🚨Uchambuzi Crownfm,Mazito Barua ya Simba Sakata la Uwanjani,Mkuu wa mkoa ajibu mapigo,mengi yaibuka.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 98

  • @deejayfifty9626
    @deejayfifty9626 6 часов назад +5

    Kanunu na sheria zichukuliwe zidi yao hadi huyo mkuu wa mkoa

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 9 часов назад +4

    Mkuu wa mkoa hahovyo kabisa sijawahikuona hovyo

  • @allyhamisi-pq7yf
    @allyhamisi-pq7yf 8 часов назад +3

    Dah! Sisi Simba tuna kaz kubwa sana, hadi wakuu wanashiriki kutuhujumu.

  • @swaleherashidimayunga4891
    @swaleherashidimayunga4891 8 часов назад +3

    Hayo ndiyo madhara ya udhamini wa GSM na ushabiki uliopitiliza huyo siyo mkuu wa mkoa ni khainithi mmoja anaye jitambua uhanithi wake

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 7 часов назад

      Acha matusi wewe.

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 5 часов назад

      Ushawai ata kuka selo dakika tatu tu endelea na matus tu umu

    • @CristopherSanga
      @CristopherSanga 5 часов назад

      GSM anahusikaje hapo Simba napamba achana GSM hauski hapo

    • @amanyisyeoswald1613
      @amanyisyeoswald1613 4 часа назад

      Ukikamatwa utakuwa peke yako! Matusi ya nini?

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 43 минуты назад

    Aisee hii mchi jamani Mungu amewalani

  • @NahabirJuma-rl2we
    @NahabirJuma-rl2we 9 часов назад +3

    Mkuu wa mkua kazingua ban mpira na siasa wapi na wapi

  • @CharlesDaniel-e8z
    @CharlesDaniel-e8z Час назад

    Huyo Anafaa kua mkuu wa mkuo nyumbani kwako

  • @swadahamningo1948
    @swadahamningo1948 6 часов назад +1

    Ubaya ubwela,mpaka wanaleta defender uwanjani na bado mbwa nyie mtaandamana sana mwaka huu.

  • @MohdMwigongo-s2k
    @MohdMwigongo-s2k 8 часов назад +2

    Sasa mbona hao viongozi wa Papa hukuwachukuwa wakati walivunja kanuni

  • @SubiraAdamu-l3d
    @SubiraAdamu-l3d 5 часов назад

    Simba goli zote ushindi❤

  • @JofredHamis
    @JofredHamis Час назад

    Ngovu wa GSM

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 8 часов назад +1

    Huyo mkuu wa mkoa anajua sheria kweli.Tanzania inaweza kufungiwa na FIFA serikali kuingilia michezo.

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 6 часов назад +2

    Chama cha mpira mkoa wa Mwanza wako wapi? wanasemaJe? Mbona mkuu wa mkoa anaongea sana.... Nataka viongozi wa mpira mkoa wa Mwanza waseme.

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 6 часов назад

      Mkuu wa mkoa anahaki ya kujibu kwa sababu shutma ni zake,acheni kuchafua viongozi wa serikali.

    • @silasmarandu1485
      @silasmarandu1485 Час назад

      Wachumia tumbo tu hao!
      Mkuu Wa mkoa alipaswa kuongelea kipengele cha usalama tu, hayo ya technically waachiwe viongozi Wa michezo mkoa

  • @alfoncemaganga5441
    @alfoncemaganga5441 6 часов назад +2

    HUYU ALIPEWAJE UKUU WA MKOA NANI ? KICHEFUCHEFU KWELI VIONGOZI WENGINE , SIMBA HII SIYO YA KUFANYIA FIGISU MZEE

  • @dismascosmas7860
    @dismascosmas7860 7 часов назад +1

    Mkuu wa mkoa kuwa muongo ni kosa

  • @leonardkapati3125
    @leonardkapati3125 6 часов назад +1

    Kwan mkuu wa mkoa alishampigia RPC simu Bado uwanja WA CCM kilumba uko wilaya Gani je hakuna OCD? Hadi mkuu wa mkoa hakuwa na majukumu mengine ?

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 8 часов назад +2

    INGEKUWA YANGA NDIO WAMEFANYIWA HAYA SAUTI YA JEMEDARI USINGEISIKIA, LAKINI NI SIMBA..... MAMBO LAZIMA YAKOLEZWE IKIWEZEKANA MAFUTA YAPAKWE ILIMRADI TUU HAWA WANAZI WA SIMBA WAJIKOSHE.

