Haki imedhihiri leo hii watu wa maulid wate wanakubali kama jambo halikutajwa ktk kur an wala hadithi hiyo ni BIDAA. 😂😂allah ametuonesha hakinkupitikwa kwa BACHU.🖕kua hawa watu wanasoma maulid ila wanajua kua ni BIDAA.
@@medimisi6930 Aliethibitisha hilo ni kibachu kibanchuchu . Kua hata mbo ya tauhid hayana ulazima kuwemo katika qur'an na sunnah na ameweka wazi kua masuala ya tauhid ni mas'ala ya ijtihad sawa na mas'ala ya fiqhi . Na amethibitisha kua ijtihadi ya wanazuoni uzito wake ni wa sawa sawa na qur'an na sunnah . Kwa maneno yake hayo ametuthibitishia kua dalili sahihi ni qur'an nasunnah na maneo ya wanazuoni . Na hapo inathibitisha kua kupinga kwake maulidi kwa hoja ya bid'a ni dalili ya kujitangua na kujipinga mwenyewe kwa sababu wanazuoni walio halalisha maulidi ni wakubwa mno kuliko wale walio gawanya tauhidi ambao akina binbaz na ibn utheimin na alfawzan hawawafiki hata kucha zao zilewanao zikata.
Hakuna faida ya munaqasha kwasababu kila mtu anaushindi wake kwenye mfuko haji upepo kashasema hata kama watafanya munakasha hataacha bidaa zake kwaiy hapa faida iko wapi kwa ushauri wangu sheikh bachu usifanye munakasha hapo hakuna dini kuna chuki tu
Ikiwa fikra yako iko hvo tayari huna ikhlas... hvi kwani watu wanashindana mpaka kupatikane mshindi?? Hili jambo la dini ni kuelimishana wala sio kushindana! Toa fikra hiyo huu sio mpira ni dini. Shukran
Hapa sasa naona kama wameendana wote machachari ktk Hoja , Ushaur wangu likiulizwa swali kwa mmoja lijibiwe pasipatikane kulikwepa KILA LA KHERI ALLAH ATIE UTULIVU , NA IPATIKANE NATIJA YA MUNAQASHA WA KHERI HAKI IONEKANE PASIWE NA KAULI MBAYA ZISIZO FAA ila binafsi nafurahi kukutana maustadh wetu hawa na ndugu zetu جزاك الله خير أخي حج
mjinga niyule asiyefahamu kuwa mijadala inaharibu dini na kumuweka mbalisheikh na taqwa ya allah muhammad bachu nijaahil hana elimu ila kibri na jazuba mbaya
Wacheni kuchezea DINI ya MUUMBA WETU. Jamani acheni dhihaki na DINI YA MWENYEWE ALLAH. Mm c msomi ila najua kupitia wasomi kuwa tukitingwa turudi ktk kitabu kitakatifu kisicho acha hata chembe ya haki na ukweli. Acheni kutumia midia kwani nimalumbano ya taraab au mambo ya kidunia. Waislam acheni kutukanana na kaeni na kusimama na Qur'ani
Shk haji upepo tunatarajia elim na mtakapo kutana muogelee katika bahari ya elim nasisi tupate faida ISIWE KAMA ule mdahalo wa kenya na shk said ikatafutwa swali la mkwamo ikawa mm nihapo hapo siondoki HAPO TUNAOMBA MUOGELEE ELIM TUPATE FAIDA INSHALLAH
@@mzeerajab9154 MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI? Kwanza niuongo ashamuita BARAZANJI MARA NYINGI MSHIRIKINA NA MUONGO kwahiyo alimjeruhi… KATIKA ELIMU YA الجَرح و التَعدیل anahukumiwa MTU NA MANENO YAKE tatizo lenu hamsomi ndo maana mnaona haya mambo mageni ila yapo kwenye vitabu TUSOME JAMENI ndo mana akaambiwa na mwenyekiti wa saidi kabla ya niqash KUANZA UTATUMIA MANTIK GANI KUSEMA HAYA MANENO NI UONGO AFU MSEMAJI SIO MUONGO 😂 Mwenyekiti wake akakubari akasema aya tuanze NIQASH BASI BASI TUANZE NDO MANA LILE SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamuaKUNYANYUKA NA KUONDOKA. MAANA LILIMBANA KWENYE KOO ushamjeruhi MTU NA MANENO YAKE na MANENO YENYEWE NI HADITH USHAYAITA UONGO SASA HUKU KUITA HADITH MUNKARI NI UONGO UMETOA KWENYE VITABU GANI VYA WANAZUONI WA HADITH 😂😂 hii dini ina FANI nyingi na WAJUZI NA ILE FANI NI WALE WALOBOBEA KWENYE ILE FANI MTU WA NAHAU UTAMPELEKEA SWALI LA NAHAU MTU WA KISOMO CHA QURAAN UTAMPELEKEA KISOMO CHA QURAAN NA HIVYO HIVYO HADITH TUTAENDA KWA WASOME WA HADITH lau SHEIKH BACHU Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoandikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni NA AKAAMBIWA HAUNA NA HILI PIA UTALIKWEPA KAMA UVOKWEPA HAYA MASWALI MENGINE غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA katika vitu anajuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA (SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU ) NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
Pasemwe Kuulizwa wewe Haji Upepo Kigawanyo Cha kwanza ni Kumpwekesha ALLAAHU katika matendo yake mfano kuumba, Kuhuisha, Kufisha. Je Haji Upepo ALLAAHU hakupwekeka katika umbaji wake. Kigawanyo Cha Pili ni Kumpwekesha ALLAAHU katika Ibada. Je Haji Upepo Huamini yakuwa ndiye anayestahiki kuabudiwa peke yake
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Lazima yapite makubaliano ya wanavyuon wa karne gn watatumika ama ushahid wa qur an na sunnah tu au vp ili kuepusha kila mmoja kushikilia msimamo wake yaan naomba hili InshaAllah liwekw wazi sio w2 wakabishane na kuondoka tu... Allah ajaalie tuwe wenye kupata elimu ambayo ni sahihi InshaAllah
Wallahi Billahi Tallahi namtilia shaka na kama sio hivyo basi bilashaka ni Chizi mjinga. Lakini wasiwasi wangu mkuuubwa nahisi analipwa. Kuna watu wanamlipa pesa na hao watetezi wake pia.
