She is beautiful but she has to fix her smile jamani (crooked teeth) ...she needs braces; it's not too late (it will be fast to fix if she'll remove some pre-molars to create space...definitely you have money girl; fix that, it will increase your beauty and confidence. Ambao hamtanielewa na kupiga kelele; sitawashangaa...exposure is important...but that first daughter (binti wa raisi) has exposure...kajisahau tu. Fanya hivyo mpenzi...you will be happier.
Kwani kamzaa ikulu? Si wamesota pamoja wote wameajiriwa miaka na miaka,wanu mkubwa kuliko umri wa mamake ndani ya siasa,mama tangu aanza siasa ngazi za mitaani wanu tayari kikubwa,tuache roho mbaya
Jambo zuri sana kuwafikiria wanawake visiwani na wengine katika srhemu zote za nchi watajifunza kutoka kwenu💪💪💪 Nimeona huo upungufu na mwanamke kujisahau maisha yake ya kesho yatakuwaje. Kwa mfumo huu mzuri utawawezesha wanawake kwa pamoja kusimama na kuijenga jamii na sio kusubiria kitu kipelekea unyanyasaji Afrika.
Ukitoka familia ambayo kuijua njaa ni wakati tu wa mfungo ama kwarezima au Ramadhani, ni mtihani mkubwa kujua mwananchi akisema ana hali ngumu ya maisha ana maanisha nini?!!!!!!!
Wake,watoto wa Marais ndio miradi yao hiyo badaye hela za Serikali zinakuwa zinahamishwa kupeleka huko. Salama Kikwete,Anna Mkapa,Mke wa Mwinyi wote hao walitengeneza foundation lengo kuu ni kuchota fedha za Serikali-sasa ni zamu ya Mtoto wa SAMIA
Tz raha bwa akitoka baba hupewa mtoto akitoka mama hupewa mwana aaa! hii nchi tamu ajabu vizuri lakini mnyonge abakie mnyonge na royal family ibakie ivo ivo but kwa Allah hakutokua na iyo "inna akramakum inda LLAh atkakum"
Wananchi ni maskini sana sema 80% kwasababu Serekali haina uwezo wa kuwapa Wananchi wake makazi ili kila mwezi MWANANCHI ajuwe nini anapata na anafanya kwenye maisha yake. Kuna watu washafika miaka 80 bado wanafanya kazi..na vijana wamekaa bila ya kazi...na wamesoma vizuri.
Of course kwasabu nafasi za kazi zikitoka wanapeana wenyewe mjomba, shangazi, Dada, kaka. Je? Wasio ndugu wapate wapi kazi? Tena mbaya zaidi wengine wanapewa kazi hawana hata ujuzi nazo kwasabu hawakusomea hiyo trauma. Ndo mana magufuli alikua anawatimua wengi tu humo maoficen. Just feel sorry for my people. Niliaza kutamani kurudi watakati wa magufuli but now hell No.
@@salumsheikh5349 Weee mimi sihitajii kitu kwenye SEREKALI wala lawama kwa Serekali unayo isema haa haa😂😂😂🤣 Wananchi wengi ni maskini UNGUJA NA PEMBA hao ndio Serekali IWAFIKIRIYE kwa makazi ili waendeshe maisha baada ya kuomba omba majiani...
Kuna wagonjwa huku wanakufa mahospitalini kwa kukosa fedha za matibabu tembekea mahospitalini kaone uhitaji wa wagonjwa na kutembelea basi wodi za wazazi mahospitalini ni jambo la muhimu sana
SIYO sasa hivi tuu...nyiye miaka mingi hamjulikani mnaishi tuu . Usiseme sasa hivi tuu utakuwa unabagua hapo.. haya mambo yako ZAMAAANIIII sasa yanaendelea...
Lucy sasa walokuwa wakiiba wanyama na dhahabu na almasi zote hizo mali za UMA tokea miaka hiyo hukuwaona??? Umekuja kumuona Rais Samia....Ahhhh mbona unazidisha mambo...
Wacha kuliaaaa....furahi wewe uko Dunia sasa...Yalopita yashapita...kila mtu (kiongozi) na time yake wamepita wengi. Siyo Magufuli tuu....Time ya Mama Samia...
