KIPINDI MNAENDEKEZA UZINZI NA UASHERATI/NDO KIPINDI NIKO ZANGU TANDIKA NIKIUZA MIGUU YA KUKU KASHATA NA KALMATI/NIKIJENGA FUTURE YANGU MAMBO YA KIPUUZI MIE SITAKI #WhyAlwaysMe 🙏🙏
This young Man has just done right to poetic injustice. He's articulated, updated on modern day politics n He's just a huge power house n I would love to see him with King Kaka or Ambwene do something in future.
Siku zote naLike tungo yoyote ya na NACHA hata kabla ya kuangalia.. Sababu najua leo najifunza kitu kipya.. Huyu ndio aina ya wasanii tunaowahitaji.. Wanaofundisha na si kupotosha.
WATU WANAFAAA KUMSIKIZA HUYU JAMAA ANAELIMISHA SANAA HIZI NDIZO NYIMBO ZINAFAA KUSIKIZWA NA WAZAZI NA WATOO HUYU JAMAA NIMKALI SANAA KWA UANDISHI NAMPER NUMBER MOJA LIKE KAMA UNAMKUBALI 🎹🎹🎹🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Why always us daaah nacha cjawah kukosaa nyimbo yako yoyote na toka nimeanza kusikilizaa nyimbo zako kunakitu kimeongezekaaa kichwan big up broooo sansiro imekumc
Ila we jamaa unanifundisha vi2 vingi xana.nikixikiliza hii ngoma na Who I Am /. Grow up / Darasa huru /My god. Ww ni mwalimu toxha na mm ni mwanafunzi wako 👏👏👏👏
When it comes to artists who feeds our brain with what it needs for the recent time,, NACHA I give you the Crown. You're Brighting our brains on what is in our society. Keep moving Mzee, we are with you together. Let your music shines more🌍
Kaka nakufatilia sana nyimbo zako zinafundisha sana sema ni watu wasoelewa mziki ndoo watasema huwezi ili ww ni namba moja kwa rapa wa hapa bongo nakupa %%%%%%%%%%%1000000
Mara nying sana huwa napenda sikiliza ngoma za nacha ninapoamka na nipolala hunifany niamke kwenda pambana na niposikiliza usiku hunifanya niwaze na kufkiri kuhusu Kesho angu....# bro....unaongea reality ...more than reality
😄😀😂😂🙏🔊 🎤🎤wakat wao wanaxhkwa vichwa🎧 kwa midundo ya mapenz💏 et MTASUBIRI SANA🎵 Sis tunamsikiliza🙇 NACHA ili tumpate DARASSA🖍️ na MAARIFA🔦 ili tujue nn chakufnyaa 🤔🎵 Wakt unafurahia et OKA na UKWA ipo no 1 on trending🎵 Me nakaa chin na kutafakar nyimbo ya Nacha👉""WHY ALWAYS ME✳️🎵 Lengo;✍️ To knows how I can using my skills inorder to " ""GROW UP💯🔰🎵🔊✊,,,,, more respect brother♨️♨️♨️ NACHA OUSAM 🇹🇿🇹🇿🥰🎶🎶🎶🎶🔊
THANKS ALOT FAM...ENDELEA KUENJOY MADINI FOR FREE....WHY ALWAYS ME AUDIO INAPATIKANA KUPITIA @BOOMPLAYMUSIC @MDUNDOMUSIC.COM STREAM & DOWNLOAD #NyasubiNdaniYaMbanyu 🧠👍✍️📖🙏💪
Sawa
Mkali Sana wa hiz kaz
Pamoja
Nakukubli kaka
nacha unajuwa kaka
Nani anafuatilia hichi kitu mpaka sku hizi 2024 kama mimi? Mnipe likes zaku hapa ✅
Pamoja
Nipo hapa
KIPINDI MNAENDEKEZA UZINZI NA UASHERATI/NDO KIPINDI NIKO ZANGU TANDIKA NIKIUZA MIGUU YA KUKU KASHATA NA KALMATI/NIKIJENGA FUTURE YANGU MAMBO YA KIPUUZI MIE SITAKI #WhyAlwaysMe 🙏🙏
Tunaosubiria tujuanee NACHA GENIUS ✊
Kubwa alafu ni kubwa zaidi, nzuri alafu ni nzuri mno, tamu alafu tamu mpaka basi kibu, kiburudisho cha masikio yangu
NACHA WEWE NI SUPER STAR TENA MKUBWA SANA NAAMINI KWENYE KILA KITU CHAKO
Najivunia kua na uraia moja nawe wa East Africa am proud of you bro much love from +254
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
"Njia pekee ya kuwapunguza marafiki ni kuwatangazia kuwa una shida."💥💥💥💥
Isee huyu nacha ni kiboko siku zote lazima niksikilize nyimbo zako kaka hongera sana
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
We ni mkali mwanangu natoka kenya 🇰🇪 napenda kazi yako sana,,njia pekee ya kupunguza marafiki ni kutangaza una tatizo💯💯💥💥💥
Ukitaka kumwelewa Nacha inabidi uwe na akili ya ziada 🔥
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
Kabisa
𝒂𝒎𝒊𝒏𝒊𝒊 𝒌𝒂 𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂𝒂𝒂𝒂 𝒖𝒚𝒖𝒖𝒖 𝒎𝒕𝒖𝒖𝒖 𝒃𝒘𝒂𝒏
Wimbo mzuri Sana unajua jembe langu, umetoa elimu n ujumbe umeufikisha.