sheikh Haji upepo, I understand your education and your speaking is correct, I am looking at you I am in Mozambique, juma mosi mshike koo bachu, swahili sijui vizur, naongea português
Hahaaa kweli kabisa kwenye Fiqhi likitumika neno kutokwa na upepo Maana yake NI KUJAMBA. POLE SANA HAJI KIJANA MDOGO SANA ELIMU SIO MATUSI. WAIT FOR THE DAY
Allah akupe ufahamu wadini. Wewe haji upepo ushakukuta aya inayosem افرايت من الأخذ الهه هواه فاضله الله على علم ........ Maana huwezi kuwa naelimu kisha ukashidwa kubaini midaa kisheria ninini na elimu tawhiid ....
Haji upepo Bachu atakapo kuuliza kwamba kuna aya inaelezea vigawanyo vya tauhdi akikuliza nivingap utuambie maswala ya ubabaishaji kama yule dijei wenu wakike kenye
@@muddathirkassim2407 Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? 1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ 2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? 3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? 4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? 5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? 6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Matatizo ya mawahabi wana ujbi sana masufi ndio waliosomesha wote leo ndio hawana ilmu kabisaa na ndio mpaka baba zao wamesomeshwa na masufi na mpaka leo wasomesha na madaris na marakiz nyingi za masufi zasomesha.
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? 1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ 2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? 3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? 4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? 5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? 6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Hivi mnaweka pesa iweje, mnabeti, kamari kwenye jambo la dini, Hamsaidii Jamii wala uislam iwapo hata anayeshindwa hakubali kushindwa hata baada ya kushindwa.
Ushauri wangu nawaomba musifanye huo munakasha maana naona hapo hapana ataekubali kushindwa mifano tunayo mingi tu maana bachu kafanya minakasha mingi lakini hakuna hata mmoja aliokubali kushindwa Sasa mimi elimu yangu ni ndogo sana lakini minakasha haina faida isipokuwa munawagawa waislam tu
Bachu ametoa chalenge ya miloni 100 zikitanzania mtu athibitishe kuwa aya ilioko katika sura maryam 65 yakuwa haizungumzii vigawanyo vya tauheed bali inazungumzia mambo mengine. ﴿رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَ ٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَیۡنَهُمَا فَٱعۡبُدۡهُ وَٱصۡطَبِرۡ لِعِبَـٰدَتِهِۦۚ هَلۡ تَعۡلَمُ لَهُۥ سَمِیࣰّا﴾ [مريم ٦٥]
Ww kasome huji ata alifu hata hao masufu masheik wako hawasubutu kusema hivyo ww unajua mwisho wako utakuaje na hao munawaita mahabi ndio walioshika sunnah hasa kuliko masufu mara 100
@allyjuma9669 suna ya ushirikina kugawa tawhid we mwehu Nini?mnakunywa Hadi maji ya maiti ya hutemia Kisha unasema uko kwa suna ya mungu baba mungu mwana na mungu roho sasa uko na faida gani ya kuijua hio alif na ili hali wewe ni mshirikina pia.
@@allyjuma9669 Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? 1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ 2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? 3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? 4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? 5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? 6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? 1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ 2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? 3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? 4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? 5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? 6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Wallah raha sana yaan mpk napenda wacha tuone elimu na ukwel wa haya mambo ila swali lng mm je mutatumia nn ktk kuthibitisha je? Itakua ni qur an na sunnah, ama maswahaba, tabiina na tabi tabiina yaan maulamaa wa vipind v3 bora coz mzozo utaanza hapa na hili jambo naomba liwekw wazi kabisa ili tupate faida InshaAllah
tafuteni elimu muwafundishe umma wa waislamu acheni usanii acheni riyaa mtakwenda kuulizwa juu ya neema ya elimu mliopewa mmeitumiaje mnashindana ujinga tu
Hz comments zenu zinaonesh kias gan nyny hamna hofu ya ALLAH na hamna elim pia maan mnasem furan hana akili ili hali mwajua kuw anazo Bali mmetofautian uelew tu mkae mkijua muyasemayo yameandikw na in sha Allah mtaulizw km kwl manamuamini ALLAH na siku ya mwisho ya malipo mwapaswa kutubia cz mnacho kisema hamna uthibitisho nacho wala ushahid wwt Bali ni chuki zenu tu na uchache wa maalifa
Hapana mjadala hapo , na hakutopatikana elimu nyinyi nyote muache ujinga , na unsema towhid n bidaa alfu unaipinga ss izo unzo fany na huzipingi je inakuaje au ndo nzuri.
