HIGHLIGHTS: YANGA 1 - 0 SINGIDA BLACK STARS/PACOME ALIVYOITEKA NA KUIAMUA MECHI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 106

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 8 часов назад +7

    🎉🎉🎉🎉Gamondi mtu safi sana kuna walio mkataa nkane lakini nkane mwenyewe kawapa majibu

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 15 часов назад +11

    Yanga ya moto 🔥yanga bingwa inshaallah daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🙌🙌🙏🙏

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove 12 часов назад +27

    Hakika Mungu ni mwema tuna mshkru sana kwa matokeo na pongezi nyingi kwa wana jeshi wetu na benchi letu laufundi na viongozi wetu kwa kazi nzuri hakika tuka chukue halama 3 juma mosi inshallah tuta shinda kwa uwezo wake allah tu daima mbele nyuma mwiko

    • @dastantelentine5839
      @dastantelentine5839 8 часов назад

      😅q❤

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql 7 часов назад

      J mosi hatuchezi adi tarehe 8 ishaallah🙏🖤⚽

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 6 часов назад +1

      Amina na Hongera Mungu ametenda na tumshangilie. na kumshukuru.

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 6 часов назад

      ​@@reginaldmapunda6702Amina hakika Mungu ametenda

    • @Shebe_traLove
      @Shebe_traLove 6 часов назад +1

      @@AzizaHussein-wq8ql tuta sheza mwananchi mwenzangu tuko na azam.fc tarehe 2 dua zetu zina itajika

  • @triceyanga
    @triceyanga 8 часов назад +5

    wachezaji wetu asanteni sana jana mmecheza vizuri sana Mungu aendelee kuwapa nguvu ili mashabiki tuendelee kuenjoy, wananchi tukumbuke kukata kadi na wale wenye kadi tukumbuke kulipia🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo 11 часов назад +8

    Hawa Sigida hawajui mpira, kazi kuumiza wenziwaao. Wanacheza kama ambao wako vitani..Mwenyezi mungu naomba uwaponye majeruhi Amen

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 11 часов назад +5

    Wapambnaji wetu,tunawapendaaaa

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 15 часов назад +7

    Yanga wamepiga boli sana leo

  • @HedimaniMunkondya
    @HedimaniMunkondya 13 часов назад +5

    Kwel kabisa maumivu lazma umuone dokter

  • @WiliamHamisi
    @WiliamHamisi 2 часа назад +1

    Hatali sana yanga

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 7 часов назад +2

    Au yanga ni fremason

  • @AnithaJoseph-e7h
    @AnithaJoseph-e7h 9 часов назад +3

    Mungu ni mwema

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 10 часов назад +3

    Nkaneee🎉🎉🎉🎉

  • @PriscaMaswaga
    @PriscaMaswaga 16 часов назад +9

    Wa kwanza leo wananchiiiiiiiiiii kama inauma pata ushauri kwa daktar🤪🤪💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💃💃

  • @EdwinNgimba
    @EdwinNgimba 12 часов назад +6

    Wachambuzi na mashabiki wa simba semeni vip na hili goli la leo ni offside?

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 12 часов назад +3

    Allaah Akbar

  • @SevarinijrChitanda
    @SevarinijrChitanda 12 часов назад +2

    Limebondwa pira 🔥🔥🙌

  • @patrickmanamla1413
    @patrickmanamla1413 15 часов назад +20

    Raha za Yanga unaweza pewa mke bila mahari

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 11 часов назад +2

    Namshukuru aliemuibia refa kadi kipingi cha pil 😂😂 yanga mpira umechezwa🎉🎉🎉

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 9 часов назад

    Kwa kweli ni jambo la kumshukuru mungu yaani singida walikaza kweli big up yanga pakome