Ndio nyie jirani kaweka bati nyumba yake wewe unapanda pressure. Mama kahangaika upande wake na mtoto anahangaika upande wake , dini yetu inakataza kumtegemea mtu, kwa sababu sote ni WA Allah na kwake tutarejea.
Hiyo sio salamu ya kiislam. Maana yake kasema amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yenu. Ni lugha tu ya kiarabu katumia acha makasirilko ndugu yangu hiyo ni lugha tu hata wewe unaweza kuitumia. Generally ulimwengu anaitumia kila akizungumza na watu. In short hiyo ni lugha tu usiichanganye na dini ya kiislam
Hivi ni kwanini hakusema "tumusifu Yesu Kristu 🤔 Hakika uku zenji ni wabaguzi kweli adi wanachoma makanisa wakati, wakristu wanajenga misikiti yao. Mfano msikiti wa Dodoma wamejenga wakristu. Sasa sisi wakristu tunaoishi Zanzibar tujisikieje au ndio tuhamie Burundi uh Mama Samia mbona mtoto wako anafanya hivi na wewe unasema je, tuambie!!! Tumusifu Yesu Kristu 🙏 🙏 🙏
@@mussamanyehe3918 mtume Mohamed SAW aliwatambua wakristu lakini bwege kama wewe unafikri unajua kuliko ata mitume na manabii. Jifunze maana ya Islam maana ni mabwege kama nyie mnaochafua uislamu uh 😡
Kwanza ismu ya kujengwa makanisa kwenye ardh tukufu ya Zanzibar hatutahii Zanzibar ni ardh tukufu Ila watanganyika Wana husda nayo kwakujenga vilabu via pombe na magest house yasokua na maadili kwaukweli hatutaki mtujengee makanisa zanzibar.
hhhhhhh Sasa utamlazimishaje mtu aseme asichokitambua wala kukijua.. na hata asichokiamini! Maajabu haya jamani... Sema tu wewe inatosha kwa niaba. Na huo msikiti unodai kwamba wamejenga wakristo kama lengo nikua waislam nao eti wamsifu Yesu Kristu basi nibora tu mkae mushauriane mkauvunje manake hiyo haitokaa ije itokezee
Sasa ao wazungu kila kikao cha afrika wamo kwanini?ha yani ina kera sana kwanini msiwe mna wafukuza kila kakitu wamo watu tuna teseka kwao kisha kwetu njoo wame fanya sehemu yao ya mapato
Mashallah, 🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇺🇬 wanyarwanda , warundi Kenya na Uganda twasema hongera sana kwenu🇹🇿🇹🇿 tzd Africa mashariki twajivunia kuwa nanyi ndugu wa tzd
Hello. You have a first name of my grandy and my actual sir name. This amused me
Mm nipo hapa sisikilizi kinachozungumzwa mana sielewi Ila nimekuja hapa sababu ya kichwa cha habar Tu 🤣🤣🤣, Ila comments zinamakasiliko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄😄ww ni mm kabisa
Pia mm cielew
😂😂😂 jamn
😂😂😂,, upo kama mm😢😢😂😂
Hongera sana Binti Mungu akulinde na kukubariki
Maashaallah hongera my dada Allah humpa ampendae namwenyekuwa nacho ndie mwenykuongezewa inshaAllah mwenyezimungu atakupa zaidi unaweza DADA
Like mama like daughter
She is beautiful but she has to fix her smile jamani (crooked teeth) ...she needs braces; it's not too late (it will be fast to fix if she'll remove some pre-molars to create space...definitely you have money girl; fix that, it will increase your beauty and confidence.
Ambao hamtanielewa na kupiga kelele; sitawashangaa...exposure is important...but that first daughter (binti wa raisi) has exposure...kajisahau tu.
Fanya hivyo mpenzi...you will be happier.
