MZEE SAID |GAMOND ALIKUWA ANATEMBELEA UPEPO WA NDAW HAMNA KOCHA | KOCHA MPYA ATAANZA NA PACOME😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 160

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc Месяц назад +19

    😆😆😆😆😆 yaani chagamba na mzee saidi kama Babu na mjukuu wake

  • @SANANE862
    @SANANE862 Месяц назад +77

    Tunao mkubali mzee said nipen like zangu😂😂😂😂😂

    • @seifntandala9137
      @seifntandala9137 Месяц назад +4

      Izo like mnapika

    • @ummymuya.2060
      @ummymuya.2060 Месяц назад +2

      ​@@seifntandala9137Kumbe ulishawahi kula?
      Acheni tabia ya roho za kwanini hadi kw vitu vya kawaida hivi. Let's say hakuna atakachokipata, hivi wewe uki-like utapungukiwa nini?

    • @SANANE862
      @SANANE862 Месяц назад

      @seifntandala9137 vizur na tunakula

    • @JohnB-ws3ib
      @JohnB-ws3ib Месяц назад

      Uyu mzee ajui mpira hata kidogo

    • @SANANE862
      @SANANE862 Месяц назад

      @@JohnB-ws3ib kwann

  • @FiniasiMajala
    @FiniasiMajala Месяц назад +17

    Namukubari Sana mzee saidi mwambie anipigie mie ni mshanbiki wa yangu damu damu nampenda sana

  • @HassanEnericko-h3h
    @HassanEnericko-h3h Месяц назад +20

    Huyu mzee nooma😂😂😂❤❤

  • @ayshaaysha368
    @ayshaaysha368 28 дней назад +1

    Yani huyu mzee mungu amuweke

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад +4

    😂😂Mzee saidi jamaniii 😂😂maana umefurahi 😂😂 Chagamba asante kwa kumleta mzee saidi 😂😂

  • @eliwazadaniel6535
    @eliwazadaniel6535 Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂eti kome 😂😂 why kome jama mzeee saidi , grand father, chukua maua yakooo🎉🎉🎉

  • @Is-hakameni
    @Is-hakameni Месяц назад +23

    Tunaoikubali finest online tuliotoka nayo toka zamani mkapa leo tujuane hapa

  • @rashadymuhamad6293
    @rashadymuhamad6293 Месяц назад +1

    Hahahaaaa, Mzee Saidi Hufaiii😅😅😅😅. Eti ukimfukuza chizi mfukuze na makpo yake. Nimecheka kwelikweli!!!

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 Месяц назад +3

    Mzee huyu watu tunamkubali sana😂😂😂😊

  • @AlexMdimi
    @AlexMdimi Месяц назад

    Ajhhh😅😂😂😂😂huyu mzee noma kweli

  • @B.M-ix4rz
    @B.M-ix4rz Месяц назад +4

    Hahaaaa mzee said roho yangu mie

  • @jerryfaraja1094
    @jerryfaraja1094 Месяц назад +2

    😂😂Ila chagamba ni mnafiki sana anamjulia sana Mzee side

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 Месяц назад

    😂😂😂 yaan kocha amkatae Pacome kabla hajacheza kisa sura tu eti grandfather

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s Месяц назад +3

    Mzee said sis tumemleta kocha mjerumani bhana sis hatutaki waarabu kabisa😂😂😂😂

  • @marcodaud1005
    @marcodaud1005 Месяц назад +4

    Mguu wa kushoto unaitwa Left hand ila huyu mzee😂😂

  • @JumaAlly-fb3xq
    @JumaAlly-fb3xq Месяц назад

    😂😂😂😂😂we mzee saidi wewe mungu akupe maisha marefu mzee wetu

  • @KidoBanks
    @KidoBanks Месяц назад +2

    ❤❤❤ chagamba na said nli wa miss jomn 🎉🎉

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 Месяц назад

    😂😂😂 yaan kocha amkatae Pacome kabla hajacheza kisa sura tu

  • @KDee54
    @KDee54 Месяц назад +3

    I had missed Mzee Saidi. Nimefurahi kumuona

  • @RahmaMohamedi-yg7mi
    @RahmaMohamedi-yg7mi Месяц назад +6

    Mzee said ndio chanz kocha msaidiz kuondoka

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 Месяц назад +4

    Pacome Grand father😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nurumigeyo4625
    @nurumigeyo4625 Месяц назад

    We mzee Saidi ni shida kwelii😅😅😅 grandfather

  • @DavidMapunda-ge6ff
    @DavidMapunda-ge6ff Месяц назад +2

    😂😂tikiti maji ni dako, 😂yakiwa mawili madako📢📢

  • @clissantagido1885
    @clissantagido1885 Месяц назад

    Dako.... Ngako....Tena bwan ni kingereza sahihi kabisa😂😂😂...safi kabisa😂😂😂😂...❤️❤️Mzee side

