HAPA NDIPO BALAA LILIPOANZA KIDAWA ANGEJIBU TU HILI SWALI ANGELIA MACHOZI YA DAMU|| Muhammad Bachu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @hasanalrashid3311
    @hasanalrashid3311 Месяц назад +8

    Assalam aleykum warahmatullah wabrakatuh sheikh bachu Hakika mtu ujizaa kweli sheikh bachu kajizaa Allah amrehemu sheikh let u na wewe endelea sheikh nakuona mbali ktk helim ya duni yetu tukufu

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Месяц назад +4

    MashaAllah sheikh Bachu Allah akuhifadh uzidi kuitumikia dini yake

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 Месяц назад +7

    Chuma hicho
    Mashallah Bacho wakomeshe

    • @MansourYusuphu
      @MansourYusuphu Месяц назад

      Muhammed bachu hana heshima hata kidogo uangaliaji wake tu kwa watu utajua kila kitu kinajieleza

  • @HilaliSaidi-n2f
    @HilaliSaidi-n2f Месяц назад +1

    Namshukuru ALLAH kunipa elimu ya thanaw kunasaidia kujua ujinga wa bachu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Месяц назад +5

    Shukuraan saana sheikh Muhammad bachu, Umeeleza vyema

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Месяц назад

      Hajaeleza tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji mtume s a w hajafundisha wala maswahaba sasa isiwe sibida athibitishe bachu mtume s a w amefundisha

    • @VictoriaGadiel
      @VictoriaGadiel Месяц назад

      Huyu anataka kupata Hela kwenye channel yake

  • @SurprisedCurling-si9yr
    @SurprisedCurling-si9yr Месяц назад +3

    Muhammad nassor bachu tunakuelewa kabisaaa ...

  • @HauaAliSaide
    @HauaAliSaide Месяц назад +3

    Mashaallah meu esposo a verdade sempre vence💪 te amo meu esposo depois vens buscar teu presente

  • @ChudiOmi
    @ChudiOmi Месяц назад

    Ukisema tauhidi tatu... utakua huna tofauti na wakiristo .. Mungu wetu ni mmoja tu. ... muogope mungu bachu.

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq Месяц назад

      Em angalia ilo jina lako tu linaupungufu. Asa ukipelekwa kwenye bahri isokuwa na mikoko wala boya(elimu ) katika quran au hadith wewe unakufa kabla hujazama vidole vya miguu

  • @NurainAbdaallah
    @NurainAbdaallah Месяц назад +3

    Sheikh elimu umebarikiwa na akili mashallah sheikh muhammad allah akuhifadhi

  • @IsmailEl-mazroui
    @IsmailEl-mazroui Месяц назад

    sheikh bachu mashallah jazakah llah kheyr , mashekh wengine wao maulid tu na kujichangny na wanawake wawatunze hela lkn ufafanuz wa kielim aaaaahh

  • @khalidabdallah-i3c
    @khalidabdallah-i3c Месяц назад +2

    Assalam alay kum warahmatullah wabarakat ndugu yangu katika iman katika dini hakuna kitu chaitwa Munaqasha nyie mnaoufanya ni ujahil mkubwa haya hapo twapata faida gani maana hata marhum baba yako Shekh Bachu hakuwa na ujahil wa aina hii acheni mambo hayo maana hamnufaishi hapo mwabomoa sie nikitu kimoja mwawanufaisha wasio waislam Tumche Allah na kulingania dini na sio kuicheza shere Ilmu mlopewa hapo sio darasani maana darasani hakuna malumbano Haifai waislam kwa waislam kuchezeana shere Tumche Allah narudia tena hapo sio darasani Tumche Allah Innalillah wainnailayh raajiwn

  • @johnpepe980
    @johnpepe980 Месяц назад

    Muhammad bachu Umekwama ktka mdahalo huo bhana acha kujikosha kiongozi tumeangalia mwanzo mwisho umeweka matabu laptob hunalte mwenzio Anatowa vitu kichwani still Umekwama

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI Месяц назад +3

    MAMBO YA TAWAQALL
    YANARUHUSIWA KUYAFANYIA TATABUI , ISTIQRAA, AU ISTINBATWI
    KWANI HAYO
    NI MAMBO NA FURUUGH NA SIO USULL
    TAWHIID NI USUUL
    HATUNA MWALIMU
    MSAHIHI ILLA ATAKUA NI ALLAH NA MTUME MUHAMMAD S, PEKEE