Kwani kamzaa ikulu? Si wamesota pamoja wote wameajiriwa miaka na miaka,wanu mkubwa kuliko umri wa mamake ndani ya siasa,mama tangu aanza siasa ngazi za mitaani wanu tayari kikubwa,tuache roho mbaya
Asantee sana waambie wajinga
Ni kweli
Nu Salim umeongea point ya maana sana 🙏
Nu salim, waelimishe, waache jelas
Huu ndio ukweli,wa tz tuna roho za kwanini,mtu wakati anapambana ,anaonekana mshamba,akiwin,wwnapeana.!
mashallah toto la nguvu yan nko tayari kumuoa ❤ mashalllaah mwanamk umejaaliwa
Yaani cha kwanza ulichokiona ni kukimbilia kuoa mmmmh
😳😳
😊😀😀😀😀😀nimecheka wallah
Kashaolewa tena na Waziri... Mbunge wa Rufiji Mh. Mchengerwa
Anatembea kama mama yake
Ushasema kama Mama yake...
Eee kweli kama mama yake aisee
Kizazi Cha Matajili hongereni kwa kusomeshana jamani.
Wivu huo
@@bukheytmohammad2831 Wivu au ukwel
@@mwajumamohammed4975 kusoma sio utajiri.
Wasomi ni wengiiii mbona sema 🤣🤣🤣
Na wewe ungekuwa na nafasi halafu usisomeshe watoto wako tungekucheka kwamba moto umezaa jivu. Jema ni lipi? Acheni hizo.
Hogera sana dada angu Kwa kazi njema
Ccm kitanda awawatoto wamamasamia wakishaga patamtonyo✊😆🙏⛸️🙏ata ukiwaagiza kiberiti dukani wanataka wakukunjie ngumi🍥🧧👓
huy mwili kamzidi mamayake punguza tako wew
🤣🤣🤣kumbe na ww umeona kama mm
@@blackcolour8183 my tozo hiyo imemkubali😂😂
Wivu tu mbwa wewe
@@tousihhhh6765 Nyie ahahahhah
@@tousihhhh6765 😂😂😂
Napenda wana siasa ambavyo kuwa wanawapa nafasi watoto wao na kuwainua.
Jambo zuri sana kuwafikiria wanawake visiwani na wengine katika srhemu zote za nchi watajifunza kutoka kwenu💪💪💪 Nimeona huo upungufu na mwanamke kujisahau maisha yake ya kesho yatakuwaje. Kwa mfumo huu mzuri utawawezesha wanawake kwa pamoja kusimama na kuijenga jamii na sio kusubiria kitu kipelekea unyanyasaji Afrika.
.
❤
Icho kigoma cha wamakunduchi apo mwisho dj kanikosha na sijui km si cool para
Raisi mtarajiwa
Mh . Wanu hongera kpnz❤
Mashallah
Du! Natamani sana watoto wa marehemu wakulima nao wakakumbukwa na elimu zao hawana pakutokea
Mungu atusaidie sana. Amen 🙏.
Mashallah anapendeza from 🇰🇪
Kabisa aki .
Anaandaliwa ajekuwa waziri huyo au raisi wa Zanzibar
Mtu mzima kabisa hongera mama samia
Ukitoka familia ambayo kuijua njaa ni wakati tu wa mfungo ama kwarezima au Ramadhani, ni mtihani mkubwa kujua mwananchi akisema ana hali ngumu ya maisha ana maanisha nini?!!!!!!!
Upo sahii
True
Ndio maana mungu akaleta mwenzi wa ramadhani ili matajili wote wafahami
Mashaallah!!!
Mtoto wa Mama....
Hongera sana mdogo wangu chapa kaziiiiiiiiiiiiii💯
Ww ndo wafaa kumwita mama aswaaa...maana wengine twajipendekeza tu,,,kuleni niwati wenu
Usijali mamy na wewe wakati wako utafika tu
😁😁
😂😂
🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
"TuMsifu Yesu Kristo!" umesahau kuisema. Rais JPM alikuwa anasema zote bila ubaguzi
Poleee
ili iweje
Wacha tu. Lakini kila kitu kina mwisho
@@rajabsalim6849 ili iwe inavyotakiwa kuwa..
Yawezekana wote ni waislam
Daah Mtoto wa Mama♥️
CJAPENDA SALAMU YAKE ....CJACKIA AKITAJA SALAMU YETU YA BWANA YESU ASIFIWE .....
Kwakweli kwenye mkisanyiko din zote zipo
Yeye mwenyewe hazungumzia dini yake unataka azungumzie dini yako! Una kazi ww
Nsamehe bure
❤ Excellent !!
Kumbe mama Ana mtoto mashallah hiv na hamsemi...
