MAKONDA AMWAMBIA MAKAMU MPANGO - ''NIMEKULA KIAPO na WADUDU - WATALINDA USALAMA''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 апр 2024
  • MAKONDA AMWAMBIA MAKAMU MPANGO - ''NIMEKULA KIAPO na WADUDU - WATALINDA USALAMA''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 26

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @GeogilinaJosam
    @GeogilinaJosam Месяц назад +3

    Mweshimiwa Rc MR Makonda nakuombea kwa mwenyezi mungu akuzidishie maisha marefu nakuombea Kila mara mungu akuzingushie damu Yake ikulinde ktk maisha Yako ktk huai wako wote.nakupenda sana.endelea na nguvu zako usirudi nyama.

    • @GeogilinaJosam
      @GeogilinaJosam Месяц назад

      Baba chapa kazi usiogope mtu au maneno kusemwa kupo uwezi kukwepa.ww angalia kazi kwa kwenda mbele rekebisha paliko kosewa.nakupenda Sana Kwa kujitoa tukipata watu watano km wewe nchi yetu itakuwa ya kusimuliwa kihistoria.

    • @Filmz639
      @Filmz639 Месяц назад

      Amen

    • @dismasmtui729
      @dismasmtui729 Месяц назад

      Mbona kama anazungumza kama ni kikao cha chama.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +4

    Rais wangu Samia tunakuomba wastaafu tuongeze Pay ya kila mwezi.Tunayopata hatoshi hata kulipia maji na umeme ni kidogo mno.Mtu kwa mwezi sh.100000 200000.yaan Rais tunapata wakati mgumu.❤❤❤

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u Месяц назад +1

    Nani km makonda Mungu akulinde baba 🎉❤❤🎉🎉

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +1

    Rais wangu Samia ongera sana kwa kumchagua Makonda kuingiza Arusha.Yaan Makonda Moto sana.Ongera Mwanangu Makonda❤❤❤❤❤

  • @PetroShuka
    @PetroShuka Месяц назад +1

    Kazi kazi tu, hakuna kulaza damu

  • @user-ys3gt8lp5h
    @user-ys3gt8lp5h Месяц назад +2

    Makonda Tz inamkubali sana sio uongo

  • @user-hi4je4du7e
    @user-hi4je4du7e Месяц назад

    Makonda hupo vizuri sana mama Samia makonda kahamsha arusha naomba mama Samia makonda hakae miez.6tu arusha haje Kilimanjaro hapo mchezo humekwisha hapewe huwazir hiyo kichwa mungu hambarik

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 Месяц назад +2

    RC. Makonda ndiye Rais awamu ya 7 kadri ya mapenzi yake Mungu

  • @stanleysamwel5449
    @stanleysamwel5449 Месяц назад

    Mwaka huu 2024 sherehe ya wafanyakazi atawachapa viboko

  • @Filmz639
    @Filmz639 Месяц назад

    Makonda anaakili nyingi sana

  • @andrewmziray1535
    @andrewmziray1535 Месяц назад +2

    Chadema ni kama kishindo cha wakoma kiliwakimbiza washami

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah Месяц назад

      ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👍

  • @esthernakawule7009
    @esthernakawule7009 Месяц назад

    ❤❤

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 Месяц назад

    Makonda piga kazi

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 Месяц назад

    Nitakoroga 😅😅

  • @HALIDMOHAMED-zs6xd
    @HALIDMOHAMED-zs6xd Месяц назад

    Viongozi wote wakikuwa kama makonda 2025 wakipata kura ila mama ao viongozi wake wengine ndio sio

  • @hawaa341
    @hawaa341 Месяц назад

    Arusha Kumenoga hatri

  • @user-cd1qj9hi5m
    @user-cd1qj9hi5m Месяц назад +1

    Makonda wewe nijembe

    • @GeogilinaJosam
      @GeogilinaJosam Месяц назад

      RC Makonda fanya kazi mungu ndo mlinzi wako mkubwa.unachokifanya ww wengine kujitoa km ww unavyo fia wananchi wako wakati si ndg zako wa kuzaliwa nao.ila unaipenda nchi Yako Acha chama km chama naomba ukipata muda nitafute mwanangu au kakangu.

    • @user-fk1fd8on6e
      @user-fk1fd8on6e Месяц назад

      Naomba awe rais ,,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