ALIEKUA KWENYE MAPENZI NA JINNI,AHADITHIA MWANZO MWISHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @sheillajeptum2509
    @sheillajeptum2509 5 лет назад +65

    Praise the Lord. The devil is a liar but God is powerful.

  • @martinsounds254
    @martinsounds254 5 лет назад +12

    thats a seriously long dream he's narrating.. n who said i must comment in kiswahili.. nkt!! proud kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 лет назад +10

    Asanteni nyote koo mzima ya ktv tz onlone kwakutuletea kila mambo yenye mafunzo muhimu kwetu ktv tz online hakika hii ni fahari yetu 👍

  • @fatmazenafzena917
    @fatmazenafzena917 5 лет назад +29

    Allah akuepushie mabalaa pamoja na sie waja wake...mkeo pia alikuwa ni mswalihin aligundua haupo sawa alizidisha maombi kwa Mola wake mlezi......mthamini na mpende mkeo

  • @dinademona7375
    @dinademona7375 5 лет назад +11

    This things are true even my neighbor boy alikuwa katikati this situation Aaaudhoo billah min shaytan rajiiim

  • @allysaid6742
    @allysaid6742 5 лет назад +32

    Pole sana BROO pia ni funzo kwa wengine ila nadhani masharo baro wataacha kutongoza tongoza ovyo skuhizi

    • @jumaahmad6123
      @jumaahmad6123 5 лет назад

      Dah, pole tuzidishe ibada sana hakika alla , anaoa na kuepusha

    • @halimasuleiman8413
      @halimasuleiman8413 5 лет назад

      Pole sana ndugu Inshaallah mwenyezi mungu akutungulie Inshaallah omba dua Inshaallah nadhani nikikinga tosha

    • @osmansafaristours4034
      @osmansafaristours4034 5 лет назад

      Izi ni stori tu labda shirki lakin sio kwel

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 5 лет назад +55

    Mtu wa mafundisho ya Mungu mpaka nguvu za kiroho sikuishe kiasi hicho usiweze kumtambua jini
    Hilo ni Pepo lakukemewa Kwa jina la Yesu Kristo tu

    • @ireneemmanuel1790
      @ireneemmanuel1790 5 лет назад

      Matteus Cyruss pole

    • @rizikihassan3963
      @rizikihassan3963 5 лет назад +1

      yesu mplekee mama yko

    • @salmamussa4604
      @salmamussa4604 5 лет назад

      @@rizikihassan3963 😂😂😂😂

    • @haadroon
      @haadroon 4 года назад

      nyinyi mnawaabudu hawa mashetani wanaowapanda makanisani alafu wana wacheza shere wangine wana dai roho mtakatifu wengine wanadai roho chafu ama pepo chafu na wote ni sampuli moja ya mashetani biashara hiyo ni yenu mumejiunga wenyewe ushetani ni kazi ya makanisa na wachawi na lazima mtapeliwe ili wachungaji wenu watajirike kupitia hao mashetani wa makanisani ,mtawakemea kwasababu mnawafuga makanisani vipi huyo pepo shetani unaye taka kumkemea asiwe mojawapo aliye wahepa hapo kanisani na sasa mashetani zako wanakutuma hapa umtafute yani mumempoteza mwanao shetaniwenu wataka kumkemea arudi ili aendelee kazi ya makanisani msemo wazee wa kale: mchawi mleta pepo ndiye anajuwa kumtowa .😂😂😂😂

    • @onlinemateustv1925
      @onlinemateustv1925 4 года назад

      @@rizikihassan3963 sasa nimletee mama yako mzazi wakati hana shida naye

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e Год назад

    MY BROTHER FROM TZ MASHALLAH I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA. I LISTEN UR VIDEO CLIP UR STORY I LOVE SO MUCH MORE BOTTOM OF MY HEART UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧.. LONDON. AND I AM PROUD OF PEOPLE OF TZ. REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧.. LONDON WS. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 лет назад +21

    TUMUOMBENI SANA MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU NA MABALAA KAMA HAYO NA MENGINEO ATUEPUSHIE NA MABAYA MAKUBWA NA MADOGO KWA UWEZO WAKE ALLAH

  • @consolathamathew1585
    @consolathamathew1585 5 лет назад

    Pole kwa yaliyokukuta,sali ktk kila hatua ya maisha yako,asb,mch,jion,na usiku,hao viumbe wapo na tunaishi nao duniani,Bali ongeza upendo kwa mkeo.

