MTOTO WA RAIS SAMIA ALIVYOMKOSHA MAMA YAKE, AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA TAASISI YA 'MIF'..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 71

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 года назад +1

    SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 года назад +3

    Hongera Sana Dada Wanou Na Kila La Heri MUNGU azd Kkusimamia Kwenye Harakat Zako

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 Год назад +3

    Kuna cha Kujifunza.
    Umimi unatawalaaa kwenye hiii nchi

  • @abdulfirstzanzibar4599
    @abdulfirstzanzibar4599 2 года назад +4

    Kwani kuna ubaya wa rais wa nchi kumsaport mwanawe

    • @jaliabahat1520
      @jaliabahat1520 Год назад

      shangaa

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 11 месяцев назад

      Hakunaas hata kidogooo kumsapoti kwenye ukahabaa tu ndioo mbaya ila kwenye mambo ya kheri pambeee tu

  • @carolineseda4127
    @carolineseda4127 2 года назад +1

    Jaman hii taasisi tunaomba ije na bara,,wadau wa elimu tupo tutaamasisha ili jambo,na naamii tutalifaikisha.hongera Sana Dada mwanzilishi.

  • @papaamasauti5944
    @papaamasauti5944 2 года назад +5

    Mueshimiwa wanu Yuko vizuri

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 4 месяца назад

    Mashaallah wanu

  • @ljaymasaai7038
    @ljaymasaai7038 Год назад +1

    ❤muambie mama ako aache kumpeleka mandi nchi ingine

  • @salamaalihamadi4730
    @salamaalihamadi4730 2 года назад +2

    Mheshimiwa Wanu oyeeeee
    MIF SAFIIIII!!

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 6 месяцев назад

    Familia ya Mama Samia inaonekana kabisa ni ya maadili sana

  • @KhaithamMattar-ug9cw
    @KhaithamMattar-ug9cw 8 месяцев назад +1

    Huna lolote choyo tu chefff

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Год назад

    Nan huyu?

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 года назад +5

    Akimaliza Samia atashika madaraka mtoto wa Kikwete, akimaliza mtoto wa Kikwete, atashika mtoto wa Samia familia affairs. Kazi iendelee.

    • @fathiyasalim3946
      @fathiyasalim3946 2 года назад

      Ha ha haa wee acha tu

    • @user-pu1sq4ci3f
      @user-pu1sq4ci3f Год назад +1

      Ni kawaida hata Kwnye maandiko ndivyo ilivyokua baada ya daud mtt wake Suleiman nae c alikua mfalme! Ni kipawa Chao Mungu amewapa

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад

      Yana mwisho mbona

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 Год назад

      Kwahiy hiyo nch ni yakifalme duu dunia inaenda kas hi😂

  • @manasekabusha7180
    @manasekabusha7180 2 года назад +3

    yameludia yaleyale yazamani

  • @emariusrush3285
    @emariusrush3285 2 года назад +4

    mtoto wa Samia sisi wananchi anatuhusu nini??

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 10 месяцев назад

    Mbona MC unazitafuta kumbukumbu

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 2 года назад +3

    Washaanza kuwanadi watoto wao magu alikataaga ishu hizi

    • @stationerykinondoni7241
      @stationerykinondoni7241 2 года назад +2

      Kwa hiyo magu ndio nani

    • @Awatee
      @Awatee 2 года назад

      @@jumakapilima7295 Ni kweli mtoto wake ndugu uyo

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 года назад

      @@jumakapilima7295 acha kubisha upuuzi huyo ni mwanae,yaleyale ya jakaya na ridhiwan

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 года назад +1

      Kwani Magu ni Nabii wa Tanzania

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 года назад

      ivi Kuna ulazima gani mtoto wa raini mpaka tumjue sisi wananchi????
      ameanza kumsogeza serikali (Africa aibu sana)

  • @emariusrush3285
    @emariusrush3285 2 года назад +5

    familia ya kikwete kalibia yote ipo serikalini, family ya mwinyi hivyo hivyo,na mtoto wa Samia ameanza kusogezwa serikalini??? duu!!!!
    jamani ivi hii nchi tunatawaliwa na ukoo?? kwanini msitawale kama Benjamin William mkapa au magufuli?? baba au mama ukiwa serikalini lazima watoto wawe serikali kuu???

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 2 года назад +1

      Kufungua NGO yake haimaanishi yuko serkalini. Yeye ni mbunge wa siku nyingi.

    • @salvatorymtunga2802
      @salvatorymtunga2802 2 года назад +1

      Mbona awamu ya tano viongozi wengi walitoka kanda moja, mmesahau?.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 2 года назад

      Ndiyo sehemu pekee unaweza kutajirika bila kufanya kazi Kwa kuwaibia wengi. Hiyo ndiyo asari baba ya Makamba alimuomba mwanae ampe madaraka bila aibu, naye ale asari. Wizi wa wazi wazi.

    • @ismailjimroger
      @ismailjimroger Год назад +1

      Mtoto wa mwana jeshi anataka kuwa mwanajeshi kama mzazi wake,vivyo hivyo kwa daktari,mhandisi na mfanyabiashara... kuna ubaya gani mtoto wa mwanasiasa kuwa mwanasiasa!!??.. rithisha wanao unachofanya ili uendeleze vipaji vya ukoo wenu!!

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 11 месяцев назад

      Huyu yupoo kwenye siasa Amani

  • @nassirali4388
    @nassirali4388 6 месяцев назад

    Good lake

  • @ThomasJohn-pi9zk
    @ThomasJohn-pi9zk Год назад +1

    Q

  • @sifuelmamuya457
    @sifuelmamuya457 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FaridaJames
    @FaridaJames Год назад

    Huyu mama haoni hata aibu tu kwanin wasichukue mfano wa magufuri watoto wake alikuwa hapendi wajionyeshe hivyo, ama kweli tutamkumbuka magu kwa mazuri yake

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Год назад

      Hatufanani

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 8 месяцев назад

      Samiah Suluhu Hassan Hawezi kuuwa watu ikisha akawatia kwenye vipolo akawatupa baharini kwa sababu yeye ni Muislam sawa¿Manyororo yake yeye ni Jahanam kwa sababu sio Muislam sawa!thankx

  • @FaridaJames
    @FaridaJames Год назад +1

    Wizi mtupu hamna lolote