TAZAMA RAIS SAMIA NA MTOTO WAKE WANU WAKICHEZA MUZIKI HARUSI YA MTOTO WA RAIS MWINYI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 91

  • @KhamisMsellem-jt4hs
    @KhamisMsellem-jt4hs 19 дней назад

    Allah SW akupen umri mrefu maboss wangu wte cc tupo nje kwa Nia na malengo ya ulinzi kwa usalama wenu ndani

  • @KhamisMsellem-jt4hs
    @KhamisMsellem-jt4hs 19 дней назад

    Allah humma Amin

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 5 месяцев назад +8

    Raisi wetu nakupenda nakukubar mungu akutunze

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf Месяц назад

    Hakuna shida😅😅

  • @Salumu-c8s
    @Salumu-c8s 3 месяца назад

    Safi Sana mama ni muhimu kuwa unatambua umuhmu wakujua na kujumuika na familia. Pia mama ni mama tu.mungu akulinde na Maisha marefu

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 5 месяцев назад +5

    Hakuna kama mama❤

  • @ThamaratAlly-k8f
    @ThamaratAlly-k8f 5 месяцев назад

    Raha ya harusi sherehe tumuache dr hussen asherehekee jmn 😊mashallah imefana mdumu milele inshaallah ❤

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws 5 месяцев назад +2

    Allah akuongoze ujifunze uislam wako ten vizur

  • @SaidaRamadhan-j7m
    @SaidaRamadhan-j7m 5 месяцев назад +3

    Mashallah

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 5 месяцев назад

    Beautiful ❤️❤️🫶🫶.

  • @ELIASBUGOMBA
    @ELIASBUGOMBA 5 месяцев назад +1

    Congratulations to you our president with your daughter ,be blessed !

    • @ELIASBUGOMBA
      @ELIASBUGOMBA 5 месяцев назад +1

      Asante tuko pamoja .

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 5 месяцев назад

    Nakupenda sanaaaa Rais wangu ❤

  • @JuliusMlengeswa
    @JuliusMlengeswa 5 месяцев назад

    Hongereni nyote

  • @UpendoLema-bx9ji
    @UpendoLema-bx9ji 5 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @hazinaluluconfidence6676
    @hazinaluluconfidence6676 5 месяцев назад +1

    Mungu hayupo hivyo kwahiyo watu wasicheze jamani. Mungu yupo hivyo.mabaya ni mengi huko mbinguni hawaendi kwa dini.

  • @MaulidFakiKhamis
    @MaulidFakiKhamis 2 месяца назад

    Hio nguvu yakupanda majukwaani na kukatisha ziuno rais wa nchi mama na bibi akiwa na wajukuu watoa wapi weye

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 5 месяцев назад +3

    Mama samia Hoyee

  • @noreenmmasy7189
    @noreenmmasy7189 5 месяцев назад +2

    manu kama vile kunamtu anamwangalia hamwon ila mmependeza sana hongeren

  • @NadhifaJuma-e6n
    @NadhifaJuma-e6n 4 месяца назад

    Naomba niulize . Huyu ndio bi harusi wa kwanza kuingia ukumbini kichwa wazi ?

  • @mlekwadaud2530
    @mlekwadaud2530 5 месяцев назад +3

    Ooooh! Waooooo, Mama na Mwana pendeza sana. Mama nakukubali mno maana wakati wa kazi ni kazi tu na Social time kama kawaida. 😂

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 5 месяцев назад

    Mhuu !

  • @shabaniselemani9159
    @shabaniselemani9159 5 месяцев назад

    Mmashida gani na maisha

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 5 месяцев назад

    😢😢😢

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 5 месяцев назад

    Raha rahani❤🎉

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 5 месяцев назад

    Ndio wachoweza hicho 😢

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 месяца назад

    Sasa huyo mwanao mtandio vipi au hata wewe mnafiki AU pesa dini iko wapi

  • @yusuphumkuki7089
    @yusuphumkuki7089 5 месяцев назад +1

    Huu nimsiba mkubwa

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 5 месяцев назад +2

    Mama samia baba yuko wapy

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 5 месяцев назад +3

    Subuhanallah enyi wanaadamu mumehurika na dunia hii ya mpito asghafirullah yaarabi

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis 5 месяцев назад

      Kwenda zako

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 5 месяцев назад

      Mola kakataza wapi watu wasiburudike?? Hamna haramu hapo

  • @FloraKenyunko
    @FloraKenyunko 5 месяцев назад +2

    Mama baba Yuko wapi?

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 5 месяцев назад

      Huyu hapa🚶‍♂️😂😂😂

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 5 месяцев назад

    Kwenye arusi ujiinamie na msiba ufanyeje? Wakati wa kufurahi furahi tuu. Na nafasi ya kutumia ukiwa nacbo tumia maisha ni hapa hapa duniani.

