Ivi utapataje uelewa pasipo kueleweshwa .. je ww hukusaidiwa huo uelewa wko na ukaamin ..Kama ulivoaminishwa na walim wako .ndivyo ilivyo hata kwa hao unaona kuwa sio levo zk..huo Ni mwisho wako naww wa kujuwa yakupasayo kwa wakat wako jitahid kuheshik wngne pia .!!
7:15 😂😂😂😂😂 Wajjinga ni wengi mtawapata Yesu alisema siku za mwisho watakuja walimu wa Uongo Ndio nyie 😂😂😂 Wapinga kristo Ndio nyie Baadae mnakoelekea mtawaambia watu wajichore namba 666 Ili wawe na bahati pumbavu😮
Sijawahi kukomenti kwa wachokonozi ila nina majibu mengi kutoka kwenu ambayo majibu yake ni bora kuliko niliyowahi kusikia hapo kabla, naomba nijifunze kupitia kitabu,nahisi nahitaji utoshelevu fulani hivi.
Kweli nakuongezea kidogo binadamu lazima aelewe lego la kuwepo Duniani na pindi atakapo ondoka.kwa sababu kinacho kufa ni mwili ni wachache wenye kujua roho uwenda wapi na kufanya nin msingi wakujuwa mambo ya sychologia ni amani na utulivu nayo ubebwa na tabia ya wema katika kila jambo
mnafaa kupewa nchi muiongoze mlindoko uwe raisi na huyo mwingine awe makamu wako maana sijaona raisi au aliewahi kuwa raisi mwenye utimamu na utoshelevu wa uelewa kama nyie
Kaka mimi nilitengwa na family yangu 👪 na nilifukunzwa nyumbani kisa staki kwenda sulen na nusu ningepigwa mupin na nikatengwa na wani dini wote kisa staki kwenda kanisani na 😢 ila nilipo sikiya fakta zako ndoo nikawa hulu naomba niunganishie vitabu hivyo ili nisije kupoteze family yangu nitavipata kwanjiya gani kaka
Hahahaaa Kaka watajuta kukukabithi rungu hahhaaaaaa we piga mpaka wapige yoweeee
Kaka una karama, unajua vitu vingi sana. 🎉🎉🎉
Mlimwengu mmoja konk sana
Asanteh sana kwa huu mto nimevua uelewa
Joseph Mrindoko 🔥🔥💯💪
All in all naitaji vitambu vyako niingie in deep
Safi sana JOMRI...tupo pamoja
Na wapenda sana ndugu zangu wa Africa nyie munastali uongozi
Aseee yaseme mpaka wakome
Kaka unatufundisha mambo mengi tena yamsigi sana ila wengi wanapuuza ukweli unaofundisha haupatikani sehem yoyote.
BIG UP SANA
Tupe vitu
We jamaa unaviti vingi sana nahitaji kujua mengi Sana kaka nianzie wapi maana nimekuwa mtu wa kutafuta maarifa zaidi 🎉
Napataje hicho kitabu,
Nipo Dodoma
Nakupata mkuu elimu kubwa
Mkali mm Niko Kila engo
Nakuunga mkono kwenye sheria ni mchezo wa maneno na vifungu
Nahitaji icho kitabu nipo dar. Nakipataje
Wewe nimpuuzi Sana unaposema Mungu hayupo unakuwa mjinga mjinga
Beyi ya kitabu ni ngapi?
Ningepata kitabu ulicho andika hivyo vitu na namna ya kuvifanyia kazi ingekuwa vizuri sana ijapo baadhi ninavyo
Ivi utapataje uelewa pasipo kueleweshwa .. je ww hukusaidiwa huo uelewa wko na ukaamin ..Kama ulivoaminishwa na walim wako .ndivyo ilivyo hata kwa hao unaona kuwa sio levo zk..huo Ni mwisho wako naww wa kujuwa yakupasayo kwa wakat wako jitahid kuheshik wngne pia .!!