  • @cindymacho5282
    @cindymacho5282 5 лет назад +10

    maisha ya kupunga pepo na kuyasujudia majini ni ushetani ambao Mungu apendi kubembeleza pepo na kufanya sherehe za majini kuna big secret hapo. Mungu Fungua Mioyo yetu na tuokoke tuwe huru kwa jina lá YESU Tembea Damu ya YESU simamia uzao wetu wa viuno vyetu ya duniani yanachosha sana.

    • @osamahamad5756
      @osamahamad5756 3 года назад

      Wew tulia yesu sio mungu Allah ndo anaebadilisha mioyo

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 месяца назад

      ​@@osamahamad5756allah ni Mungu wa waarabu, njoo kwa Mungu wa wairael

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 лет назад +101

    Tujitahidini kusoma Quruani na Duwa ni kinga na silaha zetu sisi waja wa Allah

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 месяца назад

      Wewe na Muhammad nani alikuwa akisoma hizo dua, lakini alikufaje huyo mtume wenu

  • @fatmaalzaroni811
    @fatmaalzaroni811 5 лет назад +75

    Jamani hayo si maneno ya kumwambia mwenzenu kwani hata yy hakupenda limkute hilo asinge hadisia hivo ni kwakua hakupenda limkute hilo chakufanya nikuomba mungu atuepushe nao hao Insha Allah

    • @njmanjma8626
      @njmanjma8626 5 лет назад +2

      Kabsaa...watu huwa hawajui...yaweza pata kila mtu..

    • @fatmax8710
      @fatmax8710 5 лет назад +1

      umeongea kweli somo yangu mbona hata yanawakuta wengi hawajitikezi tu kuna mtu mmoja alikumbana nayo pale amani tigo tena yy akiumwa mpaka hatari kisa alikataa huyo mwanamke wa kijini

    • @salamanassoro6256
      @salamanassoro6256 5 лет назад +1

      Fatma Al Zaroni kweli fatma we umeongea

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 лет назад +2

      Qur-an Sura Al Israil aya ya 32 Allah anasema:-
      "WALA MSIKARIBIE UZINZI. HAKIKA HUO NI UCHAFU NA NJIA MBAYA"
      Imeanza na aya ya 31 mpaka aya ya 37. Na ktk aya ya 38 Allah anayaelezea yote aliyoyaainisha ktk aya ya 31 mpaka 37 kua ni yenye kumchukiza:-
      "HAYA YOTE UBAYA WAKE NI WENYE KUCHUKIZA KWA MOLA WAKO MLEZI"

    • @neemakaluwa5856
      @neemakaluwa5856 5 лет назад +1

      Kwel kabisa

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 5 лет назад +8

    Umalaya ndo umekuponza!!
    Hapo kwenye kujamiina ndo network zinakata kabisaaaaa!! Yaani unajifanya hukumbuki kitu kilichokufanya uzame mazima kwa Mpenzi Jini!!
    Sema kweli bhanaaaa usitufanyie hivyoooo.

  • @ustdhaumihany4456
    @ustdhaumihany4456 5 лет назад +3

    Subhanaallahh Allah atuepusheee n gals kmaa hao ameeenn

  • @barakamalipula9010
    @barakamalipula9010 5 лет назад +1

    I salute kaka, tunakushuru kwa stori yako. Nasi kama vijana hatuna budi kujifunza

  • @sumaiyahabdinassir8324
    @sumaiyahabdinassir8324 5 лет назад +12

    Shoutout to all Kenyans in the house

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 4 года назад

    Kiboko n Bwana Yesu Kristo,njooni muone raha ya Mungu wetu anavotupenda,hutokutana na jin wala kuwa mzinz nakila dhambi haitakugusa kwakuwa yeye n mtakatifu.