Eti atatoa Hela bachu mbona anajidhalilisha ,hakuna vigawanyo vya towhid ,na mtume hakufundisha mtume ametangaza towhid Moja TU nayo ni laillaha illa lahu Muhammad rasulu llah.
Wacheni kupoteza muda juu ya itikadi tafauti mlizonazo.Ivo hamjui kuwa hayo makundi yenu tayari ni madhehebu?Vipi tena mnaleta kamari katika hoja zenu?
Maneno mengi wakat mwenzako katumia maneno kidogo tu wala hajakutukana we vip? Sasa apo umekusudia kutukana au kumuogopesha ili asije . kama ushaogopa sehemu tu.
Kwhyo munacheza kamali ya kuekeana ela mbwa nyny na munawachanganya waisilamu Kama munahoja cmukutane wenyewe mujadiliane mupate jibu kuliko munabishana Kama Moira Mambo ya din
Mawahabi (Answar-sunna na Salafy) hawa wanawapenda Wayahudi na Wakristo kuliko wanavyowapenda waislam na hata Makkah Makao makuu yao wanawaunga mkono Israel na Wanawapga vita Palestine na Gaza na hii sio Haki na hapo Nina mashaka sana na uislamu wao
BACHU NA MAWAHABI WENGI NI WAPAGAZI WA WAFALME,NA JAZBA NDIO JADI NA TABIA YAO. HUWEZI UKADAI ETI KILA KITU AMBACHO HAKUKIFANYA MTUME SAW NI BIDAA?JE: 1.TARAWEHE 20 ZIMELETWA NA NANI? 2.SWALA YA JAMAA YA TARAWEHE BAADA YA KUKATAZWA NA MTUME SAW NI NANI ALIEIRUDISHA TENA? 3.KHALIFA OMAR ALIWAKATAZA WATU KUUNGANISHA UMRA NA HIJJA,KINYUME NA MAAMRISHO YA MTUME SAW,JE ALIPATA WAPI MAMLAKA YA KUZUA? 4.KAMA MASWAHABA WALIWAKATAZA WATU KUANDIKA HADITHI ZA MTUME SAW NA KUZICHOMA ZILE ZILIZOANDIKWA,JE SISI TUMEPATA WAPI RUHUSA YA KUZIANDIKA? 5.NA MENGI MENGINEYO
Acha ushabiki wa kiibilisi we ni Muislam.. Wenyewe wanazungumza kindugu wafanye Mnakasha we unaleta ushabiki.. Hao wote ni Waislam kk.. Mna akida za kishabimi wa ujinga sana na ndo mana Waislam tunaonekana hatupendani
Sijui umetumia mantic gani kuongea Hii mijadala ni miwili tofaut na ina MADA MBILI TOFAUT SASA ukimwambia sheikh haji kashindwa sijui una maanisha nini na kama kaashindwa pia Sheikh Bachu alijibu nini sasa 😂
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? 1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ 2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? 3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? 4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? 5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? 6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Huyu anachuki za kurithishwa na wazee wake atakusumbua shekh wetu Muhammad bachu twakuwamini sana Masufi wa sasa ni kama mayahudi hakubali ukweli kwani hata wakifundisha vitabu wakifika sehemu inawakosoa hua wanairuka au wanapingana na mtunzi wa kitabu
Hakuna shekhe mwenye akili timamu akawa anataka tu kufanya minaqasha na masheke wenye weledi wa uelewa,, bali hili libachu linatafuta tu umaarufu ili apige pesa kama wahuni wengine,, huyu bachu sio shekhe bali ni msanii wa dini
Hao wanachuoni walioandika hivyo vitabu mulivyosoma wao hawakuona hayo makosa munayoyaona nyinyi? Je ikiwa waliyaona je Na wao waliekeana minakasha kama munayoieka nyinyi?
Nakushangaeni masheikh wa siku hizi. Kwani sheikh Nassor Bachu ALLAH amrehemu pamoja na msheikh wetu wa zama hizo walikuwa wakifanya minaqasha ya namna hii? Mnawachanganya waumini na wala jamii haina cha kujifunza kupitia masheikh wa namna yenu.
Alhamdulillah Sasa hapa napata picha ya kwamba shekh Muhammad bachu ni mtu swafi sana khaalisu nniyyah
حفظه الله .
Akili ni nywele
@@HUSSEINALLY-b7ftoa ushahidi akili n nywele.
Haki imedhihiri leo hii watu wa maulid wate wanakubali kama jambo halikutajwa ktk kur an wala hadithi hiyo ni BIDAA. 😂😂allah ametuonesha hakinkupitikwa kwa BACHU.🖕kua hawa watu wanasoma maulid ila wanajua kua ni BIDAA.
@@medimisi6930
Aliethibitisha hilo ni kibachu kibanchuchu .
Kua hata mbo ya tauhid hayana ulazima kuwemo katika qur'an na sunnah na ameweka wazi kua masuala ya tauhid ni mas'ala ya ijtihad sawa na mas'ala ya fiqhi .
Na amethibitisha kua ijtihadi ya wanazuoni uzito wake ni wa sawa sawa na qur'an na sunnah .
Kwa maneno yake hayo ametuthibitishia kua dalili sahihi ni qur'an nasunnah na maneo ya wanazuoni .
