ITAKULIZA HOTUBA HII YA UKOMBOZI NA UZALENDO WA MFALME JPM KWA SISI WATOTO WAKE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 604

  • @ck2633
    @ck2633 3 года назад +68

    Nilimpenda sana kiongozi huyu wa Afrika Mfalme Magufuli. Nawaombea mke wake na watoto, Mungu aendelee kuwafariji na kuwapa nguvu.

    • @Jal210
      @Jal210 3 года назад +2

      Yaani wewe kama Mimi kutowepo kwa Magufuli nimeguswa sana ndugu yangu Baba huyu alikuwa wa kipekee jamani mtetezi huyu.

  • @ProphetM-c9o
    @ProphetM-c9o 3 года назад +40

    Bado tunaumia mno kwa kifo chako. Mungu akupe heri ya milele. Amina.

    • @euniceoguri1284
      @euniceoguri1284 3 года назад

      You had alot of wisdom JPM ungekaa kidogo,kila unapotoa hotuba inaniguza sana,sijui nisemeje uliweka tanzania mbele na ukahakikisha nchi nitajiri...mungu akulaze pema.

  • @fredycrisant2862
    @fredycrisant2862 3 года назад +90

    Nani akiangalia hutuba za magufuli anahuzunika ????? 😢😢😢

    • @henryxavery1713
      @henryxavery1713 3 года назад +2

      Sihuzuniki Napata Charge,,natamani kupasuka Vipande Vipande...

    • @armanij3495
      @armanij3495 2 года назад +2

      mimi hapa kila wakati

    • @nochaangetile7540
      @nochaangetile7540 2 года назад +6

      Mafisadi, majambazi, wala rushwa, wenye vyeti feki, na wahuni wote nikweli hawahuzuniki.

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 2 года назад +2

      Wote tunahuzunika

    • @gamc773
      @gamc773 2 года назад +1

      😭😭😭

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 3 года назад +16

    Yaani we baba yetu hata kama unaweza kuwa na dhambi kama mwanadamu mwingine yeyote, kwa kweli kutoka ROHONI MUNGU AKUSAMEHE NA AKUPOKEE KWAKE. Wewe ulikuwa mtu sahihi kwa nchi yetu. RIP BABA. NAKUPENDA SANA BABA

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 года назад +58

    Speech deep kama hizi ambazo sio za kuandikiwa zinagusa sana RIP JPM🙏

    • @peaceisrael8158
      @peaceisrael8158 2 года назад

      Ni ngumu kuamini haupo mtetezi wetu ...tumezaliwa na kutembea kwenye ardhi tajiri na tunabaki maskini ..mtetezi umetoweka nani atusemeee😭😭😭😭😭???

  • @harounbuzohera4797
    @harounbuzohera4797 3 года назад +60

    Marehemu Magufuli alikuwa kama NABII kwetu WATANZANIA. TUTAMKUMBUKA. RIP MAGUFULI

  • @mbarikiwamshindi8739
    @mbarikiwamshindi8739 3 года назад +38

    Magu wangu utatawala milele 💕...
    Kikwete na wenzake wasifikiri wameshinda...watajua mungu wetu hashindwi..
    Magu your death will not be in vain, you sacrificed your life for us and your spirit will live in us forever.
    We love you, we celebrate you, we are super proud to call you our king and we miss you Magu😭😭😭.
    You will forever remain in our hearts.
    #TAWALA MILELE MFALME ✍🏿✍🏿🔭👏🏿.

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад +2

      Tusife moyo tuko na MWL ISAYA BENSONI MZARENDO WA KWELI TUTAFIKA TUUU

    • @sankamathias7448
      @sankamathias7448 3 года назад +1

      Niiboza dini

    • @ezekiakyando5944
      @ezekiakyando5944 2 года назад +1

      @@mestonsimzosha2899 yuko vizuri sana, lakini watz wangapi wanamjua?

  • @penanauae316
    @penanauae316 3 года назад +62

    Wazuri ndio wanaenda aki mimi nimkkenya lakini huyu kiongozi alikua kiongozi kweli hakuna wakufanana na yy

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад +7

      Nanukuu alisema.
      Najuwa na mi najuwa mtanikumbuka kwa mema tena si kwa mabaya.