  • @adamjuma4765
    @adamjuma4765 5 лет назад +5

    Ni mtihani tu, kwani mtihani humfika kila mtu. kubwa ni kumuomba allah atulinde na sisi. ammeen ammeen

  • @jamesokari9787
    @jamesokari9787 5 лет назад +3

    Labda hill jini na wenzake wanacomment hapa pia...ama vipi😀😀😀😀

  • @miriamsimon5998
    @miriamsimon5998 5 лет назад +22

    unatakiwa umshike sana muumba waka asubuh kabla hujaondok kwako sali omba Mungu akuepushe na mabala yote ya inje na jioni kabla ya kulala sali km famili ...na mkeo ingekuw vema anakuombea kila siku utokapo na uingiapo hayo yote yasingekukut

  • @SunsetHunter4526
    @SunsetHunter4526 5 лет назад +2

    Tangazo zuriii sn gonga like

  • @maryamammar1488
    @maryamammar1488 5 лет назад +3

    Subhanallah Mungu azidi kutulinda na baadhi uuambaje wake

  • @sabahamuhaji4522
    @sabahamuhaji4522 5 лет назад

    SubhanAllah pole Sana kaka..Hakuna zaidi ya Allah swallah na quran muhimu Sana kabla hujatoka nyumbani..

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 лет назад +45

    SubhanaAllah! Mola atusitiri.

  • @novicansharukh325
    @novicansharukh325 5 лет назад +1

    Watu wengi hutafuta Majinni kwa manufaa yao binafs Pengine Kibiashara, Kazi, Mali, au Kimahusiano!
    Na Ukipata Jinni ana Penzi ka Dhati/Kweli toka Moyoni.
    Wewe umepata Bahati hiyo unaichezea!😘😘😘
    ❤️😍Majinni😍❤️😘😘😘

  • @hajihajirajab609
    @hajihajirajab609 5 лет назад +38

    Yakhe..Usituzingue..Ulifumwa na Bibi la Kitanga..Sasa unajitoa kimasomaso..KTV fahari yetu😀😀😀😀

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 5 лет назад +1

    Na una Sijdha Mashallah...... mitihani haya

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 5 лет назад +4

    Bora upendwe na jinni akupe kila kitu kuliko binaadamu alokua hana shukrani wallahi

    • @juliuscharles5181
      @juliuscharles5181 5 лет назад

      Jini na binadamu hawahusiani katika kitu chochote wao wana maisha yao na binadamu tuna maisha yetu
      Cha msingi muombe Allaah akupe kilicho bora
      Na cha ajabu mtu anaweza akawa ana tabia mbaya halafu anataka mwenza wake awe mwema.... Ndo yaleyale mtu anafanya kila aina ya maasia halafu anataka kwenda peponi
      Allaah anasema ambadilishi mtu mpaka yeye mwenyewe huyo mtu abadishe ya moyoni mwake

  • @jerrykikuli3700
    @jerrykikuli3700 5 лет назад

    Mmmmh, movie nzuri atengeneze na kitabu

  • @nasser89nasser20
    @nasser89nasser20 5 лет назад +120

    SubhanaAllah
    hayo yako duniani na cio uongo huyo ni jini ashiqi alimkumba ndio tukaambiwa tusome sdhkar za asubuhi na jioni kwani wako kila upande tupendele sana kusoma Quran

    • @eliasmollel9213
      @eliasmollel9213 5 лет назад +1

      Hata mm haya masahibu yalinipata

    • @hassanmarcelo1973
      @hassanmarcelo1973 5 лет назад

      kwely kabsa

    • @latifamchekenje6718
      @latifamchekenje6718 5 лет назад

      @@eliasmollel9213 me najua Mala nyingi majiNi yanawakumba wanawake tyy

    • @mundiawangechi5259
      @mundiawangechi5259 5 лет назад +2

      Yesu anaweza yote na Sami yake inayo nguvu ya kutuokoa kutokana na nguvu zote za Yule muovu.🙏🙏nimejificha ndani yake yesu kristo

    • @magrethmahinya8202
      @magrethmahinya8202 5 лет назад

      Llĺlĺĺĺ

  • @el-eloheisrael9306
    @el-eloheisrael9306 4 года назад +1

    Wizi Mtupu, Mrudieni Yesu!