Na hapo inathibitisha kua kupinga kwake maulidi kwa hoja ya bid'a ni dalili ya kujitangua na kujipinga mwenyewe kwa sababu wanazuoni walio halalisha maulidi ni wakubwa mno kuliko wale walio gawanya tauhidi ambao akina binbaz na ibn utheimin na alfawzan hawawafiki hata kucha zao zilewanao zikata.
Hakuna faida ya munaqasha kwasababu kila mtu anaushindi wake kwenye mfuko haji upepo kashasema hata kama watafanya munakasha hataacha bidaa zake kwaiy hapa faida iko wapi kwa ushauri wangu sheikh bachu usifanye munakasha hapo hakuna dini kuna chuki tu
Watching live from cape town south Africa tunakufatilia sana sheikh wetu Allah akupe afya..
جزاك الله خيرا
Waganga wanapongezana
fungua comment kwenye channel yako kaka / unajificha nini?
@capitalistcapital8879 sijifichi na ctajificha
Watu majahali wanapongezana hao
@@NuruJuma-zv3yz😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Haya malumbano hayana maana yoyote ktk kupeleka mbele dini ya kiislamu. Tofauti za hitilafu zilikuwepo tokea kipindi cha Mtume Muhammad (SAW)
Kiukweli hawa makhurafi wataka wasomewe ruqya siwazima
نسأل الله السلامة والعافية
Masheikh wa kuabudu makaburi tawheed kwao iko mbali kwao.
Mnatetea utatu mtakatifu halafu mnajiita watu wa tawheed.
Naam ,kweli ni vita ya saikolojia
MashaALLAH utulivu mkubwa sana
Mche allah upepo humkomoi bachu unajikomoa nafsi yako mbele ya Allah
Toka zako hapa ni nani aliyekwambia kuwa Ustadhi Hajji Upepo hsmchi Allah?
Anaemcha Allah ni bachu mshirikiana
Nakubali kak mungu akuongoze na akupe kauli mzur ili ushindee kwenye mjadala huo
Ikiwa fikra yako iko hvo tayari huna ikhlas... hvi kwani watu wanashindana mpaka kupatikane mshindi?? Hili jambo la dini ni kuelimishana wala sio kushindana! Toa fikra hiyo huu sio mpira ni dini. Shukran
Ushindi hatoi mtu acha ujinga jukimu lako kusikiliza kisha chukua haqq
Nasubiria sheikh wetu much ❤❤ Kwa ajili ya Allah
Hapa sasa naona kama wameendana wote machachari ktk Hoja , Ushaur wangu likiulizwa swali kwa mmoja lijibiwe pasipatikane kulikwepa KILA LA KHERI ALLAH ATIE UTULIVU , NA IPATIKANE NATIJA YA MUNAQASHA WA KHERI HAKI IONEKANE PASIWE NA KAULI MBAYA ZISIZO FAA ila binafsi nafurahi kukutana maustadh wetu hawa na ndugu zetu
جزاك الله خير أخي حج
Allah akupe Nguvu Uwezo na Tawfiiq Ustadhi Hajji Upepo
Tuko pamoja na Wewe
Muogope ALLAAHU Haji Upepo usiitie dosari tawhidi walishindwa akina abuu jaahil na firaun
mjinga niyule asiyefahamu kuwa mijadala inaharibu dini na kumuweka mbalisheikh na taqwa ya allah muhammad bachu nijaahil hana elimu ila kibri na jazuba mbaya
Wacheni kuchezea DINI ya MUUMBA WETU. Jamani acheni dhihaki na DINI YA MWENYEWE ALLAH. Mm c msomi ila najua kupitia wasomi kuwa tukitingwa turudi ktk kitabu kitakatifu kisicho acha hata chembe ya haki na ukweli. Acheni kutumia midia kwani nimalumbano ya taraab au mambo ya kidunia. Waislam acheni kutukanana na kaeni na kusimama na Qur'ani
Upepo unataka xifa kwa watu zitakucoxti mbele ya allah rudi kaxome wacha porojo mungu anatakiwa apwekexhwe
Kuandika X badala ya S ni shida nyengine vile vile 😁
Inshaallah mwalim Tupo nyuma yako kila lakheri kwenye hili
Mmekosa iklaas ktk dini mnaanza kutukanana kabla hampati thawabu kwa munaqasha wenu acheni hamna khofu ya Allah
Umejuaje hawana ikhlaas
Umejuaje hawapati thawabu
Au wewe ni Mungu 😅😅😅
Mashaallah tunashauri swali,jibu kabla ya swali jengine.ili kama mtu ameshindwa kujibu swali tujue wazi.
Sheikh HAJI UPEPO tuko na wewe ❤
@@IbraFareedNi kweli Masheikh was kuabudu makaburi na waganga wa kienyeji,Tawheed ipo mbali na wao.
Shk haji upepo tunatarajia elim na mtakapo kutana muogelee katika bahari ya elim nasisi tupate faida
ISIWE KAMA ule mdahalo wa kenya na shk said ikatafutwa swali la mkwamo ikawa mm nihapo hapo siondoki HAPO
TUNAOMBA MUOGELEE ELIM TUPATE FAIDA INSHALLAH
Hakuna faida akhy utayoipata.Ivo hujui kama zoezi la munaksha ni zoezi la mashindano ya kiitikadi?
