MZEE MAGOMA AMLIPUA MAULID KITENGE & WASAFI MEDIA "MTOTO ANATUMIKA SANA YULE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 259

  • @Userog254
    @Userog254 3 месяца назад +1

    KweliWASAFI wamenunuliwa naGSM, wanasimba yetu KINGS

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 3 месяца назад +5

    Nakuombea kwa mungu uqeze kushinda kesi yako inshaallah mungu akusaidie maana wanataka kukubambikizia kesi hata ambayo huijui pole sana mungu atakulinda mzee ilikuwa nikitu kidogo tu nahuyu mauridi kitenge umezungumza kweli anazarau sana yule jamaa

    • @drjbmsige4098
      @drjbmsige4098 3 месяца назад

      labda ashinde njaa.. ana kesi nyingine tena na maulid kitenge ya kumshushia hadhi

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 месяца назад +1

      Ww na huyo magoma ndiyo mawakala wa shetani.

    • @saidsalum6101
      @saidsalum6101 3 месяца назад

      @@yakobokuzenza6837 acha kutukana watu wewe kama huna hoja zamsingi usiwe unapoteza pesayako ya kununua bando mzee anaongea vitu vyamaana sana nimemfatilia navikikamilika hivyo utajivunia yanga kama wewe nishabiki kweli wayanga

    • @Meku-y2s
      @Meku-y2s 3 месяца назад

      Mpigie sim kabisa

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 3 месяца назад +6

    Shendwa we mzee katika jina la Yesu, natamani Maulid aione hii kesho akulipue tena, wewe enzi zako zishaisha tupo vijana wenye nguvu, tulia nyumbani ulee wajukuu

  • @PaulNdauka
    @PaulNdauka 3 месяца назад

    Mzee muhuni sana huyu....."huyu mtoto mjinga mjinga" muhuni wa zamani noma sana

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 3 месяца назад +3

    Mimi tangu mwaka jana sipotezi mda wangu kufungulia media ya wasafi eti nasikiliza uchambuzi pale kwasasa kuna machawa wa yanga akuna wachambuzi pale kuna wasaka tonge

  • @JumaMukhtar
    @JumaMukhtar 3 месяца назад +2

    Huyu mzeè ni wakumsikiliza kwa makinò utamuelewa😂

  • @jumanayopa
    @jumanayopa 3 месяца назад +8

    Ww ndyo hufatilii ila sisi ndyo kituo chetu namba Moja sawa

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 месяца назад +8

    Magoma umetisha kwa maulidi wa kitenge

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 3 месяца назад +4

    Ganda la ndizi 😂😂😂 chocolate anakwenda marekani ❤😂😂🎉

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 3 месяца назад

    Mzee magoma uko juu ni kweli huyo mtangazaji anajibeba sana

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 3 месяца назад +15

    Hii Maik Ya S500 tv saiv inanuka Harufu ya Magoma tu😂😂😂

    • @oliverwhite1676
      @oliverwhite1676 3 месяца назад

      Acha chuki ukimsikiliza mzee Magoma Yuko sahihi acha ushabiki

    • @paulmasunga1754
      @paulmasunga1754 3 месяца назад +2

      @@oliverwhite1676 Magoma Zee la hovyo et linasema limetega mtego yanga ya kutegea mitego Mpen ushaul Mzee wenu🤣🤣🤣🤣

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 3 месяца назад

      Hawana content

    • @paulmasunga1754
      @paulmasunga1754 3 месяца назад

      @@SaraJinalangu Kwa kwel yaan ndo wameona dili

    • @charlestobby6031
      @charlestobby6031 3 месяца назад

      ​@@oliverwhite1676yuko sahihi wapi mchukue wewe basi awe mshauri yako

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 3 месяца назад +3

    Maulid Kitenge Ganda la ndizi anatanua miguu hahahaha , kwaiyo mzeee MAGOMA unamaaana kitenge analiwaaaa

  • @MethodkifokaMethodkifoka
    @MethodkifokaMethodkifoka 3 месяца назад

    Kwaiyo uritaka awe upande wako ndo umuone ana akiri, wee zee jinga sana

  • @JohnLyakurwa-v8y
    @JohnLyakurwa-v8y 3 месяца назад +8

    Magoma tupo pamoja hadi ufilisike na ufungwe

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 месяца назад +2

    Magoma hongera Sana kamanda unyama mwingi

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 3 месяца назад +1

    Hahahaaa ww mzee muongo kweli Wasafi ndo Radio ambayo tunaisikia

  • @HasanKisome
    @HasanKisome 3 месяца назад

    Magoma juma Shabani Akili kubwa sana kuliko Utopolo Woote Hakuna Cha Kanga Wala Ashura cheupe.pumbaav sana

  • @SaidOmary-fd3bj
    @SaidOmary-fd3bj 3 месяца назад

    HUYU MZEE MM NAKUELEWA SANA
    TATIZO SS WATANZANIA TUMENYIMWA ELIMU YA KUFIKIRIA

  • @IssaAusi-s6h
    @IssaAusi-s6h 3 месяца назад

    Kumbe kitenge babaako uyu magoma wakufkia mwambie mamaako

  • @DicksonRaphael-j4y
    @DicksonRaphael-j4y 3 месяца назад +1

    Wewe mzee wangu magoma ilo swala ungeachana nalo maana na uyo mwanashelia wako anataka kutumia hela zako tu huwezi kushinda nibora iyo hela ungeanzisha biashala tu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 месяца назад

      Magoma hanahela Kuna majambazi wa makolo ndo wanamlipia

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 3 месяца назад +3

    Unajua huyu magoma muhuni sana yaani muhuni wa zamanı nimechekaaa sana na maneno yake ya kihuni