    • @penanauae316
      @penanauae316 3 года назад +5

      @@mestonsimzosha2899 kweli kabisa """sisi wakenya tunasubiri kutoka kwa uhuru kenyatta tuone tutamkumbuka kwa nini

    • @Jal210
      @Jal210 3 года назад +2

      Na mkombozi

    • @Jal210
      @Jal210 3 года назад +2

      Huyu Baba mzalendo mtetezi wa wanyong

    • @Jal210
      @Jal210 3 года назад +3

      Mimi ni mzaliwa wa Tanzania na mkuliaji wa Tanzania lakini hakika nimeguswa na nina maumivu makubwa kwa kifo cha baba huyu mtetezi wa wanyonge na mkombozi na mzalendo wa nchi hii.

  • @peteryohanamachibya2493
    @peteryohanamachibya2493 3 года назад +58

    Nimeshindwa hata kuongea kitu ila bado naumia sana kifo chako bado ninamaumivu sana. Mungu ndio ajuae ukweli. Mungu yupo

  • @fauziaomary8903
    @fauziaomary8903 3 года назад +48

    Hakika jemedari wetu utaishi mioyoni mwetu milele

  • @Jkemtranslators
    @Jkemtranslators 3 года назад +65

    Magufuli ataishi mioyoni mwetu daima

    • @Jal210
      @Jal210 3 года назад

      Tutakumbuka daima

  • @ck2633
    @ck2633 3 года назад +53

    Waliomtoa uhai, wakose amani maishani mwao hadi watubu!!!!!!!!!!

  • @jumaabdalla3798
    @jumaabdalla3798 3 года назад +43

    Uyu mama hizi hotuba huwa hazisikilizia au

    • @deusmasasila1963
      @deusmasasila1963 3 года назад +3

      Hakuna mtu pale Kuna mpga dili tu

    • @tinyaanosiatha1118
      @tinyaanosiatha1118 3 года назад +6

      Huyu mama zezeta tu hatufai

    • @mussajabili6836
      @mussajabili6836 3 года назад +3

      @@deusmasasila1963 kwer kabisa akaongoze wanae

    • @joycemarko3037
      @joycemarko3037 3 года назад +5

      Mama kz yake kumpinga2 mfalme wetu na ikulu ya Dodoma sijui alikua haitaki ndo kahamia ikulu ya dar

    • @stanleyrocky2278
      @stanleyrocky2278 3 года назад +2

      Yuko kipesa zaid

  • @daudsamandito4571
    @daudsamandito4571 3 года назад +11

    HAKIKA HAkUNA MAENDELEO KATIKA ICHI HII BIRAUZALE DO Mungu akulaze. Mahali. Pema

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 3 года назад +32

    Hakuna Jambo linaloniumiza Kama kifo Cha rais wetu, mtetezi wa wanyonge JPM, baba yetu

    • @timboxlee919
      @timboxlee919 3 года назад +1

      Iko siku ujinga wanaotufanyia utaewekwa hazarani

    • @jordanclassic7849
      @jordanclassic7849 3 года назад

      Kabisa daah nimaumivu yasio elezeka kwa huyu kiongozi wetu kumpoteza kipenzi chetu

  • @johnsonjulius7832
    @johnsonjulius7832 3 года назад +50

    Pumzika kwa amani mwana mapinduzi mkubwa wa Afrika kwa karne yetu hii. Umenifanya niwe mzalendo kwa Taifa langu na siku zote utakaa ndani ya moyo wangu.

  • @jocenocha8846
    @jocenocha8846 3 года назад +56

    Roho inaniuma sana! Rais ambaye alitoka Ikulu mpaka kukaa na wanyonge kwenye mkeka! Rais ambaye alimsikiliza mnyonge na kumuonea huruma hapo hapo ....watanzania wenzangu tafakari sana Leo sijaona kiongozi akihangaika na mnyonge!

    • @mariogialli9807
      @mariogialli9807 3 года назад +1

      Inauma sana! Maskin tulmgusa sana mzee wetu.

    • @hassancharokiwa7922
      @hassancharokiwa7922 2 года назад

      Their here for unknown business no body fill about!!!!

  • @barakaboniphace4067
    @barakaboniphace4067 3 года назад +28

    One day Yes... Jesus plans Never Fails. We will stand with your knowledge..King Magufuli

  • @kiningashukran5177
    @kiningashukran5177 3 года назад +23

    Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema mze uyu

  • @futurepresidentofthepeople7338
    @futurepresidentofthepeople7338 3 года назад +46

    Lion of Africa RIP😭😭😭

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 3 года назад +39

    Mungu wangu nakuomba tu kwa unyenyekevu,wote walio usika na kifo chake uyu baba wa wanyonge wa Watanzania uwaliope walicho kipanda na ata kwa vizazi vyao wote,make wametuumiza miyo yetu Sana sisi Watanzania wanyonge