  • @manafikhatib9413
    @manafikhatib9413 5 лет назад +82

    Sina mbavu wallahy kwa kucheka kwa hiki kisa..... Dunia ina mambo kweli!!! Sasa mkeo kasemaje baada ya yote haya kufanyika

    • @munawwarabeid8634
      @munawwarabeid8634 5 лет назад +2

      Hhhhh tusemeje na ndo mkiona w.nwke wngn mnchnganyikiwa mtu ana mke mzur akitok nje kichch hhh yawakute tu

    • @khayratmuhamed6730
      @khayratmuhamed6730 5 лет назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka km mazur

    • @maryannwatare9144
      @maryannwatare9144 5 лет назад

      Nimecheka pamoja nawe, hahahahh... It's soo funny

    • @judyhassan6246
      @judyhassan6246 5 лет назад +1

      Yani kama ndo ningekuwa mkwewe,ningemuonesha show

    • @winskitchen.602
      @winskitchen.602 5 лет назад

      Nashangaa pia😂😂😂😂😂

  • @SHEMAHONGE
    @SHEMAHONGE 5 лет назад +1

    Jini kapata kibenten .....Safi sana

  • @fauziakassim323
    @fauziakassim323 5 лет назад +146

    Swala Quran na dua ni muhimu sana

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 лет назад +5

      Sura Al An'kabut (29 aya ya 45) Allah anasema:-
      "SOMA ULIYOFUNULIWA KATIKA KITABU NA USHIKE SALA. HAKIKA SALA INAZUIA MAMBO MACHAFU NA MAOVU. NA KWA YAKINI KUMFHUKURU MWENYEEZI MUNGU NDIO JAMBO KUBWA KABISA. NA MWENYEEZI MUNGU ANAYAJUA MNAYOYATENDA."

    • @fauziakassim323
      @fauziakassim323 5 лет назад +3

      @@alhamdulillah5796 it's true but kila unapojiwa na vitimbi vya sheitwan piga Audhubillah minashaitwan rajim.

    • @jumakurwa2524
      @jumakurwa2524 5 лет назад

      Una lolote umalaya tu tamaa ya mapenz sijda kubwa karibia upasuke paji la uso

    • @fauziakassim323
      @fauziakassim323 5 лет назад

      @@jumakurwa2524 hahaaaaa anaonyesha alikuwa anajielewa hivi mungu atusamehe

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 лет назад

      @@fauziakassim323, ni kweli

  • @halimasuleiman8413
    @halimasuleiman8413 5 лет назад

    Pole sana kwa mkasasa uliokukuta kaka Khalifa mungu akufanyie wepesi Inshaallah

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 5 лет назад +41

    jini lilikupa smartphone!! hilo jini linatumia jina gan Instagram😂😂😂😂

  • @sanhaabubakar1288
    @sanhaabubakar1288 4 года назад

    Tusome quranii n tufanye dua..kwa bidiii kwa sababu mungu ako uwezo I.a

  • @octavianfransic7687
    @octavianfransic7687 5 лет назад +3

    Allaha akujalie kila la kheri akuepushe. Na Shari za majini

  • @hawalul8094
    @hawalul8094 5 лет назад +1

    inaah lilahi wainnah ileyhi Rajiuun huyu ni msibwa Na hiyo sijdaa...SubhanaaAllah mzinifu na mzinifu mwenzake Ndo maana Jini kakufata.....

  • @muddyhatibu8395
    @muddyhatibu8395 5 лет назад +4

    Subuhanallah jmn mungu atuepushe na mambo kma hayo hvyo bx tusalin jmn sala ndo kila kityu

  • @rashidabdallah8061
    @rashidabdallah8061 4 года назад +1

    allah atunusuru na mabalaa na majanga ya ulimwengu,birahmatika yaa arhama rrahimiin

  • @fundimchizi5225
    @fundimchizi5225 5 лет назад +11

    Mnatafuta kiki mpate visitor wengi kweny hii chaneli...acheni uhuni

  • @brendachemtai6214
    @brendachemtai6214 5 лет назад

    Wa! Duh nmeshtuka hii story iko torchable

  • @nassirvanillah655
    @nassirvanillah655 5 лет назад +3

    Kwavile jamaa anafamilia ila kama hana familia mbona fresh tu namuowa muhimu anieleze ukweli yeye nani na uhakika wa usalama wangu basi mana nao viumbe kama waliletwa duniani wote kumuabudu mungu basi anahaki pia ya kuwa na binadamu kwani wangapi wanaowana maisha yanaenda we jamaa umepoteza bahati mana angekua anataka kukuzuru angesha kuzuru tangu siku ya kwanza kuonana nae

    • @gloryngonyani4078
      @gloryngonyani4078 5 лет назад

      Nassir Vanillah hao hawakuletwa duniani wamwabudu Mungu hapana hao walilaaniwa na Mungu