  • @LeticiaMwonge
    @LeticiaMwonge 5 месяцев назад

    Mama yetu mpendwa ulipendeza sana,,

  • @HassanHassan-vh6pc
    @HassanHassan-vh6pc 5 месяцев назад

    Wamechemka kwa kel

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 5 месяцев назад

    Tanzania hoyeeeeeeeeee

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 5 месяцев назад

    Kwan kucheza music dhambi mbona waislamu madada zenu vigodoro kutwa hamkemei wivu tu

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 5 месяцев назад

    Kazaa nae watoto wawil

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 5 месяцев назад +1

    Mama babayuko wapi jamn mngependeza sana mkiwawote

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 5 месяцев назад +1

    Pesa zetu za kodi munazifanyia ufisadi 2

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 5 месяцев назад +2

    Mbona mwanawe hana hijabu😂

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 5 месяцев назад +1

    Raisi wawatu

  • @saibabatz_
    @saibabatz_ 5 месяцев назад +3

    Wanu anafaa kua askari maana haja kaa kizembe

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 5 месяцев назад

    Ningelikuwepo ningelicheza na yule Mpambe wa Rais Samia
    Maana naskia ety "Chezeni wawili wawili" nisingelipenda awe mpweke😮

  • @MasudiAzani
    @MasudiAzani 5 месяцев назад

    Mbt

  • @BilalMalik-jp3iu
    @BilalMalik-jp3iu 5 месяцев назад +1

    Mama kwel unaupiga mwing kila idara

  • @angelmauja1846
    @angelmauja1846 5 месяцев назад

    Mme wako Yuko wapi bana

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 5 месяцев назад

    Wanu ni usalama Mana sio kwa mzunguko huo wa shingo

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 5 месяцев назад +1

    kwa wanawake hawa wakiislamu angalau wajifunze kwa mama,
    yaani mama hata aende ulaya humkuti kukaa kichwa wazi.

  • @omarmussa7654
    @omarmussa7654 4 месяца назад

    Hakuna mila na disturi za kiislam hapa ni ukafiri mtupu hakuna sheria ktk uislam mwanamke wa kiislam kukaa kichwa wazi

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY 17 дней назад +1

      auna hakil wew Sasa maana ya kusuka
      ipo wapi maana ya kuziset nywere na kuzitia wevu hakuone nan basi musiende saloon munaenda saloon
      kufanya nini sasa Mimi mwenyew
      muslim aya nikuulize kitu tuwaangalie
      Hawa kipind yupo na mzee Adam
      kichwa chake hawa halikuwa Anajistil
      na nini Maana kipind hiko nguo Amna
      halikuwa anajstil kwa Majani kichwan
      au halikuwa anajstil na nn Achen
      mila potofu Siku moja moja lazima
      mtu ujiachie kikubwa usivae suruwal
      vaa madela mazito hambayo ndan
      Ayataonesha mwili wako watu
      wakapata matamanio jistil ukiwa
      unaenda safar Na siyo kila sehem
      jistil Mfano Mtoto wa myaka 12 adi 14
      utakuta amienda saloon halafu
      hapo hapo utakuta nywere zenyewe
      hazionekan sijui zinaonekana
      muda gani na wapi nanan hanaziona
      hizo nywere Yan shida tu Mi nakaa
      nawangaliaaaa nashindwa kupata majib
      sasa saloon munaenda kufanya nn
      maana mtu mzima mutasema uwo msuko hatauona mumewe aya uyu
      wa miaka 12 and 14 watauwona
      dada zake au wadogo zake
      muda wanaenda kulala usingizi
      sindiyo Achen ujinga zingine ni mila
      siyo maagizo ya allah

  • @UwamuregeyeSamuel-rq7jz
    @UwamuregeyeSamuel-rq7jz 5 месяцев назад +1

    Nakubali🎉🎉🎊🎊🎊💞💞💞🎈🎈🎈🎈💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🔥🔥💯

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 5 месяцев назад +18

    Hii dunia tutaiyacha tufanye ya kumfurahisha ALLAH. kwenye uislamu hakuna miziki

    • @gorettimtungwe9011
      @gorettimtungwe9011 5 месяцев назад +4

      Wenye hela huwa wanajisahaulisha ili waweze kutumia hela. Tuombe Mungu

    • @teddygabriel5662
      @teddygabriel5662 5 месяцев назад

      Kumbe

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 5 месяцев назад +3

      Upo saa hii mziki na muislam sio mahali pake. Allah awafanyie wepesi. Mtihani!!!

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 5 месяцев назад +6

      Sema hela huna ,hata kaswida ni muziki pia mpendwa

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 5 месяцев назад

      @@emmadora7848 hachezi mziki lakin anazini ,anasengenya

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 5 месяцев назад

    Kuleni raha zamu yenu hii

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 5 месяцев назад

    Huna makuu mama

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o 5 месяцев назад

    Kwani wanu kashaolewa au bado

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 5 месяцев назад +1

    Wanu mume wake mchengerwa

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 5 месяцев назад +2

    Raisi wetu nakupenda nakukubar mungu akutunze