  • @moiseogai9070
    @moiseogai9070 3 года назад +36

    Tim mizoga wasifikili wameshinda aruta konti nua mapambano yanaendelea

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 года назад +28

    mzee kiukweli umeipenda sana nchiyetu pamoja nawananchi wako mimi binafsi nakuombea pepo yamirere umetupenda sana

    • @eliudsinkala419
      @eliudsinkala419 2 года назад

      Mungu ulimpa maono kitufumbua macho Watanzania,no maombi yangu kwako neema yako ikatende kazi,amina

  • @hbdina
    @hbdina 3 года назад +14

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dr.John Pombe Magufuli❤️❤️❤️.Tanzania tunaitaji vijana wengi wenye maadili waingie serikalini tuiokoe nchi yetu

  • @tausihamisi7330
    @tausihamisi7330 3 года назад +29

    Sinto kusahau baba

  • @HamisJohn-pt9ct
    @HamisJohn-pt9ct 9 месяцев назад +1

    Mungu amlaza mhala pepon milele amina

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 2 года назад +1

    Pumzika kwa Amani baba daima utadumu moyon mwangu na nitakuombe maisha yangu yote, Mungu akusamehe makosa yako yote uliyotenda hapa dunian, mwenyez akupe pumziko la milele mbingun.

  • @sheesaid2501
    @sheesaid2501 3 года назад +10

    Masikini wamesahauliwa tayari Mzee Magu. Mungu akulipe wema wako na huruma ulokuwa nao kwa masikini. 🙏 Mimi mkenya lakini niliridhika kukuona kuwa mfano bora duniani wa kuigizwa yote umeenda nao yamesahauliwa .

    • @thomastarimo
      @thomastarimo 2 года назад

      Magufuli wewe ulikua nuru kwa watanzania ila shetani aliye laaniwa akupendezwa na utumishi wako mabepari yasiyokua na hofu ya mungu yanakuja kutuchukulia Mali zetu hapa mijitu inakuja kuiba Mali zetu hapa wewe baba ulitufungua macho yetu wamachinga tunafukuzwa kwenye arithi yetu theni ibilisi anakuja kuiba hapa kwetu lakini wewe baba uliyeletwa na mungu ibilisi akupendezwa na utumishi wako

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi5777 3 года назад +58

    "Zidumu Fikra za Magufuli".

  • @gabybulba9574
    @gabybulba9574 3 года назад +26

    Magufuli milele u ndani ya mioyo ya watanzania nakupenda sana baba, R.I.P.

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 года назад +10

    Mungu ibariki Tanzania Mungu tupe moyo mpana juu ya kifo cha jemedari wetu jpm RIP

  • @furahafrank8267
    @furahafrank8267 3 года назад +27

    Hivi kweri viongozi wanakumbuka hizi hotuba za mfalume yetu.

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 3 года назад +4

    Baba yetu Kipenzi,❤️ Mwenye-Enzi-Mungu-Mlezi Ailaze Roho yako Peponi. Aamiyn Ya Rabbil Aalamiyn ❤️

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 3 года назад +17

    Watanzania wenzangu tusikubali kurudishwa nyuma kamwe tupige kelele tushiriki kiuhalisia kusimamia legacy na ndoto ya Rais wetu Mfalme wetu itimie
    #JPM daima milele ✊🏾💪🏾🇹🇿👸🏾🤴🏿

    • @jocenocha8846
      @jocenocha8846 3 года назад +4

      Yaani watanzania tungeweza wote kumuelewa mfalme wetu hakika bara la Africa si maskini

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 3 года назад +6

      @@jocenocha8846 kabisa yani huku nje tunadharauliwa wanatuambia sisi maskini mambo mengi ya ajabu unahisi uchungu afu viongozi wengine wanaleta upuuzi inauma sana basi tuu

    • @jocenocha8846
      @jocenocha8846 3 года назад +6

      @@eyumededu2948 mapinduzi yanaletwa na watu tusikate tamaa wazalendo wachache Mungu atatutia nguvu

    • @africanman8679
      @africanman8679 3 года назад +3

      Kabisa mkuu

  • @sadickkalinga7888
    @sadickkalinga7888 3 года назад +9

    Nakuombeaga Sana mzee wangu mungu anajua malengo na fikra zako juu ya nchi yetu

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro31 3 года назад +17

    Yani Magufuli kafaje lakini kila siku natamani kumuona amesimama na wamachinga akiwaambia wamuombee na kumueka Mungu mbele.

