MZEE MAGOMA ALIPUKA YANGA WANIOMBE MSAMAHA KURUJUANI, FIGISU KURUJUANI "HAKI YANGU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 164

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 13 дней назад +24

    ahhh Goma boy mwenyewe huyo mwamba wa kurujuani.😂😂😂😂😂😂😂

  • @NeemaMdachi
    @NeemaMdachi 13 дней назад +23

    magoma mtu wa maana kabisa😆😆

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 13 дней назад +3

      Mtu wa maana huyu😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

    • @allytalhata7250
      @allytalhata7250 13 дней назад +1

      Mtu wa maana baba Ako na mama Ako ndugu,,kiliko uyo mzee ajitambui na akil zake zinarud za utoton,,mzee ni mwehu ajui analolifanya

    • @NeemaMdachi
      @NeemaMdachi 13 дней назад

      @allytalhata7250 we peleka huko makasiriko yako mm ndy nasema sasa magoma mtu wa maana unanipangia cha kucomment we vp

    • @NeemaMdachi
      @NeemaMdachi 13 дней назад +1

      @allytalhata7250 mmeshajaa kwenye mfumo tulien acha makasiriko kama vp lamba pasi ya umeme au meza reli 😂😂

  • @KayandaPatrick
    @KayandaPatrick 13 дней назад +7

    Leo mzee magoma ameongea point, engenia kaa chini na wazee muangalie ttz liko wapi???kiburi hakijengi

  • @AmirShamte-h8h
    @AmirShamte-h8h 5 дней назад

    From zanzbr.......Ilkuwa sitaki nicoment ila nimestuka mzee magoma yanga yko kumbee

  • @Naseebu-zn9fw
    @Naseebu-zn9fw 13 дней назад +7

    Mtu wa maana kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 13 дней назад +6

    Mwamba magoma mwenyewe huyo kiukweli ana baya na mtu😊

  • @WILLIAMCHILOSA
    @WILLIAMCHILOSA 13 дней назад +2

    Jamani Kuna mambo ya kuupuuzia hili alilolisema Mzee Magoma linaweza kuwa mwarobaini hili tatizo letu .Mungu iepushie mbali timu yeti hili jinamizi.

  • @maulidhussein2022
    @maulidhussein2022 10 дней назад +1

    Endelea kupiga KURUJUAN mubashara mpaka tushinde

  • @EdiSule
    @EdiSule 13 дней назад +5

    magom umeongea point

  • @athanasevaristmahega7488
    @athanasevaristmahega7488 7 дней назад

    Huyu mzee alindwe❤❤😂😂

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 13 дней назад +6

    Utopolo walicheza vyema sana.Kilichowaponza ni dharau

  • @info-w4l
    @info-w4l 11 дней назад +1

    Huyu mzee ni kama vile ana uhusisno au ana undugu na p didy

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 10 дней назад +1

    Kwan si mulisema munakikosi kipana

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 12 дней назад +1

    Tuko pamoja na magoma ndo maana tumefungwa kindezi wampe team yake mzee

  • @timotheothadeomgassa4929
    @timotheothadeomgassa4929 13 дней назад +6

    Jembe langu mzee magoma😂

  • @NYARATANYAMSEKELA
    @NYARATANYAMSEKELA 5 дней назад

    Tshirt ya Magoma ina nembo ya old Twitter , mzee janja sana

  • @jacksonmsyani7230
    @jacksonmsyani7230 13 дней назад +6

    Tunaomba namba yako ya simu tukuombe msamaha 😂😂😂

  • @JonasMnyakwela
    @JonasMnyakwela 13 дней назад +1

    Mzee wanakudharau ili ipo siku watakutafuta viongozi wenu 😂😂😂

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 10 дней назад

    kwa maelezo ya mzee magoma nyuma mwiko wanatumia sana uchawi

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 13 дней назад +4

    Kurjuani ya Mzee magoma inafanya kazi 😂😂Bado hamjasema 😂😂😂😂

  • @SwaleheAdamu-rg8hl
    @SwaleheAdamu-rg8hl 13 дней назад +1

    Hamna kitu hapo timu yangu bado iko bora acheni kuamini waxee wenye njaa.

