KADOGOO WA ARUSHA AZINDUA NYUMBA YA MAMILIONI,WATU ELFU MBILI WAINGIA, AFANYIWA MILA YA KIMASAI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 96

  • @mikeonesmo285
    @mikeonesmo285 2 часа назад

    Safi sana ndugu yangu,nakufurahia jenga mahoteli na makampuni sada❤❤🎉🎉😊🙏👍

  • @KaratuHome
    @KaratuHome 10 часов назад

    Hongera sana kadogo Mungu akubariki miaka kumi na Tano ni jasho Yako toka kwa Mungu

  • @LekutaLeiyo
    @LekutaLeiyo 2 дня назад +4

    Hongera sana mh Mwenyekiti Kwa kazi nzuri sana Mungu azidi kukubariki

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 3 дня назад +9

    Mungu atimize na ndoto yangu pia mwaka 2025 niwe na ngo'mbe 600 2:48 🙏🙏✍️✍️ 2:58

  • @WinnieMassawe-ug9do
    @WinnieMassawe-ug9do 2 дня назад +6

    Wamasai hoyeeeeeeee yaan jmn huwa naenjoy sana sherehe zetu za kimaasai

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 дня назад +3

    safi sana Masai ngoja Namm Napambane Nitoke kwenye nyumba ya chini Nikae juu Ninamaimani Nitafanikiwa mana hata iyo ya chini Nayo Nilikua sina

  • @JaneyChigga
    @JaneyChigga 2 дня назад +2

    Hongera sana Kadogoo. Mungu azid kukulinda.

  • @danielirchuga4622
    @danielirchuga4622 2 дня назад +6

    Ashee oleng alaiganani telekasi litasaa injoo kimayani oleng lalahe lay 🙏

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 2 дня назад +4

    Hongera sana Mungu akubariki zaidi

  • @JacksonMartin-xl5le
    @JacksonMartin-xl5le 2 дня назад +2

    Nimependa sana baraks za mchungaji mwak mwingine ifunguliwe nyumba ingine, vijana apo kwenye mkia tumtafuten mungu n mengine tutazidishiwe, ashe

  • @dawsonkaaya4210
    @dawsonkaaya4210 2 дня назад +2

    Ongera MH washiriki kwa macho kwa kufuatilia uzuri wa sherehe yako ❤

  • @JacksonMartin-xl5le
    @JacksonMartin-xl5le 2 дня назад +2

    Alieanza na Mungu anamaliza na mungu, barikiwa na mungu akupe mwisho mwema

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 3 дня назад +6

    Wow❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤ hongera sana

  • @yorandayorandan4018
    @yorandayorandan4018 3 дня назад +4

    Hongera sana kaka hapo ndipo napoanza kuwapenda wamasai big up sana

  • @mootiPaulo-y3e
    @mootiPaulo-y3e 25 минут назад

    Hongera sana sana monyekit ya alamashaur ya wilay Monduli

  • @KaratuHome
    @KaratuHome 10 часов назад

    Hayo ndo maendeleo washaurini ndugu zenu wa ngorongoro wakafanye kazi nzuri kama hiyo sio kungoja kulishwa na mamlaka ya hifadhi waachie wanyama zibaki kanjiro bomas tu

  • @jonnygabriel9648
    @jonnygabriel9648 2 дня назад +4

    Huyu anataka ubunge monduli si mbaya hardwork pays hongera muheshimiwa

    • @Baraka-o2f
      @Baraka-o2f 2 дня назад

      Anastahili kabsa mana akichukua ubunge hagangi njaa tena .

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 2 дня назад +1

    Ongea yake ni mtu ameelimika kabisa, God bless

  • @wilfredgidion97
    @wilfredgidion97 2 дня назад

    Hongera sana baba yangu that's a good idea 🎉🎉🎉

  • @EdwardGodfrey-i2j
    @EdwardGodfrey-i2j 2 дня назад +1

    Hongera umefanya Kazi nzuri

  • @barakasandey1980
    @barakasandey1980 2 дня назад

    Najivunia kufanya kazi nawewe mkuu unamoyo wakipekee saanaa kaka matasya mungu akubariki sanaa

  • @MamuMichael
    @MamuMichael 2 дня назад +1

    Hongera Kadogoo Umeweza!!! Happy New Year🎉🎉🎉🎉

  • @diana23gzo
    @diana23gzo 2 дня назад +3

    Mimi nimetoa macho kwenye nyama tu aiseee, umelo tu kujenga aaaah 😅

  • @benlaizer9936
    @benlaizer9936 2 дня назад

    Hongera na pongezi kubwa mnoo Mh. Mwenyekiti

  • @kagenzikanala109
    @kagenzikanala109 3 дня назад +6

    Kazi nzuri juhudi zako naam

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 2 дня назад +2

    Mapovuuuuu😂😂😂😂 sasa mlitaka chakula kimdodeee shughuli ni watu. Heshima ya mwanaume pesa sio poyoyooo

  • @YohanaMathayo-r7p
    @YohanaMathayo-r7p 2 дня назад +6

    Ongera Sana tajiri wangu kadogo

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 День назад

    Mashaa alla ujenzi siyo mchezo miaka15.🤔

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 2 дня назад

    Hongera sana mtani wangu

  • @haroungwiyamabuzohera-jk3vl
    @haroungwiyamabuzohera-jk3vl 2 дня назад +1

    HONGERA SANA KADOGOO. WEWE umejenga nyumba yako miaka 15. Kuna mtu kama wewe alikuwa ofisa serkalini na benki naye alifanya kama hivyo kwa miaka 15. Na uwe mfano kwa wengine.