  • @adrianobihabwa3464
    @adrianobihabwa3464 Месяц назад +4

    😂😂😂😂et ukimfukuza chiz mfukuze na makopo yake

  • @malietamaliet
    @malietamaliet Месяц назад +2

    😂😂😂😂nimemaliza kwa miraji nijaribu kuwai Uku nakuta mshafika duuh kwani hamlali?Ety this is grandfather

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy Месяц назад

    Nmecheka mpaka nkalia bn Duuuh

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 Месяц назад

    Duh mzee said hili ni balaa 😂😂😂

  • @JaphethChuwa
    @JaphethChuwa Месяц назад +1

    😂😂😂😂 mzee wetu usimalize maneno Tafadhali

  • @deogratiouswipson8448
    @deogratiouswipson8448 Месяц назад

    Tikitimaji et dako 😂😂😂😂 ila mzee said

  • @AyubuErnest-x1k
    @AyubuErnest-x1k Месяц назад +1

    Ila mzee saidi mungu anakuona

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 Месяц назад +1

    Mzee Sideeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @YohanaMkawa-b6z
    @YohanaMkawa-b6z Месяц назад

    Leo ndoo nimejuaa mzee Said muongooo Sana et unatakiwa uwee na B tatuu
    Alivyozielezeaa hzoo B 3 xaxa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @IbraLundenga
      @IbraLundenga Месяц назад