  • @mahersaid258
    @mahersaid258 4 года назад

    Mtihani mkubwa sana pole sana kaka

  • @mariamally2649
    @mariamally2649 5 лет назад +26

    Pole sana kaka yangu .mungu akupe furaha pamoja na familia yako ameen

  • @rozinamassawe4083
    @rozinamassawe4083 5 лет назад +102

    Tupo wakosoma comment tu ktika jina LA YESU shindwa pepo kemea pepo

  • @fatmashaharan1663
    @fatmashaharan1663 5 лет назад +43

    Hukua nahamu au unataka mkeo ajue hukufanya nae kama unaona huyu jamaa nikicheche gonga like

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 месяца назад

    Pole sana kaka kwa mitihan hii

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 5 лет назад +16

    SubkhanAllah Audhubilah Min' dhaliq

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 лет назад +1

    Jomba ulikua handsome umependwa mpka Na majini.
    Ila usiombe ya kukute skiliza ivo ivo kwa wenzako maana mambo haya yapo sana sana2 kwan hata Mzee majuto alipendwa Na jini hahahaha.
    Pole sana kaka Allah akuondoshee Na atuondoshee Na sisi nuksi kama izo unaweza kuvunja ndoa yako kwa ushetani wao hao.

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 5 лет назад +33

    Nimelala Naota We Baba Hayo Majini Yanakuchapa Fimbo 😂😂😂😂Akuuu Sitak Ushahidi 😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @senetakilaka2926
    @senetakilaka2926 5 лет назад +1

    Pole kwa umalaya

  • @margretwangari1018
    @margretwangari1018 5 лет назад +11

    Ulisahau kwako ukakimbilia maungo 😀😀😀Tama ilimuua fisi ulijua hujui hahahahah, wanaume mutakoma

  • @sallys7454
    @sallys7454 5 лет назад +1

    Sasa wewe ni mwana wa kisilaam na unasali imekuwaje ukajingiza na hayo majanga. Rudi kwa mungu wako kiuhakika. Na wewe ndo umemkaribisha huyo. Amen

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 5 лет назад +9

    Duuh pole Sana kaka

  • @paskalinadarabe4428
    @paskalinadarabe4428 4 года назад

    Dah piga like

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 лет назад +5

    Pole sana kwani punguzen kutongoza kwan mkeo kashakupenda unataka nn mashaallah imekuponza😂😂😂😂😂

  • @theinside3733
    @theinside3733 5 лет назад +1

    Mimi pia ningependa kukupa pole sana kaka maana majanga kana hayo yanamkuta kila mtu.

  • @abuubadry7569
    @abuubadry7569 5 лет назад +50

    pole sana ao wanaotukana hayajawakuta 2 😟😟

    • @pascalboniventure1323
      @pascalboniventure1323 5 лет назад +1

      Me yashanikuta me nimpokeuya wayeni nirimpokea jini mwanake

    • @fofomohammed6253
      @fofomohammed6253 5 лет назад +1

      Tena Sana Mimi nilimshuhudia mpangaji wajirani yalimkuta

    • @samwelhendry6570
      @samwelhendry6570 5 лет назад

      Duuuu!!hatari ndo majaribu hayo ambayo wanaume wengi wanashindwa kuyavumilia sasa hill ni funzo kwa wanaume wenye tabia kama yako

    • @mangasopilipili3147
      @mangasopilipili3147 5 лет назад

      Kabisa kakaangu

    • @sharonkippy1931
      @sharonkippy1931 5 лет назад

      Adam Shaa pole ye

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 4 года назад

    Yesu ndio kila kitu na ni ngao ya maisha yetu

  • @gaspermlay6493
    @gaspermlay6493 5 лет назад +10

    Mbona naona majini kibao yemetuma comments zao hapa na nyie hata hamtambui?! Poleni sana.

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah1623 3 года назад

    Big up bro, umekula mtoto wa kiarabu,usimumunye, naomba namba yake please. Mi ningemuowa kabisa.It's a romantic movie, hasa msingo wa karafuu.

  • @hamedladaq8609
    @hamedladaq8609 5 лет назад +56

    Huyu jini labda alikuwa anataka miwani yako labda.

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 5 лет назад +1

    Ulimwengu wa kijinni,njooni kwa Yesu Kristo muokolewe maana hao uliowaona ni misukule waliochukuliwa na majinni. Na alipofunika kioo alihitaji usiione sura yake halisi maana kioo na CCTV ni hatari kwa majinni maana inawaumbua.