  • @Kassim-k6h
    @Kassim-k6h Месяц назад +1

    Soon Watu wataelewa haki , BACHU Usichoke

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd Месяц назад +3

    Soma shekhe bachu

  • @NassoroAlly-pp7gr
    @NassoroAlly-pp7gr Месяц назад +2

    Bachu hivi unaelewaga swali kweli siujibu ulicho ulizwa

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Месяц назад

    Allah atuongoze ktk usawa

  • @johnpepe980
    @johnpepe980 Месяц назад

    Hapana bhna bachu kwa hili unajikosha tu munakasha tumeuona lkn kwa mada ile pale umekwama na jmaa humfiki kielimu kaka kwa mengine tunakkubali lkn kwa lile Umepigwa ndugu yang yena zauso USILAZIMISHE KUONEKANA FASAHA JAMAA YUPO XAWA YULE

  • @MansourYusuphu
    @MansourYusuphu Месяц назад

    Jifunze heshima Muhammed bachu kuWa na heshima na watu hata wewe hujui kitu

  • @AdinaniNdyengu
    @AdinaniNdyengu Месяц назад

    Hapa Shekhe Bachu ukome kupinga Maulidi maana taqsiimuttauhiidi unaielezea kwa mapito yalayale ya watetezi wa MAULIDI

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад

    MOHAMED BACHU UNAVISOMA VITABU WAKATI HADI MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM ANAONDOKA DUNIANI HAKUWAHIPO KUWACHA KITABU CHA NAHAU WALA FIQI WALA BALAKHA WALA UTATU WENU WA AKIDA ZENU ZA KINASWARA
    NYINYI NI WAVURUGAJI WA UISLAM NAWALA SIYO SALAFI NYINYI NI WANAFIKI WA DINI YA KIISLAM TU

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 Месяц назад +1

    Mimi nilikuepo sheikh dawa amesema Sunnah zimegawika sehemu 3mbonahajatoa ushahidi ktk quruani nahadithi lakini tunakubali kwasababu nimas ala ya ijtihadi

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Месяц назад

    Wallahi ikiwa unaitakidi kuwa ni muislam ogopa na usijaribu kuingia katika pote hili la kiwahabi lenye kudai kuna Tauhid 3 kusema maneno hayo kuwa tauhid 3 zipo ni kufru na laana, una usingizia uislam uongo

  • @hamisadnan2319
    @hamisadnan2319 Месяц назад +1

    Huyu Hana upana wa elimu ila ni mbishi mjanja na mpotezaji muda munamsumbua Bure alimu wangu Sheikh Kidawa

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu Месяц назад

      Kidawa hajajibu swali anakwepa tu

  • @zuleikhaabdhallah-bu1sg
    @zuleikhaabdhallah-bu1sg Месяц назад +2

    Acha ujanja bachu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Ujanja upi nyi mnataka aelezaje wakati mwalimu wenu kawatia aibu maswali ykayakimbia na kasusa kuulizwa maswali au ujafatilia mjadala mwanzo mwisho

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Месяц назад

      Hawezi Acha mpaka aongoke au aokolewe na maamuma wake. INSHAA ALLAH.

  • @hemedikoba
    @hemedikoba Месяц назад

    Jaman mashekh wangu huyu mtoto wa bachu ni mjinga mkibishana nae atawashinda

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI Месяц назад +2

    swali ni doogo tu
    Tuletee mwanawachuoni alie kuja kusema humo tuna As,mAi wa sswifaat Acha ujanja mwiingi ktk dini

    • @Ahmadiyyāh.02
      @Ahmadiyyāh.02 Месяц назад

      Assalāmu Aleykum wa rahmatullāh wabarakatuh alhabib.shida ni kwamba wote hawafahamu Tauhidi .lakini Quraan Tukufu Imeshamaliza kabisa dalasa la Tauhidi katika suratul Tajrid (Ikhlās).ukisoma Al-TafsĪr Al-Kabīr ya Hazrāt Mirza Bashirrudiin Mahmūd Ahmad Khalifatul Masihi Thaani Al-Muslēh Al-Mahū'd r.a amesherehesha kwa maelezo mapana na marefu kuhusu suratul Ikhlās.shida ni kwamba wanajikuta wanazuoni ilhali wote wanazama katika shirk kwa namna moja ama nyengine