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад +1

      Tusife moyo MWL ISAYA BENSONI BADO NI TUNU KWETUUU

  • @selekiwande64
    @selekiwande64 3 года назад +27

    Kwenye hii hutuba nimeshindwa kuandik chochote lkn.Kama alikuwa,mwalim mzur Sana wa uzalendo na hao waliopo humo ndio niwanafunz na huo ulikuw kama urithi na wosia Mzur na, akiba ya uongoz bora ukiufuata utakuwa kiongoz bora na ukishindwa kuufuata utafer vby alikuwa na akir na uwezo mkubwa Sana hakuna ataeweza kumfikia lkn bas jitahidin kufuata ht busy yake itawasaidia was tz. Tulimuhitaji zaid kiongoz wa ain hiii bila kujar pesa wala ugumu was maisha tuliitaji moyo na nia njema aliokuw NATO ktk nchi yaketunamuomba mwenyez mungu atuletee tena kiongoz was ainayake

    • @ananiachelesi1486
      @ananiachelesi1486 2 года назад

      Mungu wetu nimsikivu , na anatusikia Watanzania hakika atatuletea kama huyu.kama ikimpendeza.

    • @wilfredkizanga8041
      @wilfredkizanga8041 2 года назад

      Ukhhcurtfeeee rermmkkksjk yeah yeah yeah answer the answer is yellow

    • @idrismuhima1033
      @idrismuhima1033 Год назад

      Mimi ni mcongomani,naumia kupita kawaida ! huyu Raisi alitumwa TZ n'a Mungu kuikomboa TZ! namuomba Mungu Raisi Magufuli aje azaliwe upya kwetu Congo 🇨🇩 maana inayotendeka kwetu ni uzembe wa hali ya juu,n'a ni ujinga mtupu

  • @ammonybejumula7582
    @ammonybejumula7582 3 года назад +16

    Kiukweli mbwamba huu,ulikiwa ni mwamba ulioletwa na MUNGU na ukataliwa na baadhi ya wezi

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 3 года назад +20

    Mungu akusameehe makosa yako yote magufuli pumzka kwa aman baba yetu atuto kusahau daima 😭😭😭🇹🇿💔💔

    • @restkalemile5274
      @restkalemile5274 2 года назад

      😢😭😭🙏😭😭😢Inasikitisha sana

  • @victorngunga9007
    @victorngunga9007 3 года назад +17

    Hivi Benson IKULU bado ipo Dodoma
    Mbona sielewi au imehamishwa tena

    • @kingsuleiman7201
      @kingsuleiman7201 3 года назад

      Ikulu dodoma Tena hakuna imebaki nyumba ya kufanyia vikao nenda twette kumenoga Kuna ubuyu wote.

  • @zakariaamon7705
    @zakariaamon7705 3 года назад +10

    Mbegu ili iongezeke huya inaoza na kugeuka kutoa mbegu nyingi zaidi
    Mbegu zimekoma na zimeanza kuchipua Africa nzima
    Kusudi la Mungu lazima litimie hakuna wa kupinga watashindwa
    Wote wasimamao mbele yetu
    Kuzuia mafanikio ya nchi yetu.

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад

      Nikweli coz wazalendo kama akina MWL ISAYA BENSONI,NGWAJIMA waratufikisha tu

  • @manguyamanguya9635
    @manguyamanguya9635 3 года назад +5

    Tanzania mulipoteza prezo mzuri aki hata africa jumla tulipata
    Loss am watching from riyadh saudi Arabia tulipoteza

  • @abdalahally3113
    @abdalahally3113 3 года назад +7

    Mzee wewe Mimi sikupi pepo ila nakuombea pepo kwa mwenyezi mungu kwa kumwaga damu yako kwa ajili ya watanzania

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 3 года назад +7

    Nnooooooo noooooooooo mpaka lini nchi hii itaendelea kukaa kwenye mikono ya watu wachache??!!!🥺😭😭😭😭😰😰😥😢😫😫😡😡

  • @suleimanialex6209
    @suleimanialex6209 3 года назад +10

    Mungu alitupenda watanzania kumbukeni hii kauli .Naiwape moyo katika kupambana

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 3 года назад +8

    Eee Mungu wetu ,,tusaidie tz tusikukufuru kwa hilinna uturehemu maana tumesema mengi juu ya kifo Cha mwenzetu ,hakika chema hakidumu too much painful , haielezeki sasa na inauma kila mtanzania analia sasa,

  • @mossesisaack5066
    @mossesisaack5066 2 года назад +14

    Mungu aonae sirini ndio anajua. na ipo siku yote yatadhihirika wazi . ila kiukweli naumia sana maana yote uliyosema na kuyakemea na kuyasema wazi yamerudi, najua huko ulipo unatuona tunavyoteseka baba. hakuna pa kusemea wote waliokuwa wanakusikiliza woote wamekusaliti na wamekuwa kama vile hawakujui wala kujua ulichosema, hawaoni hata huruma na wala hawashauri chochote , ili angalau tupate ahueni ya maisha. wanajigamba kuwa wanalamba asali ili hali tunateseka tulio wengi. Mungu tuonee huruma sisi, mana ni wengi kuliko wao.

