ASANTENI SANA WATU WA MUNGU KWA MAPOKEZI NA SAPOTI YENU KUBWA MBARIKIWE SANA....🙏🙏🙏 CHA MSINGI UKIPATA NAFASI NI VIZURI KUMSAMBAZIA LINK MWENZAKO ILI TUPATE WOTE ELIMU NA BURUDANI #NyasubiNdaniYaMbanyu
Nacha nashindwaa kukuelewa kichwa ni kidogo umri pia mdogo lkn umemeza madini makubwa kaka tunaokuelewa tupo wengi tnapenda mziki wako xio utaniii Ny@subi ndani ya mbanyoooo......wana gongeni like tuifikishee bas
Nacha ni msaniii ambae Sanaa yake haito kuchosha unampo m kiliza anapotoa tungo zake maana tungo za nacha ni darasa wenngi tunaisoma Mimi namuita teacher wa kiswahili like zionyeshe kama kweli mmemkubali nacha
Nakukubali bure bro kama cku zngekuwa znaongezwa nngekuongezea zangu ili uendelee kuishi mana una funza jamii kuliko ao wengne wasiojua chochote kaz yao kupotosha tamaduni za kitanzania.....respect kwako Mungu yupo kwaajl yako tofaut na yule😁😁...gonga lyk kama unamkubali NACHA✊✊
🔥🔥Daaaaaaa My people believe kuna hawa vijana wawili @Nacha &@Manengo_tz wanapswa kupewa tuzo bila upendeleo kabixa....tuwaamin they can take hipop to the next level na huitazama🇹🇿kwa nicho la3......big up My Brother #Nacha salute kwake bearbeatz_tz na @ghostkifaa🤝
Kaka kaka me nakupenda Sana napia nakukubali Sana ninanyimbo zako Kama kumi napia nilisha sikiliza nyimbo zako kama 30 apa nimedanlodi nyimbo zako zakutosha barua sitaki madem hod Hadith jua lile namwani MUNGU nanyingine tu nyingi kaka ❤❤❤ natamani atasikumoja unipezawadi kaka nitafurahi Sana
😂😂😂😂😂😂😂😂 Kama umesikia *"Mwenye mmvi katolewa kule kapokelewa ukooooo"* gonga like za LOWASSA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nacha unajua aisee wewe ni Icon kwa watu wenye uelewa 💪💪💪💪
Uandishi zaid wa ngughi wathiongo...... Kumbumbatia anaekufilisi ni saw na kumuozesha mgumba kw khanisi. Asee ngoma ni moto sana. Ngong like kam umevutiw na huo mstari
Nacha my nacha...dhuuu from Burundi your real fan...Barua hii kiboko ...naomba next song tuashilikish R&B kings...Barnaba..Ben au konde.keep on my favorite rapper
ASANTENI SANA WATU WA MUNGU KWA MAPOKEZI NA SAPOTI YENU KUBWA MBARIKIWE SANA....🙏🙏🙏 CHA MSINGI UKIPATA NAFASI NI VIZURI KUMSAMBAZIA LINK MWENZAKO ILI TUPATE WOTE ELIMU NA BURUDANI #NyasubiNdaniYaMbanyu
Hii ngoma lzm ku share na wana
Ajibu
Mo wa Simba
Lowassa
Shishi
Sifa za kuonekana rijali..
Nyihogo kwa mama njunju !😂😂😂hy mistar utatumaliza kaka, wakilisha vyema sna nyasubi ndani ya mbanyu🙏🙏🙏
Nacha jewel hyo naiona naipatajee mwananguu?!0714003527
Umetisha chal wangu
hujawai kukosea mdau wangu nakubali kichwa yko Ina mistari kuntu
Nacha napenda mistari yako nakukubalisana nawewe kama una mkubali nacha gonga like yako.
