KIJANA APOKEA KICHAPO KIKALI HUKO MATETEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 179

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад +12

    Mbona Kila mtu anailaumu ktv wakati huyo baba anaitwa maalim seif kweli😅😅😅

    • @saidsuleiman1912
      @saidsuleiman1912 6 лет назад

      Itizame hiyo picha iliyozungushiwa duara jekundu ni picha ya nani hapo ndio utajua hiyo habari ni tofauti na hiyo picha waliyoiweka

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад +3

      Said Suleiman achana na picha wewe uhakika upo kwenye habari yenyewe acheni shonde

    • @allymwako2441
      @allymwako2441 6 лет назад

      reporter angetoa taarifa Maalim Seif wa kijiji fulani ,lakini lengo la Mwandishi ni hilo jina Maalim Seif wala sio taarifa aliyoinadi.

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад

      ally mwako mbona ni kawaida sana inapotokea tukio hata la maafa kufanisha na tukio lililopita iweje picha mnakosa subra watanzania acheni hizo jamani utazani mlikuwa mnamtafutia sababu toka zamani au ndio wale wenye ndugu zenu wanaotaka kuwa au wenye RUclips channel sasa mmeona njia ya mtelezo kwa hili tukio kulivalia njuga, tuwe wazalendo kidogo basi Ktv siku zote wanatoa habari za uhakika na mbona sifa hakuna na huenda hata comments za kusifia habari hakuna leo kitu kidogo tu mapovu Tele kwani vp ni hiyo picha au kuna mengine, fanya basi kusamehe maana hakuna mkamilifu. Ila kwangu Mimi hajakosea kabisa sababu habari nimeielewa

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 6 лет назад

      Lol Zanzibar ukisema maalim Seif basi inatambulika ni yule Rais wa CUF na Ukisema balozi Seif straight on their brains inakuja picha ya Makamu wa Rais

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 лет назад +5

    Dah mungu atukuzie vizazi vyetu kwa njia nzuri maana mtto anapokua na tabia hio ni hatari na istoshe ataleta chuki na kesi za kila siku kwa majirani, namuomba allah anikuzie kizazi changu vyema inshallah watto wangu waje kua na maadili mema yakumcha mungu na kukinai vya dunia na waeke upendo na heshima kwa watu wanaowazunguka nje na ndani ya familia, kama nawe pia unakubaliana na mm kuhusu hii dua nnayoiomba kila siku gonga like apa na useme ameen tuamini allah ndio atatukuzia vizazi vyetu vizuri inshallah.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 лет назад +3

    Allah amjaalie afya njema amuondolee maradhi lakini bora wampeleke hospital pengine atapata matibabu huo ni mitihani Allah awape subra wazee wake.

  • @alibaraka6699
    @alibaraka6699 6 лет назад

    Ktv Mungu anawaona munavyotupotezea bure mbs zetu.

  • @khamisabdalla7709
    @khamisabdalla7709 6 лет назад

    Ikiwa ubamkubali huyu mkuuu wa wikaya gonga like

    • @MulaAlkar
      @MulaAlkar 25 дней назад

      Hagongi mtu laiki maana hakuna anae mkubali wote wasengetu kutumiwa na njaatu

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 6 лет назад +3

    Duh hatari kwl. Poleni sn. Alafu me nilizani maalim seif katibu wa cuf nilishtuka kwanza

  • @salumalawi3434
    @salumalawi3434 6 лет назад

    k TV tz sasa tunakaribia kuwachoka .

  • @khamisame4649
    @khamisame4649 6 лет назад

    Hatua Kali zichukuliwe

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 лет назад

    Watanzania qa zanZiba wanapenda sana kupigana

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 лет назад +4

    SubhaAllah Kama ni chizi mpeleken mentanl hafai kuish kwenye iyo jamamii . Kama chiz mpeleken uko akapate matibab au mpk akuueeni

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 6 лет назад +1

    Maalim seifu 😀😀😀😀

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 5 лет назад

    KTV munalaana munajiharibia ufanisi wa kazi zenu.

  • @jifunzemengi1620
    @jifunzemengi1620 6 лет назад

    subhanallah hizo unuwani zenu zitatia watu presha

  • @muhidinmsabaha494
    @muhidinmsabaha494 5 лет назад

    Nyie kweli k

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 лет назад

    Ahhh ktv asaaa mie nikijua Maalim seifu wa cuf,,,roho imeniruka mhhh😄😄😄Allah atawapa wepes mana hakuna kitu kizur km uhuru wakutembea,,,

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 5 лет назад

    Kama na ww pressure ilipanda kabla ya ukweli gonga like twende saw🤣🤣🤣

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 лет назад

    Habari mbovu kwelu

  • @amekhamis2991
    @amekhamis2991 6 лет назад +13

    Ktv mnaanza kuharibu kichwa cha habari hakifanani na stori mliotuma. Huyo si Maalim Seif anaejulikana na Watanzani

    • @MaryA-yf4cq
      @MaryA-yf4cq 6 лет назад +1

      Hata mie pia mumenichanganya na hilo jina la Maalim Seif. Kwa nini musitumie bwana seif au mzee seif tu.

