- Видео 182
- Просмотров 1 569 427
KuviFacts
Добавлен 11 май 2023
THE CLASSIC WABOGOJO 2 : KUKUTANA NA CELINE DION/MAZOEZI MAKALI YA MWAKA MZIMA/BONGO KUNA DHARAU
Hii ni sehemu ya pili ya maongezi ya mkali Wabogojo kuhusu maisha yake na anasimulia zaidi juu ya maisha yake.
Просмотров: 312
Видео
THE CLASSIC WABOGOJO : MWILI WA DHIHAKA ULIOGEUKA WA THAMANI/MIAKA ZAIDI YA 20 YA SARAKASI/MR NICE
Просмотров 1,5 тыс.12 часов назад
Wabogojo ni moja ya wasanii waliobariki uwanja wa Burudani Tanzania kwa aina yake,akiwa ni mana sarakasi ameweza kufanya makubwa ndani na nje ya Tanzania ,hii ni sehemu ya hadithi ya maisha yake.
THE CLASSIC STOP THE RHYMECCA EP 2 :ARUSHA RAP NA MAUAJI YA VISU/SANAA ZA MAPIGANO/STYLES TATU
Просмотров 1,2 тыс.День назад
Sehemu ya pili ya maongezi ya moja ya marapper waliodumu zaidi patika historia Stoppa The Rhymecca
THE CLASSIC STOPA THE RHYMECCA : MIAKA 31 NDANI YA GAME/MCHAWI WA FLOWS BONGO/VURUGU NDANI YA CLUB
Просмотров 3,9 тыс.День назад
Stopa Rhymecca ni moja ya wanahiphop waliodumu kwa muda mrefu bila ya kuchuja kali wake,ni moja ya wanahiphop wenye mashabiki wengi sana sio tu kaskazini bali Tanzania nzima,hii ni sehemu ya hadithi ya maisha yake na kazi zake
THE CLASSIC NYOSH EL SADAAT 2 : KUCHANGIWA VITA NA BENDI ZA KIBONGO/NITAONGEA UKWELI KHS FM ACADEMIA
Просмотров 1 тыс.21 день назад
Hii ni sehemu ya pili ya madini mengi toka kwa mtaalamu wa muziki wa Dansi Nyoshi El Saadat ambapo anaendelea kufunguka mengi kuhusu yeye
THE CLASSIC NYOSHI EL SAADAT : SIKUINGIA KWENYE MUZIKI KWA NJAA/MIONGO MITATU NA ZAIDI KWENYE GAME
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
Hapana shaka kua Nyoshi El Saadat ni moja ya waimbaji bora sana wa muziki wa Dansi wa muda wote nchini,akiwa ni mhamiaji tokea Congo ameweza kua juu kwenye muziki nchini kwa zaidi ya miongo mitatu sana,hii mi sehemu ya historia yake ya maisha ya sanaa na mengine kwa ujumla
THE CLASSIC SOLID GROUND PT2 EP 2 :WIMBO MGUMU ZAIDI KUANDIKA/STORY YA BABA JENI/SASA MUZIKI RAHIS
Просмотров 628Месяц назад
Episode ya pili ya sehemu ya pili ya mahojiano na moja ya makundi bora ya muda bote ya Bongofleva
THE CLASSIC SOLID GROUND PT 2 : SISI NI KUNDI BORA MUDA WOTE BONGOFLEVA/DAZ NUNDAZ TULIWAKALISHA
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
Solid Ground Family wamerudi tena kwenye The Classic kuendelea walipishia sehemu ya kwanza,katika episode hii wamezungumza mengi ambayo pengine hukuyafahamu hapo kabla
THE CLASSIC LAMAR PT 2 EP 2 : DAWA PEKEE KWA CHIDI BEENZ NI HII/ ANAPASWA AFANYE MAAMUZI
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
Lamar katika sehemu hii anamzungumzia Chidi Beenz ,msanii ambae wamefanya nae kazi kadhaa ambazo zilfanya vzuri sana lakini amekabiliwa na changamoto kubwa ya uraibu wa madawa ya kulevya.
THE CLASSIC LAMAR PT 2 EP 1 : NILIPOTEZWA KIMUZIKI/NILIGOMA KUTAWALIWA
Просмотров 2,1 тыс.Месяц назад
Lamar amerudi tena kwenye meza ya The Classic kwa ajili ya sehemu ya pili ya mahojiano juu ya maisha yake ya kimuziki,katika sehemu hii Lamar anazungumzia namna ambavyo alikumbana na changamoto ya kubaniwa na kupotezwa kimuziki baada ya kugomea kufuata matakwa ya wadau wakubwa wa muziki.
