mshangaf1726
    @mshangaf1726 Месяц назад

    hizo brand za nguo hajapronounce vizuri exept paul smith

  • @expeditormkoka3609
    @expeditormkoka3609 Месяц назад +1

    moe hatari sana akuchoshi story zimenyooka

  • @surveyexpeditorstanzania429
    @surveyexpeditorstanzania429 Месяц назад

    This is definitely one of the best interview ever! Kuvi unajua sana kutafuta info asee. Jay Moe smart sana!

  • @barakamalanga4977
    @barakamalanga4977 Месяц назад

    Nakukubali tangu zaman big up mbakiaji

  • @user-kq2lx6zo9d
    @user-kq2lx6zo9d Месяц назад

    Napenda kumuita MO Technic

  • @abdalamhamed3586
    @abdalamhamed3586 Месяц назад

    Interview yeee

  • @mpaligwajunior7835
    @mpaligwajunior7835 Месяц назад

    Mo teckinic Mo fravel 💥💥

  • @leonardmavulla675
    @leonardmavulla675 Месяц назад +1

    Mo majakumu haipatiakani Ktk platform za music na mtoto wa mjini Remix pure one black ft Ay nazitafuta sana

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 Месяц назад

    Best interview best Mcee much love from kenya nmekua shabiki wa jay mo toka wayback

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth Месяц назад

    Kaka angu kabisa ww... nakubal sana

  • @bernardmunuo2137
    @bernardmunuo2137 28 дней назад

    2pac wa bongo

  • @ZakayoReuben-ow9tz
    @ZakayoReuben-ow9tz Месяц назад

    Comment ya kwanza kabisa

  • @nassoloabdala8836
    @nassoloabdala8836 Месяц назад

    Dah ai no fim me deixou

  • @msavageisco5897
    @msavageisco5897 Месяц назад

    🚀🚀🚀

  • @abdalamhamed3586
    @abdalamhamed3586 Месяц назад

    Make sure jumamos J moe anatokea

  • @georgerogath374
    @georgerogath374 Месяц назад

    🙌

  • @kennedymwagambo7197
    @kennedymwagambo7197 Месяц назад

    Mo Techniques !

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 Месяц назад

    Mark 2 B aka Simba dah

  • @muddymassah8998
    @muddymassah8998 Месяц назад

    Mshikaji ni mshambaaa kumbe ni mbabaishajiii

  • @Hauleshabby
    @Hauleshabby Месяц назад

    Jay moo nuksii

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS Месяц назад

    Nazizi First Lady wa Rap

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 Месяц назад +3

    Buana Jabiri tuletee king crazy Gk

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад +1

      Nasikia eti yupo kwenye msongo wa mawazo na anatumia sembe sana ila ni tetesi zipo tu.
      Ila ni legend sana

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  Месяц назад +1

      Hayuko tayari yeye mwenyewe mana nmimualika hafiki

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад +1

      Inshallah ipo siku atakubali kuja

    • @nyemondagalla608
      @nyemondagalla608 Месяц назад +1

      Siku akikubali basi itakuwa poa sana

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 Месяц назад

    Ulimwengu ndio mama na ile album ya Mangwair mpaka leo ukisikiliza ni km simetoka leo

  • @BabuuWakitaa-pb6gr
    @BabuuWakitaa-pb6gr Месяц назад

    Moo mwamba ....

  • @Jabali_Media
    @Jabali_Media 27 дней назад

    JIPANGE

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 Месяц назад

    Bab kubwa moe

  • @makantaafrika
    @makantaafrika Месяц назад +1

    Lugombo hakujuaga kama huo wimbo alikuwepo Jay Moe 😂😂

  • @ramamsukuma
    @ramamsukuma Месяц назад

    mbona huja mhoji kuhusu baba levo Ile inshu mpaka akaingilia moni au atarejea Tena?

  • @zaharamlau8817
    @zaharamlau8817 Месяц назад

    J to the Mo😂😂😂😂😂😂

  • @uwezokinahi7870
    @uwezokinahi7870 Месяц назад

    Tuletee Dizasta vina

  • @blessedtabatasengelight
    @blessedtabatasengelight Месяц назад +1

    KUVI umemwacha Jmo atiririke na content alizo jipanga nazo sana,uja mchimbua kindaki ndaki...alikutanaje na FA na ingekuwa Vp?Vip ngwea walikutana vp?alikuwa mkali ndio ila nani ali mfanya aone kama awezi alipo ingia kwenye gem?

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  Месяц назад +1

      Ww hapo una maswali yako ambayo si mbaya ukiandika hapa nkakuulizia ,pili tutakua na Part 2 hadi 3 if possible ana vitu vingi,tatu ukimkatisha anaweza akasahau alichotaka ku adress mwenyewe kwanza kabla ya maswali yetu pia wapo ambao uki
      Katisha wanapiga kelele hapa hapa 😀

  • @user-kq2lx6zo9d
    @user-kq2lx6zo9d Месяц назад

    Huyu bro ni mtu na nusu

  • @FadhiliKato
    @FadhiliKato Месяц назад

    Tmu na nusu motek

  • @MohamedAhmed-yi7qz
    @MohamedAhmed-yi7qz Месяц назад

    kuweka you tube na watu kuskiza sasa mbona mnakata sehemu ya mziki ya mtu anayehojiwa

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  Месяц назад

      Nyimbo kasikikize kwenye account yao mkuu ,hapa zina hakimiliki hatuwezi kutumia boss

  • @richzebest2029
    @richzebest2029 Месяц назад

    Mbona umekata kipande cha langa na jmo...bongo miyeyusho sana