  • @BernaDf
    @BernaDf 13 дней назад +1

    Zee la kurujuaniiii😂😂😂😂😂😅

  • @LukaMwilafi
    @LukaMwilafi 13 дней назад +5

    Mzeee kaza uziii,mpaka wajue

  • @chedielGomezulu
    @chedielGomezulu 13 дней назад +2

    mbona huyu mzee yuko sawa tuu,sioni kama ana shida katika hili?naona ana hoja nzuri asikilizwe

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 12 дней назад +1

    Mzee wa hekma kabisa 😂😂😂

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua 13 дней назад +2

    Mpira sio uchawi Mpira sayansi hicho ndio kinachowaponza uctengeneze mazingira ya kitaka kupiga hela timu kubwa ulaya zinafungwa na timu ndogo huwa ndio Mpira nahawaendi kujiuliza kwa mganga

  • @AlexAndrea-ct9ub
    @AlexAndrea-ct9ub 12 дней назад

    Mzee magoma upo vzr Babu uongiz ukae sio kocha Moira wabongo tunapenda kukomoana Simba yanga Azam tunasahau kua Kuna kimataifa waufanyie kaz ushaul wko mzee tusllaum kocha bwan yanga oeeeeeeeeeee

  • @GeorgeKifaru
    @GeorgeKifaru 13 дней назад +3

    Mchawi tu huyo njaa inasumbua

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 13 дней назад +1

    Kwahiyo hapo mzee magomeni unatuambia nini hapo mzee mpili arudishe laki tatu za watu ikwilili hahaaaaaa!!!!

  • @ayoubsanga315
    @ayoubsanga315 12 дней назад

    Magma Bwanaa , kavaa T Shirt ya nemno ya Twitter ya zamani. Mzee wa kijanja sana

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 11 дней назад

    Kinachonishangaza kumbe watu wengi hawajui kabisa mpira ivi makosa yaliosababisha yanga kufungwa mbona wapo wazi saana, ratiba ya yanga kwa kipindi hichi ilijuilikana ugumu wake, kuwepo kwa majeruhi wengi,kuwepo na kadi nyingi, na hata kocha wa yanga kujiamini saana, hapa hakuna Magoma Wala Manara ni kesi za mpira za kawaida tuu wacheni bwabwaja Watanzania

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 8 дней назад

    Wewe paka acha pesa hauchangiiii

  • @AshelyAbel-x1q
    @AshelyAbel-x1q 13 дней назад

    Huyu mzee leo hii mnamuona wamaana amakweri maisha yanaenda kasi

  • @danielimalaki
    @danielimalaki 13 дней назад +1

    Mzee we ni nomaaa haa haaaaaaaaa😂😂😂😂😂

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 13 дней назад +2

    Bwege

  • @MwanakomboJuma-q7m
    @MwanakomboJuma-q7m 13 дней назад +1

    Tukiwa wakweli ni kwanba madefender wa yanga ni waamuzi ndio maana ni vigumu kufungwa

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 13 дней назад

    no free lunch, haki kwa wachezaji na si kwa wanyonyaji

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 10 дней назад

    Kwan kuna timu gani isiyopata injary

  • @Shaha-d1i
    @Shaha-d1i 13 дней назад

    Nilichogundua kwa mzee magoma anaipenda sana timu yake ila kuna wengine watamuelewa vibaya

  • @MaxMillian-z9m
    @MaxMillian-z9m 12 дней назад

    kama mpra ingekuwa nidawa ingekuwepo Tim yawachawi NBC

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 13 дней назад +1

    Hakuna slow panchayat hata siku moja

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 13 дней назад

    Daaaaaah ila media mmenishinda baada ya kuona tumepoteza mara mbili mfululizo mmeona mumtafute Mzee magoma

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 13 дней назад +2

    S500 tv wamekutana Tena na kichaa mwezake Mzee magoma kivumbi Leo😂😂😂😂

  • @Talib-j5x
    @Talib-j5x 13 дней назад

    Kwenda uko ww mzee Muhammad sana iyo nyumba yako mwenyewe ukiingia lazima kwa masharti club gani ilokuwa yko