THE CLASSIC WITH STEREO PART 2 EP 2 :MATATIZO NA FRIDA AMANI/DHANA YA UKOROFI /KHS CLASSIC MATERIAL
Просмотров 1,7 тыс.2 месяца назад
Episode ya pili ya maongezi na Stereo singa katika sehemu ya pili ya mahojiano ya rapper huyu makini na mwenye uwezo wa hali ya juu katika historia ya rap Bongo,
THE CLASSIC STEREO PART 2 EP 1: BEEF NA WEUSI/SIKUWAHI HOFIA MSANII YOYOTE/TAMADUNI MUZIK VS WEUSI
Просмотров 2,4 тыс.2 месяца назад
Stereo amerudi kwa mara ya pili kupiga stories nasi ambapo anaendelea kutupa stories nyingi ambazo pengine hukupata kuziksikia kabisa ,enjoy!
THE CLASSIC STEREO EP 2 :DISS KWA GOSBY NA IZZO B/BEEF/WATU KAMA HASHIM DOGO WANATOWEKA
Просмотров 3,4 тыс.2 месяца назад
Sehemu ya pili ya maongezi ya mali Stereo nani ya The Classic ambazo anaeleza kuhusu diss kwa wasanii Izzo na Gosby ambo aliwadiss kwenye moja ya nimbo zake sambamba na menige menig juu ya muziki wake
THE CLASSIC STEREO : RAPPERS 20 BORA WA BONGO/KWA NINI ANAITWA STEREO/SAFARI NA NIKKI MBISHI/M LAB
Просмотров 9 тыс.2 месяца назад
Stereo ni moja ya ya Mc's bora kabisa waliopo Tanzania na Afrika ya Mashariki,uwezo wake Latina ushairi na iirambao ya rap ni wa kiwango cha juu kabisa,naye amefika kupigahadithi muhimu za maisha yake na muziki wake pia tukiangaza kazi zake classic kabisa.
THE CLASSIC LAMAR EP 2 : GEEZ MABOVU NI TOP 5 RAPPER/LANGA NI HATARI/KUMUIBUA YOUNG DEE/DIAMOND PLAT
Просмотров 3,8 тыс.2 месяца назад
Sehemu ya pili ya maongezi na Mali Lamar ambapo anaendelea kufunguka mambo mbali mbali ya kazi zake na maisha kwa ujumla kupitia The Classic
THE CLASSIC LAMAR 1: NILIANZA NKIWA MDOGO SANA/MAANA YA FISHCRAB/SIKUWA NA MIKATABA NA WASANII
Просмотров 8 тыс.2 месяца назад
THE CLASSIC LAMAR 1: NILIANZA NKIWA MDOGO SANA/MAANA YA FISHCRAB/SIKUWA NA MIKATABA NA WASANII
THE CLASSIC FATMA 2 : KAMA SI KAKA YANGU MAFISI WANGENIMALIZA RUSHWA YA NGONO/TOKA RAP HADI UIMBAJI
Просмотров 9382 месяца назад
THE CLASSIC FATMA 2 : KAMA SI KAKA YANGU MAFISI WANGENIMALIZA RUSHWA YA NGONO/TOKA RAP HADI UIMBAJI
THE CLASSIC FATMA : WIMBO NA JOS MTAMBO BILA KUMUONA/STORY YA ALIFU KWA UJITI/RUSHWA YA NGONO TATIZO
Просмотров 1,3 тыс.2 месяца назад
THE CLASSIC FATMA : WIMBO NA JOS MTAMBO BILA KUMUONA/STORY YA ALIFU KWA UJITI/RUSHWA YA NGONO TATIZO
THE CLASSIC HK 2 : KUJITOA NA USALITI KWA WASANII DHIDI YAKE/WANANIHOFIA KUWAFUNIKA
Просмотров 4432 месяца назад
THE CLASSIC HK 2 : KUJITOA NA USALITI KWA WASANII DHIDI YAKE/WANANIHOFIA KUWAFUNIKA
THE CLASSIC HK 1 : HYPER MAN ALIEBEBA MAMIA YA VIPAJI/UWEZO WA JUU WA KU HYPE KATIKA HISTORIA
Просмотров 9962 месяца назад
THE CLASSIC HK 1 : HYPER MAN ALIEBEBA MAMIA YA VIPAJI/UWEZO WA JUU WA KU HYPE KATIKA HISTORIA
THE CLASSIC PNC 2: SINUFAIKI NA NYIMBO ZANGU MITANDAONI/SIJUI PA KUANZIA/UKWELI JUU YA OSTAZI JUMA