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@Ahmadiyyāh.02 mwanazuoni wa mwaka gani 😂😂

    • @Ahmadiyyāh.02
      @Ahmadiyyāh.02 Месяц назад

      @@IbraFareed nenda googling kisha andika Tafsiri Kabir ,utamjua wa mwaka gani 😂😂😂, hahahaha acha uvivu

  • @HarunaArmani
    @HarunaArmani Месяц назад

    Bachu kwahiyo kitu ulipigwa,
    Hukua nahodha zakujitosheleza Mashekh Kidawa umekata hoja zake

  • @saidabdurahman7936
    @saidabdurahman7936 Месяц назад +1

    Yule haji upepo ameandika caption ya uongo sana 😅😅

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd Месяц назад +1

    Shekhe bachu Kama unaibu hata redioni usingejieleza Tena shekhe bado umtupu time kauli ipi mungu maswahaba wamegawa tawhiid acha porojo

    • @abdullatifmnyamis372
      @abdullatifmnyamis372 Месяц назад

      We huelewi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@abdullatifmnyamis372 Namuomba sheikh Bachu
      Aepukane nayo haya mambo
      Maana ANAZIDI KUJIABISHA
      Na sheikh kidawa amemshikana kwenye koo
      Hapo HANA AYA WALA HADITH
      Ndo mana kampoa sanah
      Allah amuongoze

  • @SelesitinaJacobo
    @SelesitinaJacobo Месяц назад +1

    Mimi nashangaa kwani RABBI si ndiye ALLAH uyouyo?

  • @IbraFareed
    @IbraFareed Месяц назад +2

    Namuomba sheikh Bachu
    Aepukane nayo haya mambo
    Maana ANAZIDI KUJIABISHA
    Na sheikh kidawa amemshikana kwenye koo
    Hapo HANA AYA WALA HADITH
    Ndo mana kampoa sanah
    Allah amuongoze

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi Месяц назад

    Hapo inatakiwa are said mshiraz

  • @SaidhijaSalum
    @SaidhijaSalum Месяц назад

    We jamaa umebarikiwa sana

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr Месяц назад

    Sisi kama masufy tumekubwliana kuwa, sikuhizi tutakula sahani moja pamoja namuhammad Bachu, hakuna mdahalo atashinda tena kielimu nimwendo wakumburuta tu dadeki😏
    Kenya tumemtandika kaja tz tumemtandika tena, nabdo tunamtafuta tena pambafu 😎

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol Месяц назад

    SIKUONA ELIMU HAPA ILA NI KIBURI KIMEZIDI NA KUPINDUKIA MIPAKA

  • @AllyKhalfan-d4o
    @AllyKhalfan-d4o Месяц назад +1

    Semeni haki bachuuu munaqasha wapili anashindwa nakuhisi nduguyangu bachu utaadhalilika Kila siku achana na hayo masuala ya munaqasha

    • @manrectorz
      @manrectorz Месяц назад +1

      Wewe umeelewa hata jambo moja kwenye Munaqasha huu au unaangalia tu majoho na vilemba vikubwa😂. Acha uzezeta jitahidi kusoma kwa manufaa yako ndugu

    • @fatmasalim7132
      @fatmasalim7132 Месяц назад

      Hakika umemjibu sawa!

    • @IsmailEl-mazroui
      @IsmailEl-mazroui Месяц назад

      ttz lenu mnatak ajib kwa kuropoka anajib kwa kusom maandiko ya wanawazuon

    • @KHALFANSHELA
      @KHALFANSHELA Месяц назад

      Bachu umebachuka wewe Janja nyingi matabu kibao mbwembwe tu punguza kiburi na zarau shekhe

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад +1

    NYINYI MNASEMA ALLAH ANA MKONO ANA MIGUU AMEKAA KATIKA KITI CHA ENZI MNAKUFURU HATARI SANA

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 Месяц назад

    Wacha kutafuta umaarufu kupitia dini sio vizuri, Pia toa ushahidi tuone Kama Wewe ni msema kweli tuonyeshe lini mtume MUHAMMAD S. A. W na maswahaba zake waliwahi kuigawa Tauhidi tatu Kama ambavyo umekuwa ukifundisha.