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 12 дней назад

    Mzee magoma nikikuangalia tu najua itakuwa yanga wamekukosea😂😂

  • @FedrickMrinda
    @FedrickMrinda 13 дней назад +1

    Huyu mtangazaji mpumbavusana hajui kaziyake anahoji kipumbavusana

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 13 дней назад

    Mzee wa kurujuan usiwasamehe kwanza watoto wamekukosea sana adabu hawa😂😂😂

  • @JonasMnyakwela
    @JonasMnyakwela 13 дней назад

    Hapo umesema mzee wakufate kina engineer

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 12 дней назад

    KENGE TU NDIO ATAKUOMBA MSAMAHA

  • @daudifungo5521
    @daudifungo5521 11 дней назад

    Mzee Anatafuta Kiki ila Ajipange Kuna Kitu Anatafuta ila
    Mwanakulitafuta Mwanakulipata Sio Yanga Huyu

  • @shedrackmabanda8585
    @shedrackmabanda8585 13 дней назад +1

    Mwandishi chizi magoma chizi promax

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 13 дней назад

    Ulichoandika ni tofauti na maelezo ya magoma😢

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 13 дней назад

    Mzee magoma mngemuacha aendelee kufuga samaki😂😂😂

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 13 дней назад

    ❤Wamwombe,Msamaha kwani,yeye,Mungu

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 12 дней назад

    Kama Mpira Ni Uchaw Kombe La Dunia Miaka Yote Wangechukua Nigeria Mpira Ni Uwezo Wa Wachezaji Na Maelekezo Ya Kocha Wachezaji Wakiyafata Basi

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 13 дней назад +1

    Mimi ni Simba ila Mzee yukosafi,

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 10 дней назад

    nyie wezi hebu mpeni mzee magoma timu yake mushikilia2 kuwapiga watu sindano

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 6 дней назад

    Wakupe timu yakooo magomaaa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 13 дней назад

    Magoma uko sahihi.Nakuelewa sana.

  • @LwingaOsiah
    @LwingaOsiah 13 дней назад

    Wana Yanga ni muda wa kushikamana,maana wachawi tayari wamesha pata mwanya wa kuwachonganisha wana Yanga kati ya wachezaji wetu,viongozi wetu,benchi la ufundi,na mashabiki kwa ujumla.Huyu mwandishi anaonekana tu yuko kwa ajili ya kuivuruga Yanga,maana anaonekana mengine anachomekea ya uongo tu.Tuwe na macho ya kuona.

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 13 дней назад +1

    Kirusi hiki hatari sana😊

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 13 дней назад +1

    Viongozi wakae chini na Mzee Magoma wayamalize

  • @geraldmagembe4428
    @geraldmagembe4428 11 дней назад

    Jinga hilo na hawaishi hao.

  • @StanlyMagali
    @StanlyMagali 13 дней назад

    Kwa Nini kocha hanatatizo wakati mwaka pili na usajiri yeye ndio amezingua kutosajiri beki wa akiba

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 12 дней назад

    Fwalah huyu

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 13 дней назад +1

    Viongozi kweli wamuone magoma

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 13 дней назад +2

    Huna baya Mnyamwezi magoma

  • @CyprianMichael-j6q
    @CyprianMichael-j6q 13 дней назад

    Akwendezaka yanga Yako umelisi kwanani na yanga hatutumii uchawi

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 13 дней назад

    Magoma some time yupo sahihi sana

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 13 дней назад

    Kaeni chini wazeee yanga irudi mahali pake

  • @JuliusKideula-qt4pq
    @JuliusKideula-qt4pq 13 дней назад

    Puuzi hili zee liwangaji tu

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 13 дней назад

    mapovuu tuu kwa UTOoooo

  • @DaruweshAkida
    @DaruweshAkida 13 дней назад

    Yanga imefungwa nananyimbo yahamoniz imefungwa

  • @HashimBinlaibu
    @HashimBinlaibu 13 дней назад

    Akafilie mbele huko alafu sasa mtu mwenyewe hata mkononi hajai hana lolote jamani tusihangaike nguo alizovaa jana ndyo hizohizo alizofanyia intervew

  • @kassimmachela8259
    @kassimmachela8259 13 дней назад

    Mzee wa Kurujuani😂😂😂

  • @ShabanJinga
    @ShabanJinga 12 дней назад

    acha kujikweza akuombe nani msamaha wewe yanga umeikuta

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 13 дней назад +2

    Haya SASA muombeni msamaha Mzee magoma kama hamtaki kulujuani itaendelea kufanya kazi mechi inayofuata yakimataifa mtakuja kulia tena😂robo fainali mtaisikia kwenye radio🤪 ubaya ubwelaaaaa 😁😁🤪😜🤪