Просмотров 2,4 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC PNC 2: SINUFAIKI NA NYIMBO ZANGU MITANDAONI/SIJUI PA KUANZIA/UKWELI JUU YA OSTAZI JUMA
THE CLASSIC PNC : NDOTO ZA MUZIKI ZILZOKWAMA LICHA YA KIPAJI/SAFARI YA CHANGAMOTO YA MUZIKI
Просмотров 9 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC PNC : NDOTO ZA MUZIKI ZILZOKWAMA LICHA YA KIPAJI/SAFARI YA CHANGAMOTO YA MUZIKI
THE CLASSIC MASTER J 2 Ep 2 : P FUNK NI BORA ZAIDI YANGU KWENYE HIPHOP/RADIO ILITUGOMBANISHA MAKUSUD
Просмотров 8 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC MASTER J 2 Ep 2 : P FUNK NI BORA ZAIDI YANGU KWENYE HIPHOP/RADIO ILITUGOMBANISHA MAKUSUD
THE CLASSIC MASTER J PT 2 Ep 1: BONY LUV NDIO BABA WA BONGOFLEVA/MIKA NI DOGO/SIKUMKUBALI TID/UJINGA
Просмотров 8 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC MASTER J PT 2 Ep 1: BONY LUV NDIO BABA WA BONGOFLEVA/MIKA NI DOGO/SIKUMKUBALI TID/UJINGA
THE CLASSIC MTANGA EP 2 : NKITONGOZA WANAWAKE WANAONA NACHEKESHA/NAONA AIBU KUZAMA GESTI/CHANGAMOTO
Просмотров 2,2 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC MTANGA EP 2 : NKITONGOZA WANAWAKE WANAONA NACHEKESHA/NAONA AIBU KUZAMA GESTI/CHANGAMOTO
THE CLASSIC MTANGA : ZAIDI YA MIAKA 20 YA UIGIZAJI NA UCHEKESHAJI/HAIKUA RAHISI KUTOBOA
Просмотров 4,7 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC MTANGA : ZAIDI YA MIAKA 20 YA UIGIZAJI NA UCHEKESHAJI/HAIKUA RAHISI KUTOBOA
THE CLASSIC DAZ NUNDAZ PART 2 ep2 :DAZNUNDAZ WALITEKA MSANII MSANII WA SOLID GROUND/KIINI CHA BEEF
Просмотров 2,8 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC DAZ NUNDAZ PART 2 ep2 :DAZNUNDAZ WALITEKA MSANII MSANII WA SOLID GROUND/KIINI CHA BEEF
THE CLASSIC DAZ NUNDAZ PART 2 ep1 : FEROOZ ALIFUKUZWA SHULE KISA MUZIKI/UTUNZI WA JUU WA BARUA
Просмотров 10 тыс.3 месяца назад
THE CLASSIC DAZ NUNDAZ PART 2 ep1 : FEROOZ ALIFUKUZWA SHULE KISA MUZIKI/UTUNZI WA JUU WA BARUA
ZANZIBAR HIPHOP : RAP TYRE (MONTELL FOSTER) AZUNGUMIZA HARAKATI ZA AWALI ZANZIBAR/KUSAIDIA RAPPERS
Просмотров 4643 месяца назад
ZANZIBAR HIPHOP : RAP TYRE (MONTELL FOSTER) AZUNGUMIZA HARAKATI ZA AWALI ZANZIBAR/KUSAIDIA RAPPERS
THE CLASSIC MKWERE 2 : SIWEZ KUTUMIA MAPAMBO YA KIKE AU KUGIZA KIKIKE/WASANII WA KIKE WATAFANYA NINI
Просмотров 2,3 тыс.4 месяца назад
THE CLASSIC MKWERE 2 : SIWEZ KUTUMIA MAPAMBO YA KIKE AU KUGIZA KIKIKE/WASANII WA KIKE WATAFANYA NINI
Kwa mbaliiiiiiii namuona gego master😂😂😂😂
Respect kwake wabogojo master ✊🏾
Nama maisha minayo ishi kweli haya maisha yanakwisha shangazi nipe kijiko nijipakulie ni fid napiga titapa titapa midomobya asali miguu ya bangili imeni ooh shida zimenizidi STAILI YA MZEE WA FIRE HIYO
Kuna ngoma mmoja ya Dola sikumbuki jina lakin nakumbuka mistari hii "huyu mtoto amenipeleka mbio hadi nimefika sabasaba"....kitu kama hiyo nani oengine ako na fahamu nayo ?
Walete LWP na GWM hao ndio Classic...
