AHMED ALLY AMEUMIZWA SANA GAMONDI KUFUKUZWA "TUMEWEKA JASUSI WETU YANGA" | ALIYATABIRI HAYA MAPEMA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 53

  • @bahatikidesela9162
    @bahatikidesela9162 10 часов назад +1

    Kwani ninyi mlifunga mangapi yakakataliwa???
    Au hata la offside hamkupata, mnajipa moyo tu😅😅😅😅

  • @DanielYusto
    @DanielYusto 15 часов назад +1

    Nawashangaa sana watu wanavyomtolea huyu jamaa mapovu yao. Huyu analipwa😢, yuko kazini.

  • @blacknighttv7148
    @blacknighttv7148 Час назад

    Kazi kuizungumzie yanga yakwenu yanawashinda na tutawakanda tena next round

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb 19 часов назад

    😮😮😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮 ohhhh!!! Jasusi tena jaman Ahmed ??? Tusameheni jomoni sisi ndugu loh!!! 😂😂😂😂

  • @charles-lc4pp
    @charles-lc4pp 18 часов назад

    watafungiwa tena jewamemlipapesa zake au babaishababaisha ngojatusubiri tuone namwaka huu tutaonamengi hakika ubayaubwela unaanza kufanyakazi nabado watatimuana sana.

  • @stellahkachenje3926
    @stellahkachenje3926 17 часов назад

    Hiki kidemu kinajua kujitekenya na kucheka chenyewe ungejiuliza kwanza unamkosi gani semaji mbovu weww

  • @SallieBaddie
    @SallieBaddie 11 часов назад

    Km umwelew pita hivi yanga kwish ety master au master sm

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 19 часов назад +1

    Uyo gamondi kaondoka kawabamiza mechi tano mfurulizo😆😆😆
    Na linakuja kocha lingine litawabamiza mechi kumi mfurulizo😆
    Ayo maboya yaliyokuzunguka hapo kama kawaida tukiwabondaga yote yanakukimbia na ww unakula nyoya unawakimbia waandishi wa habari......
    Ukibamizwaga unaanza kusema bado tunajenga timu😆😆😆

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      Lbda kayoko awe refa 😅😅😅😅 na bdo ujasema vizuri

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 13 часов назад

    Chizi mmoja wew muimba tarabutu hina nipyaa sema ukweli kama umefulahi sana g,mond kutimuliwa maana huyo ndio bwana ako anae kufiksha nje ndani amekupasua nenda ukanjinje mbuzi ufanye sherehe m'baya wko kaondoka,,na mambo ya tabora hayaipi kupi ww ushindi inatakiw ushinde ww jinga moko weye

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      Bdo ujasema utasema sana ubaya ubwela 😅😅😅😅

  • @NelsonMalugu-ow2cb
    @NelsonMalugu-ow2cb 18 часов назад +2

    anakumbuka kufungwa mara nne mfululizo nasasa ameomdoka hawajafanikiwa kumfunga.hata ikitokea kuja kuifunga yanga hatakuwa kocha kocha gamond!

  • @japharMwangu
    @japharMwangu 14 часов назад

    Huyu jamaa mbona anahangaika na anachohangaikia sikielewi. Tim yake ataiongelea mda gan

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 17 часов назад

    😢huyo jasusi angewaa mbinu za kumfunga yanga sio anawafunga kila wakati mfululizo

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      Unawezo bila kayoko na shida ndio ilianza hapo shida mnaenda na upepo wa kubebwa na tumeona azam kakupa lolo kaja tabora umelamba 😅😅😅😅😅

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je 3 часа назад

      @yokoi-u3g zile tano ni kayoko pia aliwafunga eh

  • @jokaladalushi495
    @jokaladalushi495 14 часов назад

    Kwa hiyo wew nihanisi hufanyagi mapenzi

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      Eeeeeeh tulijua aibu za ushoga zimeisha kumbe bdo mko. Hakuna mwanaume ana bonga kma ww hizi ni tabia za dada zako acha usonga 😮😮😮😮😮😮

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 13 часов назад

    Mhamed ali acha wongo hunalolote kama wazee ulishinwaje kuwafungaa

  • @Happynesi-d4k
    @Happynesi-d4k 13 часов назад

    Apo hakika umechanganyikiwa yanga imewavuruga vibaya mno 😢

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      Juu kuna baridi 😮😮😮😮 hii ndio ubaya ubwela chukuwa sindano yako taratibu

