Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/11/2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024
  • Simba na Singida Big Stars wamekabana koo na kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo mkali wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Liti mkoani Singida.
    Deus Kaseke ndiye aliyeitanguliza Singida kwa goli la dakika ya 11 lakini Simba wakapata moto kipindi cha pili na kuchomoa bao dakika ya 59 kupitia kwa Peter Banda.

Комментарии • 81

  • @edsoneliah2802
    @edsoneliah2802 2 года назад +4

    Mashabiki tuna lawama sana. Hii ni football kilatimu inatafuta kushinda. Huwezi kutegemea kushinda kila mechi.

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 2 года назад +8

    Watching from kenya. Tanzania should know that Kenyans follow your football closely...our football died

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 года назад +3

    Hapo sawa

  • @omarmussa2325
    @omarmussa2325 2 года назад +8

    Mimi kila siku nasema mgunda aache ushkaji kibu hata levo ya simba hana halafu Kati kati kaweka viungo watatu utafikiri sisi timu ndogo mkude alikuwa asicheze kwanza hana faida timu ikishambuliwa mgunda aache ushkaji sisi mashabiki ndio tunaumia

    • @OVMiNG
      @OVMiNG 2 года назад +1

      Unadhani unaumia kupita walio weka hela zao? Kwa kiingilio chako cha f3?

    • @mrben227
      @mrben227 2 года назад +1

      Kweli kabisa naon huyu mgunda na wenzake wanatufanyia ukuma, timu imemshind tyr

  • @mathiasulaiti5665
    @mathiasulaiti5665 2 года назад

    Dah yaani. Hivi yanga wametoka nao ngapi ngapi?

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 2 года назад +4

    Huyu ndiye Mgunda tunaemjua,

  • @ezekielmmbuji3378
    @ezekielmmbuji3378 2 года назад

    Ni kweli kabisa Kibu Dennis nigarasa pia Habibu Kymbo hawakistahili kuichezea Simba SC.

  • @haji9792
    @haji9792 2 года назад

    Simba na singida big star

  • @daudamos3248
    @daudamos3248 2 года назад +4

    Ukimsikiliza vizur mtangazaj kuna ushabik ndan yake sikilza mda kila goli lilipoingia

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 2 года назад +2

      Ni shabiki Wa Simba

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop 2 года назад +1

      Kweli kabisa. Utafkir kapatwa na mshtuko. Mpaka anashindwa ata kumtaja mfungaji

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 2 года назад +4

    Mtangazaji ondoa usimba kwenye kazi yako

  • @shalifmbalale2906
    @shalifmbalale2906 2 года назад +6

    Wana Simba wenzangu wala tusilaumu sale hii Ni nzuri kdog sab singida big wagumu sana hawa bora hata hiyo sare

    • @sayimasele5054
      @sayimasele5054 2 года назад

      Wamebahatisha siginda hawana ungumu wowote

    • @ahmednoor1412
      @ahmednoor1412 2 года назад +1

      @@sayimasele5054 mngewafunga kama hawana ugumu

    • @official_phay1174
      @official_phay1174 2 года назад +1

      @@sayimasele5054 sababu kikos chetu hakikuwa kile chakila sku wallah afu pia kibu danh kibu ani ni mzigo mtupu wallah

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 2 года назад +1

    Simba ni timu kubwa,ila inawachezaji wasio na hadhi y kucheza simba.Mtanishukuru yanga ikichukua ubingwa.Wapinza wetu wanavyuma kila namba.

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 года назад +6

    Mtangazaji tangaza vizuri goli la big Star, una mchecheto wa nini?

    • @hajiiddi4980
      @hajiiddi4980 2 года назад

      Iddi kidedea huyo mnazi wa SIMBA

  • @salumalisalum804
    @salumalisalum804 2 года назад +1

    Msijali wana simba tupo kimataifa zaidi

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 2 года назад

    Alafu kitu kingine mnacho takiwa mkielewe wana simba wenzangu simba siyo timu ndogo simba ni club kubwa mno hapa Tanzania na Africa kiujumla na ndiyo maana club yoyote hapa Tanzania ikijuwa inaenda kucheza na simba itafanya vyovyote vile eiza atoe draw au kutaka kumfunga simba kabisaa,kwa sababu hata wachezaji wa club nyingine wakiwa wanacheza na simba wanajuwa wakikaza hapa ndiyo pakutokea sasa basi wewe unaeujua mpira angalia huu Mpira alio kucheza singida na simba alafu uje kuuangalia Mpira alio kucheza sngida zidi ya Yanga,singida wamecheza Moira wa ovyo mno na ndiyo maana hata timu zote za kianzania zikimfunga simba unakuta hadi wengine wanaenda kufanya sherehe kwa hiyo tuelewe Simba ni chama kubwa mno,Mungu ibariki Simba Sc....Aamiin

  • @uswegehamza5968
    @uswegehamza5968 2 года назад +4

    uyu mtangazaji anaonesha mapenz kwny kaz sasa goli la singida ajalitangaza kabisa nikama kapata pressure anajionesha kabisa in kama yy ni kolo

  • @hajiiddi4980
    @hajiiddi4980 2 года назад

    YANGA wapo Tunisia Lin wanaongoza ligi🤸🤸

  • @wariobatv6708
    @wariobatv6708 2 года назад +2

    Mtangazaji hili hajalipenda kalitangaza kishingo upande

  • @aliyahyaissaissa7423
    @aliyahyaissaissa7423 2 года назад +1

    Mangalo namkubl sn mm ni simba ila kumpenda mchezaj sio kesi

  • @khalidmaalim2439
    @khalidmaalim2439 2 года назад +2

    Makolo kazi mnayo

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 Год назад

    HAWA WAMEPANDISHWA NA MWIGU KUJA KUPUNGUZA POINT ZA SIMBA IKIFELI IONHEZE KWA YANGA

  • @bahati3234
    @bahati3234 2 года назад +2

    Daah simba mnachezaje?