    • @amoji126
      @amoji126 5 часов назад +1

      Haijalishi nani ataongea na atanyamaza, ukweli utabaki kuwa ukweli.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 часа назад

    Gsm ndo muharibifu ligi ya tz

  • @fadhilsihaba5716
    @fadhilsihaba5716 4 часа назад

    Huyu mku wa mkoa basi ten na uongozi atusameh tena ila tunamshukuru

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 3 часа назад

    Siyo hoja Mkai wewe mwambie Ahamed Ally atoe ushahidi wa picha

  • @RichardiJohn
    @RichardiJohn 5 часов назад

    Ukiwanaakilitimamuu aliyepaswa kushikiliwaa ni viongozi wasimba au hao maafisaa wa Pamba mkuwamkoaa UNASHIDA gani mbonaa unajitekenaya mwenyewee

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 9 часов назад +1

    Waandishi wa habari hadi huruma

  • @NasmaKhatibu-s4n
    @NasmaKhatibu-s4n 3 часа назад

    tunaiomba serikali mkuu wa mkoa achishwe km

  • @IddyHussein-tb8uc
    @IddyHussein-tb8uc 4 часа назад

    Hao kina KAZUMARI nao maandazi tu wanajua kila kitu Ila tunajua niruswa tu usemeeni mpira Acheni uchambuzi uchwara kutetea ujinga huu mpira watu ni siasa tupu

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 3 часа назад

    Na mashabiki wa Simba walivyo na Akaili ndogo unachukua maneno ya msemaji kama yalivyo . Mkuu wa mkoa hana tatizo

    • @samweli7985
      @samweli7985 Час назад

      Wewe ndiyo hunaakilu, hujui kulikuwa nawatu wengine? Na pamba walienda kufanya nini uwanjani😊

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 4 часа назад +1

    Tulien dawa iingie kenge nyie

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra Час назад

    Na tumewakanda wasenge hao

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 5 часов назад

    Wasijitetee, hata yanga waliingiliwa na singida black.stars na wakafanya mazoezi nusu kiwanja,halafu ninyi crown hampo kwaajili ya michezo mpo kwajili ya simba

    • @IbrahMsengwa
      @IbrahMsengwa 4 часа назад

      Eeh nyi kwenu c wcb sasa kianawauma nn yaani huu mwk mkicheza nje tnacheza na nyny mkicheza ndani tunaruka na nyny

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 8 часов назад

    Mkuu wa mkoa yupo sawa hawa wanapenda vurugu kama chama kimoja na bendera yake ni yaivyo

  • @deejayfifty9626
    @deejayfifty9626 6 часов назад +1

    Rpc yuko wap mbaka aende mkuu wa mkoa kutuliza hizo fujo

    • @usiniguse
      @usiniguse 6 часов назад

      Shangaa. RPC MKUBWA MNO. OCD WA WILAYA HUSIKA ALITOSHA KWENDA KUTATUA CHANGAMOTO ILIYOKUWEPO ENEO HUSKA

    • @usiniguse
      @usiniguse 6 часов назад

      Cha kushangaza MKUU WA MKOA ANAENDA 😂😂

  • @IshaKidd
    @IshaKidd 8 часов назад

    Mwaka wa kupotea ni wakupotea tu pamba fanyen mfanyavyo lakin hii game ya Leo mnakufa tena tunawauw kikatili zaid ya Ahl Tripoli

  • @azirajiabdallah7177
    @azirajiabdallah7177 4 часа назад

    Km ingalikua yang wachambuz midomo mirefuuu kuichafua yang

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 8 часов назад

    Waandishi wa habari bana njaaa uwoga vinawatesa sana

  • @SadikiAmri
    @SadikiAmri 8 часов назад

    Yanga yanga mtanda inamponza viongizi wanaingilia maswala ya mpira

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 8 часов назад

    Simba wahukumiwe kwa kuvunja milango na madirisha, wachawi wakubwaa hao.

  • @IsraelJacobo-r9r
    @IsraelJacobo-r9r 8 часов назад +1

    Sitaki kusikiliza kiongozi asiyezingatia Sheria za mpira, inasikitisha Sana!