  • @ShoppersPlaza-b6i
    @ShoppersPlaza-b6i 13 дней назад

    Magoma kama magoma

  • @agustinosamwely4366
    @agustinosamwely4366 13 дней назад

    huyo mzee kichaa anatafuta umarufu ya uzeee

  • @Abdullradhaq006
    @Abdullradhaq006 13 дней назад

    jua mpira hauna mwiko, aitotokea tim duniani isiofungika 3 zaidd, japo sio za kujirudiarudia apo sawa.

    • @KasalamaAlly
      @KasalamaAlly 12 дней назад

      Hiyo penalty angepiga hamida mobeto

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 13 дней назад

    magoma tuma namba tukuchangie

  • @shabanipande5379
    @shabanipande5379 13 дней назад

    Magoma karudi Tena Kwenye Trend

  • @IssackJackison-f2x
    @IssackJackison-f2x 13 дней назад

    Tv ya magoma hyo maana inamhoji yeye tu

  • @CyprianMichael-j6q
    @CyprianMichael-j6q 13 дней назад +1

    Mzee hajuimpira kwani uko ulaya hawafungani magori mengi akwendezake asituletee mambo ya uchawi! Brazil alishapigwa goli 7 -0

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 13 дней назад

      Kweli hata Brazil walisha big ikawa 7/0 huko mbali hata hapa hapa yanga alisha pigwa 6/0 mzee huwezi kuzuia yanga isifungwe

    • @kulwambegu9148
      @kulwambegu9148 13 дней назад

      Blazil na yang?

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 13 дней назад

    Wewe kaa huko huko usiingie huko. Hiyo njaa tu tuachieni yanga yetu tuipige nenda kale ugali na kisafu kuku huku amna

  • @tomasjilundumo865
    @tomasjilundumo865 13 дней назад

    Wewe mzee huna jipya unataka kutuletea makund kwenye timu yetu

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 13 дней назад

    Mzee magoma waache timu Yao waone kama awawezi wakufate kama wabishi waachie timu yao

  • @CharlesMwita-sl1jf
    @CharlesMwita-sl1jf 13 дней назад

    Tatizo wachambuzi,na huyo mzee Magoma hamjielewi,mabeki wote ni majeruhi,na wengine wana kadi,timu inashindaje?

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 13 дней назад

      Sasa ndio kwa Tabora? Umeshasahau ulivyokuwa unajinasibu una kikosi kipana😂😂😂

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 13 дней назад

      Na penati uliyokosa beki wanahusika vp

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 10 дней назад

    slow pacha😂😂😂😂😂😂😂

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 13 дней назад

    Mzee Magoma anakosea anapoamini kuwa utatuzi wa changamoto ya Yanga kufungwa ni masuala ya kishirikina.
    Hayo ni mambo ya kizamani na hayajawahi kusaidia.

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 13 дней назад

    Mzee kigoma hatukutaki njaa tu hiyo tuachie yanga yetu engenia yupo

  • @OdethaBarnaba
    @OdethaBarnaba 12 дней назад

    Dah kuamin ushirikina nako shda

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 13 дней назад

    Mtu akikosea yatasemwa mengi kama marehemu wanavyomsema

  • @enockshombe6311
    @enockshombe6311 13 дней назад

    Wazee kama Hawa wafukuzwe kabisa kwenye usnachama hawafai kwa ulimwengu wa kisasa , halupo analo changia kwenye clab Bali yy ni maovu tu

  • @PauloKomba-n5c
    @PauloKomba-n5c 13 дней назад

    Waje na magoti kukuomba msamaha

  • @FrankKaniugu
    @FrankKaniugu 12 дней назад

    Slow pancher

  • @BakariMwango
    @BakariMwango 13 дней назад

    Magoma tv

  • @JonasMnyakwela
    @JonasMnyakwela 13 дней назад

    Mzee wanakudharau ili ipo siku watakutafuta viongozi wenu

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 13 дней назад

    Huyu ni mshamba mmoja tu asiyejielewa

  • @edwinmeenda9171
    @edwinmeenda9171 10 дней назад

    Mwandishi unaongea sana