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 5 лет назад +20

    Tufanyieni na filamu bana kama ya Juma aliepotea baharini msitutese😄!

  • @deuselizeo9694
    @deuselizeo9694 5 лет назад +2

    Mshukuru sana mungu,kamtumia huyo shehe.

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 5 лет назад +203

    Kutishana tu 😬 na Mimi sijui nani kaniambia nisikilize saivi usiku 🤥🤥

  • @Janetlyne
    @Janetlyne 5 лет назад

    Woooi yanatisha tutaogopa kukatiwa na watu strangers mungu saidia yasinikute

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 5 лет назад +13

    Mbona mmeweka picha ya jini inapoanza!? Mshindwe kwa jina la Yesu amen

  • @SharonMaloba-hg1mn
    @SharonMaloba-hg1mn 5 месяцев назад

    Mungu ako na wewe milele❤

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 лет назад +3

    Duh ndio Mkome kujipendea ovyo,Ukiona kizuri achana nacho tosheka kinai.Ona Sasa atakurudia tuu huyo Zidisha Maombi.Allah atuepushie ln Shaa Allah.

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 5 лет назад +1

    Loooh😯 looooh 😯😯 audhu billahi minal sheitwani rajim mungu atu epushe mbali na viumbe kama hivyo waah

  • @zulekharajabu7440
    @zulekharajabu7440 5 лет назад +107

    Duuuu ukisoma comments full enjoyment

    • @mwinyiabdallah1817
      @mwinyiabdallah1817 5 лет назад +1

      Umesema kweli yani

    • @zulekharajabu7440
      @zulekharajabu7440 5 лет назад

      Nae ukimsiklza ndio kabsaaa full enjoyments ×100000000000

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 5 лет назад +1

      @@zulekharajabu7440 hahaha hahaha hahaha umenickesha we mdada.

    • @zulekharajabu7440
      @zulekharajabu7440 5 лет назад

      Weye msiklze zen utanambia

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 5 лет назад +1

      @@zulekharajabu7440 kweli hizi story zinachekesha na nikweli huaga hivi vitu vina happen

  • @ameeraaljassim4138
    @ameeraaljassim4138 5 лет назад

    Pole sana nimekurumia

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 5 лет назад +11

    Subuhannallah May Allah s.w) crush this happens for any of us 🤓🤓🤓

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 5 лет назад +2

    Pole sana

  • @yussufebrazzy640
    @yussufebrazzy640 5 лет назад +7

    pole sana bro sali kwa wingi Allah atakisaidia

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 5 лет назад

    Mungu atuepushie jaman

  • @hakizimanaconstantin6835
    @hakizimanaconstantin6835 5 лет назад +24

    Wajameni ndani Ya Yesu kuna raha yaa ajabu ariye shuudia mwenyewe angali namajini haja okoka kumbuka Yesu ame kufa kwa ajili yenu anawa penda sana acana na pepo yama jini amini Yesu nimwokozi

    • @fatumamur7297
      @fatumamur7297 5 лет назад +2

      Ww haya ya yesu hayausu wIslamuu Mungu ndie wakutarajiwa kwa kila hali

    • @husseinkibua631
      @husseinkibua631 5 лет назад +6

      Hivi babuu akili unayo timam?.kama yesu
      Kakufa kwa ajili yenu (kwaajili yakubeba dhambi zenu),church mwaenda kutafuta nini ilhali Jesus keshaasepa na madhambi zenu?. Ushaapotoka asee,wachakupotosha wengine Mzee.. Ila nami nakuombea kwa Allah ili upate kuongoka na kufuata njia ya haki

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 5 лет назад +2

      @@husseinkibua631 😂😂😂

    • @mariapeter5345
      @mariapeter5345 5 лет назад +2

      Aminaa.... Hakuna linaloshindikana kwa yesu
      Mtangaze yesu bwaaaaana

    • @soniasaad8298
      @soniasaad8298 5 лет назад

      @@husseinkibua631 😀😀😀

  • @jescamartin3820
    @jescamartin3820 4 года назад

    Pole sana brother

  • @emmanuelrono8621
    @emmanuelrono8621 5 лет назад +38

    Kiswahili ya wa tz ni conc
    Sisi wakenya tunaumia kuelewa comments.😀

  • @khamisame9436
    @khamisame9436 5 лет назад +1

    pole sana kk kwakukutwa mtihani ulio kufika

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 5 лет назад +115

    Umalaya sio mzuri😂😂

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 лет назад +4

    subhana llah mtihani hipo kama hii kwa kweli mungu tunusuru lnshallah

  • @Michael-m123
    @Michael-m123 5 лет назад +39

    Ur story seems well scripted, bt during ur chat u seemed not to be sure about ur birthday date.....?????????