    • @manyotaskipper5765
      @manyotaskipper5765 6 лет назад +1

      Ame Khamis ktv wanataka tension wapate views ili wapate mapato kutoka @youtube

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 дней назад

    Kwa iyo mpaka aue nfo mumchukulue hatua sawa sawa

  • @haliimomar1692
    @haliimomar1692 6 лет назад

    Huyo kijanaa hajapata Kijana mwenzake

  • @suleimansalimali7251
    @suleimansalimali7251 6 лет назад

    Duhh!!! Ni shida sana

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 лет назад +1

    Subhannallah

  • @bakarali8075
    @bakarali8075 6 лет назад +5

    Nilifikiri huyu wetu mpenzi wa moyo

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 лет назад

    Washaanza kiki na wao mnaharibu

  • @omarmuhammed9655
    @omarmuhammed9655 5 лет назад

    Acheni uaenge ktv

  • @abdulkadirissamahmoud4236
    @abdulkadirissamahmoud4236 6 лет назад +14

    ktv munazinguwa kichwa cha habari nilizani Maalim sefu wa cuf

  • @suleimankhalfan8856
    @suleimankhalfan8856 6 лет назад

    Mm nilikifiri maalim Seif WA cuf😃kumbe uyo seif uyo chizi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 года назад

    Mtihani mkubwa

  • @moviesseries9923
    @moviesseries9923 6 лет назад

    Siku nyingi sijakoment lkn leo mmenistua mm nlizani maalim seif sharif Hamadi msiandike hivi mnastua watu bwana.

  • @fatmax8710
    @fatmax8710 6 лет назад

    Duh cuf wote presha juu poleni sio maalim wenu

  • @allysalum6090
    @allysalum6090 6 лет назад +1

    Mme fikir kipenz ch2 malim seif Sharif hamad kumbe seif chiz nyny vipi ivo vichw vyenu vy habar?

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 лет назад +1

    seif nipo hapa

  • @saidfarid7545
    @saidfarid7545 4 года назад

    Dah muarabu vp tena

  • @mohamedsiadi8144
    @mohamedsiadi8144 6 лет назад +2

    Dah mie nilizani mwalim seif kapigwa yeye 😄

  • @johnbernad1529
    @johnbernad1529 6 лет назад

    Jaman minaona ktv hawanamakosa kwakichwa chahabar kwan maalim sefu yupo pekeyake?

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 6 лет назад +9

    Watu wanampenda maalim seif Sharif hamad jamanii khaa!si kwa mshituko huu wa watu ..nyie ktv mnarusha roho za watu sasa hahaha tuwe pole wana wa kucomment 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salmasalim6055
      @salmasalim6055 6 лет назад +1

      Shamsa Haji presha mie juu🤣🤣🤣

    • @saidsuleiman1912
      @saidsuleiman1912 6 лет назад +1

      Kikubwa kilichowapa presha ni kuwa kichwa cha habari katumia picha ya Seif Sharif Hamad wakati muhusika si yeye ni mtu mwengine

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 6 лет назад

      @@saidsuleiman1912 hapo ndo wanapofeli ktv

    • @amilifundi6940
      @amilifundi6940 6 лет назад

      tena tupewe pole aswa

  • @MulaAlkar
    @MulaAlkar 25 дней назад

    Yaani taarifa za unguja ni za kisengesengetu mara ashtumiwa yana sadikika majani makavu mara Kabaka yaani hawana taarifa ya maana

  • @yusoboy_tz
    @yusoboy_tz 6 лет назад +1

    Ngoja niwaweke uporo maana kichwa cha habari ni shida kweli

  • @BESTTV1LIVE
    @BESTTV1LIVE 6 лет назад

    Ktv munayumba hayo mambo ya kufata channel za kibongo zisizo na muelekeo muache cc tunawaona kama trusted media
    Ila sasa munaanza kuyumba

  • @fadhilimangala2960
    @fadhilimangala2960 6 лет назад

    acheni upuuzi basii

  • @Meditation-q9h
    @Meditation-q9h 6 лет назад

    duh nilkuwa nimeshutuka nimezani huyu maalimu seif wetu

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 6 лет назад

    kutumia vichwa vya habar vya uongo ili kuvutia watu kuangalia habar sio vzr kinachofata ni kuupuza sasa kila habar

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 6 лет назад +1

    😂😂😂😂😂😂umetupataaaa

  • @is-hakamassoud8706
    @is-hakamassoud8706 6 лет назад

    mm nimeshituka niliposikia maalim Seif kapigwa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 лет назад

    Allah asaidie maana hiyo ni hatari huyo mtoto jamani apiga watu kiasi hicho Atakujapigwa hata yeye.

