Jemedari Daima kila ulilo litenda leo tunashuduia kwa macho, mimoyo, furaha na huzini isokwisha maishani mwetu.. Pumzikaaaa Baba Jemedari wetu...Komando wetu.. Mtetezi wa njaa tulonayo leo visiwani Mchele bei haiseki😭😭😭😭😭.. Mungu ibariki Africa ibariki Tanzania wabariki viongozi tulanao Amin🤲
Hongera Mama Samia kwa kuweza kutimiza ahadi na kuhakikisha kwamba kazi ngumu uliyorithi imewezekana. Mungu akupe Afya, Heri na Maisha marefu. Kweli wanawake tunaweza.
Hongera sana Mwalim jk nyerere kwa wazo lako Hongera Magufuli kwa kulifanya pia upumzike kwa Amani kwa Nia yako njema Hongera sana Mama Samia kwa kuliendeleza na kulikamilisha Hilo
Mwamba ww umesema kweli ila kila mtu anamtusi samia hajafanya kitu nyerere katoa wazo magufull kalianza samia kalisimamia na kuliendeleza anhitaji sifa zake kila mtu kacheza sehem yako
@@abdallaameir3153 KAZI ya Urais sio nyepesi kama watu wanavvyodhani ..kuna wakati unafanya mambo yanayomchukiza kila mtu , lakini inakuwa kwa maslahi mapana ya Nchi...sisi kama WaTZ tunatakiwa kumpa support kiongozi wetu
@@citylinkproject9901 samia anajitahidi sana kuifungua nchi na nchi imekua na aman ya kutosha mama anapiga kazi sana ila wapo nyuma yake wanaomuangusha hella za mirad zinapelekwa watu wanazipiga
Kazi kaipiga jpm mtu kazi wanakuja kuonekana walamba asali walikuwapo kwa miaka kumi bila ya harama kubwa kuacha inasikitisha sanaa mungu amlaze mahala pema peponi jpm mtu kazi chuma amina
Asante Sana Rais Wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (Kama Mwanetu Alivyoweza Kukutamka Chamia Chuu Achani),Mungu Tunamuomba Akulinde na Akuongoze Utufanyie Makubwa Zaidi kwa Maslahi ya Maendeleo Yetu. Wabaya Mabaya Yao Awarejeshee Wenyewe na Mabaya Yao.(Bila Kumsahau Mtangulizi Wako JPJM Mungu Ampe Yanayomstahili Huko Akhera Maana Naye Katuachia Alama).
Sina cha kulipa Baba Magufuli kwako Ahsante kwa mema ulichotutendea kwa Taifa langu najua vizazi na vizazi watakukumbuka nikikumbuka ulivyokuwa unapigwa vita Duh .
Watanzania tuwe Wazalendo MH.Rais wangu Samia Naomba kazi ya kulinda mahali hapo. Wekeni Ulinzi wa Angani na chini wasije ripua Bwawa maana wabaya hawapendi
mwamba alieimba kiharab songs mzul amekuja kunogesha kwel bwawa litatupunguzia mkatiko wa umeme na #RAIS SAMIA KUWA MAKIN kwenye bei za wananchi wako tunateseka sana umu majumban kwenye nyumba zakupanga
Ni maamuzi ya kiume yaliyohitaji moyo wa chuma, miaka zaidi ya 50, awamu zote, hakuna hata moja iliyothubutu hata kutaja kuwa kuna huo mpango, wa Tz hatukuwa tunajua chochote kuwa kulikuwa na huo mpango, Stiglers goji ndiyo kitu gani! bajeti yake haijawahi hata kutajwa, wazo la Nyerere limetekelezwa na jasiri mmoja Jpm, RIP baada ya miaka.......