  • @paskalifaustini1137
    @paskalifaustini1137 4 года назад

    Pole san mungu ni mwema

  • @saidsoud9777
    @saidsoud9777 5 лет назад +204

    Mmekutana wote wazinzi jini mzinzi wewe mzinzi gari yako zinzi simu yako zinzi babaake na huyo jini ni zinzi😁😁

  • @mdmohamod4077
    @mdmohamod4077 5 лет назад +30

    Iko kioo kakifunik kwajili anajua kua binadam yeyote aliye tofauti na binadam wa kawaida ukimuangalia kwenye kioo inakuja sura yake halisi

  • @twahirarashid9666
    @twahirarashid9666 5 лет назад +3

    Pumbavu zako ww msalitiiii na mtelekezaji familia..
    Than KTV kama kuna matangazo mnapewa fanyeni kawaida musituletee story za movie pumvavu zenu
    Iyo story ni movie ya Ki Nigeria na ipo ivoivo kenge nyny

    • @pendocharles5957
      @pendocharles5957 5 лет назад

      Twahira Rashid anaji shaua baada ya Ku kutwa na hayo anaji suuza na shombo ya dagaa

    • @zariamandoti4875
      @zariamandoti4875 5 лет назад +1

      Inaitwaje

  • @princeben5510
    @princeben5510 5 лет назад

    Pole sana kaka.

  • @onikesachoni1973
    @onikesachoni1973 5 лет назад +53

    Ndio maana napenda kumwombea mume wang

    • @simoncharles3633
      @simoncharles3633 5 лет назад

      Comment hii ni moja ya comments nzuri, ni vizuri kuombeana. Kuna viumbe vyenye uwezo zaidi ya binadamu vinapenda kututesa na kutuwinda sana. Mke mwema au mume mwema hufanya hivyo kwa familia yake.

    • @bestermkanga6518
      @bestermkanga6518 5 лет назад

      Onike Sachoni

    • @ToxicAfricanKing
      @ToxicAfricanKing 5 лет назад

      😂😂😂

    • @hawaacosta7346
      @hawaacosta7346 5 лет назад

      Onike Sachoni safi saa

    • @gaspinho10tweve
      @gaspinho10tweve 4 года назад

      Nashukuru sana mke wangu kwa kuniombea nilikuwa sijui 😂😂😂😂

  • @mrok284
    @mrok284 2 года назад

    Hii habari niliipuuza kipindi kumbe mzuri Sana.

  • @nairatamara3484
    @nairatamara3484 5 лет назад +11

    Jesus Christ!!!! Praise GOD...!!!

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 лет назад +1

    Mtihani kweli Mungu atunusuru..mimi apa naobopaa..😣😣😣😣😣ila pale mnarawambao shetani lipo napabaya

  • @zalbak2738
    @zalbak2738 5 лет назад +34

    Hahahha nakumbukaaa siku nilogaiwaaa samaki bure pwaniii sijamlaa naogopaa 😂😂 unaa moyooo mpaaka onaondok kweny lodge
    Vya bure vina madhara

  • @fatmaomar6906
    @fatmaomar6906 4 года назад

    Mm nilipotea sku 7 nilikuwa huko ktka makzi yao ila stor ndefu sana na kuihadithia pia ningumu manke huwa wanantokezea npo pemba

  • @nicholassimon5673
    @nicholassimon5673 5 лет назад +25

    The problem is not yet over,trust me bro!aliyekutoa hilo jini ndio anakaa nayo!shida haija isha,shetani hamtoi shetani mwenzake hata siku moja.nina uhakika kama watakutafuta tena na ukawa mkweli utasimulia.jifunze neno hilo la fumbo hakuna ushirika kati ya giza na nuru-Itafute Nuru sasa kazi ipo kujua Nuru namaanisha nini

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 5 лет назад

    Laahaulaa, tudumu na adhkaar muda wote jaman