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 Год назад

      Yaani inauma sana 😢, tunatamani ufufuke eee mungu tuokoe. Kwa sasa Tanzania tumetekwa na tunateseka mnoo.

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 Год назад

      Ukweli ni kwamba walimuuwa rais wetu JPM.

    • @estherosore6415
      @estherosore6415 Год назад

      Kweli akuna mzalendo kama huyu Kwa East Africa umenena

  • @willywaire50
    @willywaire50 2 года назад +5

    The only president who stood for the truth and truth only,may your soul rest in peace forever you live in our haerts 😭😭

  • @ommybigtzlove1138
    @ommybigtzlove1138 3 года назад +8

    Jamani bado mna ruhusu mali ziibiwe2 nyie muenzini magufuli

  • @evelynmwabuki7589
    @evelynmwabuki7589 3 года назад +6

    Tumpate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake! Wema hawana maisha! Mungu ailaze roho yako pema peponi!😭

  • @bonfilskalunga5061
    @bonfilskalunga5061 3 года назад +24

    This great speech made me 😢😭😭😭👈, RIP my President the heros John Pombe Joseph Magufuli🙏❤💓❤💓🤗

  • @vascobenedict6519
    @vascobenedict6519 3 года назад +6

    Nitaishi kwenye fikra zako mzee wangu mpaka siku naingia kaburini

  • @charityjulius6142
    @charityjulius6142 3 года назад +7

    Daa tutakukumbuka daimaa Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi hutosahaukika kwenye mioyo yetu

  • @nyemomazengo6800
    @nyemomazengo6800 Год назад +1

    Nguri wa africa❤❤

  • @dadapechi
    @dadapechi 3 года назад +7

    Bora ametutoa na kutuansha. Tulikuwa hatujui.

  • @hassanhassantupa5093
    @hassanhassantupa5093 3 года назад +4

    Daaah! Lala salama mfalme wetu. ewe mwenyeezi mungu umuhifadhi mzee wetu huyu. ni malaika wa watanzania wanyonge kama mimi.

  • @charlesmafumiko1764
    @charlesmafumiko1764 2 года назад

    Amina sana Baba, mungu akusamehe chambi zako zote akupokee kwenye nuru ya uso wake. Ulikuwa tayari kuleta haki za Watanzania. Is just a wonderful matter be Blessed our late national father

  • @rogermomodesty3568
    @rogermomodesty3568 3 года назад +11

    Ni maneno mazito Sana kwakwel inaumiza

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 года назад +5

    RAIS WETUUUUUUUU😵😵😵😵😵😵😵😵😵😵😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 MAGUFULI WEEEEETUUUUUUU. EEMUNGU MUHIFADHI BABAYETU MPENDWA ALITUPENDA SISI KULIKO NAFSI YAKE NA FAMILIA YAKE MSAMEHE KILA ALIPO KOSEA AAMINA 🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭

  • @piusndulu7378
    @piusndulu7378 3 года назад +8

    Hakika umepanda mbegu katika mioyo ya watu wema, wazalendo, wenye kutazama mbele, wenye Maono na wanamapinduzi wa kweli,,, waafrika kujikomboa lazima tuwe na mitazamo tofauti na mitazamo ya wazungu ambao plan zao siyo kujikomboa kiuchumi kwa bara la afrika. Hakika jpm ulikuwa chuma na jiwe kwa wakati mmoja. R.I.P Mwamba.

  • @jescamakyao4305
    @jescamakyao4305 3 года назад +8

    Yaani du!!ni maumivu makubwa Sana kumpoteza jpm wetu,mungu atakapowafufua waliokufa tutakuona tena,tutafurahi Sana kukuona tena duniani.