  • @AsampiMpili
    @AsampiMpili Месяц назад +17

    Hivi unadhani Imaam Shaafii (Rahimahullah) alivyosema masufi ni wapumbavu unadhani alikosea? Hapo watakisumbua na hawatokubali hojja ni Bora ukakaa chini2 kufundisha vitabu watu wafaidike Sasa unakuta mtu hajasikikiza hata dakika5 tayari kshacomment ndo maana sheikh wao akasema vitabu ni bidaa.

    • @azizisingi7068
      @azizisingi7068 Месяц назад +2

      Shida ya mawahabi ni huwa hamuelewi mnachokisema mnasema hamna bidaa nzuri nanyinyi mnazu sasa niakili au matope hayo

    • @mohammedmataucar66
      @mohammedmataucar66 Месяц назад

      ​@@azizisingi7068shida y maghuraf nyie ubongo umekaza bid'aa ni ibada ambayo mtu akifanya anaamini analipwa ..asili ya ibada ni dalili sasa sjuw hapo wanaongelea kuabudu kwa kayfiya gan ?

    • @muhammadmbabe9411
      @muhammadmbabe9411 Месяц назад +3

      Wewe acha uwongl imamu shafii ajasema ivyo unazani imamu shafii ni mjinga kama wewe

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 Месяц назад

      ​@@azizisingi7068bidaa ipi iyo waliyo zuwa

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 Месяц назад

      WEE MWEHU NINI
      IMAM SHAFII KASEMA HAYO MANENO WAPI
      HEBU TUWEKEE HICHO KITABU NA HUO UKURASA HAPA.

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd Месяц назад +3

    Mashekhe kila bidaa no upotevu mmeusahau? Leo

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@SaidMadai😂😂😂

    • @NassorAmbar
      @NassorAmbar Месяц назад

      Sasa itakuaje bidaa wakati misingi yake ipo kwenye quran... Or hujaisikia aya ya suratul maryam hapo.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@NassorAmbar Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
      je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
      ‎مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
      Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
      Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
      Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
      Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
      Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
      HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
      VERY SIMPLE
      na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
      naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂

  • @NuruMuhammad-jf2ug
    @NuruMuhammad-jf2ug Месяц назад

    Umefahamishwa vizuri lakini umekazana na Mungu watatu Kisha uwaambie watu nimakafiri niwashirikina we ndio msafi Sana Basi Kuna wakushindieo umeshindwa usijidai bure umeshindwa!!

  • @IsmailEl-mazroui
    @IsmailEl-mazroui Месяц назад

    Weng hatumuelew bachu sbb tunasom qur an tumalze msahaf lkn tungejua na tafsir na maan yake kiundani tungeweza kumuelew vzr bachu maan elimu ya dini bila tauhid saw na chakula kukosa chumvi hakiwez kuw na ladha nzur

  • @EdhaOmar-jd6os
    @EdhaOmar-jd6os Месяц назад

    husomeshi wajisomea

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 Месяц назад

    Mtoto kijana acha kuji aibisha , ukisema tawhid tatu tayari apo umegawanya Mungu .

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 Месяц назад +1

    @all
    TAUHIDI SIO SUALA LA ISTINBATWI. ILI UGAWANYE TAUHIDI VIPANDE VITATU KUWE NA DALILUN SWARAHATAN. JE IKO WAPI AYA ILIOGAWANYA TAUHIDI VIPANDE VITATU. IKO WAPI AYA AU HADITHI TAWATUR IMESEMA YANKASIMU TTAUHIDI ILAA THALATHATI AQSAAM

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Ameshindwa huyo sufi mwenzenu anakimbiya aya kubali hakki hata kama inatoka kwa adui yako,najuwa inauma kijana yupo vzr kufundisha sufii mmetia aibu kazira kujibu hadi maswali.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      @@AbdulIssa-o7e Namuomba sheikh Bachu
      Aepukane nayo haya mambo
      Maana ANAZIDI KUJIABISHA
      Na sheikh kidawa amemshikana kwenye koo
      Hapo HANA AYA WALA HADITH
      Ndo mana kampoa sanah
      Allah amuongoze

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 Месяц назад

    Bachu huu mjadala pia umeoshwa tena huo ndio ukweli

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r Месяц назад

    JAAHIL HILI BACHU KMA ILIKUWA YWATAFUTA UMARUFU BORA ANGEKUWA MSANII AKASHINDANA NA DIAMOND, HARMONIZE NA ALI KIBA YY HANA ILMU KUPIGA FUJO TU ...NI NA NABII YUPI ALIKUJA NA TAUHID 3 AMA AMEFUNZA TAUHID 3 BC

  • @ZahranJuma-ye2gr
    @ZahranJuma-ye2gr Месяц назад

    Wanafiki kweli hawa form three nimesoma aina tatu za tauhidi shule bachu wasikusumbue hao .