  • @ashaomary4922
    @ashaomary4922 15 часов назад

    Mseaji mwenye gundu na wala hajishtukii

  • @JuliusKideula-qt4pq
    @JuliusKideula-qt4pq 12 часов назад

    Wewe kolo Ahmed mbona unahusudu sana uchawi katika soka,mnafiki mkubwa sana wewe

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      😢😢😢😢uliza bodi ya ligi faini 12 million kwajili ya uchwai ni kwa nani anapenda acha kuwa zezetea kiasi hicho. Timu yako ni ya walozi 😅😅😅😅😅

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 14 часов назад

    UBAYA UBWELA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 15 часов назад

    Ubayaaa ubwelaaa

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 14 часов назад

      Ubaya ubwegeeee!!!! Utausifiaje ubaya kama wewe si BWEGE😂😂

  • @kizitomkude
    @kizitomkude 18 часов назад +6

    kazi yenu ya kuloga, mnamtumia mzee madrums, na mzungu, ndio maana mzungu tumemuweka pembeni na kamwe kachukua nafasi. hiyo njia yenu ya kuloga imeshafahamika. wewe una kazi ya kuizungumzia yanga na timu yako unaiacha, na mwaka huu mkikosa ubingwa wewe msemaji utakuwa wa kwanza kuondoka.

    • @ConsalvaMumbara
      @ConsalvaMumbara 17 часов назад

      Tumewasoma bila sindano hamuwezi,tabora mligeuka mazombie

    • @JacksonShilima
      @JacksonShilima 12 часов назад

      Kwan anacheza yey

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 5 часов назад

      Wenye akili utopolo ni wawili tu mzee kikwete na mzee Sunday manara. Nani kapigwa faini million 12 kisa mambo ya ulozi 😂😂😂😂😂 unachekesha sana na bdo ni mwanzo.

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 19 часов назад

    Sasa mara nne anawapasua leo hii unaleta fyokofyoko,pumbavu.

    • @Gisakijamaduda
      @Gisakijamaduda 19 часов назад

      Weeeeeeee ngogwe sosoma huna la maana kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 15 часов назад

    Muna jasusi lkn munafungwa mukikutananao

  • @jokaladalushi495
    @jokaladalushi495 14 часов назад

    Ukikataa kuwekwa utajiweka wewe

  • @IssaVullu
    @IssaVullu 14 часов назад

    We muimba taarabu tu!

  • @asantelaizer6674
    @asantelaizer6674 16 часов назад

    Zungumzia simba yanu, kuku wewe

  • @NassoroLichenjele
    @NassoroLichenjele 14 часов назад

    Kweli nyinyi makolo

  • @chilliflavourtz3501
    @chilliflavourtz3501 16 часов назад

    mi kutazama nikaisi kuna point kumbe mtu mzima anaongea upuuz tu.

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 19 часов назад

    Hamna uwezo

  • @JosephatMganzi
    @JosephatMganzi 19 часов назад

    Hamna uwezo wakumpasua gamond nyie

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 19 часов назад

      HATUNA UWEZO WAKATI TUMEWAGONGA 4-1 KAYOKO AKAZICHOMOA.Gamond HAWEZI KULA CHRISTMAS AKIWA NA YANGA.

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 19 часов назад

      Penati 3 live na goli la KIBU zote Katia mfukoni

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 19 часов назад

      Achana na yanga we zwazwa...Yanga inawaumiza mbaya kabisa😂😂😂 jipongezeni aliondoka nabi mkasema wameisha...Gamondi akawatwanga 5 dadek🖐🖐🖐😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 18 часов назад

      Bila sindano mlikuwa mnapasuka nying tu

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 18 часов назад

      ​@@josephbonday8510bila sindano wangepasuka nyingi tu

  • @GeofreyMwaipopo-gl8up
    @GeofreyMwaipopo-gl8up 19 часов назад +1

    Una tim gani ya kumfunga yanga kenge wewe

    • @thaddeojude7511
      @thaddeojude7511 18 часов назад

      Tulia tuwape dawa unaingia....kulia kwa zamu sasa.....Gamondi amesepa sasa tunadili na wachezaji wazee