  • @ErikiPeter08
    @ErikiPeter08 Час назад

    Daima mbele❤❤❤❤❤❤

  • @sharifamandimu
    @sharifamandimu 4 часа назад

    DAAAAH ILA YANGA🙌

  • @FlorenciaAndrea-eu2bb
    @FlorenciaAndrea-eu2bb 4 часа назад

    Mimi naipenda yanga kuliko hata mumewangu asante yanga mmenipa fulaha sana jana🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 29 минут назад

      Kheee naomba mumeo asome hii comment akupe talaka uachike ili ukaipende vzr yanga ukiwa kwa baba yako 😂😂😂😂

  • @JamesSambaLengedi
    @JamesSambaLengedi 10 часов назад

    Wananchiiii hoyeee 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆

  • @HalimaKarm
    @HalimaKarm 6 часов назад +1

    Tabu leleeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 16 часов назад +3

    Ila makocha watu😅😅😅😅🙌🙌🙌

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 5 часов назад

    Yanga bingwa inshaallah 🙏🙏

  • @elianoel8398
    @elianoel8398 11 часов назад +3

    hawa watu wametupa changamoto kubwa haiJAWAHI KUTOKEA AFADHALI UKUTANE NA SIMBA WA MTO MSIMBAZI KULOKO KUKUTANA NA BLACK STARS

  • @WazohilllUhasibu
    @WazohilllUhasibu 6 часов назад

    Wapinzani😂😂 rudin😂nyumbn kumenogaa yangaaaa oyeeee❤❤❤❤oyeeee

  • @PeruthNehemia
    @PeruthNehemia 12 часов назад +1

    Yanga Safi 💛💛💚💚💚💚

  • @mohamed-qp1of
    @mohamed-qp1of 14 часов назад +3

    Manager Harrison hua anakiskizio skioni hua anawasiliana na nani wakati wa mechi😂😂😂

    • @cannetv2080
      @cannetv2080 12 часов назад

      Video analyst wa tim hua anampa maelekezo

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 9 часов назад

    Mungu aendelee kuwaweka salama wachezaji wetu

  • @chazp6436
    @chazp6436 12 часов назад +2

    Hii ndo yanga ambayo haijarogwa

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 11 часов назад +1

    🎉Pira limenoga hatarrr 🎉😂🎉

  • @FatmaMgomba-f2b
    @FatmaMgomba-f2b 10 часов назад +3

    Mwenyezi Mungu ni mkubwa hakika Anatubariki

  • @MamaNeema-u9s
    @MamaNeema-u9s 4 часа назад

    👏👏👏👏👏👏

  • @AzizaHussein-wq8ql
    @AzizaHussein-wq8ql 7 часов назад +2

    Hheheheheeeeeeeeeehaaashahaaasss wenye kilele chao wamerejea tujuane hapa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 13 часов назад +3

    Sasa nimeelewa kwa nini mzee Saidi anamuogopa msaidizi wa master Gamondi

  • @RachaelEmmanuel-ky5ri
    @RachaelEmmanuel-ky5ri 10 часов назад

    Nkane the wonder kid 🎉🎉🎉🎉

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo 8 часов назад

    Alhamdulillah 🎉🎉🎉🎉

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 9 часов назад

    Wazanzibar,Yao,majukwaa

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 13 часов назад +5

    kipindi cha kwanza nimeshuhudia kadi za njano tu

  • @Ruwayda-g9h
    @Ruwayda-g9h 10 часов назад +1

    Refa alilewa kwanza?