  • @michaelisaya5338
    @michaelisaya5338 2 года назад +3

    The legend of Africa 💖💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🔥, tutakukumbuka daima.🙌🙏🙏

  • @deborayunucy4791
    @deborayunucy4791 3 года назад +13

    Utaendea kudum ndani ya mioyo yetu. Ukikuwa msema ukweli , hukuogop wewe ni shujaa watakuchukia wenye husuda , il wenye hofu ya mungu tuta kuenzi na kukumbuk hekim yako! Mungu akupe pumziko la milele tunaimani na ulo tuachia baba il hatun nguvu ya kuyaendeleza , wameshikilia watu wenye tamaa wenye uchu wa madarak waso ipenda tanzania wenye kijijali wenye mungu atapambana nao !!?R.I.P

  • @kelvinbatista1142
    @kelvinbatista1142 2 года назад

    Mungu alisema mpende kwanza mwenzio ndipo ujipende wewe,, MAGUFULI Ulitupenda watanzania na nchi Yako😭😭,,, na ndio ukajipenda wewe,🙏,, tunashkuru Kwa muda wako baba🙏,, umetufungua vichwa tuliowengi💪,,, Mungu akupunguzie adhabu kama Si kukuondolea kabisa baba😭😭🙏,,,,, Naumia sana kila nikisikiliza hotuba zako baba🙏😭,,, Leo tulipo hatujui tunaelekea wapi🏃,,umetuacha guzani baba😢👹💔,,,, MUNGU WETU UNAESIKIA MAOMBI YETU,, TUNAKUOMBA TUONEE HURUMA JAMANI WATOTO WAKO WATANZANIA 🙏🙏🙏🙏😭,,, TUPATE MAGUFULI MWINGINE,, TUNAKUOMBA MUNGU WETU🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭,,,,,,,,, #Endelea kupumzika kwa Amani baba MAGUFULI#

  • @henrykigugwe3814
    @henrykigugwe3814 3 года назад +9

    Nothing to say because I cant finish!!

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад

      Tudife moyo JPM alituachia wazarendo wakina isaya bensoni co tutafika tuuu

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 3 года назад +18

    Hakika damu ya huyu Baba Italia usiku na mchana,aliehusika na kifo cha huyu Mwamba wa Tanzania & Africa dhambi yake imeandikwa Kwa kalamu ya chuma! Haiwez kusameheka wala kufutika!😭😭😭

    • @ananiachelesi1486
      @ananiachelesi1486 2 года назад

      Amina kweli kwa kalamu ya chuma.inafanana kabisa dhambi ya yuda , Askariote msaliti!!

  • @renatusmayasa2777
    @renatusmayasa2777 3 года назад +4

    Mungu akupe pumnziko la milele baba yetu ulitutetea sana na ulitupenda~

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 3 года назад +6

    Jamani inauma mno, moyo unavuja damu kwa machungu na macho bado yanajaa machozi tunapokukumbuka kiongozi wetu mzalendo kiasi hiki katika Tanzania na Africa. Kuondoka kwako ghafla umetuachia kidonda cha kudumu katika mioyo yetu. Inauma kweli. Alijitoa muhanga kwa ajili ya taifa letu. Viongizi wetu na watanzania wote tumuenzi kwa kufanya kazi kwa bidii na uzalendo wa kweli kama yeye.
    R.I.P. JPM.

  • @munezerozilfa9886
    @munezerozilfa9886 3 года назад +3

    Ukweli ulikuwa shuja.Roho inaumia .mungu kakupenda zaidi.

  • @hebronmalatila6186
    @hebronmalatila6186 3 года назад +4

    Kwa ukweli huu ambao Magufuli anauthibitizha hapa ! Lazima Mungu yupo upande wa Magufuli. Na mfano wa kuchunkuliwa na mtu awaye yote, aliye na akili na kuzaliwa na mwanamke. Amen.

  • @jusa6333
    @jusa6333 3 года назад +4

    Mungu akupe mapumziko mema kipenzi Cha wanyonge

  • @makalangakiselya5207
    @makalangakiselya5207 3 года назад +5

    magu wetu umetuuma sana lala salama mzee wetu

  • @ananiachelesi1486
    @ananiachelesi1486 2 года назад

    Asante asante mungu tena na tena kwaajili mtu huyu yaani magufuli john pombe.tunakuomba umurudishe tena tunakuomba sanasana amina.

  • @leonardlunguya6694
    @leonardlunguya6694 2 года назад

    Mungu baba mwingi wa rehema akupumzishe mahali pema peponi,Amina

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 года назад +8

    Mpenda haki hadumu,ila ataacha historia isifutika,ukweli ngumu kuwekwa wazi,kuthibiti mianya zote za unyonyaji,kuwachulia hatua Kali wazembe nakuwaondoa pale alipomkuta bila kujali cheo,mwenye haki ni mzigo hata Kwa wazazi wake,ana maadui wengi nje na ndani ya nchi.

  • @furahafrank8267
    @furahafrank8267 3 года назад +11

    Mimi naona kupata tena kiongozi kama huu ni kama mlevi kujifaliji ataenda mbinguni.