Mama is best bcouse mother is mother and she is heart of house and father is head of house now let mama do her work don't tried to comment on her work let her finish than we can see we don't needs any one more let see her work first ,if father is head of house and he choose partner like mama than he knows well when I'm not There she will follow my foot so let's her be one lady in this world to took Tanzanian in father (magu )dreams what he saw it ,together we will and we can built our country Tanzania 🇹🇿
@@wekezauchumi7440 ni sawa mradi ni wa muda, na umepita kwa wengi, hiii sio hoja sana, unaweza kupita ukasikia ukasoma na usifanye chochote zaidi ya propaganda tu, kinachosaminiwa hapa kwanza alie leta wazo la mradi pili alietekereza kwa vitendo mradi na huyu ndo mshindi, chukua mfano mdogo ktk kufunga goli anaeshangiliwa hasa ni mfungaji ingawa yawezekana wengi walipewa mpira wafunge but walichofanya wajua wenyewe, so hakuna Nazi ngumu kama ya kutekereza mradi fulani maana hapa inahitajika nguvu ya ziada maamuzi magumu na ujasiri, but kupanga jambo huhitaji haya zaidi ya karamu na karatasi tu, issue ni kuubadirisha mpango uwe uharisia si jambo rahisi uzaniavyo hapa ndo mtu ataweza kusema mwanafunzi alimwelewa vizuri sana mwl wake kuwa alitaka nn, mf mdogo tu mwl darasani anaweza fundisha kitu na akatoa swali kwa wote so nazani uelewa utakuwa tofauti, kwa maana hiyo nchi zoote zilizoendelea usizani maendeleo yamekuja kirahisi rahis hata ktk ngazi ya familia au mtu mmojammoja no jua kwamba kuna mtu alijitoa sadaka kwa uzarendo mkubwa kwa ajili ya wengine na maslahi mapana ya Taifa na kizazi kijacho, the thing of which tunaikosa sana ktk bara letu Africa, watu wa kariba hii kama akina JKN, JPM, Nerson Mandela, na baazi yao wachache unaowajua,
@@wekezauchumi7440 Magufuli ndie alieanzisha kujenga mradi anapingwa oh unaharibu mazingira.Nyerere alipendekeza mradi lakini Marais wengine kabla ya Magufuli hawakuanza kujenga mradi,mkubali mkatae ni rais yupi aliyethubutu kuanzisha huo ujenzi Kama zaidi ya Magufuli.
Nimefurahi kuona mawazo ya Mwl Nyerere Na Magufuli yakiendelezwa,niipongeze sana awamu ya Sita na kuipa rai kuhakikisha miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Mh Magufuli inatekelezwa kwa weledi mkubwa sana .
@@abdulmalickupete9015 kupanga ni jambo zuri pia ingawa halihitaji nguvu na pesa but kuutekereza mpango ndo issue mzee, inahitaji ujasiri mkubwa na kumalizia mradi ni issue maana huna ujanja kwa maana safari ishaanza unabidi uimalize, but ikiwa ktk mpango unaweza Ku ignore implementation (kuairisha) na hakuna hasara wala atakae kuuliza yaani inakuwa haina uzito, so mzigo mkubwa wa mradi huu ulikuwa mabegani kwa JPM maana alishaingia na kuanza kuicheza ngoma na sasa mwenzake lazima aimalize, so awamu ya 1 aliandaa ngoma na kuipiga waliofuata hawakuicheza and now awamu ya 5 na 6 waliamua kucheza na kuimalizia kuicheza, ingewa ni kuandika mtihani nazan ungeelewa vizuri kupitia maksi zao who is who, hopeful Abdalah tumeelewana kiasi furani mheshimiwa
Mafisadi wanamshukuru Mungu Magufuli kufa,kwa taarifa yako Mungu alimtoa mwili tu Ila roho yake bado ipo Mungu ameiacha Tanzania.Nyie endeleeni na ufisadi roho wa Mungu ndani ya Magufuli atawafedhehesha.