  • @JohnsonMichael-c2x
    @JohnsonMichael-c2x 8 часов назад

    Ndio shida ya viongozi wa kuteuliwa, hapo anaonyesha mapezi yake kwenye timu yao ya chama

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 8 часов назад

    Aaah huyu bhaaana nae hakufa nya poa angetulia tu ama sivyo hiyo timu ihame uwanja maana kwa matukio kama hayo hayaleti picha nzuri

  • @josephat66
    @josephat66 4 часа назад

    Kwn pamba hawana ofis yao mpka uwanjani

  • @SophiaWanene
    @SophiaWanene 8 часов назад

    Manara alisa baba yake na kikwete ndo wana akuli tu ndo huo utoporo unaendelea

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 5 часов назад

    Kila siku simba ni kulialia tu,nyenyenyenye,waambie hao wapumbavu wasilielie si wanasema ubaya ubwela wanaunya unya nini

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 7 часов назад

    Huyu mkuu wa mkoa ni mwanachama wa yanga anatumia sisal kuhujumu simba mara vikao vya Chama mara viongozi wa Pamba

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 7 часов назад

    Wandishi mwambieni ukweli amekosea hiyo mkuu

  • @ganjosuleman9263
    @ganjosuleman9263 8 часов назад

    Mku wamkowa kaongeza vurugu nasiyo kutulizavurugu

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 8 часов назад +1

    SIONI NAMNA YANGA WANAHUSISHWA HAPA. WACHAMBUZI MMEKOSA UELEDI

  • @SangoGadiel
    @SangoGadiel 8 часов назад

    Huyo Ni muongo, mkuu wa mkoa anajiami amefanya makosa,,
    Kama ana kiri kuwa pamba walikuwa sehemu ya tukio kwanini haja wakamata hao vihongozi wapamba?

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 6 часов назад

    Acheni Uongozi na upuuzí, Sasa ktk vyumba vya Uwanja Simba mnataka kufanya mazoezi Gani, au mazoezi ya ushirikina au kutaka kupulizia madawa ya kuchosha wachezaji.

    • @yohanakayinga9279
      @yohanakayinga9279 5 часов назад

      Acha ujinga mashabik wa yanga chezen mpira achen figisu

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 5 часов назад

      ​@@yohanakayinga9279tulia dawa iwaingie vyumba vya kubadilishia nguo mnafanya mazoezi Gani kama sio uwanga mliposema ubaya ubwela mlimanisha kweli?hapa KAZI tu malalamiko weka kando

    • @JofredHamis
      @JofredHamis 42 минуты назад

      Oya makocha tume watowa mbali hakuna kuiba mbinu kaka😂

  • @bone102
    @bone102 8 часов назад

    Sasa jana ilitakiwa Simba tu wawepo uwanjan Mkuu wa Mkoa kasema Pamba walikuwa uwanjani kwann wawepo uwanjan kama sio figisu na kwann wakamatwe viongozi wa Simba tu na viongozi wa Pamba ambao ndo wamevamia wasikamatwe

  • @witnessgeorge1976
    @witnessgeorge1976 7 часов назад

    Sasa yanga inaingiaje hapo, embu tuachen na yanga yetu

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 6 часов назад

    Hamna kiongoz hapo inamana simba wangesubir police waje kuwa toa wangekuja saa 1 timu ingefanya mazoez usiku na vijinga vya moto

  • @kilianfundi3442
    @kilianfundi3442 8 часов назад

    Anaejua anajua tu tabu iko palepale ubaya ubwela

  • @SangoGadiel
    @SangoGadiel 9 часов назад

    Mkuu wa mkoa acha uhongo, wewe nikongozi acha kubwabwaja.

  • @fascharpacal3305
    @fascharpacal3305 5 часов назад

    unatoka usingizn?

  • @rashidiiddi2433
    @rashidiiddi2433 9 часов назад

    Mungeambiwa kunamajambazi wamevamia ungeenda au ujielewe ww nirais wamwanza

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 8 часов назад

    Malalamiko Fc! Watu wamesahau Singida waliingia uwanjani wakati Yanga wanafanya mazoezi Amani stadium na wala hakuna mtu aliyelalamika😂😂

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 8 часов назад

    Atambua Watu anaowaongoza ni pande mbili tu,SIMBA NA YANGA..Apunguze ujinga atauacha Mkoa while SIMBA NA YANGA zitaendelea kuwepo