Hujawahi kufeli hata siku moja ila wachache ndo hua tunakuelewa mwamba weka na daresa huru🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
SIHITAJI MARAFIKI AMBAO VICHWA VINAWAZA MZINGA HAVINA POSITIVE MINDSET #WhyAlwaysMe
Wimbo huu unatakiwa upigwe Kila siku asubhi na usiku kabla ya kulala, na media zipige bfr taarifa ya habari. This is poetry bro 🔥🔥
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@@shukurumsemwa5992 kwahyo ni kweli amenyongwa?
@@missmwayway4704 coment ili ilikosewa iyo sorry
@@shukurumsemwa5992 ok
I don't just comment on music videos...but as a poet lover I have to appreciate this spoken word. IT'S A PIECE BROTHER
Why Always Me
Poet yako nimeielewa bro, salute kwako
Muziki WA Hip Hop Ndo mziki wakuongea Ukweli.
Bro 💥💯 tumechoka Kusubiri trust the process
This young Man has just done right to poetic injustice. He's articulated, updated on modern day politics n He's just a huge power house n I would love to see him with King Kaka or Ambwene do something in future.
Siku zote naLike tungo yoyote ya na NACHA hata kabla ya kuangalia.. Sababu najua leo najifunza kitu kipya.. Huyu ndio aina ya wasanii tunaowahitaji.. Wanaofundisha na si kupotosha.
Thanks Alot...Please Watch & Share 📗🧠📖💪 #WhyAlwaysMe
We mwamba wa miamban very good kaka
Mpo wachache Sana tz mnaofanya hip hop Kali kama hizi you are most of the best bro ,nacha
💪💪💪
WATU WANAFAAA KUMSIKIZA HUYU JAMAA ANAELIMISHA SANAA HIZI NDIZO NYIMBO ZINAFAA KUSIKIZWA NA WAZAZI NA WATOO HUYU JAMAA NIMKALI SANAA KWA UANDISHI NAMPER NUMBER MOJA LIKE KAMA UNAMKUBALI 🎹🎹🎹🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
SAHIHI
Young Legend!! Really Hiphop Artist
Unanisaidia sana kwenye ufundishaji wa poetry darasani... Thanks bro
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
𝑱𝒂 𝒃𝒍𝒆𝒔𝒔
Kaka umeupiga mwingi sana nakukubali sana👂💥💥
i wish nifanye interview na wewe hapa rabbi television nimekufatilia sana utunzi wako you are next level genius poetry MAY GOD BLESS YOU TO SHINE
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Hapo ulipo ni baba na upo kwa baba unangoja ulee.
Umetisha mwamba bonge la chuma, haujaacha kitu. God bless you always
Much love and respect ..... Manzee. ....ww Ni mwalimu wa fasihi .... Keribu Kenya bro ...tunaitaji kuwa karibu naww utuelimishe ..... Big up ....
Karibu Kenya bro .....