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 года назад +2

    Makolo. Wahooiiiii. Bin. Taaaban

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe7038 2 года назад +1

    Kibu hafai. Aondolewe Simba

  • @bysergabriel1934
    @bysergabriel1934 2 года назад +1

    Wana thimbaaaaaaaaaa👀👀👀

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 года назад +2

    Huyu Mtangazaji alipateje kazi??????ajifunze na aaache upenzi

  • @denisnkonya7705
    @denisnkonya7705 2 года назад

    Jaman simba hatuna wafungaji makini

  • @hansmrope3632
    @hansmrope3632 2 года назад +2

    Mtani umekamatwa pabaya vumilia ssi turudi Tunisia ili tuendeleze gap letu la point

  • @ngalingechaneli9477
    @ngalingechaneli9477 2 года назад +1

    Hili tangazaji la azam koro kabisa hili

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 2 года назад +3

    Onyango muda umeenda apumzike sasa!!

  • @fredxaid8775
    @fredxaid8775 2 года назад +2

    Simba tumeupiga mwingi

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 2 года назад

    Simba walikuwa wanacheza kwa presure

  • @zongonyawale748
    @zongonyawale748 2 года назад +1

    Mtangazaj ww kolo nn maku ww Sasa goli umetangaza vp mbona unazingua

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 Год назад

    HAWA MBWEH WAKIKUTANA NA DADA ZAO YAMBWA WANAVYOLEGEA KAMA MIKU

  • @vonnyangarika4226
    @vonnyangarika4226 2 года назад +1

    Huu uwanja haufai kuchezea ligi kuu tuache kuendesha mpira kisiasa TFF acheni kuogopa wanasiasa huu uwanja hovyo kabisa

  • @zilperoscar7389
    @zilperoscar7389 2 года назад +1

    Huyu mtangazaji azam wamemtoa wapi jmn 😡😡😡😡 anatangazaje goli ivo, useless hajui kusherehesha

  • @stevenabdallah4436
    @stevenabdallah4436 2 года назад +1

    Unamazisha kibu wann huyo anazngua tu

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 2 года назад

    Mtangazaji goli la singida limekuuuma mpaka kulitangaza umeona kero, ahahaha

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 года назад

    Wanathimbaaaaa

  • @josephlembris3955
    @josephlembris3955 2 года назад

    Kweli mm ni mwana Simba lakin kwa matharau hii ya Simba ata atufiki popote makombe tunazikoza hivi hivi sio club bingwa sio ligi ya nyumbani ndy nn hii

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 2 года назад

    Wa

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 2 года назад

    Kibu Denis anacheza kimandazi kipindi Cha kwanza alishindwa kufanya maamuzi kazi kuchenga tu nafikiri droo zinakuwa Kama sio 10 ni16 hovyo kabisa

  • @canaboy1543
    @canaboy1543 2 года назад +1

    Yanga ilio poa kidogo iyo 😂😂😂 si kwaubayaaa

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 2 года назад

      Kwani yanga anakufanyaga aje mkikutana

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 2 года назад

    Simba bila kukomaa yenyewe hutuna msaada wa marefa...sio km wenzetu wakizidiwa penalt inatengwa tu.

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 2 года назад

      Hata huko Tunisia wamesaidiwa na refa? Hamna uwezo wa kujiringanisha na wananchi nyie.
      Yanga iko tunisia ila bado iko kileleni mwa msimamo wa ligi na simba iko inaendelea na michezo. Aibu kubwa sanaaaaa

    • @samybrown1670
      @samybrown1670 2 года назад

      toka pale

    • @ashaamanzi2827
      @ashaamanzi2827 2 года назад

      Kaitenge wewe hiyo penati

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 2 года назад

    Yanga bingwaaaa tena hahahaha

  • @johnjonath6687
    @johnjonath6687 2 года назад

    Kakolanya hamna k2

  • @zehe449
    @zehe449 2 года назад

    Weer

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 2 года назад

    Makolo Dhohofu li haii

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 2 года назад

    Mtangazaj ni koloooloo Tena og

  • @hajimeki2971
    @hajimeki2971 2 года назад +1

    Huuu aloufanya mgunda ni usenge mkubwa unamuacha njee manula unaliweka kakolanya zito ilo

    • @edwinmoses1897
      @edwinmoses1897 2 года назад +1

      sio kipa SEMA wewe binafsi humpendi tatizo onyango

  • @officiallcoolest_khid3223
    @officiallcoolest_khid3223 2 года назад +3

    Kweli nyie ni Makolokobwa