R. I. P Jpm Daima nitakukumbuka milele wamesema wazuri hawafi niwakumbushe tu mitume wote waliyo itikiza dunia hii hatupo nao tena dunia tunapita tu na yeye aliye sema sema wazuri hawafi mkumbushe Mungu tu kuwa wewe siyo mwanadamu majibu yako ni yes & no
Tunajua kuna mijitu huwezi kuiridhisha hata ufanye nini Mama na hio ndio changamoto ya kiongozi na mwenye chuki binafsi au kukuchukia ni kunyamaza na kumuaibisha kwa vitendo kama unavyofanya sasa big up na kazi iendelee.....najua ikifika 2025 utakuwa umewafunga wote midomo kuanza JNHPP,SGR,msalato Airport,kigongo busisi ,mv mwanza na mengine na washaanza kuwa na wasiwasi maana walivyovitarajia sivyo
Mbeba maono akifa kimwili matendo yake na maono yake yanaishi milele. Alama aliyoiacha Hayati Magufuli haiwezi kufutika !! Siku zote mtengenezaji wa njia anaijua tabu ya njia kuliko wanaokuja tuu kupita kwenye njia !!
Deogratius Nyahove hongera mama yetu mpendwa SSH. Kwa kuendeleza shughuli za maendeleo ya nchi yetu. Kuna watu walikubeza sana wakati unakabidhiwa nchi lakini leo wameufyata kimyaaaa??? Mama wewe chapa kazi achana na wanasiasa uchwala na waganga njaaaaa.... Sisi wenye akili kazi tunaziona.
Jemedari Daima kila ulilo litenda leo tunashuduia kwa macho, mimoyo, furaha na huzini isokwisha maishani mwetu.. Pumzikaaaa Baba Jemedari wetu...Komando wetu.. Mtetezi wa njaa tulonayo leo visiwani Mchele bei haiseki😭😭😭😭😭.. Mungu ibariki Africa ibariki Tanzania wabariki viongozi tulanao Amin🤲
Wazuri hawafi,hongera JPM tutaendelea kumbuka daima Kwa uzalendo wako
Wazuri hawafi RIP mzee baba Magufuli 😭🙏
❤❤❤❤
Kafanya nini? Asilimia 90 ya malipo kalipia mama
@@saeedal-awen2190 sasa unamtisha nani na neno lako mama hivi hujui hata kiti moto kina mama yake? 🤣🤣🏃🏃
Hongera Mama Samia kwa kuweza kutimiza ahadi na kuhakikisha kwamba kazi ngumu uliyorithi imewezekana. Mungu akupe Afya, Heri na Maisha marefu. Kweli wanawake tunaweza.
@@saeedal-awen2190 Hawa watu mnawatenganisha je. Mama alikuwa Makamo wa Rais aliyeteuliwa na Magufuli kwa mujibu wa Katiba na mapenzi yake binafsi.
Tutakukumbuka daima jemedali wetu J.P..M vita umeevipigan,I wish ungekuwepo🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jemedali!
Kabisa kazi na falsafa zake zitaishi vizazi na vizazi
Hongera raisi Samia unaendelea kuupiga mwingi.
@@mohammedsalim3315 🤣🤣labda kwenye makalio yako ndiko kunakopigwa mwingi
Asante Sana mungu atakulipa kile unachostahili.
Rest in peace and power our honorable JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI.
Vita ya uchumi ni ngumu san!!! kazi nzur ya mwamba JPM 🇹🇿 hongera rais wa sasa??