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 2 дня назад +1

    Hongera sana mjomba

  • @AishaAisha-q7y
    @AishaAisha-q7y 2 дня назад +1

    Safi sana

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 2 дня назад +1

    Big up🎉

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 дня назад +1

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @SARAFU-ZA-KIMTANDAO
    @SARAFU-ZA-KIMTANDAO 2 дня назад +1

    Hongera

  • @sakinajuma4208
    @sakinajuma4208 2 дня назад

    Ni kweli ameijenga mda mrefu jamani namjua huyu

  • @upendoeliya7682
    @upendoeliya7682 3 дня назад +7

    Mbele ya NYAMA CHOMA,MTZ MSOSI NA VINYWAJI UTAMPATA TUU

  • @Bosslady-f5e
    @Bosslady-f5e 3 дня назад +5

    Hongera sana

  • @annamitumba3981
    @annamitumba3981 2 дня назад

    Ningeshangaa makande yasingekuepo😂😂😂😂😂😂

  • @Sabinasinoya
    @Sabinasinoya 2 дня назад

    Ongera sana kaka

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 2 дня назад

    🙏🤚🤚🤚🤚🤚 boss kadogo namimi naomba ata bati niezeke pagala langu🙏🙏🙏🙏🙏😭

  • @JosephundadoleweMbisa
    @JosephundadoleweMbisa 3 дня назад +2

    Ukisawa

  • @hassan-sarumbo
    @hassan-sarumbo 2 дня назад

    Anae taka kuona hiyo nyumba ilipo anitafute na nikweli imechukua mda mrefu mno😂😂kila kitu ukiwa na malengo kinawezekana

  • @laizermaasai6759
    @laizermaasai6759 2 дня назад

    Ongeraa ila najua mwaka huu kwenye ubunge kati yako wew na kalanga mnataka mumwage Richard lowassa.😂😂😂😂. Kwa hiyo nyomiiiii lazima mshindeee

  • @ElviceEmanuel
    @ElviceEmanuel 2 дня назад

    Ongera sana mh.

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne День назад

    Hata ivoo uba helaaa ?a kutoshaa ungekua mtumish wa selikari ndio ungejua vizuri

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 дня назад +2

    Sawa

  • @emmanuelmollel2895
    @emmanuelmollel2895 2 дня назад +3

    Uliturusha hela yetu lakin 1.2m nguvu yetu ipo hapo

  • @SuzanFelix-mo8fq
    @SuzanFelix-mo8fq 2 дня назад

    Daah huyu baba Bado yupo monduli

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 2 дня назад

    Malengo yasikatiwe tamaa

  • @goodlucknehmia3401
    @goodlucknehmia3401 3 дня назад +1

    Njaaa mbaya sana watu wa monduli

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 3 дня назад +2

      Wewe umeshiba masikini wewe

    • @nkirwapeter4579
      @nkirwapeter4579 3 дня назад +1

      Mpuuzi ww hyo ni njaa kama huna ukoo huwez pata watu kama hai

    • @rosekiwale8302
      @rosekiwale8302 2 дня назад +1

      Siyo njaa ni upendo tuu

    • @abdullahwaziri5499
      @abdullahwaziri5499 2 дня назад +1

      Njaaa bwege kweli wewe wote hao Madon pesa ipo

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 2 дня назад

      Amewaalika hawajaenda kuomba........ na yeye umemsikia anasema watu wanapomiminika anafurah sana
      Lkn kikubwa hapa ninachokiona......AMEKUBALIKA KWENYE JAMII YAKE ❤

  • @BakariMalembeka
    @BakariMalembeka 2 дня назад

    Saf Sana kwn ndo maendereo tunayo yataka nakukumbuka Mila zetu

  • @crismtete8837
    @crismtete8837 2 дня назад

    Nin nani, mbunge?

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 2 дня назад

    👏👏👏👏👏👏👏 safi sana mbunge mtarajiwa 👍👍🙏🙏2025

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi День назад

    waha ndo wamasai wapambanaji cyo wale wanajiita chuga huku wanalala kwenye nyumba za udongo na kugombania mali za uridhi et wadudu wakati wadudu n wasanii nyie wengine acheni kuiga wadudu tayari n wasanii

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 дня назад +1

    Ni nzuri kwa kweli.

