MAISHA HALISI YA WAFANYAKAZI WA MRADI WA (STIEGLERS) BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 66

  • @peterchullu3777
    @peterchullu3777 4 года назад +12

    Mungu yupo pamoja nas.....na Sisi tutakuwa na Umeme wa uwakika na wenye bei Nafuu.....🇹🇿🇹🇿

  • @mathiasmassai5910
    @mathiasmassai5910 4 года назад +2

    Hii ndo TANZANIA 🇹🇿yetu💪
    Me nimmojawapo ninae fanya kz hk Stigler
    Ahsante sn Raisi wetu🙏🙏

  • @hassanmpwepwe8258
    @hassanmpwepwe8258 4 года назад +18

    Tanzania kwanza mangine baadae jpm wew ndio mzalendo wa ukwer katka inchi hii jpm endelea kupiga bundasiliga 2mechewa sana miaka more ina kusubir kwa maendeleo ya tz

  • @rudishamusic
    @rudishamusic 4 года назад +12

    Kaka nimeipenda sn chanel yako ni kana kwamba unaonyesha behind the scene hivi,hebu fikiria kwa upande mmoja tunaujua mradi wa umeme ila maisha ya huko ndo umekuja kutuonyesha ,endelea kureport na miradi mengine bila kuchoka

  • @mukambi3278
    @mukambi3278 4 года назад +5

    Nimeipenda hii, kama muendelezo pia ungefanya na ya SGR ingependeza zaidi 💯

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 4 года назад +4

    Sometimes we learn through our presidents nafurahi sababu hakuna aliyekamilika but on this ni kitu muhimu in every one’s life japo wengi watambeza good to our president

  • @nicholaussmassawe8084
    @nicholaussmassawe8084 4 года назад +9

    Hawa woote wanao onyeshwa hapa ni wale ma engineer na managers amabo hawafiki hata 500.... Ingependeza zaidi kama jamaa ungeonyesha maisha wanaoishi watanzania wa kawaida ambao ni zaidi ya 2000 ambao ni ma technician
    Ungewaaambia wakupeleke wanapo lala na wanapo kula hapo ungekuwa ume balance story yako vizuri...

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 4 года назад +2

    Hongera sana kwa serikali yetu.🙏

  • @alfredkalaba1614
    @alfredkalaba1614 4 года назад +3

    Amazing TZ 🇹🇿 kwanza

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 года назад

    Wana enjoy sana kushinda ata majumbani kwao msosi wa mana mazingira mazuri Mungu ibariki Tanzania na mbariki rais wetu magufuli nafurahi sana kuna mambo mazuri ya nyumbani tukiwa nje za nchi

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 3 года назад

    Masimulizi yako ni mazuri Sana napenda angle unazotumia katika kufikisha ujumbe Safi Sana aisee.. kazi iendelee

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 4 года назад +4

    Julius Nyerere airport, Julius Nyerere Kigamboni bridge, Julius Nyerere dam, Julius Nyerere.........

  • @silajimatola2132
    @silajimatola2132 4 года назад +2

    Babu una danganywa ukija nitafute uone maisha harisi

  • @harounaman7473
    @harounaman7473 3 года назад +1

    Huku ni Kwa ma senior staff

  • @jamesthomas390jj
    @jamesthomas390jj 4 года назад +4

    Wajomba wanakula vizur kichiz😂😂

  • @michaelfabian5888
    @michaelfabian5888 4 года назад +5

    Tunaomba utuletee vipindi mbalimbali tuweze kuona maendeleo,pia nimefurahi jinsi camera zenu zinaonyesha picha nzr yenye utulivu mkiendelea kuleta vipindi kama hivi mtapata followers wengi so nawapongeza kwa kazi nzr.

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 года назад +2

    Wanaishi vizuri Sana

  • @jonathanndururutse286
    @jonathanndururutse286 4 года назад

    Hongera sana rais wetu

  • @michaeleustach9769
    @michaeleustach9769 4 года назад +2

    Huyu mwamba alipiga mazoezi itakuwa noma noma sana

  • @nilonchimbi5252
    @nilonchimbi5252 2 года назад

    Wangeoneshwa watu wa sino maisha yao 😛😛

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 года назад

    huko wapelekwe na watu wakusimamia madini yakipatikana wachina hawato yaonyesha huko najua hayakosekani serikali kuweni makini

  • @stn4873
    @stn4873 11 месяцев назад

    Waonyesheni labour wadogo wadogo😂😂😂

  • @danieldaniel-lb2on
    @danieldaniel-lb2on 4 года назад +4

    Kumbe huyu ndiye Spesho Kabwanga?

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz 4 года назад

    Gari yangu original version by Carlos N ft Young D & Abbah bonyeza link ruclips.net/video/39YkBL6GNho/видео.html

  • @rajabuomary1628
    @rajabuomary1628 4 года назад +2

    Tanzania it is ok

  • @jeremiahsanare8057
    @jeremiahsanare8057 4 года назад

    Daah pongezi kwa mheshimiwa raisi magufuli kazi yake inaonekana haswaaa

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 4 года назад +2

    Magufuli oyee

  • @ShabaniMgoliMixeroparetor
    @ShabaniMgoliMixeroparetor 7 месяцев назад

    Iko chakula ulichokionesha wanakula vip sio wafanyakazi wa kawaida

  • @kelvinmtavangu8299
    @kelvinmtavangu8299 4 года назад

    VIJANA WETU MUNGU AWALINDE. MNATENGENEZA HISTORIA KUBWA KATIKA KIZAZI CHA DUNIA HII YA SASA. MUNGU WAJALIE AFYA NJEMA KTK KUTEKELEZA UJENZI mradi wa karne.