Hapo sasa , na huyo bi tozo asingeuweza hata kwa mawazo
@@mzalendowaasili1727 Bi nani🤣🤣🤣
@@OfficialA83640 🤣🤣watu nama kasiliko yao jamani
@@shinipapaya846 waache wafe na chuki zao binafsi
@@abi-onlinetv4181 🤣🤣we vip mm nipo nahao wala sipo kwako kabisaa na vijitozo vyenu
Unge kuwepo Leo unge bonya kitufee..😭😭
KAMA UNAYAPENDA ALIYOYAASISI JPM LIKE👍💪 HII COMENT IPATE 1,000000000000K LIKES!!💥
REST IN POWER COMRADE J P M 🖤 TRUE SON OF AFRIKA 🖤💚 KAZI IENDELEE🇹🇿
Kazi iendelee au ufisadi uendelee 🤣🤣🏃🏃
Hongera Sana Mzee Maguu nadhani ungekuwepo huyo Msambaa Wala asingethubutu kuwepo hapo.RIp Dady
Mungumkubwa akubaliki Tanzania na amsamehe makosayake mzee magufuli na aiweke rohoyake mahali pema peponi Amina
Egypt is always beside its brothers in the African continent, forward, O Africa
Hongera sana Mwalim jk nyerere kwa wazo lako Hongera Magufuli kwa kulifanya pia upumzike kwa Amani kwa Nia yako njema Hongera sana Mama Samia kwa kuliendeleza na kulikamilisha Hilo
Mwamba ww umesema kweli ila kila mtu anamtusi samia hajafanya kitu nyerere katoa wazo magufull kalianza samia kalisimamia na kuliendeleza anhitaji sifa zake kila mtu kacheza sehem yako
@@abdallaameir3153 KAZI ya Urais sio nyepesi kama watu wanavvyodhani ..kuna wakati unafanya mambo yanayomchukiza kila mtu , lakini inakuwa kwa maslahi mapana ya Nchi...sisi kama WaTZ tunatakiwa kumpa support kiongozi wetu
@@citylinkproject9901 samia anajitahidi sana kuifungua nchi na nchi imekua na aman ya kutosha mama anapiga kazi sana ila wapo nyuma yake wanaomuangusha hella za mirad zinapelekwa watu wanazipiga
@@abdallaameir3153 , usisumbuke sana kutaka kuwaelimisha watu. Watu wasiokuwa na kazi......kazi yao rahisi ni MDOMO
Mama big up
Wawoo,proud of you my president ,mhe Samia Suluhu Hassan 🙏🙏 mwenyezi mungu akutunze ,uwe na afya njema,kazi iendelee
Dah kweli ni RAISI wako
@@mzalendowaasili1727 ila wewe Raisi ni marehemu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣kuwa makini na hizo duwa za tozo isije kuwa kinyume nyume maana siku hizi kila mtu yupo kichuga chuga isije kuwa kama wa yule wazuri hawafi 🤣🤣
@@mzalendowaasili1727 sio Rais wako wewe mi ni Rais wangu pia sio lazima umpende
Magufuli mwamba
Hongera wafanya kazi. Tuendelee kusapoti Tanzania katika maendeleo. Kazi njema waheshimiwa. Tunashukuru Mungu kwa uwezo huu.
RIP JPM kwa udhubutu wako ,asante Rais Dr Samia kwa kuendeleza yale mazuri mliyoanza na JPM
Asante Mama Kwa kuyaendeleza mawazo ya waliotangulia. Mungu akupe hekima zaidi kwa miradi mingine
We akili zako hazina akili
@@ilynpayne7491 kwanini mkuu 🤣🤣
HOOD Ssna
@@shinipapaya846 ana mawazo ya kikafir
@@ilynpayne7491 We ndo huna akili. Kwahiyo asingeendeleza au au akili yako Iko makalioni kwako
Kazi kaipiga jpm mtu kazi wanakuja kuonekana walamba asali walikuwapo kwa miaka kumi bila ya harama kubwa kuacha inasikitisha sanaa mungu amlaze mahala pema peponi jpm mtu kazi chuma amina
Tunapoona hii miladi ya mikakatu nazidi kumuenzi JPM mzalendo
Magufuri mungu ailaze roho yako pema peponi Amina
Yani wangejua hata wasingekuja hao walamba asali, puuwaaa
@@politemunkondya9166 Ungekuja wewe na bibi yako ngwale wewe
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....mwamba maamuzi magumu na sahihi leo hii tunaona matunda ya jitihada zako baba
SHUKRAN MH RAIS SAMIA, KWA KUENDELEZA MIRADI ALIYOIAHA , SIMBA WA YUDA RAIS BORA AFRICA, RAIS MAGUFULI, ALALE KWA AMANI, AMEN.
