Mashaallah layti kama asingetangazwa kama mtoto wa rais basi wengi wetu tusingemjua kwan watoto wa marais wengi kuwajua si jambo rahis ila mm kwa upande wng tu niseme Allah aibariki familia yao na awaepushie yote mabaya, amiin
Wow! Mtoto wa Mheshimiwa Samia ni mrembo sana sana. Lakini pia ana malezi bora ya kiafrika. Nampenda sana. Ningekuwa na uwezo ningemwomba urafiki, ingawaje anaonekana huenda aliolewa. Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Kweli hongera sana mama yetu Samia suluhu Hasani, umelea vema, huyu Binti Yuko vizuri, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mungu mbariki Rais wetu na familia, na nchi na raia wote.
Watanganyika acheni kujidharauni hivyo hivi lini mtajemiana? Kwa watoto wa nyumba kumi amekufanyia nini kama tutaendelea kuchukuana Watanganyika tutkufa omba omba kwa kweli. Kwa mama Saluuma mbona amendelea kuongea vizuri kwa wanawake wa kitanganyika? Watumwa kuwato katoka utumwa ni kazi kubwa sana.
Yeah km Mie watu hukataa sitoki znz 😂 eti siongei km wao 😂 nchi hii dah Huwa nawaambia wengi wanaoongea vile ni watu wanaotoka shamba na pemba sie pale mjini hatuongei km wao huwa nawatolea mfano mtt aliyezaliwa dar na kukulia na mtt aliyezaliwa mtwara wahawez fanana lafudhi yao lkn wapi hawakubali mpaka mtu aone passport ndo anaridhika kwa kushangaa😂😂
Mashaallah layti kama asingetangazwa kama mtoto wa rais basi wengi wetu tusingemjua kwan watoto wa marais wengi kuwajua si jambo rahis ila mm kwa upande wng tu niseme Allah aibariki familia yao na awaepushie yote mabaya, amiin
Sauti kama Mama 💞
Yaani kabisa 💯
Hongera mama kwa malezi mazuri una bint mzuri sana na anaonekana ni mtu mkarimu sana..well done our President..SSH.
Binti wa pekee hana mwingine wengine ni wa kiume 3 .
Alhamdulilah Mashaallah Mama Kajizaa Mwenyewe Mtupu, Allah Subhana Wataala Amjaalie Apate Tabia Ya Mama Inshallah Ameen Yaarabbil Alameen.
Hakufanana kafanana na mzee Hafidh wee mama alikuwa pambeee amrmkopi sauti kidogo
Sauti y mamake kaibeba ,Maa shaa Allah
Mtoto wa raisi yupo vizuri sana uku kwetu mtoto wa mjumbe wa myumba kumi tu tunakoma ongera sna Raisi Samia
MashaAllah very nice program thank you 🎉❤
hongera umeongea vizuri sana
Like mother like daughter mashallah
Mashallah nimekukubali sana kama mamako yako mashallah ❤🥰🥰🥰🌹🇴🇲
Safi sana sauti kama ya mama jamani
Bismillah Masha Allah bless ❤❤❤
Una Nidhamu sana safi, waislam Eneo la maadili mnajitahidi sana
Asante sana. Karibu katika uislam
Rais wangu ongera una bint mzuri❤❤❤
WOW she's so well spoken ❣️😇
Wow! Mtoto wa Mheshimiwa Samia ni mrembo sana sana. Lakini pia ana malezi bora ya kiafrika. Nampenda sana. Ningekuwa na uwezo ningemwomba urafiki, ingawaje anaonekana huenda aliolewa. Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan.
Yes mke wa Mohammed mchengelw waziri w tamisemi
We jamaa kazinzi eti urafiki ushatamani mzigo huo dadeki
Sauti kabisaa kama yake Mama Taifa Samia Suluhu
Mashaaalahhhhh
Safi sana anaongea fact Wala hajiskii it's like hajijui kuwa ni mtoto wa raisi well deserve 👏👏
Sana hana shida ALLAH amuhifadhi
Exactly! Hana mashauzi,,,
😂😂
@@khadijahali4837 kwema my kweli ndivo alivo hana majivuno nilikutana nae siku moja kama tuna urafiki ilikua nampenda kwa ajili ya ALLAH huyu dada
@@Awatee ooh kwl anaonekana hana majivuno, kmb mwezt na kuonana nae umewahi hongera my
Hongera unafanana na baba yako sana
Kama Mama, Hongera.
Kweli hongera sana mama yetu Samia suluhu Hasani, umelea vema, huyu Binti Yuko vizuri, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mungu mbariki Rais wetu na familia, na nchi na raia wote.
Mama nisaidie naomba unipepeleke studio pleasee
Bismillah masha'allah 🥰❤️
Anaongea kama Mama yake....Mungu azidi kukubariki mtoto wa mheshimiwa
Mtoto wa pekee wa kike
Hongera yake
ukifuata maadil ya kiislam lazima uwe na kizazi bora kama hivi
Yko vzr Saana
Watu mnasema kafanana na mama ake lakini sio kweli amefanana na baba ake
safii sana Umeongea vizuri
Maashaallah maashaallah
Watanganyika acheni kujidharauni hivyo hivi lini mtajemiana? Kwa watoto wa nyumba kumi amekufanyia nini kama tutaendelea kuchukuana Watanganyika tutkufa omba omba kwa kweli. Kwa mama Saluuma mbona amendelea kuongea vizuri kwa wanawake wa kitanganyika? Watumwa kuwato katoka utumwa ni kazi kubwa sana.
