mzee nacha nakuelewa sn mzee na often huwaga nazielewa sn kaz zko ikiwemo iyi ya saivi "hadithi" big up sn, ila muwe mnatuletea maandaground jamani na c wasanii wakubwaaaaa.... muwe mnatuletea wasanii ambao bdo hawajatoka bana na sio wasanii wakubwa km Nacha...
Umenata na BEAT kama GAUCHO na mpira kwenye PITCH..... Hujaniangusha umezitendea haki beat umediriki kufanYa mapenzi na BEAT zote na mwishO wa picha zimezaa MASHAIRI makali zaidi ya SIMBA anaemuwinda YANGA mdangaji...... 💪💪💪💪💪💪
kuna show zinakuaga kali mpaka unatamani zisiishe. big up kwake Nacha...
mzee nacha nakuelewa sn mzee na often huwaga nazielewa sn kaz zko ikiwemo iyi ya saivi "hadithi" big up sn, ila muwe mnatuletea maandaground jamani na c wasanii wakubwaaaaa.... muwe mnatuletea wasanii ambao bdo hawajatoka bana na sio wasanii wakubwa km Nacha...
Nacha Namkubali sanaaaaa...usijilinganishe na Mimi.
Nacha msanii mzuri Sana napenda nyimbo zake Sana,,,usikate tamaa boss time will tell
Moja Moja hapo wote
ase msisahau kumwambia moni na contry wakamchumu msela ,,,kwere sana mchizi nacha
Iv wale mnaoombaga like iv huwa mnazipeleka wap??
Yupo vizur sana bidii na juhudi zitamfikisha mbali sana
Home boy Nacha...keep it up bro...
big up sana Nacha kazi Yako nzur sana inatuelimisha sana
Big up Nyasubi ndani ya mbanyu✊✌
😁😁😁 wakitaka bata tabata, nacha anjuwa sema kalegeza sn yan very slowly..
Nacha nakuelewa sana bro nasaut yako iko bomba sana
Mrudisheni Naguar the Durable
Daaah nacha umetisha sanaaaa
Umetisha sana nakubali sana nacha mi mshabiki wako sana
Umenata na BEAT kama GAUCHO na mpira kwenye PITCH..... Hujaniangusha umezitendea haki beat umediriki kufanYa mapenzi na BEAT zote na mwishO wa picha zimezaa MASHAIRI makali zaidi ya SIMBA anaemuwinda YANGA mdangaji...... 💪💪💪💪💪💪
Noma sana nacha katisha
Wasukuma wenzangu like hapa please 😂 fid q chama nacha y killer
Nacha mkali sana aisee
From BUKOBA nahitaji niwakilishe
Salute sana mzee baba
Sharap ap San.
😁😁😁😁 wambie wavae kufuli mana Martin Kadinda... like, if umeelewa lakini....
Nakubali mkuu wangu
mabinti wa siku hiziiiiiiii ukiona wanakumpenda maka-mboo ngasa hahahahahh shikamooo kwa walioelewa
Mzee baba anajua Sana 💉💉💉🙌🙌🙌
Nyasubi,nyamanoro hadi nyegezi
Dah! Apa uliua saaan brother
SAFI SN MZEE BABA
anajua kichz gonga like kma umemkubal
Fundi Sana
Mganga naipa 100%💪💪💪
🦅🦅🦅🦅
Cku moja muwalete wte wakali wa michano life wafanye collabo
Bg up
Nyasubiiiiiiiii is on fireeeeeeeeeeee #nachaaaaaqqa
Namuelewa xana huyu mwamba
Respect bro nacha
Noma sana mtaalamu WA hadithi
nacha mkali sana anajua ila cjui nn asee awikii
Nyasubi in the mbanyu
Nakubali blaza pambana
nyasubi... kahama.. SHINYANGA
Janja noma
Jamaa ananata na beat afu kiulain
Ni yule Boss mpya
Nacha ni 🔥🔥🔥
Moja moja ama mbilimbili
2019 kumedamshi noma sana
Noma sanaa
Kahama NYANSUBI nyumbani
Massive bro.....Much appreciation
Namskia Ruff mc kwa Nacha kuanzia michano mpaka upangaji wa mistari
Uweza bro
Moto huyu jamaa
Nachaaaaaaaaaa!!! Appreciate You guY.....
Just take a bottle of soda and I gonna pay it for Youuuuuuu
#Ur the king of Kahama
Nacha unajua 💪🌍
Nacha HATARII KAHAMA OYEEE
😂😂😂🤣🤣🤣Hip hop inachekesha san jamaa Alivyo anzaa apoo kama umeelewa Basi unaijua Hip hop
Jonathan Felix kasema ‘nasubi ndani ya mbaa nibebee’ kamaanisha nin bro
I like it
nakubali sana kazi mzee wa nyasubi
Ayeee
Umetishaaa Sanaa Na Unaweza Sana Bro Tunaitaji Kaz Zako Za Kutosha Mtaani
Umetisha mzee baba
Noma kweli boss mpa mjini
Asante kwa kuiwakilisha vyema sana Nyasubi yetu. Umetisha sana ninjaaaa....!!!
Kaiwakilisha kahama
7th COmments.. +RUclips naomba reply button
Aya tumekupa, umefrai eeh
hatari sana jamaa anajua sana
Good saana captain
Kizaziiiiiiiii
Kijana anajua sanaaaa
Nice work mzee baba
Nimekuelewa nacha
hip pop 4 lyf..... salut sn
Nacha Safi sanaaaaaa
una jua mwamba
Wa kichoka kukalia uchumi wanikalie mm nachaaaa
Umetuwakilisha vema wana kahama endelea kukaza kaka
Nakubaliiii
Nacha unajua sanaaaaa
Nakuku bari
Oyaaaaaa jamaa Tisha sana
Noma sana kijana
#nachaaaaaaaaaaaaaa@ uuuuu kill it onceeee again broooooohhhhh $nachaaaaaaaaa
Gonga like kama umeskia nacha ni mwasirika ila ni Wa mistar so Wa ukimwi
Nohma xana
Jam katish kaham moja hio
Chana ww moja moja mara mbili mbili unapoteza muda aaaaaah
#obp - One Blood Production, We Pump Quality Music .. Outta Mtwapa in 254 ..
Jamaa anakwenda kwa mdundo.. Hatari sana.
Unaonaje kalamoto siku moja akanyage hio studio
@@stephenziro8530 Itakua Mazishi saana bro #Salute to KAA LA MOTO
@Asilimia kama zote unecheza nacha coz umegusa kunako takiwa qaqa
Jamaa yuko vzur
" Tajiri wa ndoto japo nyingi azitimiagi " 10:38
Aaahhhh hatareeee Sana
Mi ni Nacha wananiita muathirika ...😂😂😂 Muathirika wa mistari ninayoandika
😀😁😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀moja moja mbili mbili
Janjaro Chiundu unatisha
Kama wewe nuamuelewa nacha like apa
Imekaa
Kitaalam mkuu
Hiyo beat aliyoanza nayo naomba kujua n ngoma ya nani tafadhali
Harar unaweza
Home boy
Uyu Ninja langu hatar Sanaa
Waki choka kuukalia uchumi wanikalie mimi
hatari fireee
Jamaa kama hataki hv