Hii ngoma JPM aliicheza ipasavyo
we miss u baba
Magufuli was so briant 🖐️
Magufuli in my heart😥😥😥😥😥
JPM 🙏
Ni hatua kubwa sana katika nchi yetu
Mwenyezi Mungu aendelee kuiongoza Tanzania vema
Amina
Mungu akutunze huko uliko R.I.P jpm
Asante Sana Rais Wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (Kama Mwanetu Alivyoweza Kukutamka Chamia Chuu Achani),Mungu Tunamuomba Akulinde na Akuongoze Utufanyie Makubwa Zaidi kwa Maslahi ya Maendeleo Yetu.
Wabaya Mabaya Yao Awarejeshee Wenyewe na Mabaya Yao.(Bila Kumsahau Mtangulizi Wako JPJM Mungu Ampe Yanayomstahili Huko Akhera Maana Naye Katuachia Alama).
Haleluya! Haleluya! Ohoo! R.I.P John.😭😭😭
Amina
Rest Easy JPM. Utaendelea kuwa rais wangu hadi 2025 hata kama haupo duniani. Huyu wa sasa tumepigwa pakubwa sana
Fala ww
@@yohana1242fala mama uko kutombwa uchokoani makukuzaa wewe taahira
🤣🤣 nakitu kizito kichwani
Na iyo 2025 muongezee muhula aendelee.. hahahahahahaha
@@shinipapaya846 😂😂
Sina cha kulipa Baba Magufuli kwako Ahsante kwa mema ulichotutendea kwa Taifa langu najua vizazi na vizazi watakukumbuka nikikumbuka ulivyokuwa unapigwa vita Duh .
Mzee ameanza wewe unayamaliza hongera sana Allah atakulinda na kila shari za viumbe
Amiin
Viva Tz viva ...
Viva JK Nyerere viva...
Viva JP Magufuri Viva ..
Viva SH Suluhu Viva....
Iwe heri Kwa watz
🤝👍🇹🇿💯😍
Umesau kumpa viva mkwere mwinyi na mkapa ha ha ha
Hongera sana Kwa Mzee mwinyi Kwa kushuhudia Tukio hili kubwa Kwa nchi yetu Mungu akubariki sana
Jpm ndoto yako imetimia, watanzania wanatamani ungekuwepo ulale salama uko uliko amen.
Wazuri hawafi😪, R.I.P. Jemedari JPM Tumeshakukumbuka😪😪.
Hongeara sana Mama Samia hakika wewe ni Rais wakuigwa Afrika
Rest in peace dady JPM Asante SAMIA KWA KUMENZI MWAMBA
Ahsante sana Baba Magufuli
Watanzania tuwe Wazalendo MH.Rais wangu Samia Naomba kazi ya kulinda mahali hapo.
Wekeni Ulinzi wa Angani na chini wasije ripua Bwawa maana wabaya hawapendi
R I p magufuli
Hongera zote kwa Rais Samia kwa ushupavu na uimara wake wa kusimamia mradi huu.Historia itakukumbuka daima!kazi iendelee!!
Meadow huu tuliosoma Cuba tutamkumbuka JPM ambaye ametoa uhai wake kwa mradi huu.
Hahahahaa
@@gibsonjosephat6352 Na wewe utoe uhai wako kumfuata
@@abi-onlinetv4181 Kila mtu atamfuata hamna mwenye milki na dunia
@@edwardntamaboko3414 Mfaate sasaivi
Mashallah mungu azidi kuiongoza Afrika
Mungu ni mwema kwa kweli Mungu tutunze mradi huu wa kimkakati.