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t Месяц назад

    Mbona huyo video umeikata?

  • @suleimanmkanga
    @suleimanmkanga Месяц назад

    Tarumbeta la mawahabi kabala hujafa mungu atakuonesha hakki

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      😂😂mnachekesha kweli mtu ache hakki agate batwili aixee nyi mmepotea arafu mnajifariji nyi masufi kumbe hamjijui kama mpo katika upotevu kama wakristo wanavyojiona wapo katika haki.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Kwaakili yako bachu aache sunnah aje kuabudu makaburi subutu, au shekh wenu ndo atajuwa hakki kabla hajafa

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад

    UNASOMA VITABU NI BIDAA ILI UHALALISHE BIDAATU ZALALA YA UTATU WENU
    KAMA MANASWARA MUNGU BABA MUNGU MTOTO MUNGU ROHO NYINYI MAWAHABI NI MAYAHUDI

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 Месяц назад

    Haki itabaki kuwa haki na wanaofuata matamanio watabaki kuwa katila giza maana Allah kaahid hatawaongoza maana matamanio yao ndio mungu wao. Wao waaishia ushabik na matusi hatawaongoza atayekuja na haki hata mara moja

  • @ShabaniJumbe
    @ShabaniJumbe Месяц назад

    Masufi hana elimu ya tawhidi ila wanaelimu ya kupiga ngoma tu

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn Месяц назад

    Upande ukitak aya na khadith upande unatoa vitabu kam kwamba hawajui marejeo ni wap Allah atuongoze

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Месяц назад

    Eeeh Mtu mume haitwi KIDAWA weeee 😂et sheikh KIDAWA

  • @MansourYusuphu
    @MansourYusuphu Месяц назад

    Hivi munazani mkisoma kwa huyu kijana mwenzetu utakua na heshima na wewe kwanza zarau imemzidi kuliko hekma

  • @OMARIOMARI-j5j
    @OMARIOMARI-j5j Месяц назад

    hapo kapigwa na bachu

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Месяц назад

    Aseme sijui kama kule mombasa alivyokataa kusema kama hajui.

  • @sadikadam5251
    @sadikadam5251 Месяц назад

    hahahahhah sasa vitabu vyote na laptop juu wakt mwenzako yupo kawaiada na still kakupga pazito mm nimeangalia mjadala mzima co kipande kimoja

  • @SwahibAjamy
    @SwahibAjamy Месяц назад

    Acheni midahalo yaso faida fanyeni kazi ya kulingania waso na dini sio ubishani.
    MUFANYAO AYO RIA YA ELIMU

  • @mustafaibrahim5200
    @mustafaibrahim5200 Месяц назад +1

    Bachu anawadhalilisha wapiga madufu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed Месяц назад

      Tunataka aya au HADITH
      😂😂
      Sio lawama

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn Месяц назад

    Duu elimu za sasa hivi Hazina baraka kila mtu anajikuta mwamba

  • @HafidhiBugi
    @HafidhiBugi Месяц назад

    hujui kitu banaa kasome uko

  • @HarunaArmani
    @HarunaArmani Месяц назад

    Kwanini ukate hiyo clip?
    Haliyakua eneo ulilojibiwa hukuweka?

  • @allysharifally6988
    @allysharifally6988 Месяц назад

    Hapa umejiabisha huwezi kutetea hizo tawhidi tatu hata kwa bahati mbaya maana upo kwenye bidaa na hata hujui

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 Месяц назад

    bachuw muogope mungu wacha uwahabia na ukafiri wenu huna elimu na wanao kuungamkono majuha wenzako

    • @JamalKishangu-p7w
      @JamalKishangu-p7w Месяц назад +2

      Usimtusi wala kumkejeli yeye ana toa maoni yake na wewe toa maoni yako. Ukifanya hivyo jamii itapata elimu.