🙏🙏🙏🙏
Mwamba unajua ball Sana
Siachi kukufuatilia
Oyaa we jamaa unajua xanaaa mzee nakukubali miaka buku
Nacha nashindwaa kukuelewa kichwa ni kidogo umri pia mdogo lkn umemeza madini makubwa kaka tunaokuelewa tupo wengi tnapenda mziki wako xio utaniii Ny@subi ndani ya mbanyoooo......wana gongeni like tuifikishee bas
🙏🙏🙏🙏
Kbsa ndgu ulichokiandika nacha ipo cku watu watamuelewa
Ezekiel Evarest kaka tunamuelewa huyu jamaaa ni wachache sana lkn anachokfanya kinaeleweka vzr xana ipo xku na imekalibia ndgu
Nakulewa mpk kesho brooo👏👏👏👏 unaweza mpk umepitiliza
@@Nacha_ousam mbingun nicpokukuta shetani naenda mshitaki kwa mungu!!
Nacha kiukwel nimekuwa shabiki yako namba moja kwa wasan wa tz kwa sasa hongera sana
Kwann huwi star 🌟 at mm ni mwezi siwez kuwa star
Aaa wapi, hodi, subili kwanza, barua 👏👏👏 nacha umeua sana kaka
*Kama una mkubali Nacha gonga like*
skuping apo✊✊👏
🙏🙏🙏🙏
We in this togeher..
Kaka unabalaa sana
Ukimtegemea mwarabu akinuna anapost twitter🇹🇿
🔥🔥🔥dah ngoma nzuri san big up NACHA
Yap Yeya Broo Nacha Ousam Nakusikiliza Tangu Day One ✌🏾✌🏾.
🙏🙏🙏🙏
Masister duu wabishi waliukataa umamantilie leo wanamkubali Shishi umetisha sana NACHA
🙏🙏🙏
I love this song..Watanzania wanajua kuandika nyimbo, sio siri..rich in flow and a great voice. Beats zimeweza..ever on repeat mode
nakubari katika uwezo wako kaka BIG UP XANA Nyasuby stand up
Dah!! Nacha noma SNA et unatumia darubini unataka kuiona pepo kama unamkubali honga like nying nying
🙏🙏🙏🙏
Gud bro big up
Big up nacha ...tunakuaminia hapa Nairobi kenya tunakusikiliza tu @#pascal kenya hapa
..
NACHA .......254....LOVES YOU MUCH....... BECAUSE YOUR CREATIVITY IS BEYOND IT ALL............and the instrumentals on point
🙏🙏
Mulla records ama ??🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@maskartedu2422 yeah
@@MULLAMUSICWORLDWIDE Big up Bro #mstic pale 👊🏾👊🏾
Nacha ni msaniii ambae Sanaa yake haito kuchosha unampo m kiliza anapotoa tungo zake maana tungo za nacha ni darasa wenngi tunaisoma Mimi namuita teacher wa kiswahili like zionyeshe kama kweli mmemkubali nacha
Nacha nakukubali sana tz shy, khm, nyasubi🙌🙌🙌🙌
Braza@#ukovizuriiiSANAAAA.. Unafundishasanaaaa... ❤❤👍🏻👍🏻Goos song..mziki unao ima ni mzurisanaaaa🙏🏻🙏🏻🦅 Usibadilishe mziki..
🙏🙏🙏🏼
N.A.C.H.A 🔥 🔥 🔥 🔥 Barua kazi nzuri kaka Mwenyezi mungu azidi kukutia nguvu kwenye safari yako ya music 🎶
NACHA PULL UP BRUH ✊ #Kutoboa kupo palepale Kama ilivyoandikwa
Msilie masister wabishi mliukataa mama ntilie leo mnampa heshima shishi 🔥
🙏🙏🙏🙏
Nilifunzwa kusimama pale ninapoanguka chini, nilifunzwa kuacha kazi pale Azana inapoazini.👍
🙏🙏🙏🏼
Ukisikia sanaaa ndio hiki anachokifanya Nacha , Big Up sana