Acha Mambo yako sisi wenyewe bado tunashida naye
Jamaa anajua sana huyoooo aisee god bless you 🙏🙏 nacha uendeleee kutupa ujumbe
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
Only new generation can understand you. Salute Nacha 🔥
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
Nacha baba lao jamn Yan nime kusikiliz mpk mwish unajuw San Yan
Huu ndiyo wimbo wangu bora2022/23
👊
@@Nacha_ousam tishaaaaaaaa
Why always us daaah nacha cjawah kukosaa nyimbo yako yoyote na toka nimeanza kusikilizaa nyimbo zako kunakitu kimeongezekaaa kichwan big up broooo sansiro imekumc
Huu utata ni wakigeration Nacha!! Godspeed
Mob love from Kenya.. Hii ndio Hiphop halisi. Nacha and Fid Q are my favourite East African Poet artist🔥🔥🔥
Huyu jamaa ana deserve zaidi sana daaah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Nacha bro umesoma sanaaa,,,, au? mbona unatoa ngumu sana mpk nakosa kukuelewa salute bro
Always when i listen to nature i have to replay his work..... Rich in wisdom.
MSIACHE KUONJA MBOGA EVEN CHUMVI KAMIKSI LAIZA ✔️💪✍️🧠
Tupengezane Panapostahili.👏👏👏👏Ongera Jamaa Fulani kutoka Nyasubi ...Umeupiga Mwingi Kaka
Keep it up hii siyo nyumba ndogo au sugar sugar, amazing song we should like and not dislike
My brother you always you touch my brain you learn me how I can trust my self for real big up my brother ✊✊✊✊
Daaah sina chakusema umetisha sana brother @nacha
💪💪💪
Nacha Genius 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kuna nacha mmoja tu Tz
Ila we jamaa unanifundisha vi2 vingi xana.nikixikiliza hii ngoma na Who I Am /. Grow up / Darasa huru /My god. Ww ni mwalimu toxha na mm ni mwanafunzi wako 👏👏👏👏
Nakukubal sana💪💪💪💪🔥🔥🔥
Yes yes leo nimetumia Mb's kuskiliza ya msingi 👏
💪💪💪
When it comes to artists who feeds our brain with what it needs for the recent time,, NACHA I give you the Crown. You're Brighting our brains on what is in our society. Keep moving Mzee, we are with you together. Let your music shines more🌍
nobody like your self actualization🙏🙏🙏
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
You're a teacher indeed..... Ngoma zako zitumike shuleni E.Africa maze .... Ni fasihi simulizi men
UhakikA kakA
Kaka nakufatilia sana nyimbo zako zinafundisha sana sema ni watu wasoelewa mziki ndoo watasema huwezi ili ww ni namba moja kwa rapa wa hapa bongo nakupa %%%%%%%%%%%1000000
💪💪💪
This poet is the best in this generation.
💫👊👊yea
Mara nying sana huwa napenda sikiliza ngoma za nacha ninapoamka na nipolala hunifany niamke kwenda pambana na niposikiliza usiku hunifanya niwaze na kufkiri kuhusu Kesho angu....# bro....unaongea reality ...more than reality
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@nacha always utabaki juu na kipenzi Cha watu kwani nyimbo zako zina touch 🔥
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Nacha dizasta vina na toxic aisee mnajua sana🥰nawakubali mnoooo
The real meaning of literature 👊🏼👊🏼 big up sana NaCha
🔥🔥🔥 I
Nacha ni mkenya au Tanzania mim sijui 🤝🙏💥💥💥💯💯🥰🤝
Lile shindano la freestyle waliona huwezi wale washikaj zako wa kahama wako wapi walichana saana ile ngoma ya nyasubi support them bro
bro tunashukulu kwa elimu nzuri wapumbavu awaerewii💪💪💪
Appreciate bro 💯💪 more life More blessing more talented 🙌🙏
NIKIJENGA FUTURE YANGU MAMBO YA KIPUUZI MI STAKI #WhyAlwaysMe
Nacha! the big brain who educate the new generation
Umakini unaitajika sana..From Kenya Nacha Ousam tunakupata vizuri sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😄😀😂😂🙏🔊 🎤🎤wakat wao wanaxhkwa vichwa🎧 kwa midundo ya mapenz💏 et
MTASUBIRI SANA🎵
Sis tunamsikiliza🙇 NACHA ili tumpate DARASSA🖍️ na MAARIFA🔦 ili tujue nn chakufnyaa 🤔🎵
Wakt unafurahia et OKA na UKWA ipo no 1 on trending🎵
Me nakaa chin na kutafakar nyimbo ya Nacha👉""WHY ALWAYS ME✳️🎵