  • @husseinjuma4575
    @husseinjuma4575 3 года назад +2

    Magufuli mungu akupumzishe kwa amani

  • @tajiriadamu41
    @tajiriadamu41 Год назад +3

    Rest In Peace my president from South 🙏🏿

  • @ahungu4677
    @ahungu4677 2 года назад

    Hatutakusahau Kamanda wetu. Mungu SWT akuhifadhi salama huko ughqibuni

  • @stephenguga1034
    @stephenguga1034 3 года назад +8

    Magu aseeeee Daaah MUNGU. Tulipie Kama sio halali.

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад

      Mimi nazani tumaini bado lipo Tunae MWL,ISAYA BENSONI atatufikisha salaam.

  • @malaikakimaro4954
    @malaikakimaro4954 3 года назад +5

    Mwanga wa milele ukuangazie na Rahaa ya milele akupe Eeeeeee bwana 🤔😭🙏🙉

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 года назад +3

    Jameni jameni jameni Mimi naliya kila siku 😭😭😭😭😭 yangu tarehe 17/3/2021 mpaka sasa Naliya 😭😭😭 Rais J.P Magufuli alikuwa ni Rais Mzalendo WA inchi yake pia kwa Wanyonge alikuwa akikaa nao akicheka baba lala salama 😭😭😭

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 года назад +9

    Lalasalama mzee wangu

    • @thomastarimo
      @thomastarimo 2 года назад

      Daaa baba magufuli baba inua macho yako uko uliko lala tunaumia sana baba Mali zetu zinaibiwa na mashetani ya kibepari ila mungu atayalipa hapa hapa duniani

  • @husseinkakanga4082
    @husseinkakanga4082 3 года назад +4

    Hivi maneno viongozi wetu wanayaelewa kweli maneno mazito maneno ya kizalendo maneno yenyekutiaa uchungu lakini najua baadhi ya viongozi wetu waliyopo Sasa wanamuona Kama mpenda sifa kumbe sivyo huyu mzee alikuwa safi Sana kwakweli

    • @solomonakili4449
      @solomonakili4449 2 года назад

      AMEFUNGUA MACHO YA WATANZANIA NA HAKIKA ALIKUWA MWAMBA WA AFRICA NA NDO MAANA WANARUDISHANA WAO KWA WAO AMBAO WALIKUWA MAPANGONI

    • @hokhanyahonge2551
      @hokhanyahonge2551 2 года назад

      GOD, HAVE MERCY ON US SINNERS!!!

  • @engjacobjackie7379
    @engjacobjackie7379 2 года назад +1

    Mungu na amkumbuke Mheshimiwa JPM na uzao wake milele, Amin. Hata Kenya tulikupenda kwa sera zako ila hao mabwenyenye hawakukupenda

  • @ahmedabdillahi8343
    @ahmedabdillahi8343 2 года назад +2

    2022-12-25 nimesikiliza kwa makini sana daah Magufuli alikuwa mtu kweli 😢.. RIP Uncle Magu

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 2 года назад +2

    Tunateseka mzee wetu Magufuli tunaomba mungu afanye jambo lake ambaro litatufuta machozi sisi wananchi wanyonge tunateseka sana

  • @sylverjosiasy8536
    @sylverjosiasy8536 3 года назад +1

    Kwangu Mimi kwa muona was Mfalme huyu na mwamba huyu was afrika shujaa wetu MAGUFULI, kiukweli ningekua memoja was Viongoz was Tanzania kauli mbiu yake ya HAPA KAZI TUU ingekua kauli ya taifa la Tanzania na ikulu ya chamwino nigelipa jina la magufuli kwa uzarendo na kazi kubwa aliyoifanya kwa Tanzania, RIP dokta MAGUFULI, Hakika ungeendelea kua hai Tanzania ingekua Moja ya nchi kubwa afrika,

  • @hebronmalatila6186
    @hebronmalatila6186 3 года назад +3

    Ndo najua Umuhimu wake ulivyokuwa mkubwa kwa nchi yetu Tanzania.