  • @KassimIsmail-q1j
    @KassimIsmail-q1j Месяц назад

    Hekma ya kuweka kipande hicho ni nin kwa sababu tulioona mjadala tumejua matokeo ni yapi lkn inaonesh wazi hupo kwa kunufaish jamii bali upo kwa mashindani zaid,, muogopeni na atakufundisheni

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      😂😂shekh wenu wa kisufi kawatia aibu anasema kusoma vitabu ni bidaah, kusoma vitabu vya wanazuoni ni bidah sasa ndomana mnakuwa wajinga kusoma vitabu mnaogopa et ni bidaah ndomana mnatusumbua kuwafundisha sasa kama mwalimu anasema kusoma vitabu ni bidaah je wanafunzi watakuaje

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 Месяц назад

    Mawahabi niwapumbavu wanatetea utatu shayaatwinu nnasi

  • @Ahmadiyyāh.02
    @Ahmadiyyāh.02 Месяц назад

    wanazuoni wanahitalafiana mitandaoni,shida ya kutokuwa na ukhalifa unaonekana

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 Месяц назад

    Muongo mwehu bachu,umeikata bali umeshindwa hoja na siku zote utadhalilika kwa ujinga wako.

  • @azizisingi7068
    @azizisingi7068 Месяц назад

    Huyo ni kidawa tu umeshindwa kutoboa kwasaidi unafkiri utatoboa???

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Месяц назад

    Wajua bachu jibu swali wacha ujanja umeambiwa ni bidaa kama sio bidaa mtume s a w alifundisha wapi ama maswahaba hapo hutoi jibu bachu

  • @SwahibAjamy
    @SwahibAjamy Месяц назад

    Sufi ndio nini wakati nyote ni suni acheni ujinga katika elimu

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha Месяц назад

    Bachu umeshindwa mjadala tumeufuatilia vyema

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Akangaly vzr huenda macho yako na masikio yana maatege, shekh wenu kasusa kujibu maswali, arafu kawatia aibu sana amekimbia kujibu swali katika surati mariamu,ameogopa kabisa ndo masufi mlivyo wabishi tuuh hata mkishindwa mnavumisha khabari mmeshinda hamna kitu mjadala nimeufatilia mwanzo mwisho huyo mzee ni mtupu kabisa kakimbia maswali kama sabasi tanga alishindwa kujibu maswali arafu anajikanyaga kanyaga tuuh sijui muda haitoshi wakati alitamba jenga maswali hata 20 nayahibu kwa dakika 10 kuingia uwanjani analeta talbis nyingi kijana yupo vzr anawanyosha tunajuwa mnamchukia ila hilo sihatujali kabisa

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Месяц назад

    haya mabishano ndio yametubakisha hapa tulipo

  • @ZahranJuma-ye2gr
    @ZahranJuma-ye2gr Месяц назад

    Waengeze ya nne tauhidu almutaabaa kumfuata mtume ni tauhidi kitabu ni kaulu almufidah

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 Месяц назад

    Itikadi 2 tafauti katu hazifungamani.Mnakasha ni kupoteza muda.

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 Месяц назад

    Bacho kuuliwa ni halali ameleta fitna kubwa kwa waislamu chuki imezidi baina ya watu

  • @SwahibAjamy
    @SwahibAjamy Месяц назад

    Watu wazima munatowana akili icho ni kiburi cha elimu

  • @BinBadhadha
    @BinBadhadha Месяц назад

    mbna kwa saidi ww umeshindwa kusema cjui

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 Месяц назад

    kumbe bachuw ni mcheza kammari2 ibilisi amekaa kifuani mwako mdogowa diamond

  • @AbdullahiHussein-c8n
    @AbdullahiHussein-c8n Месяц назад

    Wapi hapo

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu Месяц назад

    Nilichogundua bachu anachukiwa na watu wanajipanga kumchafua et yeye ndo kauliza swali bado kawajibia bado mnakoment et ajajibu swali da shida bachu

    • @johnpepe980
      @johnpepe980 Месяц назад

      Ww unaonekana mtupu kweli ww

  • @hassanali4838
    @hassanali4838 Месяц назад

    Hii mijadala haina tija wala faida

  • @hassaniomari9407
    @hassaniomari9407 Месяц назад

    Chaajabu kakusanya mivitabu halafu hajafungua hata kimoja anasoma kwenye karatasi alizopiga copy😂😂 huyu bacho mwanaharamu kabisa😂😂😂

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 Месяц назад

    Mnacho kifanya ni upuuzi mtupu mnavuana guo wenyewe

  • @HarunaArmani
    @HarunaArmani Месяц назад

    Kwa atakae taka ukweli wa hii mada tazameni kwenye chaneli ya HAJI UPEPO huyu ndie aliposti sehemu zote tatu ndio utajua ukweliwote.