Lengo;✍️ To knows how I can using my skills inorder to " ""GROW UP💯🔰🎵🔊✊,,,,, more respect brother♨️♨️♨️ NACHA OUSAM 🇹🇿🇹🇿🥰🎶🎶🎶🎶🔊
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
We jamaaa nakukubal cku zote fund
Nacha Nacha Nacha
Nimekuita mara 3, Hakika Mungu akubariki na akupe maisha malefu bro uzidi kuwapa watu madini kama haya 👏
nakubal mkali keep going we need streer lectures like this full content
Bro we ndio mwandishi bora wa Mashahili kwa kizazi hiki salute kwako
Nacha never disappoint 🔥🔥
Bro yan nasikiliza paka chozi linatak kunitoka wew ni genius kama alivyosema mr blue salute bro
💪💪💪
All new generation can appreciate it ✊🤞
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Dah Qummmakee 🙌🙌🙌 oya sio powa Nacha umeupiga mwingi Why always me nasubiri upige collabo na Roma au stamina ng'oma iende mbali
😪😪😪😪 Tujali familia zetu ,Tuwe wa Mungu kwa roho ,moyo wa kweli
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Zaidi ya mara 5 nimeskiliza..Talented Sana bro
Kweli nimepata Madini na shule bila Ada✌️
Nyasubi Worldewide Up Straight To The Sky! 🔥🔥🔥
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Why always me,, creatively music broh
King kaka in bongo 🔥🔥💯💯one love nacha
Why Always Me
Njia pekee ya kuwapunguza marafiki ni kiwatangazia una shida ,,,,,salute Nacha
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
I appreciate my brother..we need musician like you💥💥 Deep thinking big up🔥🔥🔥
Mwenye kuelewa na aelewe sanaaa Nacha nakubali ujumbe mzuri sanaa 👌👊
The poetry of all year, best artist @NACHA, I'm repeat to watch and listen for many time, big up my bro, Hii ni KUBWA.
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
Madin yanazid kumwagwa huku...Booow..Nacha
Let's Go bro Trust The Process 🙏💪
Hongera sana @Nacha, wimbo wako una madini tupu, please keep it up!
Bro you killed it once again sichoki kupata darasa huru🔥🔥🔥
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
Tunakuelewaa sana Nacha...., pande za nyasubi..
Hands up Mr Nacha🙌🙌
Ebu jaribu hizi verse tukutambue we ni mnoma kwa spoken word pia hehe 😁
Sawa Kaka tumekubali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nyasubi ndani ya mbanyu
this is Art at its finest....this is NACHA
hakuna ngoma Nacha ambayo cna ile mauti na kesh yngu oyaa wee unajua mwanang we ni inspiration tunae kutaka
💪💪💪
Nacha ousam..... Talent boy 👊👊👊
Wee ndio mbali wao, salute
NACHA OUSAM 💥💥 hii tunatrend broh🙌🙌 let's support this poetry..
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
MUZIKI NI KITU PEKEE KINACHOWEZA KUTUUNGANISHA NA KUTUBURUDISHA... UFANYE WIMBO WA WHY ALWAYS ME KUWA NI ANTHEM...SHARE LINK TUENJOY KWA PAMOJA...
I can't wait to hear good lyrics from holy mouth 👄
Safi hii ndio nyimbo sasa...hongera
💪💪💪
I real appreciate you bro ..big up ✋✋✋👊👊👊
Nacha my brother Everytime unanitolea madini,, aaanh my next king unajua sanaaaa brother
This is more than song, keep it :-👊👊
NA KINACHONIUMIZA NI KUONA DEGREE HOLDERS WAKISAKA KAZI NA WENYE KAZI AMBAYO INAHITAJI DEGREE HAWANA DEGREE HIO NDIO KAZI #WhyAlwaysMe ✍️🧠🤛
As an Artist.... Been waiting for this and here is the best Message
Thanks Alot...Please Watch & Share 📗🧠📖💪 #WhyAlwaysMe
Nilisubili sanaa ngoma mpya kutoka kwa msanii wangu bora Tz Nakubali sanaa nachaa nyansubi ndani ya mbanyuuuu
Why Always Me
I fell in love with your talent
My gee ur a king mashairi hayachosh skio kuskilza it's like chakula cha uzima jaah bless you 🗽🗽
Why Always Me
Resp3ct mabro we go on top5 on tranding soon 🙌🙌🗽🗽
Nacha' i found difficult to describe you, but it is easy to say that what you 're trying to say is fully of content. God bless you!!
It's all about bitter truth
Dah!!! bro umeimba sana haswa nimependa pale kwenye mwakinyo mana watanzania wanatabia kumshusha mtuu kumpandisha mtuu
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