  • @richardJanson-h7c
    @richardJanson-h7c 9 часов назад

    Young Africans bingwa tena

  • @meroymollel9156
    @meroymollel9156 6 часов назад

    Asante sana MUNGU wetu

  • @filemonkwaja6181
    @filemonkwaja6181 8 часов назад

    Jamaa wametupiga viatu sana. Lakini yanga bingwa

  • @kapayaone748
    @kapayaone748 2 часа назад

    yanga bingwa

  • @ZubedaHamisi-d3b
    @ZubedaHamisi-d3b 3 часа назад

    Hakika mungu ni mwema jamani🙏

  • @IzackMakole-ul5tt
    @IzackMakole-ul5tt 7 часов назад +1

    Maua kwa nkane kutoka kuwa mfungaji ,kuja winga mpka kuwa beki tishio kwa badaee

  • @shedadiabdul654
    @shedadiabdul654 6 часов назад

    💛💚🧡💪

  • @RamadhanAli-w8e
    @RamadhanAli-w8e 11 часов назад +1

    Yule libaba linaroh mbay

  • @maalimjaffar5563
    @maalimjaffar5563 12 часов назад +3

    Kiukweli leo yanga tulikutana na wapinzani halisi ktk soka la bongo,,,wanauwezo mkubwa sio kama wale my❤❤❤ wetu. 😂

  • @leomika8473
    @leomika8473 12 минут назад

    Yan Hawa singida wamevaa majez mabaya

  • @BahatiSego
    @BahatiSego 10 часов назад

    💛💚💛💚💚👏👏

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 11 часов назад +1

    Hawa watu huwa wanakuaga wagumusana kwetu

  • @AliAli-uv5gw
    @AliAli-uv5gw 5 часов назад

    Muonekano wa jezi kwa game hii ni mateso makubwa

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 10 часов назад

    Good

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 8 часов назад

    Mahari yanini sasa

  • @GracePaul-k2l
    @GracePaul-k2l 7 часов назад

    Huu ndio iwe daby

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 8 часов назад

    Kwa pacome kila goti litapigwa

  • @ZaydShafii-v2n
    @ZaydShafii-v2n 5 часов назад

    Aaa pacome

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 5 часов назад

    Sylvester vs messi goal 😅

  • @ashamkenga6072
    @ashamkenga6072 9 часов назад

    Yanga hii unaifungajeee😂😂😂

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 12 часов назад +1

    Vivaaaaaaaaaa yangaaaaaaaa,❤❤❤❤❤

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 9 часов назад

    Ila sura za singida wachezaji kumtoa Metacha mmh!!😢😢😢

  • @PriscaBenjamin-ub7lu
    @PriscaBenjamin-ub7lu 9 часов назад

    Black Star walikuwa na Nia ya kuwaumiza wachezaji wetu muhimu dk za mwanzon

  • @lucakinyunyu1015
    @lucakinyunyu1015 8 часов назад

    Maumivu ya kichwa yakizd mwone daktar

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 10 часов назад

    Nawaza lile goli walilojiweka makoro ndo lingekuwa kwa singida ingesikia yanavyoropoka metacha anaurudisha mpira kwa nzengeli na gwede amejifunga ili yanga iongoze ligi😂😂lakini kwa pira hili kwa mikamio hii dunduka yeyote atakae kuja na sera ya singida ni tawi la yanga bila shaka atakuwa ni shoga tuh😅😅

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Час назад

    Mwamnyeto kwenye ubora wake

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 9 часов назад

    Hawa singida mpira hamna hapo ni ndondo ngumi tu.

  • @JamilaMohamed-l9y
    @JamilaMohamed-l9y 10 часов назад

    Leo gamodi amenifurahisha nkane Dani baado za ya kibwana inasha llaa na yy atapata nafsi

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 9 часов назад

    ila Metacha Nahc Alidhamiria Sana Hii Mechi....

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 10 часов назад

    Pacome umepiga kwe mshono

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 Час назад

    Tatizo la kuchukua kocha wwe

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 7 часов назад

    Kuanzia sasa ni kama Singida Black Stars mlango wao wa kufungwa umefunguliwa watafungwa na timu zingine zinazofuatia hadi kocha wao atakapotimuliwa na wachezaji aliowaleta kusambaratika unachezea Yanga wewe. Pumbavu, kabisa. Yanga washatoa password mbafu.

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 11 часов назад

    Tengenezeni highlight ndefu wenyewe sio mnachukua vijidakika kutoka highlight za Azam tv dkk zile zile

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p 45 минут назад

    Unamume wewe