@@mzeerajab9154 MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
Nakupa Highlight:
Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 akaambiwa tulete video zako hapa UNASEMAGA HUYU BARAZANJI MUONGO mpaka UKATUPA KITABU CHAKE
HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMEITOA WAPI?
Kwanza niuongo ashamuita BARAZANJI MARA NYINGI MSHIRIKINA NA MUONGO kwahiyo alimjeruhi… KATIKA ELIMU YA الجَرح و التَعدیل
anahukumiwa MTU NA MANENO YAKE tatizo lenu hamsomi ndo maana mnaona haya mambo mageni ila yapo kwenye vitabu TUSOME JAMENI ndo mana akaambiwa na mwenyekiti wa saidi kabla ya niqash KUANZA UTATUMIA MANTIK GANI KUSEMA HAYA MANENO NI UONGO AFU MSEMAJI SIO MUONGO 😂
Mwenyekiti wake akakubari akasema aya tuanze NIQASH BASI BASI TUANZE
NDO MANA LILE
SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamuaKUNYANYUKA NA KUONDOKA.
MAANA LILIMBANA KWENYE KOO ushamjeruhi MTU NA MANENO YAKE na MANENO YENYEWE NI HADITH USHAYAITA UONGO
SASA HUKU KUITA HADITH MUNKARI NI UONGO UMETOA KWENYE VITABU GANI VYA WANAZUONI WA HADITH 😂😂
hii dini ina FANI nyingi na WAJUZI NA ILE FANI NI WALE WALOBOBEA KWENYE ILE FANI
MTU WA NAHAU UTAMPELEKEA SWALI LA NAHAU
MTU WA KISOMO CHA QURAAN UTAMPELEKEA KISOMO CHA QURAAN
NA HIVYO HIVYO HADITH TUTAENDA KWA WASOME WA HADITH
lau SHEIKH BACHU Angesema HAKUNA SEHEMU ilipoandikwa HADITH MUNKAR NI UONGO maana yake BACHU HUTUMIA AKILI YAKE KUONGEA NA SIO MANENO YA WANACHUONI
Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU مَولِد الْبَرزَنجِي NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
مصطلح الحديث
MAKOSA YA BACHU YALIKUA
kwenye NAHAU, تحقق صدقه 😁 KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU ZINAPINGANA NA WANAZUONI NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI HATA MMOJA ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni NA AKAAMBIWA HAUNA NA HILI PIA UTALIKWEPA KAMA UVOKWEPA HAYA MASWALI MENGINE
غريب - في أي مرحلة من مراحل الإسناد يوجد راوي واحد فقط يروي الحديث
makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
NI AIBU KWENDA KUPINGA KITABU CHA LUGHA YA KIARABU AFU WEWE UNAEPINGA UNATOLEWA MAKOSA YA LUGHA YA KIARABU LIVE WATU WOTE WANAONA
katika vitu anajuta kwenye MAISHA YAKE NI ULE MJADALA WA KENYA
(SIKILIZA MANENO YA SHEIKH MAFUTA BAADA YA NIQASH ALOMWAMBIA SHEIKH BACHU )
NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA
Huwezi kuendelea n mada nyngine mpk ujibu swali kenya aliuliza swali akajibiwa,ye alipoulizwa akakwama kujibu sababu alijua kinachofuata,umeelewa akhuii turudi madarasani kusoma huwezi elimika kw munaqasha tuu darsani nd mahala sahihi,,Kubwakuliko upo akhuii.
Ustadh haji Allah akuongoze juu ya hilo bachu hakuwezi
Huyu Dogo (Haji Upepo), ni hatari sana! Kuna makosa aliyaonesha katika clip zake za mwanzo, ni noma! Huyu ukimwendeya ki juu juu, atakuwaibisha!
Sahihi
Sheikh Haji Upepo yuko vizuri sana
Pasemwe Kuulizwa wewe Haji Upepo
Kigawanyo Cha kwanza ni Kumpwekesha ALLAAHU katika matendo yake mfano kuumba, Kuhuisha, Kufisha. Je Haji Upepo ALLAAHU hakupwekeka katika umbaji wake.
Kigawanyo Cha Pili ni Kumpwekesha ALLAAHU katika Ibada. Je Haji Upepo Huamini yakuwa ndiye anayestahiki kuabudiwa peke yake
Hamna uwezo wa kupambana na SUNNAH Enyi MASUFI, kila kukicha watu wanaacha usufi wanakuja kwenye sunnah.
HAMNA HOJA YOYOTE UPANDE WA TAWHEED.
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Acha uzuzu na umbumbumbu wa kutokuijua Dini
Kaa chini ufundishwe ili ujue sunnah ni nini na bid'ah ni nini
Lazima yapite makubaliano ya wanavyuon wa karne gn watatumika ama ushahid wa qur an na sunnah tu au vp ili kuepusha kila mmoja kushikilia msimamo wake yaan naomba hili InshaAllah liwekw wazi sio w2 wakabishane na kuondoka tu...
Allah ajaalie tuwe wenye kupata elimu ambayo ni sahihi InshaAllah
In Shaa Allah tunsbr kla upande uelezee maan ya tawhid na dalili unazoziamni
Wallahi
Billahi
Tallahi namtilia shaka na kama sio hivyo basi bilashaka ni Chizi mjinga.
Lakini wasiwasi wangu mkuuubwa nahisi analipwa.