  • @davidsmael3703
    @davidsmael3703 3 года назад +4

    Mfalume wakweli

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 3 года назад +4

    Alitufungua macho tulio wengi kwa tabia yake ya kuwa muwazi na mkweli bila woga wala kumumunya maneno. Tunatumaini uwazi huo aliouanzisha utaendelea ili kutuwekea imani zaidi kwa siku zijazo. Tulizoea kupewa taarifa na hesabu kwa usahihi na uwazi kwa sababu mfalme wetu alijua wananchi anaowaongoza wana akili na wanastahili kupewa taarifa muhimu zinazohusu maendeleo ya nchi yao. Wanapenda kujua serikali yao waliyoichagua inafanya nini hasa kwenye mambo mazito. Mungu uliyemchukuaja wako ibariki Tanzania yetu.
    R.I.P mfalme wetu. Tutakukumbuka milele

    • @zundaauson9894
      @zundaauson9894 3 года назад

      Aisee hatatokea hata cku moja wakafuata nyayo zake,ndio maana wakamuua ili wafanye Yao,,hapo hata huyo bibi tozo alikuwepo lakini anachokifanya sasa tofauti inamana wakati jpm anaumia rohoni wao walikuwa wanamcheki tu wakisubiri zake zifike

  • @hassantupa
    @hassantupa Год назад +1

    Jamani, eee tanzania weeeee! Kwanini lakiniiiii. Ee mwenyezi mungu kwanini ulikubali tukanyang'anywa huyu mzee wetu lakiniiiii! Aaaaa mungu weeeee. Kwanini lakiniiiii??????, Aaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mutijimacedrick1622
    @mutijimacedrick1622 3 года назад +1

    The one without second else...wewe uritumwa na Mwenyezimungu..umetuaciya mengi mazuli myoyoni....real Panafricaniste,,nationalists,,real Dr..I will never see other like you

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 2 года назад +1

    We lost you brother and we don't know when we will get Presidente like you.
    Mungu akulipe kwa wema wako kwa nchi yako
    Ameen.

  • @yohanathadeo1447
    @yohanathadeo1447 3 года назад +3

    Umeumaliza mwendo baba Mungu atakuinua uko mbinguni

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 года назад +2

    Vita hii aliyopiga kiongozi wetu ilikuwa ngumu nadhani sawa na ile ya mwalimu Nyerere,lkn hii ya mhesh wetu jpm ilikuwa ngumu zaidi kwa sababu unapigana ukiwa ndani yako kuna waliomkana yesu mara tatu lkn nyusoni mwao utadhani unao pamoja, ndio hawa wanaoonekana cku hizi,mbaya zaidi wanakichafua chama chetu.

  • @kenethmartin9252
    @kenethmartin9252 3 года назад +4

    Hakika ulikua xhujaa wakwel kabixa Mwenyezmungu akuraze mahar pema pepon shujaa

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 года назад +11

    Kwani baba ulipatwa nanini jmn.Mpka leo hutuba zako sijawai kuzichoka,naishi bdo upo hai.Mungu alikuchukuwa mapema sana jmn.Sauti yenye msisimko kwawatanzania wanyoke huwa inaishi masikio mwangu mpka leo.Baba baba ulale salama.Malaika wakuombee kila siku mbinguni.Uchungu uliokuwa nao kwa nchi yko nizaidi ya mapenzi yawatoto.Ufuraie mbinguni bila vikwazo.Uliokosa usamehewe.

    • @emanuelrutakolozibwa5030
      @emanuelrutakolozibwa5030 2 года назад

      Mama yasikie basi haya na ww unaweza shida nn Mama unatuangusha

    • @thomastarimo
      @thomastarimo 2 года назад

      Baba ninapo sikiliza ujumbe huu Mimi najikuta na kosa amani Ila najua IPO Siku ambavyo aina jina utainua macho yako ulipo lala ulitupigania kwa ngufu zote ili tujue nini kina endelea lakini ibilisi asiye na adabu mlaaniwa akupendezwa na utumishi wako uliotukuka lakini mungu yupo na sis

  • @ramadhanmgaya1984
    @ramadhanmgaya1984 3 года назад +6

    Hizi hotuba ziwe zinarushwa na vyombo vya habari kila siku ili hawa viongozi waliopo sasa wajifunze uzalendo.

    • @eligiuselias4469
      @eligiuselias4469 3 года назад +1

      Kaka hawawezi kuzicheza hotuba zake wakati wanapambana kwa nguvu nyingi ili asahaulike haraka.

    • @mestonsimzosha2899
      @mestonsimzosha2899 3 года назад

      Mimi nazani tumaini bado lipo tunao akina MWL ISAYA BENSONI WALIO AMUWA KUJILIPUWA KWAJILI YETU TUTAFIKA TU

    • @doricejoel6185
      @doricejoel6185 3 года назад

      Kweli zitafutiwe vipind angarau hawa vibaka wasikie😭😭😭😭😭

    • @doricejoel6185
      @doricejoel6185 3 года назад

      Nimachunguuuuuu yasioelezeka😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @thadeiandrea877
    @thadeiandrea877 Год назад

    Kwakeli mwenyezi mungu alilaze roho ya mzaledo rais magufuli amina