Ñdoto za baba wataifa utekelezaji wa JPM RIP legend's
mwamba alieimba kiharab
songs mzul amekuja kunogesha
kwel bwawa litatupunguzia
mkatiko wa umeme
na #RAIS SAMIA KUWA MAKIN
kwenye bei za wananchi wako
tunateseka sana umu majumban
kwenye nyumba zakupanga
Hongera sana Rais Samia suruhu Tanzania ya viwanda.
Asante baba magufuli kwa uthubutu huu MUNGU AENDELEE KUKUPA RAHA YA MILELE
Hongera Rais Mama Samia
Ni maamuzi ya kiume yaliyohitaji moyo wa chuma, miaka zaidi ya 50, awamu zote, hakuna hata moja iliyothubutu hata kutaja kuwa kuna huo mpango, wa Tz hatukuwa tunajua chochote kuwa kulikuwa na huo mpango, Stiglers goji ndiyo kitu gani! bajeti yake haijawahi hata kutajwa, wazo la Nyerere limetekelezwa na jasiri mmoja Jpm, RIP baada ya miaka.......
Hongera Tanganyika kwa maendeleo Allah awalete mtu mwengine kama Magufuli👊👊👊
TANZANIA ni yetu sote
@@samsonisrael1180 yetu sote n kinanani?
Mama is best bcouse mother is mother and she is heart of house and father is head of house now let mama do her work don't tried to comment on her work let her finish than we can see we don't needs any one more let see her work first ,if father is head of house and he choose partner like mama than he knows well when I'm not There she will follow my foot so let's her be one lady in this world to took Tanzanian in father (magu )dreams what he saw it ,together we will and we can built our country Tanzania 🇹🇿
Mungu tuletee Kama MAGUFULI kwa uwezo wako
@@nizamkhan536 mh!!!
Nakupenda mama mungu akulinde zaidi na zaidi
Hongera mama kwa kuendeleza
Safi Rais.. Mama
Jamani waliokua hawajaelewa kama mm ninavoona gonga like
Makufuri ohoyeee
Kwani Makufuli ndio alolianza yeye kapita kama wingine
@@froma3732 ndo hapo sasa...yaan huu mrad wa muda tu..sio magufuli aliouanzisha
@@wekezauchumi7440 ni sawa mradi ni wa muda, na umepita kwa wengi, hiii sio hoja sana, unaweza kupita ukasikia ukasoma na usifanye chochote zaidi ya propaganda tu, kinachosaminiwa hapa kwanza alie leta wazo la mradi pili alietekereza kwa vitendo mradi na huyu ndo mshindi, chukua mfano mdogo ktk kufunga goli anaeshangiliwa hasa ni mfungaji ingawa yawezekana wengi walipewa mpira wafunge but walichofanya wajua wenyewe, so hakuna Nazi ngumu kama ya kutekereza mradi fulani maana hapa inahitajika nguvu ya ziada maamuzi magumu na ujasiri, but kupanga jambo huhitaji haya zaidi ya karamu na karatasi tu, issue ni kuubadirisha mpango uwe uharisia si jambo rahisi uzaniavyo hapa ndo mtu ataweza kusema mwanafunzi alimwelewa vizuri sana mwl wake kuwa alitaka nn, mf mdogo tu mwl darasani anaweza fundisha kitu na akatoa swali kwa wote so nazani uelewa utakuwa tofauti, kwa maana hiyo nchi zoote zilizoendelea usizani maendeleo yamekuja kirahisi rahis hata ktk ngazi ya familia au mtu mmojammoja no jua kwamba kuna mtu alijitoa sadaka kwa uzarendo mkubwa kwa ajili ya wengine na maslahi mapana ya Taifa na kizazi kijacho, the thing of which tunaikosa sana ktk bara letu Africa, watu wa kariba hii kama akina JKN, JPM, Nerson Mandela, na baazi yao wachache unaowajua,
@@wekezauchumi7440 Magufuli ndie alieanzisha kujenga mradi anapingwa oh unaharibu mazingira.Nyerere alipendekeza mradi lakini Marais wengine kabla ya Magufuli hawakuanza kujenga mradi,mkubali mkatae ni rais yupi aliyethubutu kuanzisha huo ujenzi Kama zaidi ya Magufuli.