Kuna watu wanamlipa pesa na hao watetezi wake pia.
sheikh Haji upepo, I understand your education and your speaking is correct, I am looking at you I am in Mozambique, juma mosi mshike koo bachu, swahili sijui vizur, naongea português
Tunakuunga mkono Akhy Aziz
Hahaaa kweli kabisa kwenye Fiqhi likitumika neno kutokwa na upepo Maana yake NI KUJAMBA.
POLE SANA HAJI KIJANA MDOGO SANA ELIMU SIO MATUSI. WAIT FOR THE DAY
Mashaallah huyu shekh anaongea kwa utulivu mkubwa sana
Allah akupe ufahamu wadini.
Wewe haji upepo ushakukuta aya inayosem افرايت من الأخذ الهه هواه فاضله الله على علم ........
Maana huwezi kuwa naelimu kisha ukashidwa kubaini midaa kisheria ninini na elimu tawhiid ....
Mawahabi wao lazima waende tofauti na waislam wengine wakiona Kitu kinaenda sawa na waislamu wengine wao wanabadilisha
Shari'a iko wazi na suna iko wazi wanabadilisha nini?
Kaeni darasan msome acheni ushabiki hii ni dini ya Allah Haina kuongeza Wala kupunguza.
Kwa ujinga sijui but kwa utoto anao
In shaa Allah akikua ataacha
😂
Sheikh Upepo acha maneno subiri munakasha ujibu
Wallah Haj upepo nakuchukia kwasababu Mara nying unawasema watu Kwa chuki
Shehe mudi je hasemi watu
Kwenda huko muwahabi mkubwa
Kwani Wewe ndio nani toka zako hapa
Kama wamchukia usimpe Tena rizki mwache afe na njaa
A.alaykum shekh naomba sote tutumie lugha nzur hekma ni jambo bora sana
Eti machachali nimeyafungia tu 😅😅😅 nimeipenda mwalm
Daaah ndugu hebu kasome kwanza yaani unaonekana ni mchache wa elimu
الله المستعان
Aya katika Suratul Maryam
Haji upepo Bachu atakapo kuuliza kwamba kuna aya inaelezea vigawanyo vya tauhdi akikuliza nivingap utuambie maswala ya ubabaishaji kama yule dijei wenu wakike kenye
Bidaaa maan yak ni uchafu ikhwaa
Bachu nakushauri unge tafuta Mwingine Maana huyu ni mtu wa matusi Mdomo wake hauna staha ya kuongea
Kisha ywababaika kwel atetemeka na siku bado
@@muddathirkassim2407 Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Afadhali kina Yusuf Diwali walikuwa na mbwembwe ingawa watupu huyu amekaa matusi
bachu atamkimbia ustaz haji
Oooee ivo sio powa hakuna Asie mkamilifu....UNGETOA USHAURI LAKINI KWA MANENO YAKO NIKAMA UNA WIVU NA WATAKA QIQI WEWE HATA HATUKUJUI😅
Humjui ww tu mshamba wa mtandao
We mkali wako. mbona na ww unakua taira acha kuongea uchizi
Allah ku zidishiye
Mbona una mtisha Sasa, ili siku hiyo aingize baridi yakua amekutana na msomi kumbe ni upepo tupu
Mungu atusaidie hujitambui
Upepo(ushuzi)😂
@@edyiddy4711 utamuona muhamad makojo marahii ata harisha
Izo pesa nipeni Mimi nyinyi malipo yenu nikwa Allah
Matatizo ya mawahabi wana ujbi sana masufi ndio waliosomesha wote leo ndio hawana ilmu kabisaa na ndio mpaka baba zao wamesomeshwa na masufi na mpaka leo wasomesha na madaris na marakiz nyingi za masufi zasomesha.
Muhammadi Bachu kaamua kuvaa Kibri na ujinga,kwa ushauri wangu apuuzwe.
Jazaaaka llahu khaira
Ridhiwani waziri
Fanyeni kazi ya daawa vijana wanapotea katika ushoga na drugs kuoneshana ubabe wa elmu haitawapeleka popote wallahi mtaenda kuulizwa
Wewe upepo hauna lolote wallah kazi yenu kutetea ushirikina
Kuna ushirikina zaidi ya kupa allah utatu mtakatifu?shirki niyenu nyie
Uchache wa elimu wa MASUFI.
Mnashindwa kuelewa hata swala inavigawavyo, swaumu kunavigawanywo pia.
Njoo kwenye mjadala kama unaakili
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Hivi mnaweka pesa iweje, mnabeti, kamari kwenye jambo la dini, Hamsaidii Jamii wala uislam iwapo hata anayeshindwa hakubali kushindwa hata baada ya kushindwa.
Na waje wazitoe kweli tu hizo pesa! Isiwe uhodari wa maneno tu! Lazima mmoja atashindwa pesa zionekane zikilipwa msije mkasingiziana kukimbia mjadala!
Taquwa ndio mmekosa sijawaona mna papambana naashoga ila mambo yasio.hukum.ktk uislam.ndio mpo bize wallaah mmekosa ikhlas
Ushauri wangu nawaomba musifanye huo munakasha maana naona hapo hapana ataekubali kushindwa mifano tunayo mingi tu maana bachu kafanya minakasha mingi lakini hakuna hata mmoja aliokubali kushindwa Sasa mimi elimu yangu ni ndogo sana lakini minakasha haina faida isipokuwa munawagawa waislam tu
Bachu ametoa chalenge ya miloni 100 zikitanzania mtu athibitishe kuwa aya ilioko katika sura maryam 65 yakuwa haizungumzii vigawanyo vya tauheed bali inazungumzia mambo mengine.
