TAQWA SACCO YAWAKARIBISHA MIKOPO BILA RIBA 28 October 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 34

  • @rashidhamad3538
    @rashidhamad3538 2 дня назад +2

    Maashallah, Wallah hili ni jambo kubwa mno, congratulations for those who came up with this brilliant idea, barakallahu fiikum, in Shaa Allah mutapa watu wengi

  • @ahmedawadh6866
    @ahmedawadh6866 2 дня назад

    Mashaallah beautiful words from my yabaa may Allah bless you (ameen)

  • @fuadamir1917
    @fuadamir1917 День назад

    Shukran Sheikh Salim Awadh,your explanation is very impressive,keep it up .

  • @MaamunHashim
    @MaamunHashim День назад +3

    Hiyo service fee ndiyo ile ile kama kwa Safaricom na masheikh walisema hiyo ni interest kwa jina la service fee..sasa ndio hapa pia mwatumia service fee.Mtu akikata mikopo alipe na mia 200 kila mwezi.Uislamu nikikopa 1000 nalipa 1000 bila service fee au kuongeza lolote.Ukitaka faida kwa kumkopesha mtu pesa hiyo ni riba.

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 2 дня назад +1

    Mashallah, naangalia kutoka Somalia,na nimependezewa na hili swala,nikianza na na mfano pesa zaidi ya laki moja naweza kuchukua mkopo baada ya mda gani,coz kwa ufahamu wangu mteha anaweza kuchukua baada ya miezi 6,je yenu inakuwaje

  • @mohameddeeq4056
    @mohameddeeq4056 День назад +2

    Open branches garissa,nakuru wajir mandera isiolo nd marsabit

  • @MohamedGeorge-yr3cp
    @MohamedGeorge-yr3cp 2 дня назад +2

    Watching from abroad. I will tell more people in shaa llah

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 2 дня назад +1

    Mashallah shukran ndugu Allah barik

  • @IbrahimAli-vi9ep
    @IbrahimAli-vi9ep День назад

    MashaAllah ndio maendeleo kwa watu kujisaidiya kujiendeleza

  • @MohamedGeorge-yr3cp
    @MohamedGeorge-yr3cp 2 дня назад +1

    Jazakallah khairan my compatriot

  • @MahamudEggeh
    @MahamudEggeh 2 дня назад

    Karibuni Mombasa na Alhamdulilah mwezi huu tumeshajisajili na kufunhua account na wenzetu wengi sana. Kuliko kusema Riba, njoo ufahamu mwanzo.

  • @MohamedGeorge-yr3cp
    @MohamedGeorge-yr3cp 2 дня назад +1

    Barakallah Feequm

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 3 дня назад +1

    MashaAllah mwamko mzuri

  • @AminaOmar-o1w
    @AminaOmar-o1w 2 дня назад +1

    Hio mm naona bado ni riba tuu maana ile unayopewa bado unatoa na za juu riba iko hapohapo

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 2 дня назад

    Shukrani mashaalllah ndugu allah awazidi kuwaadeleza ❤❤❤😂

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 2 дня назад +1

    mashaallah, hlo ni jambo zuri nko mbali na natamani kama ninfeweza kufungua account pia
    hivyo katika kila hafla waweze kuileta live youtube ili updates tuweze kupata ufahamu

  • @TheOneManArmyTv
    @TheOneManArmyTv 8 часов назад

    Assalamualaikum Alaykum warahmatullahi wabarakatuhu sheikh kindly naomba contact ya Sacco

  • @hajikomora703
    @hajikomora703 2 дня назад

    Maasha llah

  • @feisalabbas6015
    @feisalabbas6015 День назад

    Allah aibariki idumu...muko wapi

  • @johnlobuin4212
    @johnlobuin4212 3 дня назад +2

    Masharti pia ni riba

  • @muhmuhsini005
    @muhmuhsini005 3 часа назад

    Hizo 200 kwa naawashauri wasitefte kwa wafadhili ama Waqfu ili waondowe Shubha ya kulipa zaidi kwa Wanaokopesha. Shukran

  • @AbuSaeed-pz2kb
    @AbuSaeed-pz2kb 13 часов назад

    Taqwa sacco inatoa pesa zake wapi? Na sheria za central bank mbona hamuelezei? Kwani sheria za central bank haikubali sheria ya kiislam

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 2 дня назад +1

    Hii ni ribs total

  • @mohamedsuleiman8991
    @mohamedsuleiman8991 2 дня назад +1

    Iko mombasa maeneo ya wapi

    • @ibrahimnoordin3420
      @ibrahimnoordin3420 День назад

      Iko pale dt dobie. opposite. barabara ya kwenda mombasa sports club

  • @princefeisla3692
    @princefeisla3692 2 дня назад +1

    Hapa mwatupiga za uso ikiwa Kila mwezi natoa 200 hio sio riba? Mm nataka 10000 nafaa nilipe 10000 mukisema niipe hizo 10000 na Kila mweZi nalipa deni na kulipa mkopo wa 10000 hii sindio riba mumeigeiuza tu au nimekosea?😊

    • @ARNOLDKARISA-fs3ht
      @ARNOLDKARISA-fs3ht 2 дня назад +2

      hyo 200 ni security yakukulindia hele yako
      kumbuka pia kuna watu wako hapo ambao ni wafanyikazi na wanalipwa kutokana na hyo 200
      lakini pia kuna hapo kunalipiwa aani security kwa serikali na ni hyo 200
      lakini kuna power, water, kuna hizo machines za computer and all that ni hyo 200,
      so hapo hakuna riba ndugu

    • @yussufahmed136
      @yussufahmed136 День назад

      ​@@ARNOLDKARISA-fs3htyes wafanyakazi na mahitaji ziko pia sacco ni biashara sasa nikikukopesha 200 unaniletea hiyo 200 nikiamba leta 250 hiyo ni kama bado umenipea na riba ya 50 so hapo ni paka niulize hiyo 200 ya juu charges

    • @aminabdalla7824
      @aminabdalla7824 22 часа назад +1

      Ata mm naona riba Bado Iko apo....ila wacha nitapitia nikawajue vizuri

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 2 дня назад

    Taqwa Sacco ni ya Matatu au ni vipi

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 2 дня назад

    Aslm Anlaikum

  • @johnlobuin4212
    @johnlobuin4212 3 дня назад

    Kuna guarantors ili uchukue loan

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 2 дня назад

    Muandishi suala ulilomuukiza hajajibu kavungavunga tu

  • @ahmedawadh6866
    @ahmedawadh6866 2 дня назад

    Mashaallah beautiful words from my yabaa may Allah bless you (ameen)