Shirikianeni na wasaidizi wa sheria wanawake katika hiiii kazi ya kuilea jamiiii
Aliye muona Aunt sadaka jaman apite na like hapa.
Hongera Sana mrembo wa Mhe. Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan upo vizuri Sasa
Mashalah wanu
Mh Wañu,uje Bara pia,tunahitaji MIF
❤❤❤❤❤❤
Sauti Kama ya prezooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😍😍❤️
well spoken
Wallahi mmungu Skype uzima naafya nakupenda saanaa kwaulivojistiri mwanamke wakislam unaheshima mmungu atakujaza dadangu
🙏🙏🙏
Love her
Maashallah dada wanu
Good spoken that's very nice
Daaa pis kaliiiiii
Kwa nini musiongele huko kwenu kwa nini Tanganyika ?
Mtangazaji unatuangusha hujamuuliza kama kaolewa
Ameolewa kitambo sana
Vipi yuko single?
🤣🤣🤣🤣
@@ferouzkeis6994 nauliza bro mtoto wa bi mkubwa huyo
Married
@@abdillahamour234 daah watu wanafaidi sana
Hhhhhhh haiwezekan kua single
Mbona Kama kiswahili hawezi vizuri au anakaa mbali
🙄🙄🙄Kiswahili kip unachokitaka
@@Awatee watu mnamajibu ya haraka kaah🤣😂
@@Awatee 😂😂😂😂😂😂
@@stevennenelwa3192 🤣🤣🤣Ndio nauliza kiswahili kip icho au vipo viswahili 3 siku hizi
@@tatotato506 🤣🤣🤣🤣💃
Malezi gani wote watovu wa adabu😂
Mamako anapotezea hali mbaya ya watanganyika😢😢
Mpeleke mama ako
Punguza unene dada WHA, utakuwa smart zaidi mungu akubariki
Unakoment ujinga huna kaz za kufanya
@@ELIPHAZAMON-ex9zc sio ushauri mbaya usimnenee vibaya hivyo
Mhhhh
@@ELIPHAZAMON-ex9zc ubYa uko wapi au kisa mtoto wa raisi shobo tu
Umeongea utopolo
I'm not fat but that's body shaming
Size ya mwili wa mtu has nothing with their personality or soul💀
Tatizo hiyo midomo mnakula sumu. Siyo maadili ya kiafya
Unajiungaje kwenye hicho chama au umnawasaidia vipi hao watoto wa kike kama wetu Sisi mana tunahitaji pia
HUYO NI UPUUZI 2 NA K7MEJIFICHA MENGI MNO TAFSIRIYAKENINI HAPO ,RAIA WALIA NA NYINYI MWA CHEZA NA HAKI YA RAIA ...
Una siri nyingine tunaijua juu ya roho chafu.
Wewe endelea na ushoga haya uachane nayo
Sasa ule ujinga wenu eti mwanamke hawezi kuwa kiongozi huyo samia anaongoza mmbwa pori au ni tamaa za dunia tu mbona hakukataa??
Yupo single wajuba me nimemwelewa
Mke wa mheshimiwa Mohammed Mchengerwa
😂😂
Samia sio mpenzi wangu lakini kwa hili namsifu malezi aliomlea mtoto wake huyu
Video
hamnakitu hapo
Mtangazaji niuliziye naye amisha olewa kama jimbo liko wazi mimi niko hapa ao nije kwa mama nitoe pesa, pesa siyo tatizo ntafikaaje kwa mama?
Kaolewa na wazir wa utalii mchengerwa
@@khadijamwenda1851 ngombe ya maskini aizayi na ikizaa lazma mtoto awe chonga, amnashida kwamgaga nyumbani congo lazma ni mzibiti kama
Cheee😂😂😂😂😂
@@epifaniamzumbwe5159 unaliya nini sasa na wakati sikuku wambiya wewe?
Hao ni ccm
Sauti Kama yule mtoa pesa kila gori
The same voice to your mother
EEH MUNGU muue huyu bibi afe na familia yake maana Tanzania TUNALIA
Utaumia Sana lkn mama Bado ataendelea kuishi na familia yake, labda ufe wewe 😂😂
Ukishindwa kuishi jinyonge ufe 😂🤣🤣
Kafe wewe km yamekushinda sio uombee wenzako kifo
Hakuns jipya apo
Tupe jipya wewe
Kiswahili cha zanzibar kimepotea kabisa... anazungumza kama mtu wa Tanganyika
Yeah km Mie watu hukataa sitoki znz 😂 eti siongei km wao 😂 nchi hii dah
Huwa nawaambia wengi wanaoongea vile ni watu wanaotoka shamba na pemba sie pale mjini hatuongei km wao huwa nawatolea mfano mtt aliyezaliwa dar na kukulia na mtt aliyezaliwa mtwara wahawez fanana lafudhi yao lkn wapi hawakubali mpaka mtu aone passport ndo anaridhika kwa kushangaa😂😂
@@machetebogota4218 unanichekesha "hatuongei" lugha munaitupa... zanzibar hakuna kuongea kuna "kuzungumza sio kuongea"