﴿رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَ ٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَیۡنَهُمَا فَٱعۡبُدۡهُ وَٱصۡطَبِرۡ لِعِبَـٰدَتِهِۦۚ هَلۡ تَعۡلَمُ لَهُۥ سَمِیࣰّا﴾ [مريم ٦٥]
Akhy ikiwa taqsiim ya tauhiid ni uchafu sherehe za maulidi vip zinawez kuwa safi unapozungumzia kuw na kumbukumbu
Kama kweli mtu wa Sunna Acha ndevu kwanza usinyoe ooo sio sunna
Acha kuwa kipofu Yani ukiangalia umuoni na ndevu ama umeshalishwa matango pori uoni chochote
Mawahabi hawana tofauti na wanao sema yesu ni MUNGU na ili hali sio MUNGU.
Ww kasome huji ata alifu hata hao masufu masheik wako hawasubutu kusema hivyo ww unajua mwisho wako utakuaje na hao munawaita mahabi ndio walioshika sunnah hasa kuliko masufu mara 100
@allyjuma9669 suna ya ushirikina kugawa tawhid we mwehu Nini?mnakunywa Hadi maji ya maiti ya hutemia Kisha unasema uko kwa suna ya mungu baba mungu mwana na mungu roho sasa uko na faida gani ya kuijua hio alif na ili hali wewe ni mshirikina pia.
@@allyjuma9669 sio masufu ni masufi ❌❌❌
@@allyjuma9669 Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Mashalla jazaka Allah
Yaan bora mitandao isingekuwepo mashekh mngetulia na mungekuwa bize kuzid kutafuta elim nyoote mnatakiwa kutafufa elim
Subhana llah akhui mche Allah kwa kusema vigawanyo hivyo ni uchafu.
Juwa usemalo limethibitiwa
Sababu aksamu ziko wazi akhui.
الله المستعان
Wazi wapi?
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@@IbraFareed nikuulize swali simple kabisa
Sharti za swala ni ngapi?
Je!unaimani na sharti hizo?
Akhui usiwe bendera hufuata upepo
@@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 nimeuliza maswali 6 jibu afu ujibiwe sheikh
Acha kulalamika na kusema mtu bendera ufata upepo
Tafadali soma kitabu hiki naujue zaidi, na kusaudia
كشف شبهات المخالفين القسم الثاني من الرد على كتابي الفؤاد والذخائر المحمدية
Achen hayo mambo nyiee
Kimenukaa kazi ipo
Semeni inshaallah
Wallah raha sana yaan mpk napenda wacha tuone elimu na ukwel wa haya mambo ila swali lng mm je mutatumia nn ktk kuthibitisha je? Itakua ni qur an na sunnah, ama maswahaba, tabiina na tabi tabiina yaan maulamaa wa vipind v3 bora coz mzozo utaanza hapa na hili jambo naomba liwekw wazi kabisa ili tupate faida InshaAllah
tafuteni elimu muwafundishe umma wa waislamu acheni usanii acheni riyaa mtakwenda kuulizwa juu ya neema ya elimu mliopewa mmeitumiaje mnashindana ujinga tu
Kisha aje na milioni Moja aiweke mbele ya ummah.
Ww utagaragazwa sanaaaa humuwezi Muhammad Bachu ni m-bobevu wa vitabu na Genius Sana.
Labda porojo jingi, ni mbobevu Kwa wajinga kama nyny tu
Kinyume chake _ Sheikh Google 😂😅🙈
Muhammad Bachu ni mgonjwa wa akili.
Hakuna anayejua kila kitu lakini yeye anaamini kwamba anajua kila kitu.
Wallah Kuna umuhumu wa bachu kupimwa akili yawezekana ana namna kichwani.
Hz comments zenu zinaonesh kias gan nyny hamna hofu ya ALLAH na hamna elim pia maan mnasem furan hana akili ili hali mwajua kuw anazo Bali mmetofautian uelew tu mkae mkijua muyasemayo yameandikw na in sha Allah mtaulizw km kwl manamuamini ALLAH na siku ya mwisho ya malipo mwapaswa kutubia cz mnacho kisema hamna uthibitisho nacho wala ushahid wwt Bali ni chuki zenu tu na uchache wa maalifa
Kila la kheri kaka
Hapana mjadala hapo , na hakutopatikana elimu nyinyi nyote muache ujinga , na unsema towhid n bidaa alfu unaipinga ss izo unzo fany na huzipingi je inakuaje au ndo nzuri.
Dj said angaa ana usanii huyu abobokwa matusi tangu mwanzo wa clip balaa tu
Eti atatoa Hela bachu mbona anajidhalilisha ,hakuna vigawanyo vya towhid ,na mtume hakufundisha mtume ametangaza towhid Moja TU nayo ni laillaha illa lahu Muhammad rasulu llah.
Wacheni kupoteza muda juu ya itikadi tafauti mlizonazo.Ivo hamjui kuwa hayo makundi yenu tayari ni madhehebu?Vipi tena mnaleta kamari katika hoja zenu?
Maneno mengi wakat mwenzako katumia maneno kidogo tu wala hajakutukana we vip?
