Subhana Allah Allah amsaidiye mtto wetu Je mumejaribu kumleteya walimu kumsomeya labda yaweza kuwa ni sihri mm pia nilikuwa natoka na damu kwa choo nyingi nyingi nikitiaa damu 2weeks yamalizika in short nikaswali Istikhar nikaota nizunguliwe ndio hapo nilipojulikana Allah ampe dawa Yarrab
Asalam aleykum muwe mnafahamisha watu ni raia wapi ili watu wajue hiyo pesa mlotaja ni ya nchi gani maana ukisema ni million moja na iahatolewa laki saba watu wengine wanakua hawaelewi wanajua hii mbona bado ndogo tu itimie kumbe inakua sio pesa ya tz inshallah muwe mnatufahamisha vizuri sababu wanaochangia inakua watu wengi na nchi mbali mbali, kwa mm nishaelewa hii ni Kenya lakini mwengine haelewi,shukran
Subhanallah Allah amfanyie Sahali Yaaa Rabby
SubhanaAllahhh 😢
Allah ampe shifaa amuinue Pamoja na wagonjwa wengine 🤲🥺
Yaarabb kilaatowa jazazenu kwa allah na mwegine atokea kusaidiya❤❤❤❤❤ nasikitika uzuri umepata dakitari lnshaallah amini❤❤❤❤
Subhana Allah
Allah amsaidiye mtto wetu
Je mumejaribu kumleteya walimu kumsomeya labda yaweza kuwa ni sihri mm pia nilikuwa natoka na damu kwa choo nyingi nyingi nikitiaa damu 2weeks yamalizika in short nikaswali Istikhar nikaota nizunguliwe ndio hapo nilipojulikana
Allah ampe dawa Yarrab
Amiiiiin Yaa Rabbbb Alaamiiin 😢🤲
Allah amjaliye shifaa
Asalam aleykum muwe mnafahamisha watu ni raia wapi ili watu wajue hiyo pesa mlotaja ni ya nchi gani maana ukisema ni million moja na iahatolewa laki saba watu wengine wanakua hawaelewi wanajua hii mbona bado ndogo tu itimie kumbe inakua sio pesa ya tz inshallah muwe mnatufahamisha vizuri sababu wanaochangia inakua watu wengi na nchi mbali mbali, kwa mm nishaelewa hii ni Kenya lakini mwengine haelewi,shukran
Mawazo mazuri ikitumika dolllar itakua vizuri