Hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom
Engineer Hersi mungu akupe miaka 110 maana umetuletea zawadi mayele tunatetema kwa madoido,waumbuke walio kinyume na wewe,Na fikra zako zidumu katika yanga,kama fikra za mwenye kiti wa Tanu zilivyodumu kipindi cha azimio la arusha 1967
Safi sanh hivi ndo inatakiwa hili kuakikisha channel yetu inakuwa kubwa zaidi na nina amin kwmba hii channel itakuwa kubwa zaidi ya channel ya timu yoyote east africa 🙌
I'm also happy the way the club kept him happy, because a player who isn't happy will never improve that to young African team from DRC nous vous aimons ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

Huyu mwamba yuko pekee yake kwenye ligi ya tz nipeni likes za mayele 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
mayele ni mmoja kiboko ya magor kipa akuna gor kipa anaempenda
💛💛💚💚 ✍️ niwakipekee
Fjd
videos
@@vivanyboy9743 Q10
Asante Yanga Tv , Daima mbele nyuma mwiko pia Asante Fiston Mayele 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
What a striker,anajua boli, anajua kufunga King Mayele
Mnajua na mnajua tena💚💚💚🔰🔰
Hongera yanga ahsante mayele
Hiii safi sana nimejikuta tu na fraha mtu nilikua na trafran zangu ongera sana yanga ongera mayele kwa kuitendea haki no 9 🙏💪
Hongera sana mtangazaji wetu,kazi nzuri.
Congratulations to Yanga TV, Congratulations to Wananchi, Congratulations to Mayele..!
Le grand Congo🇨🇩 est fier de vous cher compatriote F. Kalala Mayele
Un bon joueur nous avons besoin des toi au PSG
Safi. Kabisa. Mayele. Uko. Sawa. Kabisa.
Yanga mnafanya kitu Cha kipekee sanaaaa mnatuNogesha wananchi
Hongelen saana Tim yangu kwa hatua hii hakika tutafka mbali
Hongera sana kwako Admin wa Yanga Tv hakika Kwa Sasa wananchi tunapata tunachokistahili
Mwamba sana huyu 💛💚💪
Nomaaaaaa sana
He is explosive striker,
I can't wait to see him in south africa .
What club is he coming to in South Africa?
Jiheshimu
In Europe not in south Africa please
Engineer Hersi mungu akupe miaka 110 maana umetuletea zawadi mayele tunatetema kwa madoido,waumbuke walio kinyume na wewe,Na fikra zako zidumu katika yanga,kama fikra za mwenye kiti wa Tanu zilivyodumu kipindi cha azimio la arusha 1967
Nakukubar sn the king of all games
Huyu ni kifaru gonga like hapaaaaa
ou king💛💚💛💚💛💚💛💚
Safi Sana Mayeleee
Welcome to Esperance ❤💛
One day hii chanel ita kuwa kubwa sana 🎉🎉
Jamaa anatisha huyu bro
Mayelefiston 🔥🔥🔥
Funk
King
Good job
Àsante sana, ila benchi la ufundi limwelekeze Mayele awe makini zaidi , maana nafasi anazopata ni nyingi lakini anatumia chache mno.
Sio kila nafas streka anafunga magol yangekuwa yanafka mia
Ooooah yanga hongera
Kweli huyu hapewe Maya yake
Unyama sana
Goal Kali mm kwangu ni dhidi ya Azam FC pale chamanzn yaliobaki ni magol ya kawaida xna hata mchezaj wa Namungo anaeza kufunga
We mwehu tu
Acha wivu ww, mbn hata yale mawili alofunga dhidi ya simba ni makali mno
Ebwan uyu nomaaa sanaaa
Namuelewa sana huyu daaaaah
Yanga mbele nyuma mwiko
Love u from 🇿🇦 cape Town
Vhtghɔlaewewaseawaetdg
Ama kweli kijana huyu anajuwa, kuzipasia nyavu,kikubwa aongeze juhudi asije kubweteka na sifa kama jaama wa upande flani
Mayele anajuwa sana
I wish Kaizer Chiefs can buy this guy
Nomaaa
Kalala fiston mayele ni mtu wa maan sana huyuu na ni mtu na nusu
Safi sanh hivi ndo inatakiwa hili kuakikisha channel yetu inakuwa kubwa zaidi na nina amin kwmba hii channel itakuwa kubwa zaidi ya channel ya timu yoyote east africa 🙌
🔥 🔥🔥🔥
Namukubali mayele
I'm also happy the way the club kept him happy, because a player who isn't happy will never improve that to young African team from DRC nous vous aimons ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
our king
What a player 🙌🙌The king
🦅🤩🤩
⚽🙌
Sio siri hii clip imenitoa MACHOZI,nikikumbuka yanga ya kina Yippe dah! Mungu asimame nasi mayele aendelee kuwepo
Mayele ni mwamba wa jangwa hongera sana
Namkubali sna
Safi sana
Mbona hamjaliweka lile la kwanza kuwatongua makolo
❤️u yanga
Mayele noma sana
Naam imeka poa sana iyi kk
🙌🙌🙌🙌🙌
Akuna mfungaji bora kwa ligi ya bongo kama mayele
King anatumia nadasi ngumu ila nyepesi anashindw tumia benchi la. Ufundi lipe ushauri kidg
mm natwa joseph simon kutoka masubwe mayere nimwaba kwari
Hellooooo wakwanza😮
Daima mbele nyuma mwiko..#mayele9
Mayele nation
💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
Mwana yamboka
Tuna kukubali vibaya sana
Msiache kufanya vivi na mfanye kwa wachezaji wengi zaidi .... Ata ufuni wa feisal salum pia tutaenjoy zaidi
Tuache wivu jamn ila mayele anajua sana
👑👑
Anajuwa sana
uyu jamaa atengwe jaman
Ata minaona
Anajua na anajua tena
Nikwl
File
Tunaomba Aongeze Umakini zaidi ndani ya uwanja anapata nafasi nyingi mnoooo ila chache ndo zinatumika.
Pele💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
safisana
Yanga oyee
Waooooh
Fiston
The player will soon be in Al-Ahly 🇪🇬
💪💪💪💪
Benzema
Ukiwa mshabiki wa yang jamani unaenjoy cn
🔥🔥🔥🔥
Huyu anjwa 🔥🔥🔥🔥
Uyu ni mwamb naikubali yang
Hili la kwanza mabeki waliacha nyama mbili ziruke tik tak kwa mpigo bila mtu pembeni🥹🥹
Woooooooooooooooooo
Ss ndo Yanga .
Mwambaaaaa,,, nipe kombe la caf
Welcome to Kaizer Chiefs
Mayele feston
Penda sana yanga yangu
Download
لاعب الهلال السوداني
Haahhaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 mayele ana tisha bhn
Yanga nyetu