naimani broo ipo cku utatoboa mzee kazana sana mungu wa diamond ndio mungu wako inshallah ipo cku cku zamu yako itawadia🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🏼
Naacha historia Zaid ya Mbozi na kimondo wanyiha tunaelewa🔥🔥🔥🔥💪
Nyansubi ndani ya mbanyu we jamaa unajua sana nakubali sana mwanangu kazi kazi kama unamkubali nacha dondosha like hapo chini
🙏🙏🙏🙏
Daah kama umeielewa ngoma twende sawa nyasubi ndani mbanyu
🙏🙏🙏🙏
Umetishaaaa broooooo kuanzia grow up mpaka kwenye barua
🙏🙏🙏🙏
Nakukubali bure bro kama cku zngekuwa znaongezwa nngekuongezea zangu ili uendelee kuishi mana una funza jamii kuliko ao wengne wasiojua chochote kaz yao kupotosha tamaduni za kitanzania.....respect kwako Mungu yupo kwaajl yako tofaut na yule😁😁...gonga lyk kama unamkubali NACHA✊✊
🙏🙏🙏🙏
@@Nacha_ousam support moja bro....kazi na ubunifu mwema
Hamna kinachoshindikana kwa mungu we muombe 2 siku zako zipunguzwe halafu apewe nacha
@@triplejsportstv9411 nakubali
Upcoming kala jeremaya
Leo ni wa kwanza to comment kutoka kenya
Una kipaji cha hali ya juu sana wa mashairi yako✍✍✍✍, Ila ucjali utafanikiwa tu endelea kupambana tu .👍👍👍👍👍
🙏🙏🙏
🔥🔥Daaaaaaa My people believe kuna hawa vijana wawili @Nacha &@Manengo_tz wanapswa kupewa tuzo bila upendeleo kabixa....tuwaamin they can take hipop to the next level na huitazama🇹🇿kwa nicho la3......big up My Brother #Nacha salute kwake bearbeatz_tz na @ghostkifaa🤝
Nyasubi ndani ya mbanyu Atari Sana nacha
unyama bruh✊👏👏
Kaka kaka me nakupenda Sana napia nakukubali Sana ninanyimbo zako Kama kumi napia nilisha sikiliza nyimbo zako kama 30 apa nimedanlodi nyimbo zako zakutosha barua sitaki madem hod Hadith jua lile namwani MUNGU nanyingine tu nyingi kaka ❤❤❤ natamani atasikumoja unipezawadi kaka nitafurahi Sana
Nacha Anaudai Sana Mziki wa Bongo, Big Up Bro 👊🏽
Nacha only you boy unajua mpaka unakera
Nacha ukiwatajaa marapper bora Tz nacha naye yupo✌️ best rapper in Tz🎬. #Bless#Broo
🙏🙏🙏🙏
Dah.....ekeni like zake kwa apa maana.......sina usemi Msiwe kama bendi za taarabu wallah tena hii nyimbo ispokua trending nawalaumu wadau🤗Nacha
Huyu jamaa anajua sanA.......kama umeuelewa huu wimbo uko na akili za kutosha💥💥
🙏🙏🙏🙏
Nacha hujawahi niangusha since day one naskiliza nyimbo zako
🙏🙏🙏🙏
Sijachelewa 🔥🔥🔥
Hujawahi nuangushaaa..... Ipo siku watakubali na watalitaja jina la nacha kama best hiphop in tz
Asanteeee saaanaa mkuu Amina
Own style,
Creative
Tarented
Nachart is💥💥💥
Nakubali
🙏🙏🙏🙏
Kama kawaida yako Nacha hujawahi kutuangusha wafuasi wako na mwona roma ndani yako na nakuona wewe ndani ya roma big up sana
🙏🙏🙏
Nani anaangalia hii video huku akisoma comments kama mm tujuane please❤🌸
🙏🙏🙏
🙌npo.nafanya hvyo na mm
Mimi apa♥️♥️
Mm
Hakuna wimbo haujaiimbia Jamii, bonge moja la mwandishi Hongera kazi zako nzuri
🙏🙏🙏
KAMA UMEIELEWA BARUA WEKA LIKE HAPA.