Hii interview kumbe ilikuwa trh4-11???!! Oyaaaa Kuviii mwaka ushapita tyr mtafute tn huyuu mzeee for part two banaaaa😅😅
Acha niicheki tuu hii interview meyb kuna kitu ntapata ama kujifunza but juzi sikutaka kbs kusikiliza hii interview Kuvi, sijui kwann. Uwaga nina kasumba mm binafsi yakuona wengne siyo watu classic😅😅😅.
Labda unamuongelea stopa. Nenda mtafute Kwa wakati wako kwenye sources zako haf ungeona hii comment yako ni 🚮
Duuh hata wahaya wanasubir kwa mcongo kujisifia...
The bad news dandara. Yokoi little boy my G
Kweli na hii ndiyo staili ya kujitambulisha kwake aisee
Mtu pekee alienifanya nikafaham kuna kiumbe anaitwa Fredi Joo ni Niga C. Anasema... nlivozidisha kuna manzi akanipa pochi, ili nkirudisha chenchi tena nchenchie kwenye pochi..., baunsa akamaindi akaja nipiga madochi mzuka wa fredi joo ukatokea sura yake ukageuza panchi. Goma linaitwa Niko bwii ft JCB.. 2013 hiyo kama sikosei. Nadhani hiyo verse niga c aliitunga akiwa hajasizi😂😂
One of the best ever🙌🙌🙌🙌🙌
Intro msimuliaji kulindwa nimuhimu D,vina anaitaji ulizi
Mkongwe sugu heshima kubwa xnaaa kwake
Wabogojo wa Moto sana
Jabir muonekano wako ni kama 👉 biggie notorious 💔 msani wangu wa hapa nyumbani 🇺🇸 USA
Jay moe Nakubali kabisa kwa kumukubali Professor Jay 👑
tangu Burundi 🇧🇮 mu 2003 mimi ni shabiki wako PROFESSOR JAY 👑 Hadi ivi niko USA 🇺🇸, uwa napenda hip hop sana tangu Longtime.
Rafiki yangu alikua mfuga sungura sana ❤
Safi sana kaka
Bongo record❤ thanks majani tuli enjoy sana enzi hizo❤
Complete mc
wimbo wa style 3 ni Ringtone kwenye simu yangu
part 2 muhimu aise,kuna waturu kwa ujumla yokoi hajawagusa kabisa
Sawa sawa
Nomaaa
Stopa Yokoi
Jamaa ana michano noma kichizzzz
Sema TU bongo noma ila ingekuwa mtoni huyu jamaa angekuwa mbali sana ni sawa na kuzungumzia Migos ya Leo marekani
KuviNawanae🎉
Ebwana kwenye haya mashindano mimi nilikuwepo. Stopa amesahau hapo kwamba Harcore Unity walileta vagi kimtindo mpaka mmiliki wa Cristal Club akafika kwenye meza ya majurge kubalance mambo. Stopa amesahau kumzungumzia Kabelo kama bodyguard wao, ilikua moto sana. Nakumbuka mmiliki wa Cristal alimuita Stopa nakusema anachana kama maji yanataririka. Alitisha sana
Aisee SWAGA za stopa zilikuwa hatare na kuongeza chachu kw nchi yetu ya chuga na Ile staili ya tantwiswa namkubali sana stopa kiukweli
Kaka unajua kuhoji mtu
Namkubali Sana msanja Bai loja dodoma
😂😂😂😂 daaah nimekutaa,,,,,
kama rappers wa Arusha wangekuwa wanabebwa unadhani kunge kuwa na wasanii wangapi kwenye industry mbn wanaojulikana wasanii wachache kichiz toka chuga
Nimesikiliza yote Hadi Mwisho
Pamoja sana brother
Yoooooh
I know you maniga slt my G
Dope man
Yokoi hatari.
Salehe hapo sasa mlete na bonako itakuwa bonge lashow naye anamengi sana hatujawahi kumskia akiongea tangu n2n ivunjike
Mbaya sana huyu nomaaa
✊🏿👮🏿♂️
Noumer mno Stopa the rhymes
Bleacher
For really, I do appreciate you , for instance Nyaluland song
Nashindwa kuelewa kwanini kila mtu anayeizungumzia Hardcore Unit anawataja only Spark Dwag, Lord Izz na JCB lakini hawamtaji Microphone Chief Mastef? Embu waulize hilo swali Allykhana from Copenhagen Danmark
Alimtaja
Style 3 ndani ya track 1
Blue
Uyu jamaa ni pakeji sana
Damme stoppa anaonekama Mtu wa ma story sana
Niko mtu tatu ndani ya track moja... yokoiii.
Yokoooooi mturu