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 лет назад

    Duh mtihan

  • @abdularteta500
    @abdularteta500 6 лет назад +1

    Sio kila Seif ni Maalim

  • @daudipaulomatanga6479
    @daudipaulomatanga6479 6 лет назад

    😍😍😃

  • @saidalumuli4938
    @saidalumuli4938 6 лет назад

    K t v pumbavu kweli

  • @allyhamad7999
    @allyhamad7999 6 лет назад

    Kwa hapa mmekosa sifa ya mwandishi mzuri..
    Ila mnajua nini mnachofanya? Kama ni Positive au Negative.
    Jaribuni kumchukua mtazamaji kiaina nyingine but sivo hivo. Kama una taarifa nzuri, hakuna atakaekukwepa. Mutapata viewers wengi tu. But kwa kusakizia heading kama hiyo ili mpate viewers.
    NIMEWASHUSHA THAMANI.

  • @hasanijumannemlande2792
    @hasanijumannemlande2792 6 лет назад

    ktv mnazingua bwana 😂😂😂 maalim sefi hawezi kuwa chizi

  • @fakhtahabdullatifmussa187
    @fakhtahabdullatifmussa187 6 лет назад

    duh napita tuu 😰😰

  • @kassimjuma1539
    @kassimjuma1539 6 лет назад +2

    ktz tz samahan mkisema maalim seif tunajuwa cc ni kipenzi chetu wazanzibar bas huyo sie maalim seif

  • @dasonsdachi3087
    @dasonsdachi3087 6 лет назад

    Nikweli nae huyo anaitwa Maalim Seifu lkn angalieni namna ya kufafanua kichwa cha habari

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 6 лет назад

    Malim.seif. kiongozi.wetu.hapa.marekani. tuli.shi.tukasana.duguzetu.hilo.jina.lifutwe.haka.iwezekavyo

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 5 лет назад

    Asalama aleykum, mfano dokta sheni apigwa, lkn ukitumia dokta sheni wa mtonikidatu, lkn kusema maalim sefu ss tunafikiri Waziri mstaafu.
    Andika kichwa cha habari vizuri.
    Na hiyo mtoto alikuwa achkuliwe zamani sijuwi kwa nn kachiwa.
    Think before you done

  • @khadijamohammedsheheasemak1334
    @khadijamohammedsheheasemak1334 5 лет назад

    nisheeda nilijua kiongizi wetu

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 6 лет назад

    hilo toto inawezekana janaharamu maana wa halali hawezi mpiga mama au baba wa mwenzio looooohhh hasbiyallahu.allahhh amuongoze asije akapata laaana

  • @viladhatv4473
    @viladhatv4473 6 лет назад

    Tunalazimishwa kuangalia video za kiki

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 6 лет назад

    Hatar sana ss wananchi wote ao mmechukua hatua gani sheria ipo wap hakuna police au?

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 лет назад

    Sasa kama mwanae chizi sasa kwann awampeleki milembe akapate tiba ya vichaa munamchekea uyo atawaumiza watu mwishowasiku watamuuwa kimyakimya

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 6 лет назад

    Safii akileta utahira wake pelekeni uko hosptl ya machizi 😂😂😂😂akapigane na wiziee hukooo pumbafuu kabisa

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 6 лет назад

    Mana munaandika. Makosa andikeni.jina sahihi. Msitutiliye..dowa..rais.i wetu

  • @poncypeter9566
    @poncypeter9566 6 лет назад

    Mnafuga mualif wakati dawayke nae nindogot

  • @mohamedjuma423
    @mohamedjuma423 6 лет назад

    Watoto wanalelewa vibaya

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 лет назад

    Mzima uyo mbona wazazi wake hawapigi

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 6 лет назад

    Na nyie wapemba mbona mnatuchanganyia madawa?.Eti Maalim Seif😎

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 8 дней назад

    Ndio kiongozi umesema kweli wagonjwa wa akili wapelekwe mental nasio kuekwa mitaani wakadhuru wananchi