      Anakwambia za hesabu😂😂 combination ya heasabu TU MMM

  • @JimmywilliamCharo
    @JimmywilliamCharo Месяц назад

    Mzee side kma side💯🙏🙏

  • @DottoWache
    @DottoWache Месяц назад

    😂😂mwamba uyu hapa😂😢 side bad😂😂

  • @HamadSalumali
    @HamadSalumali Месяц назад

    Mzee said nakukubali cna

  • @BahatiTambula-bz5bs
    @BahatiTambula-bz5bs Месяц назад +4

    Leo hafadhali humelutea Mzee saidi

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t Месяц назад

    Hahaha mzee said asante nakpndaga

  • @IbraMarwa-gp2ou
    @IbraMarwa-gp2ou Месяц назад +10

    Yanga team kubwa sana mzee

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂yanga hawana mbamba

  • @fettyjfour7734
    @fettyjfour7734 Месяц назад

    Asante chagamba tulimiss mzee said ❤❤❤

  • @muksinarchard6496
    @muksinarchard6496 Месяц назад

    Dacor???😂😂 Tikiti maji😅😅😅😅

  • @giftgasper6501
    @giftgasper6501 Месяц назад

    Ila uyu mzee anafurahisha haki 😂😂😂😂😂😂😂

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 Месяц назад

    Nakupenda sa mzee said

  • @MariaMaiko-r4x
    @MariaMaiko-r4x Месяц назад

    Ila changamba we nimchokonoz😂😂😂

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Месяц назад +1

    Ilaaa mzeee said nakuelewaa sanaaa

  • @WilfredSaidi-st3tn
    @WilfredSaidi-st3tn Месяц назад +1

    Mzee cde hunaga baya😂😂😂😂

  • @EngageInspire-e7m
    @EngageInspire-e7m Месяц назад

    estoy aquí para soltar 😂😂

  • @zaitunijuma8710
    @zaitunijuma8710 Месяц назад +7

    Pacome mchezaji ww mzee said muache pacome wangu bana

  • @ProsperMuniss
    @ProsperMuniss Месяц назад

    Yuko wapi 😅😅😅

  • @SadyPatison
    @SadyPatison Месяц назад

    Haa haaaa we mzee said utaniuwa mwenzio

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo Месяц назад

    😂😂😂😂 Mzee said jamn

  • @chabembulinyingi3966
    @chabembulinyingi3966 Месяц назад +1

    Yaani interview imekuja kabla hajamuona kocha mpya. I wish angeona tucheke😂

  • @JonasYohana-sg5cv
    @JonasYohana-sg5cv Месяц назад

    Mzee said Kibokoooo

  • @johnmollel6915
    @johnmollel6915 Месяц назад

    Mzee Said tunae na tunatamba na ngeli yakee 😂😂😂

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo Месяц назад +2

    Amsopo no😂😂😂

  • @IbraMarwa-gp2ou
    @IbraMarwa-gp2ou Месяц назад +5

    Watermelon mzee wetu

  • @BurtonFanuel
    @BurtonFanuel Месяц назад +1

    ila huyu mzee bhana😂

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 Месяц назад +2

    Mzee said tulia chuma kishakuja babuu😂

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. Месяц назад +1

    Haya weee 😂😂😂

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 Месяц назад

    Mzee saidi pakome bado mashine mzee saidi hapo umetuuza

  • @MeshackManoja
    @MeshackManoja Месяц назад +2

    Ila mzee said

  • @DavidSeny-t1y
    @DavidSeny-t1y Месяц назад

    Eeeeeee eeeee eeeee😂😂😂 manalauyo

  • @allydaud612
    @allydaud612 Месяц назад

    Mzee Said haki ya Mungu utaniua na kingeleza chako

  • @AnethKauzen-yz1ws
    @AnethKauzen-yz1ws Месяц назад

    Chagamba mwambie Mzee saidi tumetoa taraka siku moja nasiku hivyohivyo tumeowa mke

  • @AngelinaHassan-fe3jp
    @AngelinaHassan-fe3jp Месяц назад +1

    😂😂😂dah

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo Месяц назад +1

    Mzee said 😂😂😂

  • @hafidhichai9165
    @hafidhichai9165 Месяц назад

    Eti tano😂😂😂

  • @KelvinKayala-g3j
    @KelvinKayala-g3j Месяц назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 msopo no

  •  Месяц назад

    dakoni ❤😅😅

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 Месяц назад +4

    Mzee said walah yanga bingwa nakuambia ila hii klip nitakuwekea hiyo siku nitamtumia chagamba 😂😂

  • @boniphacebisare3146
    @boniphacebisare3146 Месяц назад

    😂😂😂dako

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf Месяц назад

    Waoooooo mzeeee saidi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka Месяц назад

    Said unavichekesho sana

  • @CalmBorderCollie-zv7bt
    @CalmBorderCollie-zv7bt Месяц назад

    😢abaongea kiside

  • @bilolove23
    @bilolove23 Месяц назад

    dako😂😂

  • @KABIBIPETER
    @KABIBIPETER Месяц назад +2

    Ila Mzee said ananifanya niwe nacheka mwenyewe

  • @edvesmshayo509
    @edvesmshayo509 Месяц назад +1

    Kumbe mzee side mwimbaji bhana

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Месяц назад +3

    Mzee Said kumbe mnafiki alikuwa anamsifia Pacome na Gamondi leo anaanza kukosoa tena

  • @ProsperMuniss
    @ProsperMuniss Месяц назад

    So yangaaa hii ❤🤍💙

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g Месяц назад

    Left hand😅😅

  • @DanielChaula
    @DanielChaula Месяц назад

    Nyepe 😂😂😂😂

  • @AgustinoRashid
    @AgustinoRashid Месяц назад

    Chagamba chagamba chagamba taja jina

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu Месяц назад +2

    Tuko sote🎉

  • @emmanuelibrahim4556
    @emmanuelibrahim4556 Месяц назад

    Simple and cleared,😅 English

  • @AnastaziaAndrea-e2f
    @AnastaziaAndrea-e2f Месяц назад

    msopo no😅😅😅

  • @SamwelReuben-p5r
    @SamwelReuben-p5r Месяц назад +2

    Side baba washenyete ao vikolokwinyo

  • @Zuubaby-lp9uj
    @Zuubaby-lp9uj Месяц назад

    Tunaomkubali Mzee said tumpe like zake apa ❤❤❤❤

  • @catherinesembeka1417
    @catherinesembeka1417 Месяц назад

    Tanzania yetu hii jaman da mnitajie timu ambayo haijawahi kufungwa dunian wangemuacha.

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 Месяц назад

    Masinadano baada ya kugundulika ndio wakaanza kufungwa

  • @EsterEmanuel-f5f
    @EsterEmanuel-f5f Месяц назад +2

    Dube Jamani 😭😭

    • @nuruosward8161
      @nuruosward8161 Месяц назад

      😂😂😂😂😂kwisha habar yakeeee

  • @AdamSimbeye
    @AdamSimbeye Месяц назад

    Tikiki maji Kwa kingereza ni (watermelon)

  • @JonasYohana-sg5cv
    @JonasYohana-sg5cv Месяц назад

    Nomaaaa

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t Месяц назад +1

    Nilikua namsubir kwa hamu

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Месяц назад

    Ila kocha msaidizi wa yanga alikua Yuko vizuri

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 Месяц назад +1

    Mzee Said Tikiti maji kizungu Watermelon

  • @SaidMwegelezi
    @SaidMwegelezi Месяц назад +1

    Chagamba unajua sana kwenda sambamba na mzee said embu mfungulieni account ili awe anaingiza ela

  • @kubuleabdul6032
    @kubuleabdul6032 Месяц назад +1

    MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MZEE