Mfalme wa kuandika mashairi makari.. Umeshidikana broo sjutii kuwa shabik ako.. Nyasubii 4rever
🙏🙏🙏🏼
😂😂😂😂😂😂😂😂 Kama umesikia *"Mwenye mmvi katolewa kule kapokelewa ukooooo"* gonga like za LOWASSA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nacha unajua aisee wewe ni Icon kwa watu wenye uelewa 💪💪💪💪
🙏🙏🙏🙏
Nnjia yako imenyooka
Uko vzr mwandishi
Ttz ni yule alie achiwa barua kwa ujinga akaichana bila ht kuisoma🙏🏼
🙏🙏🙏
Kama unamkubali NACHA gonga like hapa 🔥🔥
Noma umejikuta leba kisa majibu yanecta 🙌🙌🙌🙌
Kaz nzuri bro 👐
🙏🙏🙏🙏
*wanangu ebu fatilia aina ya uimbaj utagundua kitu big up mwamba*
🙏🙏🙏
Kama unaangalia hii video huko unasoma comment gonga like APA #barua#nyasubi..ndani..ya.mbanyu
Huyu muhuni ili kumwelewa inabidi ule ushibee mamaee 🙌🏾
🙏🙏🙏🏼
Sema nn bro cjawahi kukupinga 😂😂😂 ambao walikuwa hawakuelewi sahv naona wana tune notifications kwa account yako ili waone unafanya nn daily 🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏
Mwamba upo good sana kwenye hii Fani
🙏🙏🙏
Nyasubi For Life 🇰🇪
Hapa nacha mm nakup big up sn maan hii Ngoma hakuna atakaeiskiliza mala1 lazima atailufiat 💥💥💥💥👏
🙏🙏🙏🙏
Wanaomkubali nacha acheni like zenu hapa tujuane
Duuu huyu jamaaa noma aiseee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💜💜💜💜💜💜💜
NACHA🔥
Ebhana eeh daah Bonge moja langoma bonge moja la ujumbe 👏👏
🙏🙏🙏🙏
Naomba like 20 hapa please, show love
🙏🙏🙏🙏
Uko juuuuuu
@@seifmunguamlazemaalypemada8150 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nakubali ngoma kaliii sana big gap nami nimo ila sjapata nafas
Wa Tanzania like zangu apa 😁✊🏾
nacha ww.... present ya ile future tulingojea💥💥👍
NACHA,
You just killed it
I love your music
Daaa nacha kaka unajua xanaa mzee tuko pmoja
🙏🙏🙏
I have listened and watched again and again and i can say this is pure talent.creativity√
Uandishii bolaa kbx......!!! Kila cku unakuja kitofautiii
Kahama stand up like za nacha hap
#SIO UTAn blood EndeleA kuamsha 🌍🌍🙏🏾💪🏾☄
Nan anakubali kuwa nacha anachana kama roma gonga like hapa tujuane
Good music n pamoja na ujumbe wake sio beat big up nacha nyasubi ndani mbayu 🙏🙏
🙏🙏🙏
Uko vizuri mdogo wangu
I see u international msalimie teacher mlvy
You deserve more attention bro 🔥🔥🔥🙏🙌
Asanteeee saaanaa
Kusema ukweli huyu dogo anajuwa sana
True
@@nassirsaid682Calling him dogo is disrespectful to me that’s a grown man
IPO poa sana yaaaaan
🙏🙏🙏🏼
Wale ambao wameona vyakuesabia tujuane hapa
My fevorate rapper napenda sana nyimbo zako zinanifikirisha mno kuelewa
Nice song sanaaa???
🙏🙏🙏
kama unamkubali uyu jamaaa gonga like apa
Bro unatisha ngoma Kali sana watakuelwa tyu mungu akuongoze kweny safar yako
🙏🙏🙏🙏
Another Level Bro💯💯🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏
Uandishi zaid wa ngughi wathiongo......
Kumbumbatia anaekufilisi ni saw na kumuozesha mgumba kw khanisi. Asee ngoma ni moto sana. Ngong like kam umevutiw na huo mstari
Sjawai pata like leo naomba mana nmewahi ngoma ya mwaka
🙌🙌 nacha ebu wachanee iii barua its so hot ✌✌
🙏🙏🙏
Hii ndo Bongo ndo maana huwa nacheka/
Mnaponipeleka nikasomee u dokta VETA/
😂😂😂
Best all the time, unajua sanaaa #Nacha
Since day one i believe in ur talent en creativity
🙏🙏🙏🙏
Ilaa wew sio mtu mzuriii
🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
Hunaga mbaya kaka bigup sana
Tunao mkubali Nacha ebu gongeni like apa
Nacha my nacha...dhuuu from Burundi your real fan...Barua hii kiboko ...naomba next song tuashilikish R&B kings...Barnaba..Ben au konde.keep on my favorite rapper
Kama na wew umerudia zaid ya x2 gonga like
Muda utaongea mdogo wetu,we ni bonge la msanii💪💪
🙏🙏🙏🙏