  • @عليالبوسعيدي-ذ3ه
    @عليالبوسعيدي-ذ3ه 6 лет назад

    Maalimu sefu yupi uyo katibu WA cuf au mbona celewi

  • @salamahamadi4123
    @salamahamadi4123 6 лет назад +1

    Haya wacha mm nilale leo.noo komety

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 6 лет назад +1

    Serikali imtie ndani tu

  • @omarkali7712
    @omarkali7712 6 лет назад

    hamufai nyinyi KTV munachafua hali ya hewa

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 6 лет назад

    Ktv sasa munapotea

  • @phahadsaid3514
    @phahadsaid3514 5 лет назад

    Dah uyo mzee ni mtata hatari namjua kanifungisha Gari mashine hajanilipa mpaka kesho ndo namuonea Leo kwenye ktv dah maalim seff wee sugu

  • @karimhassan605
    @karimhassan605 6 лет назад +7

    ktv mushaanza kupoteza muelekeo ,tunaleft

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 лет назад

    Polisi hakuna au ndio malezi, basis Leo hamlali atawapiga

  • @WilliamJulias-u2c
    @WilliamJulias-u2c Год назад

    Duh

  • @karimhassan605
    @karimhassan605 6 лет назад +2

    kwani hamtapata wateja mpaka mutulaghai?

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 6 лет назад +1

    Kesi za uswahilini bwana!hapo kuna kitu kilojificha.

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 6 лет назад

      Umeonaee... Tatizo huyo mzee wa kijana huyo... Anamiliki mashamba wanavodai si mkaazi wa hapo....nishida saana

  • @muhsinmuhammad4886
    @muhsinmuhammad4886 6 лет назад

    hahaha nlifkiri maalim seif sharif hamad

  • @adilhabibu7958
    @adilhabibu7958 3 года назад

    Ubinafsi

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 6 лет назад

    kwani hilo jina la maalim analo mtu mmoja..acheni.ulimbukeni

  • @amurialbatashi5861
    @amurialbatashi5861 4 года назад

    Huyo mkuu wa Wilaya inabibidi akapimwe hana hekma hatambui maradhi anaonesha yupo kisiasa zaidi hafai kufanya kazi za jamii ukishindana na mgonjwa wa akili nawe unakua huna akili hekma muhimu

  • @aldanaudana2633
    @aldanaudana2633 6 лет назад

    Km chizi kweli anacho cheti tutizame pande mbili mbili vo jamani

  • @shd12m55
    @shd12m55 6 лет назад

    Pumbav

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 6 лет назад

    hahajajahajaajajaja

  • @saidsuleiman5255
    @saidsuleiman5255 6 лет назад

    Unafki kufafanua maalim sefu yupi

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Год назад

    Sasa mtasumbuliwaje tu na mtu mmoja….mkamateni mtengueni mkano wa mguu tu

  • @osmanha6915
    @osmanha6915 6 лет назад

    Washenzi wakubwa ktv maalim seif ndo uyo;?

  • @jamesmbata8542
    @jamesmbata8542 6 лет назад

    Ktv wallahi mtuombe radhi yaani heading haihusiani kabisa na tulivyodhania..loool

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 6 лет назад

    He mbn munatushtua icho kichwa cha habar

  • @tmyh.a.6106
    @tmyh.a.6106 6 лет назад

    Mgojwa huyoo,

  • @khalekichambo2143
    @khalekichambo2143 6 лет назад +1

    Mkosa adabu huyo

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 6 лет назад

    Wapumbavu ati maalim seif apata kipigo?!!

  • @josej9888
    @josej9888 6 лет назад

    TV zamitandao zitazidi kuwa za udaku tu, kichwa cha habari na habari yenyewe nitofauti.

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 6 лет назад +2

    Duh hatar

    • @abdullmalik2262
      @abdullmalik2262 6 лет назад

      ktv mnabowa mnaturusha roho

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 6 лет назад

      Tena sana alafu nao hawa KTV wanaaza uongo

    • @fawzyoalbahry4420
      @fawzyoalbahry4420 6 лет назад

      huyu mama anjulikana kwakutukana watu hayo kweli wanayosema akimtukana mpaka mkwewe mama huyu Humoud na Humoud kweli matamata

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 лет назад

    watu wataalam kwa kutunga vichwa vya habari
    ila mnatakiwa kua wabunifu zaid maana kuna siku muliclip video ''eti ustadh mazinge amebaka nakukimbia''lkn mkabadilisha kichwa cha habar lkn kwann hapo imekua ngumu

  • @yusufismail3116
    @yusufismail3116 6 лет назад

    Unapotaja jina la mtu kwenye kichwa cha blog siku zote jina hilo liwe maarufu miongoni mwa wasomaji na watanzania kwa ujumla vinginevyo mtaonekana wababaishaji tutawakimbia.

  • @mrsweetznzpizza5712
    @mrsweetznzpizza5712 6 лет назад +1

    daaaaa jamani vichwa vya habari hivyo yani nimestuka vibaya

  • @suleiboy5230
    @suleiboy5230 5 лет назад

    huyu anaitwa muuwaji sio maalim jiongezeni na majna kama haya