Mke wa waziri huyo😊
Bonge la mama😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@@mimahally8025 kajazia mashaallah 😃
Wanakula nchi
Huyu ndio mtoto wa rais ama dadake😂😂😂😂
🤣🤣
Hahaha
Kuleni riba Tu huku wanyonge wanalala na njaa
Umependeza
Wooow mwanamke anawezaaa
Sauti kubwa kama mama yake
🤣🤣🤣🤣
Wake,watoto wa Marais ndio miradi yao hiyo badaye hela za Serikali zinakuwa zinahamishwa kupeleka huko.
Salama Kikwete,Anna Mkapa,Mke wa Mwinyi wote hao walitengeneza foundation lengo kuu ni kuchota fedha za Serikali-sasa ni zamu ya Mtoto wa SAMIA
Tz raha bwa akitoka baba hupewa mtoto akitoka mama hupewa mwana aaa! hii nchi tamu ajabu vizuri lakini mnyonge abakie mnyonge na royal family ibakie ivo ivo but kwa Allah hakutokua na iyo "inna akramakum inda LLAh atkakum"
Hata sisi ni wadau wa elimu mje kuchukua counter book 50
Mashaallah tabarakallah
Mashallah wowo lipo wanuu
Hadi sauti ni ya mama anafanana nae sana
Mlimuuwa Magufuli Ili mtuibie mchanga wa madini moereke kwenu zbr
Mashallah mtoto wa mama ni mama.
Mamaako peke yako
@@ummu2101 HUNA ADABU NA MAMA WA WENZAKO HUJAFUNDISHWA WEWE.
@@salimmalaka256 samahan sijakutusi na ww pia huna adabu
@@ummu2101 NA NDIO MANA NIMEKUPA KAVU KAVU.
Umeolewa Dada daaaaaa MTU kweli
Wananchi ni maskini sana sema 80% kwasababu Serekali haina uwezo wa kuwapa Wananchi wake makazi ili kila mwezi MWANANCHI ajuwe nini anapata na anafanya kwenye maisha yake. Kuna watu washafika miaka 80 bado wanafanya kazi..na vijana wamekaa bila ya kazi...na wamesoma vizuri.
Of course kwasabu nafasi za kazi zikitoka wanapeana wenyewe mjomba, shangazi, Dada, kaka. Je? Wasio ndugu wapate wapi kazi? Tena mbaya zaidi wengine wanapewa kazi hawana hata ujuzi nazo kwasabu hawakusomea hiyo trauma.
Ndo mana magufuli alikua anawatimua wengi tu humo maoficen.
Just feel sorry for my people. Niliaza kutamani kurudi watakati wa magufuli but now hell No.
Serikali ikupe nini wewe , tafuta hela wacha lawama
@@salumsheikh5349 Weee mimi sihitajii kitu kwenye SEREKALI wala lawama kwa Serekali unayo isema haa haa😂😂😂🤣 Wananchi wengi ni maskini UNGUJA NA PEMBA hao ndio Serekali IWAFIKIRIYE kwa makazi ili waendeshe maisha baada ya kuomba omba majiani...
@@awatifalghanim1106 na kwani serikali inafanyaje! Hiyo taasisi ilofunguliwa imefunguliwa kwa lengo gani ?
@@ednaJF1028 Very sad....Mungu atakusaidia..Comment yako inaleta maana...siyo Comment ya kijinga..
Daaaaa sisi watoto wachini tulio sota kusoma ukipata nafasi kama hiiii niiite mmbwa apo kila mtu anakula alicho panda
Yameshaanza tena mashirika ya kuchota pesa za wananchi
Ni huzuni 😭
🤣😂
Safi Sana wengi limetugusa
mashallah ❤❤❤
Nimeipendasana iyo
Pigeni izosafiii zenu lakin wanaume tunapotea ktk sekta mbalimbali sauti za wanaume zipo gizani sasa
Kuna wagonjwa huku wanakufa mahospitalini kwa kukosa fedha za matibabu tembekea mahospitalini kaone uhitaji wa wagonjwa na kutembelea basi wodi za wazazi mahospitalini ni jambo la muhimu sana
Mabruq mabruq (mama anaupiga mwingi )
ruclips.net/video/V5ALW4tokzM/видео.html JOHO ANAKUBALI WALIUZA PORT..