  • @RahmaShabani-y8l
    @RahmaShabani-y8l Месяц назад

    Acha uongo mada inatakiwa akubali Kama kugawanya tawheed nibidaa au sio bdaaa?ndo mada namjadala tumeuckiliza mwanzo mwxho bacho alixhndwa

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Месяц назад

    bachu kama una elimu somesha watu acha kusumbua watu kwenye mihadhara kila siku ipo siku utadhaliika kwakubishana

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Месяц назад

    Hivi mtu anaenda kinyume na maamrisho ya mtume s, a, w anakuwa nani, mimi sisemi semeni nyinyi, kwa hakika kusema Tauhid ni 3 ni kinyume na mafunzo ya mtume na maswahaba, mtume amekufa dini ya kiislam imeshakamilika leo hii mawahabi wanasema Tauhid ni 3 wametoa wapi, mbona mawahabi nyinyi ni watu wa kufru sana na hata mukielezwa hamufahamu muna vichwa vigumu sana, lakini sbb ni kuwa hamna elimu na kazi yenu ni ubishi tu kusoma hamitaki kazi yenu ni kelele tu fitna uadui husda na kutukana masheikhe kuwakufurisha waislam na kujifanya waongofu kumbe hamna chochote zaid ya uongo, Mawahabi si watu wazuri ni pote kwa ajili ya kuudhofisha uislam na hili kundi linafadhiliwa na Marekani na mayahud ndio mabwana zao, lakini juhud zao zote pamoja na kushirikiana na wanaooana wao kwa wao miji zungu watakwama tu dini hii Allah ameahid kuilinda mwenyewe fitna zenu ni bure tu uislam utasonga mbele lnshaallah

  • @hamisadnan2319
    @hamisadnan2319 Месяц назад

    Labda Hawa wahabiya wa Kenya ni tofauti na Hawa wa Tanzania maana hapa huyu anakubali kiaina kuwa kunabidaa hasana lakini kutamka hataki

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Месяц назад

    halafu ktk vitu vinavyoikitisha.
    nikumfanya mtu 1 anawakilisha msimamo wawatu wote kwani kufanya hivyo nikumfanya m1 anaelimu kuliko wote

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV Месяц назад

    Bachu hana akili sana....Unaaambiwa utoe dalili

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Месяц назад

    kwanza muelewe nyie hapo wote mnanukuu tu haya mambo yameshasemwa nawachuoni kikubwa kwahiyo kuendelea kubishana nikudhihirisha ujinga wenu

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t Месяц назад

    Usizunguuke sana jibusuali niwapi? Zimegawanwa tauhidi tatuuuuuuuu

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV Месяц назад

    HIVI HUYU BACHU HAKOMI?

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 Месяц назад

    UNAJUA SH KIDAWA KAMPAT HUJU MJINGA KWA KUWEKA MKKATI "HAIRUHUSIWI KUNUKUU MANENO NJE YA KARNE TATU BORA"
    HIVYO HIYO TAFSIRI YAKO KAITOA NANI?????

  • @alisudiramadhan3151
    @alisudiramadhan3151 Месяц назад

    Bachu wacha janja zako huna dalili zozote tuwacheni kufata map3nzi bacgu kuna mungu muogope jamani

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e Месяц назад

      Amuogope mungu kwani yeye katunga kichwani mwake, si katowa katika vitabu walivyoandika wanazuoni kanukuu sasa kosa lake lipo wapi muogopeni ninyi wazushi mnaomsingizia mwenyezi mungu kila siku, wanaibuka watu kuharibu juzi kasimams mmoja wa mashekh zenu huko mwanza anatafsili koraani kwa matamanio yake kuwafurahisha viongozi wa serikali kuwa et mwenge wa uhuru umetajwa kwenye koraani subuhana llah sijui tafsili ya babu yake nani hiyo ndo zenu kuzusha zusha mambo masufi,

  • @TalibAbdallah-e6o
    @TalibAbdallah-e6o Месяц назад

    Bachu uongeaji wako tu ni Riya tu na kujiona