7:15 😂😂😂😂😂 Wajjinga ni wengi mtawapata
Yesu alisema siku za mwisho watakuja walimu wa Uongo
Ndio nyie 😂😂😂
Wapinga kristo
Ndio nyie Baadae mnakoelekea mtawaambia watu wajichore namba 666
Ili wawe na bahati pumbavu😮
Kaka nimeukuja na huku tuko pamoja
Sijawahi kukomenti kwa wachokonozi ila nina majibu mengi kutoka kwenu ambayo majibu yake ni bora kuliko niliyowahi kusikia hapo kabla, naomba nijifunze kupitia kitabu,nahisi nahitaji utoshelevu fulani hivi.
Nyie jamaa mkikaa na joram yule wa kiswahili na kikekee munaweza kutikisa taifa
Kitabu chako kinapatikanaje, alafu kiposti vizuri hicho kitabu
Kweli nakuongezea kidogo binadamu lazima aelewe lego la kuwepo Duniani na pindi atakapo ondoka.kwa sababu kinacho kufa ni mwili ni wachache wenye kujua roho uwenda wapi na kufanya nin msingi wakujuwa mambo ya sychologia ni amani na utulivu nayo ubebwa na tabia ya wema katika kila jambo
Nitakupigia simu uje unipatie vitabu vyako
Tanendelea kukariri hatuacha 😂😂😂
Uhakika kaka
Brother nakuelewa lakini sielewi nianzie wapi
mnafaa kupewa nchi muiongoze mlindoko uwe raisi na huyo mwingine awe makamu wako maana sijaona raisi au aliewahi kuwa raisi mwenye utimamu na utoshelevu wa uelewa kama nyie
🤣🤣🤣🤣
Here we go again...
Naweza kupata vitabu vyako ndugu ?
Nataka kitabu mlindoko
Mlimwengu hicho kitabu tunakipataje walimwengu wenzio??
Kitabu kinapatikana?
Huku ni nyimbo tu acha mambo ya mafunzo unatuchanganya
Kwapamoja hivo ulivo vitaja ni mifumo naturally
Nakipataje hicho kitabu.
VITABU navipataje BROH?
🙌🙌🙌🙌
We got you
Kitabu nakipataje kaka?
Nahitaji hicho kitabu nitakipataje?
Una vitabu ulivyo andika
Third eye 😂😂😂 & chakra & meditation,astral projectin.
Kuna mshikaji tu darasa la 5 ila alikua na uwezo wa kufunga umeme nyumba nzima kwa mfuma wa betri
Ningekuwa karibu na wewe ningekusolea ilinijifunze zaidi
Namna yakupata Kitabu
Mlindoko bei ya kitabu
Sio chakula unapika kama matiti ya mama mkwe 😂😂
Kaka mimi nilitengwa na family yangu 👪 na nilifukunzwa nyumbani kisa staki kwenda sulen na nusu ningepigwa mupin na nikatengwa na wani dini wote kisa staki kwenda kanisani na 😢 ila nilipo sikiya fakta zako ndoo nikawa hulu naomba niunganishie vitabu hivyo ili nisije kupoteze family yangu nitavipata kwanjiya gani kaka
Ndio unazid kupotea kabisaa
Nahitaji vitabu vyako navipataje?
Nahitaji hicho kitabu!!
Wewe dogo umepotea
Wewe mwenyewe umekariri vitu vya watu
Halafu vinakuchanganya
Tatizo unajiona umejua yote.
Sasa hapo kwenye kujua yote umeharibu hoja yako
naamini akiri akuna kwenye kichwa chako
👍👍👍
Kaka nahitaji hicho kitabu, naomba maelekezo nakipataje?
Nakipataje??
Bando langu limeisha
Wewe ni wakala wa Wa sheteni wewe ni mpingakristo na uta wa wadanganya wengi.
Ndio upeo wako ulipoishia hapo.
Wewe yabebe yanayokufaa mabaya mwachie mwenyewe