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 6 часов назад

    Mkuu wa mkoa wale watu waliobaki uwanjani ati wana kikao ni kwa kanuni gani? Au ndio kutengeneza figisu naujinga wa wanasiasa uchwara kwa ushabiki

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 6 часов назад

    Hiii timu linaendeshwa kihuni sana ndio maana nawapenda sana viongozi wa yanga ni very smart, brilliant, intelligent and very cool sasa mkuu wa mkoa ni kiongozi wa usalama wa mkoa lazima ahakikishe mkoa unakuwa salama yani nyie mnaanzisha vurugu uwanjani wenyewe na kuvunja viooo vya ofisi za mamenager wa uwanja na milango alafu mlitaka mkuu wa mkoa asije alafu mnaficha ujinga wenu kwa kutumia kivuli kuwa eti mkuu wa mkoa amekuja kwasababu ni shabiki wa yanga acheni izo nyie, naona mwaka huu mnautaka ubingwa kwa kufosi chezeni mpira acheni mbeleko kama ni ubingwa mtaupata endapo mnakikosi kizuri na mipango mizuri sio kwa kufosi ivyo ivi nyie mnazani msinge anzishavurugu wenyewe huyo mkuu wa mkoa angekuja hapo uwanjani?? Yani madunduka ni madunduka tu😆.....
    Walensi karia ni mwanachama na mshabiki wa simba lakini anaziongoza simba na yanga zote sasa nyie makolo mnachashangaa nini mkuu wa mkoa kuwa shabiki wa yanga au mlitaka awe shabiki wa simba🤣🙌.....
    Mkuu hata usitumie nguvu nyingi haya mazwazwa msimu huu yanautaka ubingwa kwa nguvu hayajui kwamba ubora na mipango ya timu ndio waga inaamua nani awe bingwa wa nchi

    • @sadih5333
      @sadih5333 4 часа назад

      Maelezo mengi umesibitisha u Kuma wako

    • @pacomezouzoua9175
      @pacomezouzoua9175 3 часа назад

      @sadih5333 si mnaona sasa akili za haya mabwana😆😆
      Na mwaka huu mtatukana sana

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 Час назад

    Simba walikua wanaomba msaada wa kubebwa na tff na wamesaidiwa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 8 часов назад +5

    Tanzania ifunguwe kwa vutu vidogovidogo hivi? Vitu vidogo sana hivi mbona singida black star waliwafanyia yanga vitu kama hivi na bado singidablack star walifungwa, nyie kolo mda wote mnaota ulozi.

    • @hassanmakame4382
      @hassanmakame4382 7 часов назад +6

      Kuma ww unaongea mavi

    • @EfremChilemba
      @EfremChilemba 7 часов назад +2

      Ww utopolo bwege mkubwa unaongea utopolo tupu nyinyi ndio mnaosababisha Simba hisisonge mbele MWAKA huu mtaabika sana

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 7 часов назад

      Mafala tu wanadeka

    • @AbdalaMohamedi-jk2yc
      @AbdalaMohamedi-jk2yc 7 часов назад +1

      Unamakalio yako yalivyokuwa meusi kama ya yule mkuu wa mkoa wa utopolo

    • @Suma21Melody
      @Suma21Melody 6 часов назад +1

      Yanga hatuna shabiki mjinga kama wewe unae bariki vitendo vyaki shamba mpira unachezwa uwanjani

  • @NyangilaMwessanyangila
    @NyangilaMwessanyangila 9 часов назад

    Jemedari acha ushamba unaongea yanga ya Nini? Pumbavu koma.

    • @bahatimushi2003
      @bahatimushi2003 8 часов назад

      Ukome wewe mshamba

    • @HasnatMustafa-n1q
      @HasnatMustafa-n1q 8 часов назад

      Koma wewe ndo kuma wew

    • @bone102
      @bone102 8 часов назад

      Sasa asiongee ya Yanga wakati inajulikana Mkuu wa mkoa wa mwanza ni mWanachama wa Yanga na kasema wazi atafanya juu chini simba ifungwe na Pamba na katoa dau kabisa

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 8 часов назад

      Wew pinga sio jemadari ndio alio anza kuitaja yanga bali ni mkuu wa mkoa ndio alio anza kuitaja yanga kwahiyo wewe huja msikia mkuu wa mkoa alipo itaja yanga bali umeisikia ya jemadari acha ushabiki maandazi

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 6 часов назад

      Sio kweli​@@bone102