  • @ahmadmpinzire5649
    @ahmadmpinzire5649 4 года назад +1

    Nimekukubal bratha,ila ile jamii ya vibarua namaanisha watumia nguvu wazee wa posho za siku mbona sijawaona?au umehofia kiboko Cha utawala?maan naona mazingira ya daraja la Kwanza na la pili,lile la 3 mazingira yao hujaonesha kaka!

  • @smartfredrick2797
    @smartfredrick2797 4 года назад +1

    Na mareba wadogo wadogo wanaishije

  • @harounaman7473
    @harounaman7473 3 года назад

    Sema watanzania wabinafsi sana mbona wale ma operators wenzangu siwaon kabsa hoi

  • @tomaamireni1017
    @tomaamireni1017 4 года назад

    Nakukubali sana. Ila leseni ya TCRA unayo?

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 года назад

      Kwa kazi anayo fanya ana pewa leseni 100%

    • @letsgobacktoafricafoundati1322
      @letsgobacktoafricafoundati1322 4 года назад

      @@ilynpayne7491 we jamaa nakuona kila sehemu😀😂

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 года назад

      @@letsgobacktoafricafoundati1322 hahaha mi nkiona mtu ana kera lazma nijibu siwez kaa kimya 🤣🤣😅😅😃😃😄😄🤣😀

  • @alphonceelias2551
    @alphonceelias2551 3 года назад

    Yaaank nape anaupinga huu mradi,haaah! Haaaah! Anakera Sana huyu.

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 4 года назад +1

    Kwenye miamba mkikuta dhahabu toeni taarifa ofisi za madini

    • @rashidisaidi7744
      @rashidisaidi7744 4 года назад

      Hawazitoi nawanapta kweli madini hawa ata wachina watengenezaji barabara wanapata madini yanaishia mifukon mwawatu wajanja

    • @twahathomas3514
      @twahathomas3514 3 года назад

      Kaka uko vizuri unawaza mahela sio

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 3 года назад

    Taarifa haitoshi

  • @godlistenlyimo1546
    @godlistenlyimo1546 2 года назад

    uongo.mtupu watu.wanakufa juzi tarehe 26 watu wamekufa kwa kudondokea kwenye ukuta unaojengwa alafu.hizo.kempu.wanakaa.waarabu.tu.sisi.tunakaa.kwenye mahema

  • @zenj1986
    @zenj1986 3 года назад

    Magufuli pumzika salama.

  • @NassoroRamadhani-hy2zz
    @NassoroRamadhani-hy2zz Год назад

    we mouong san sio kamb zote zipo apo umefika sino kamp umefika colona kamp ww

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 4 года назад +1

    Bongo kama ulaya

  • @alfredkalaba1614
    @alfredkalaba1614 4 года назад +2

    Halafu mtu mmoja anaitwa Tundu Lisa anapiga kelele kama demu wa uswazi

    • @freduallughano2301
      @freduallughano2301 4 года назад

      Acha ukenge wewe katika wapinzani umemuona Lisu tuu au kwa vile ndio tishio la fisiem?

    • @twahathomas3514
      @twahathomas3514 3 года назад

      @@freduallughano2301 lkn bablay ya magu haikuwa ficiem kiukweli ila zingine zilikuwa zaid ya ficiem

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 4 года назад

    Duu uomsosi barahaaaa

  • @nickminja704
    @nickminja704 4 года назад

    ndo ww kumbe

  • @mohamedkikale7241
    @mohamedkikale7241 4 года назад +1

    Ni jambo zuri kutuonyesha maendeleo ya mradi, ila hayo unayo tuonyesha Ni kwa masinia tu, (beach la ufundi ) tuonyesha na makazi ya wachezaji haris wa huo mradi, wanapo lala na kupata chakula, binafs nimekuelewa kwa %49 tu.

    • @faustinemavere1450
      @faustinemavere1450 4 года назад

      Mohamed we ndo yale mapinga kila kitu tatizo mtima nyongo mtachonga sana lakini mambo yanaenda vizuri au ni hayo mapande ya kuku yamekuumiza roho?pole sana 😃😃😃😃😃 hujawahi kuliona hilo paja si ukaombe kazi ndugu hujanyimwa mweeeee

    • @mohamedkikale7241
      @mohamedkikale7241 4 года назад

      @@faustinemavere1450 dah umenitafsri vibaya jamaa! Mie nimefanya kazi kwenye mazingira bora sana, kuanzia general manager had mfagiaji tunakula sehem moja, huko bwawani Mie nimeenda kazi nzuri inafanyika tena sana, wafanya kazi wote wanahaki sawa, chakula wanapewa na sehem wanapo lala ungebahatika kupaona ndio utanielewa, naukubari mradi kwa %zote, alie ripot ndie alie takiwa kubalance stori! Kwamba sjawahi ona hilo paja! Pole kwa kunielewa vibaya.

    • @faustinemavere1450
      @faustinemavere1450 4 года назад

      @@mohamedkikale7241 haya bwana

    • @mohamedkikale7241
      @mohamedkikale7241 4 года назад

      @@faustinemavere1450
      Tanzania kwanza mengine baadae, tuko 👍 pa1 ndugu

    • @faustinemavere1450
      @faustinemavere1450 4 года назад +1

      @@mohamedkikale7241 Amina tupo pamoja

  • @yohanawendrin3240
    @yohanawendrin3240 4 года назад

    Mnazingua unauwakika wote wanakaa apo