Sasa apo umekusudia kutukana au kumuogopesha ili asije .
kama ushaogopa sehemu tu.
Kwhyo munacheza kamali ya kuekeana ela mbwa nyny na munawachanganya waisilamu Kama munahoja cmukutane wenyewe mujadiliane mupate jibu kuliko munabishana Kama Moira Mambo ya din
Mawahabi (Answar-sunna na Salafy) hawa wanawapenda Wayahudi na Wakristo kuliko wanavyowapenda waislam na hata Makkah Makao makuu yao wanawaunga mkono Israel na Wanawapga vita Palestine na Gaza na hii sio Haki na hapo Nina mashaka sana na uislamu wao
BACHU NA MAWAHABI WENGI NI WAPAGAZI WA WAFALME,NA JAZBA NDIO JADI NA TABIA YAO.
HUWEZI UKADAI ETI KILA KITU AMBACHO HAKUKIFANYA MTUME SAW NI BIDAA?JE:
1.TARAWEHE 20 ZIMELETWA NA NANI?
2.SWALA YA JAMAA YA TARAWEHE BAADA YA KUKATAZWA NA MTUME SAW NI NANI ALIEIRUDISHA TENA?
3.KHALIFA OMAR ALIWAKATAZA WATU KUUNGANISHA UMRA NA HIJJA,KINYUME NA MAAMRISHO YA MTUME SAW,JE ALIPATA WAPI MAMLAKA YA KUZUA?
4.KAMA MASWAHABA WALIWAKATAZA WATU KUANDIKA HADITHI ZA MTUME SAW NA KUZICHOMA ZILE ZILIZOANDIKWA,JE SISI TUMEPATA WAPI RUHUSA YA KUZIANDIKA?
5.NA MENGI MENGINEYO
njooni Tujadili huku kuwa nabii Isa a s ameshakufa na hayupo mbinguni.nabii Adam a.s hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa
Twambie aya ya 55 suratul Imrani inaeleza nini!?
Tawheed tatu ni bid'aatu dalal maana yake ni uchafu
Tuna omba uje na dj saidi wa mamrui kwenye majadala huo musaudiane kutibitisha 😂
Upepo elimu huna hata vigawanyo vya tawhiid huvijui subhaana lllaah
Sasa ndo unajitokeza
We ndo ulisomanae au
ww unajua
Acha ushabiki wa kiibilisi we ni Muislam..
Wenyewe wanazungumza kindugu wafanye Mnakasha we unaleta ushabiki..
Hao wote ni Waislam kk..
Mna akida za kishabimi wa ujinga sana na ndo mana Waislam tunaonekana hatupendani
We vigawanyo vya tawhid mbona unavijua na havijakusaidia kutoa chuki dhidi ya waislam wenzako..
Mbona havijakusaidia kuwa na adabu
Hiyo sisunna nakama 1 ni suna towa hadithi
Mm nasema kabla ya mjadala mwingine je Umekubali Kuwa Mmeshindwa Mjadala Wa Mwanzooo
Sijui umetumia mantic gani kuongea
Hii mijadala ni miwili tofaut na ina MADA MBILI TOFAUT SASA ukimwambia sheikh haji kashindwa sijui una maanisha nini na kama kaashindwa pia
Sheikh Bachu alijibu nini sasa 😂
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
1. je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
2. Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
3. Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
4. Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
5. Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
6. Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
VERY SIMPLE
na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Huyu anachuki za kurithishwa na wazee wake atakusumbua shekh wetu Muhammad bachu twakuwamini sana Masufi wa sasa ni kama mayahudi hakubali ukweli kwani hata wakifundisha vitabu wakifika sehemu inawakosoa hua wanairuka au wanapingana na mtunzi wa kitabu
Hakuna shekhe mwenye akili timamu akawa anataka tu kufanya minaqasha na masheke wenye weledi wa uelewa,, bali hili libachu linatafuta tu umaarufu ili apige pesa kama wahuni wengine,, huyu bachu sio shekhe bali ni msanii wa dini
Taqsim tauwih ni namna ya kufundisha lakini siyo bid a
Hao wanachuoni walioandika hivyo vitabu mulivyosoma wao hawakuona hayo makosa munayoyaona nyinyi?
Je ikiwa waliyaona je Na wao waliekeana minakasha kama munayoieka nyinyi?
Sema lini
Kumamako mshenzi wee mbwa weee hanithi wee hufirwi lkn wasema tauhidi3 niuchafu wallah billah tallah ningekuwa nasilaha ningekupiga risasi ufe
Hujitambui wallah ww chizi
Na Hawa ndio watu wa Sunna!!
Subhanallah muogope Allah kwa matusi hayo
Unaitakasaje Qurani ni Tawhidi
Nakushangaeni masheikh wa siku hizi. Kwani sheikh Nassor Bachu ALLAH amrehemu pamoja na msheikh wetu wa zama hizo walikuwa wakifanya minaqasha ya namna hii? Mnawachanganya waumini na wala jamii haina cha kujifunza kupitia masheikh wa namna yenu.
Haji upepo utuambie wewe katika vigawanyo vitatu vilivyogawanywa vya tauhidi kipi hukiamini?
Basi kumbe nyie wote ni matajiri mmejaa mapesa! Nahisi faida kubwa mtapata mkisaidia mayatima na maskini kuliko kubet kwenye mas'ala ya dini.