Hii inchi inakula yeye kw yenyew masikin khaa hatujulikan😂😂😂
SIYO sasa hivi tuu...nyiye miaka mingi hamjulikani mnaishi tuu . Usiseme sasa hivi tuu utakuwa unabagua hapo.. haya mambo yako ZAMAAANIIII sasa yanaendelea...
@@awatifalghanim1106 sas yamezid san khaa
Lucy sasa walokuwa wakiiba wanyama na dhahabu na almasi zote hizo mali za UMA tokea miaka hiyo hukuwaona??? Umekuja kumuona Rais Samia....Ahhhh mbona unazidisha mambo...
So mana wewe pia
@@awatifalghanim1106 anakulipa sh ngapi mwenzetu naona povu linakutoka
Aisee 😭😭 R.I.P JPM
Unafiki ty
Unafiki mkubwa
Wacha kuliaaaa....furahi wewe uko Dunia sasa...Yalopita yashapita...kila mtu (kiongozi) na time yake wamepita wengi. Siyo Magufuli tuu....Time ya Mama Samia...
Jpm kaja kufata nn hapa kafe nae ebu mfyu
Huyu Danny ni mnafiki jamani. Hana hata haya!
mi naona kilichobakia ni mama tu amwachie mtoto majukumu ya uraisi amalizie.vijana ndo bomba
Naona mambo yakiendelea hivi Tanzania itakua kama Kenya ambapo viongozi huleta watu wao kwa serikali yaani kurithishana uongozi
ni bora kenya wanarithishana madaraka lakini wanajali wananchi wao ndo maana kenya inaendelea
ndo maana yake hata mm ukinipa urais kwanza nawaweka ndugu zangu wote nafasi za juu ili wasiniombe
Uganda mfano mzur zaidi
@@sudaissaid8428 😄 🤣 😂
Na hii sio mfumo wa kiserekal ni wa binafsi raisi ni mualikwa tu
Foundation za kuchotea pesa zimeanza
Mbona mtoto mzuri kuliko mama
🤣
Akizeeka atakuwa kma mama yke sbb wamefanana sana
Ww Samia pisi Kali umri tu
Hongera Sana my
Anafanana na mama Hadi sauti
Scheme maneno mlitakaje na yy anaishi jinsi alivyo na anatenda kama apendavyo
Kuleni tu. Sisi ngoja tuendelee na betpawa
Masikini wale wale matajiri wale wale
Masikin Tupoooooooo matajirii mupoooo
Hatari sana!!
Yeth tupo wathemaje ?!
ni kweli kabisa
KAZI HUTAKI UTAKUFA MASKINI UMBEYA MARADHI.
Ndio nyie jirani kaweka bati nyumba yake wewe unapanda pressure. Mama kahangaika upande wake na mtoto anahangaika upande wake , dini yetu inakataza kumtegemea mtu, kwa sababu sote ni WA Allah na kwake tutarejea.
so salam cku hizi ziko mbili tu cyo haya bwn!
Zanzibar hakuna salam ya bwana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣daaah nimecheka Sana aisee
AISHA MZEE HAMISI
Lkn mnaokoment vibaya mtakuwa tu na wivu
Huyu nae ni Samia tupu🗡️🗡️🗡️🗡️
Sisi ambao wazazi wetu hawakusoma na watoto hatuja soma wazazi wetu wataangalia kama tunajua kulima vizuri kama wao
Wamefanana kweli kweli
Safi waachen wachache wapige hela tuliobaki tusubr tupewe vitenge na bombe tuipigie kura ccm tuendelee ss na vizazi vyetu kua masikini
Kwani yeye ndie Rais wa kwanza kufanya hiviiii???? Walopita wamefanya zaidi ya hayo. Basi subiri vitenge. RAIS SAMIA OYEEEEEE
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
KUMBE WEWE UNASUBIRI KAZI HUTAKI
Watu hamkosi la kuongea binadamu tunamambo
Masha Allah
💪💪💪Speech.