Deogratius Nyahove hongera mama SSH.
Hongera Tanzania
Wazuri wanaishi, wabaya wamekufa. RIP JPM
Watu wote watakufa wawe wazuri wawe wabaya
Congrats madame president
UTAKUMBUKWA RAISI WETU MAGUFULI RIP BABA , PUMZIKA KWA AMANI
Nimefurahi kuona mawazo ya Mwl Nyerere Na Magufuli yakiendelezwa,niipongeze sana awamu ya Sita na kuipa rai kuhakikisha miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Mh Magufuli inatekelezwa kwa weledi mkubwa sana .
Baada ya kelele za wananchi , maana aliyekuwa waziri wa mazingira makamba aliupiga vita eti unaharibu mazingira
@@mzalendowaasili1727 ndio hapo penye ukakasi usiotafunika haya bwana wacha tuseme tu wazuri hawafi RIP mzee baba Magufuli 😭🙏
Magufuli tutamkumbuka kwa mengi
Kwani hapo yeye kafanya nini amelikuta hakulinza
@@froma3732 Magufuli aliikuta mpango yeye akatekeleza
@@abdulmalickupete9015 kupanga ni jambo zuri pia ingawa halihitaji nguvu na pesa but kuutekereza mpango ndo issue mzee, inahitaji ujasiri mkubwa na kumalizia mradi ni issue maana huna ujanja kwa maana safari ishaanza unabidi uimalize, but ikiwa ktk mpango unaweza Ku ignore implementation (kuairisha) na hakuna hasara wala atakae kuuliza yaani inakuwa haina uzito, so mzigo mkubwa wa mradi huu ulikuwa mabegani kwa JPM maana alishaingia na kuanza kuicheza ngoma na sasa mwenzake lazima aimalize, so awamu ya 1 aliandaa ngoma na kuipiga waliofuata hawakuicheza and now awamu ya 5 na 6 waliamua kucheza na kuimalizia kuicheza, ingewa ni kuandika mtihani nazan ungeelewa vizuri kupitia maksi zao who is who, hopeful Abdalah tumeelewana kiasi furani mheshimiwa
Sorry not Abdalah but Abdumalick
@@froma3732 nyie ndo watu msiolewa mafisadi ni kina Nani na RAISI MZALENDO ni nani
Daaaah mambo haya ndo yanafanya iwe ngumu kukusahau DR JPM tunapita kwenye maamuz yako ya kishujaa tunakuombea sana sana 😔😔😔
Daah mwamba usiotikisika jpm baba wa maamuzi chaguo la mungu
Big up JPM
R. I. P kamanda JPM😭😭
Mh raisi hongera sana
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea Yule dictator!Mungu amlaze alipomuandalia!
Mafisadi wanamshukuru Mungu Magufuli kufa,kwa taarifa yako Mungu alimtoa mwili tu Ila roho yake bado ipo Mungu ameiacha Tanzania.Nyie endeleeni na ufisadi roho wa Mungu ndani ya Magufuli atawafedhehesha.
Rest in peace jemedali magufuli
Wasafii tunaomba iyo nyimbo muiwekee tuidonload
Hongera Rais wetu Samia kukamilisha hili hakika umethubutu.
