HUYU NDIYE RAIS SAMIA: "UKITUKANWA USIREJESHE - UKIREJESHA UNAJISHUSHIA HESHIMA".

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 27

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 месяцев назад +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @MaryamMakame-b1n
      @MaryamMakame-b1n 3 месяца назад

      Masha Allah mama Samia Allah akuoongoze duniani na akhera pia

  • @mzeemambo8238
    @mzeemambo8238 5 месяцев назад +1

    Her Excellence is highly amazing and awesome leader. A genious I must admit. Wishing her and family the best of luck and happiness in life.

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад +1

    Mama yupo sawa kiakili, kinidhamu, kibusara n.k.
    Piga kazi upo juu na dunia inakutambua vzr Samia.

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 8 месяцев назад +3

    Nimekubali

  • @PaulLweyemamu-i5e
    @PaulLweyemamu-i5e 3 месяца назад

    MSAMAHA WA BURE' heko madome😮Isaya 43:25

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 4 месяца назад +1

    Unaposema "BWANA WEE" unanikosha sana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 месяцев назад

    Samia aliandaliwa tangu zamani na Mungu. Magufuli kuchukua urais ni kuondoa misitu na mabonde ili akija aendee kukiwa tambarare. Mungu akutunze Rais wetu Samia

  • @jamalalimrujae
    @jamalalimrujae 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 8 месяцев назад +2

    Asante studio

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 месяцев назад +1

    Hongera sana denis 🎉🎉🎉🎉

  • @dinimanabii833
    @dinimanabii833 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @hosmanedjanffar7929
    @hosmanedjanffar7929 8 месяцев назад +2

    ♥️♥️♥️♥️♥️💐💐💐💐💕💕💕💕

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 8 месяцев назад +1

    I love Zanzibar

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 месяцев назад +1

    Hakika natamani hii makala imfike madam president. Ni nzuri ina maono wauikq msogezeenimakala hii madam .

  • @GoldDolan
    @GoldDolan 8 месяцев назад +3

    Kuna kunyamanza kwa kukosa la Kujibu pia

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 8 месяцев назад +2

    Mama samia ni fahari ya waafrica..

  • @Jal210
    @Jal210 8 месяцев назад +3

    Basi unajitetea tu ila haupo hapo

  • @joycelinelyimo-fenske8745
    @joycelinelyimo-fenske8745 8 месяцев назад +2

    Hapo kwa kuchanja aliisaidia Tanzania 🇹🇿 isipate vipingamizi vya kitaifa. Lakini leo hata hao waliotulazimisha tuchanjwe wamekubali kwamba walikosea. Kuweka Lockdown wakati wa Corona duniani ilikuwa sawa. Mzee Magufuli alikataa. Sasa hivi wazungu wenyewe wanasema kwamba walikosea. LAKINI huyu Mama mwenyewe unayemsifia ameuza LOLIONDO 😮. Hapa fafanua kwa sauti yako iliyoko vizuri na kwa utaalamu ulio nao.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад

      Wewe kweli ni mjinga, Loliondo iliuzwa miaka mingi mno, kuwa na kumbukumbu vzr wewe dada mnoko.
      Samia hautomueweza yule ni chaguo la Mungu so wewe ambae akili zako za gere hapo umetokota.
      Liliondo waulize akina mzee Rukhsa na Mkapa pia Kikwete na sio Samia. Hii yote ni ujinga wako na gere kwa mwanamke mwenzio.
      Samia no smart woman hakuna asiejua hilo labda ni wewe mtu mwanamke wa kinjaa njaa na kiroho papo.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад

      Chanjo zilisaidia kwa kila septa.
      Usiwe na akili za kidikteta kama mwendazake jiwe,
      Yule si mtu mzuri dadadeki, TZ ipo poa sasa tofauti na wakati ule wa utawala wa mkono wa chuma.

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 5 месяцев назад

      @@MilloWamilonga-ft8ir haunijui!!! Kwa hiyo fungal mdomo wako.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад

      @@joycelinelyimo-fenske8745 kwani unapovomment hao watu unawajua?
      Ila Acha choyo kwa wanawake wenzio na kama una hoja ktk comment basi nijalishe.
      Humu wengi tunaona na tuna mawazo tofauti kabisa.
      Sasa wewe unaonekana ni msichana mwenye wivu mno, haifai leta hoja zilizoenda shule tupo wengi humu.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад

      @@joycelinelyimo-fenske8745 sitaki unijue kwani wewe ni nani?
      Ila comment zako za kibaguzi mno.
      Nadhani wewe ni chagadema saccos ya makengeza mbowe

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 5 месяцев назад +1

    Dkika 7:30 mkuu umetudanganya "alipiga mzigo tangu 1988 hadi 1977" wewe ni wakupigwa mawe mkuu wewe ni zinjanthropus 😄😄😄

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 8 месяцев назад

    Good rais wetu

  • @allymugenzi46
    @allymugenzi46 4 месяца назад

    Good subject but very poor presentation.