Super woman 🥰🥰🥰
Inshallah kher
Nimesikia salaam ya kihisilam ila Ile ya kina gwajima. Hakuna watajijua
We nae kwakukaririshwa hujambo
Hiyo sio salamu ya kiislam. Maana yake kasema amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yenu. Ni lugha tu ya kiarabu katumia acha makasirilko ndugu yangu hiyo ni lugha tu hata wewe unaweza kuitumia. Generally ulimwengu anaitumia kila akizungumza na watu. In short hiyo ni lugha tu usiichanganye na dini ya kiislam
Tutaona mengi mwaka huu
Hahahahha
😅😅😅😅
Kabisa, kuishi kwingi kuona mengi
KWANI MIAKA ILIOPITA ULIKUWA HUONI????
Sauti kama mama kweli
Daaa kwahyo amekaa hapo jiran na Raisi
Hongera ni nzuri sana
Safi sanaaa
Hatukuwahi hata kumwona wala kumfahamu japo mtoto wake mmoja kabla, kwa kweli alikuwa ni mtu wa tofauti sana.
Je uliwahi kumfahamu mtoto wa mkapa na Magufuli?
@@martinemaganga5253 anamaanisha Magufuli
Yaaaaaan Marais woote ndivyo walivyo kuwafahamu watotowao ni mziki balaaaa,,,,kikwete mwenyew Ridhiwan alifahsmika kwajili ya bata zake mkapa ndo kabixa magu ndo kabisaaaaa mam ndo kaanza
Watu wengi hawamjui lakini uyo mtoto wa mama samia ni mbunge uko zanzibar
@@ashaashanalinga3635 Na siku zijazo anaweza akapewa uwaziri kiongozi hatimaye waziri katika jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mashaallahhutubanzuri
Sawa mungu akubariki Sana
Ndio mke wa Mchengerwa ama?
Kajitahid sana but confidence is not 100%
Vyenye mnendelea kupeana madaraka 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
😂😂😂
Waooooo❤️❤️
Hivi ni kwanini hakusema "tumusifu Yesu Kristu 🤔 Hakika uku zenji ni wabaguzi kweli adi wanachoma makanisa wakati, wakristu wanajenga misikiti yao. Mfano msikiti wa Dodoma wamejenga wakristu. Sasa sisi wakristu tunaoishi Zanzibar tujisikieje au ndio tuhamie Burundi uh Mama Samia mbona mtoto wako anafanya hivi na wewe unasema je, tuambie!!! Tumusifu Yesu Kristu 🙏 🙏 🙏
Chizi tu na wewe huna jipya wakrist ndo mdudu gani
@@mussamanyehe3918 mtume Mohamed SAW aliwatambua wakristu lakini bwege kama wewe unafikri unajua kuliko ata mitume na manabii. Jifunze maana ya Islam maana ni mabwege kama nyie mnaochafua uislamu uh 😡
Zanzibar wengi ni waisilam kwa iyo wanaenda kiislam na wala sio ubaguz ni mfumo
Kwanza ismu ya kujengwa makanisa kwenye ardh tukufu ya Zanzibar hatutahii Zanzibar ni ardh tukufu Ila watanganyika Wana husda nayo kwakujenga vilabu via pombe na magest house yasokua na maadili kwaukweli hatutaki mtujengee makanisa zanzibar.
hhhhhhh Sasa utamlazimishaje mtu aseme asichokitambua wala kukijua.. na hata asichokiamini! Maajabu haya jamani... Sema tu wewe inatosha kwa niaba. Na huo msikiti unodai kwamba wamejenga wakristo kama lengo nikua waislam nao eti wamsifu Yesu Kristu basi nibora tu mkae mushauriane mkauvunje manake hiyo haitokaa ije itokezee
Mamaa mama uyoo mamaa mama uyooo nani km mamaaaa🤣🤣
Wale washua wa chato waliongeaga siku za msiba TU
Mzee alikuwa kauzu SANA😁
🤣🤣
Alhamdulillah a step ahead
Mama ni Rais alale aaah wapi ni zamu yenu.
Powerful lady
Sasa ao wazungu kila kikao cha afrika wamo kwanini?ha yani ina kera sana kwanini msiwe mna wafukuza kila kakitu wamo watu tuna teseka kwao kisha kwetu njoo wame fanya sehemu yao ya mapato
Safi sana ustadhat
Watoto wa JPM sikuwahi kuwajua hadi siku amefariki ila hawa khaaaaaaaaa ni show off tu
Hongera mama Samia