Hvi mzee asingeweza kusubutu haya yasingeelea JPM mwamba
@@emmanuelkanyela275 huo mrad sio wazo la jpm lilikuwepo kitambo so yey alianza na mwenzie kamaliza so sio yeye muanzilish😏😏
Mabehewa ya SGR tu yamemshinda, RIP MAGUFULI
R. I. P
Jpm
Daima nitakukumbuka milele wamesema wazuri hawafi niwakumbushe tu mitume wote waliyo itikiza dunia hii hatupo nao tena dunia tunapita tu na yeye aliye sema sema wazuri hawafi mkumbushe Mungu tu kuwa wewe siyo mwanadamu majibu yako ni yes & no
RIP MAGU
Rip JPM
Rais yetu mzuri sana , nimchapakazi
Jpm tutakukumbuka daima milele IPO siku mm na ww tutaonana Tena rais wangu
Nyerere na Magu ni sawa na Musa na Joshua.
Hongera Mama Samia Allah azid kukupa nguvu kuendeleza nchi yako
Mungu angemuweka Leo hii yey ndio awe anaponyeza pale😭
Asante Sana mlisi was magufuli mungu akupinganie
RIP mwamba JPM... Kama unataka umeme wa uwakika mtoe huyo makamba
Rais mzuri amefanya mambo mazuri ndani ya mda mchache tu #magufuli
Jpm mfalme shujaa malaika wetu mwenyezi mungu tunamuomba akufufue tumekukumbuka sana tunalia sana🥲🥲🥲
Hongera kwa kuongoza ndoto za haliye pita kwa ustadi pia
Tunajua kuna mijitu huwezi kuiridhisha hata ufanye nini Mama na hio ndio changamoto ya kiongozi na mwenye chuki binafsi au kukuchukia ni kunyamaza na kumuaibisha kwa vitendo kama unavyofanya sasa big up na kazi iendelee.....najua ikifika 2025 utakuwa umewafunga wote midomo kuanza JNHPP,SGR,msalato Airport,kigongo busisi ,mv mwanza na mengine na washaanza kuwa na wasiwasi maana walivyovitarajia sivyo
Wabongo wanafiki Sana Basi tu...
Hongera sana mh Samia
Kweli Rais Magufuli alikuwa na uchungu na nchi hii Nia yake ilikuwa kuwaendeleza kiuchumi watanzania.
Mbeba maono akifa kimwili matendo yake na maono yake yanaishi milele. Alama aliyoiacha Hayati Magufuli haiwezi kufutika !! Siku zote mtengenezaji wa njia anaijua tabu ya njia kuliko wanaokuja tuu kupita kwenye njia !!
Wataalamu wakufungulia maji wamekuja kuona wapi na jinsi ya kufungulia maji na kufunga maji ili kazi iendeleee
Hahaha ngoja tuone Kama hawayakuchepusha KWENDA kwenye mashamba
Walio weza kijitoa muhanga na vita ya uchumi RIP WENGINE WAFANYABIASHARA
Nimejifunza kitu kwenye huu mradi , usikate tamaa kwenye ndoto zako hata Kama utakutana na magumu na kutukanwa na walimwengu
Deogratius hongera mama
Hongera mama napia utaratibu wa maji ya kunywa majumbani nishida tunahitaji maji 🙏
Kazi iliendelea na Sasa imetimia Hongera sana mama Samia huna baya
Mh Samia ww ndo raisi bora na mkweli
Mmm mazuzu wengi , kwa kuwapa mafisadi madaraka eehhh
Achuuu jm is gone! Kindly give gratitudes to President Samia suluhu..🤍
Deogratius Nyahove hongera mama yetu mpendwa SSH. Kwa kuendeleza shughuli za maendeleo ya nchi yetu. Kuna watu walikubeza sana wakati unakabidhiwa nchi lakini leo wameufyata kimyaaaa??? Mama wewe chapa kazi achana na wanasiasa uchwala na waganga njaaaaa.... Sisi wenye akili kazi tunaziona.
Sasa umeme hauta katika tena ama maji yanajazwa kwa ajili ya samaki 😢???
Mkuu Acha kujitoa ufahamu haitakusaidia
Ama kweli kazi inaendelea
JPM KAZI zako ni mpka KIAMA ZITAONEKANA , BADO TUNAKULILIA BABA