  • @ramadhanshiganza4926
    @ramadhanshiganza4926 2 дня назад

    HONGERA MNO BOSI WANGU.
    MHESHINIWA KADOGOO. MWENYEKITI WA MONDULI DC

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 дня назад

    Amena

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 2 дня назад

    Mbona hujamwalika Fred lowasa?

  • @YoungBillionaire-v9k
    @YoungBillionaire-v9k 2 дня назад

    Nyumba amejengq miaka15

  • @Mitama49
    @Mitama49 2 дня назад

    Wachungaji wa mshahara

  • @HamisMido-m1v
    @HamisMido-m1v 2 дня назад

    𝕨𝕒𝕞𝕒𝕤𝕒𝕚 𝕨𝕒𝕞𝕖𝕤𝕥𝕒𝕒𝕣𝕒𝕓𝕚𝕜𝕒

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 2 дня назад

    Nawashangaa sana viongozi wa dini hivi ni nini hiki mbona kwenye Biblia haya hayapo wanatumia maandiko yapi? ninachotambua mfalme Daudi alijenga mji wa Daudi hilo lilikuwa ni jiji na siyo nyumba ya mtu makazi mfano Elon Musk alivyoamua kujenga jiji lake kule Marekani, siyo hii habari ya kujenga nyumba yako ya makazi unaita viongozi wa dini walivyo wa ajabu bila aibu nao wanaenda wanasema wanabariki au wanazindua mbona wenzetu Waislam hawafanyi hivyo? Ipo siku na mimi nitajenga nyumba ya tembe na nyasi niwaite waje wazindue

  • @PetroSewando-wu9jz
    @PetroSewando-wu9jz 3 дня назад +1

    Huyu anataka ubunge ndiye chanzo cha migogoro ya ccm kule monduli

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 3 дня назад

      Nawewe kagombee uwo ubunge masikini wewe

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 3 дня назад

      Nawewe nenda kagombee masikini mkubwa wewe ndiomaana ujasoma huna elimu masikini wewe

  • @shabanikitowo2785
    @shabanikitowo2785 2 дня назад

    Hakuna kitu kibaya ksma sifa kiongozi wa umma hupaswi kus ns sifa

    • @dottojumbe-jk5gg
      @dottojumbe-jk5gg 2 дня назад

      Anwaanda tu kisaikokojia sio siku za usoni mumuite FISADI baba wa watu maana hamkawii alijua choka mbaya

  • @samwelinangole2509
    @samwelinangole2509 3 дня назад +1

    Wana monduli mnanunuliwa kwa chakula chasikumoja mnauza utuwenu kwa sahani Moja d poleni sana utawapeleke wtt wako sahani

    • @KevinJamesVictor-os5xd
      @KevinJamesVictor-os5xd 3 дня назад

      Wamenunulia kvp

    • @dottojumbe-jk5gg
      @dottojumbe-jk5gg 2 дня назад

      Mpinz....huyu si bure

    • @AminaLaizer-k1j
      @AminaLaizer-k1j 2 дня назад

      Maneno ya mkosaji

    • @ZenaUsangi
      @ZenaUsangi 2 дня назад

      HUO NI WIVU WA MAENDELEO INAHUCKAJE NA FURAHA YA MAENDELEO ACHA ROHO M'BAYA TAFUTA MAENDELEO NA WW MUNGU HANA UCHOYO.

    • @shadrackkassale2968
      @shadrackkassale2968 2 дня назад

      Nunua naww kama hata huna ela ya kula mchana utanunua na nn wivu utakuuwa wewe

  • @Shaniatwain06
    @Shaniatwain06 2 дня назад +1

    Watu wa Arusha 🙌

  • @mcback4384
    @mcback4384 3 дня назад

    Zote hizo ni njaa mtakuja mle sumu

    • @bilid4128
      @bilid4128 3 дня назад +1

      😂😂😂😂

  • @meshackmwangiministries.1748
    @meshackmwangiministries.1748 2 дня назад

    Mila na kanisa pamoja na chakula! Mungu awasaidie Hawa.

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 2 дня назад +2

      Hata mimi nashangaa umeenda kanisani umeshukuru ukabarikiwa alafu tena unarudi kufanyiwa mila maana yake ni nini

    • @EmanuelMollel-gb1rc
      @EmanuelMollel-gb1rc 2 дня назад

      Ameamuaa kupokea baraka pande zote mbiliii​@@magrethmollel1078

    • @ChristinaSanga-pl5jm
      @ChristinaSanga-pl5jm 2 дня назад +1

      Unashangaa Nini hata kwenu bint akiolewa mnatoa mahari Kisha mnafunga ndoa kanisani Ile mahari ni Mila kwenye biblia haipo

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 2 дня назад

      Mila hazijaisha ilmradi sio uchawi

  • @prettygirl8325
    @prettygirl8325 2 дня назад

    Shida yenu sasa utaona uyo mwanamke hafai kukaa hapo utataka mwingine

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 2 дня назад

    Hongera sana