  • @Sostere98
    @Sostere98 3 месяца назад +2

    Huyu Mzee Yanga mtakuja kumkumbuka sana

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 месяца назад

      sasa nyinyi mangungu anawasaidia nn c kama mwali tu pale kwa MO yaani nyie mnajiona mko sawa alafu wote mko upande wa MO c ndio yaleyale ya magoma Mwkt hana kauli kaka tu muda wake umalizike

  • @MartinWekesa-c2x
    @MartinWekesa-c2x 3 месяца назад +1

    Katafungwa,huwo ndo mwisho wa reli kwake....😂😂😂

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 3 месяца назад +5

    Siwema Chiokote😂😂😂😂 kitenge Angalia unaweza Kua unatukana Baba zako

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 3 месяца назад +6

    Mzee kazakaza uko sawa

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b Месяц назад

    Kitenge ni chawa kweli

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 3 месяца назад +2

    Mauzindeee

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 3 месяца назад +2

    mzee ushauri WA Bure, anzisha tim Yako iitwe magoma sport club

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 3 месяца назад +2

    Magoma anatuzungusha tu, kwani MAKONDA Kaonekana au bado!?.😅

  • @SylvesterZambert
    @SylvesterZambert 3 месяца назад +1

    Wewe mwandishi nohuyo magoma wote ni vichwa maji

  • @hamidjuma2178
    @hamidjuma2178 3 месяца назад +3

    Ganda la ndizi tushafahamu 😅😅😅😅

  • @enemtanzania
    @enemtanzania 2 месяца назад

    Harufu nzuri au mbaya?

  • @omarimhd7716
    @omarimhd7716 3 месяца назад +1

    Big up kitenge maulid

  • @olekimjaa4705
    @olekimjaa4705 3 месяца назад +3

    Ganda la ndizi😂

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 3 месяца назад +1

    Huyu Sio Mzee hivyo Ila Kuna watu Watu wapo nyuma yake.Tabu za wa pwani hawana nongwa ni waungwana.

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 3 месяца назад +1

    Uyu baba anapenda ugomvi😅😅😅

  • @IssaAusi-s6h
    @IssaAusi-s6h 3 месяца назад

    Yupo swa uyu mzee kituo cha kinafki kire wasafi

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 3 месяца назад +9

    Wewe mzee unacheza na taasisi yenye watu wengi nyuma yake utapata shida kwenye maisha yako kaa chini ujitafakari.

    • @shadrackjairo238
      @shadrackjairo238 3 месяца назад +4

      Acha uoga unapotaka Haki yako au kufanya ktu kusaidia watu usiogope nyie ndio hatakiw kwenye jamii mnaogopa kutafuta haki zenu kwa uoga wenu mnabaki kuwa machawa kushabikia vtu vbaya kisa mtu ana pesa

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 3 месяца назад +2

      Huyu mzee ana akili kuliko mashabiki wte wa yanga

    • @vicentnyanda828
      @vicentnyanda828 3 месяца назад

      Ndo haji aliwaambia hamna akili😂
      Kwani anaongea uongo na huyo Gsm wenu?

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 3 месяца назад

      Ila makolo ni mafala kinoma yanamsapoti huyu mzee eti ana haki pale yanga yeye ni nani pale umbwa huyu? Au hatujui tu yanga ni ya babu yako magoma?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 месяца назад

      ​@@muksinimbaruku1233labda kuliko madunduka. Huyu mzee ni njaa na anaponzwa na madunduka

  • @sheheMohammed-q1h
    @sheheMohammed-q1h 3 месяца назад

    Kweli redio hiyo ipo kwa mabaya ya magoma na simba wanachama ssc tunafunga hatuckilizi kabisa

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 3 месяца назад +2

    Unapenda kupoteza watu.Mara maulidi kitenge.Unaenda kupotea.Eti unaita yanga iwe chini yako.Mambo ya kizamani unaleta Leo.Mpira ni pesa Leo unataka turudi nyuma.

  • @IlhamKhalid-mt3jp
    @IlhamKhalid-mt3jp 3 месяца назад +1

    Upo sahh Mzee kitenge hajielewi na anashindwa kujua thamani yake

  • @ElvisMulenga-j5w
    @ElvisMulenga-j5w 3 месяца назад +1

    Huyo mzee ni muhuni wa zamani yaani napenda sana kumsikiliza na maneno yake eti maulidi kitenge ni sawa na Ganda la ndizi

  • @ShafiiIsmail-zk9lq
    @ShafiiIsmail-zk9lq 3 месяца назад +2

    Toto la kiume limevaaa Pete kidole gumba hahaaaaa😂😂😂 au Ganda la ndizi

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 месяца назад

    Huyu mzee na maulid kitenge ni chui na paka 😂😂

  • @BethoridKaro
    @BethoridKaro 3 месяца назад

    Hakuna lufaa Kwa magoma

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 3 месяца назад +2

    Aka kazee inaonekana kana matatizo 😂😂😂😂

  • @FodiGereji01
    @FodiGereji01 3 месяца назад +8

    Hio kweli kituo cha wasafi kinatumiwa sana na yanga watu wengi hawkifatilii

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 3 месяца назад

      @user-ik2fg6iu2m Wew ndo haufatiliyi Wasafi usijifanyi msemaji wa watanzania

    • @NurudinZuberi
      @NurudinZuberi 3 месяца назад

      Hufatilii wewe peke yko

    • @kenworthrugambwa
      @kenworthrugambwa 3 месяца назад

      CROWN ndio inatumika na simba na haitawahi kukua. Mnaitwa media partner

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      ​@@jimmyhabarugira4232NA WEWE MSEMAJI WA NANI WAKIMBIZI AU???? MACHOGOOOOOOOOO

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      ​@@kenworthrugambwaKWANI WEWE MUNGU??? AU WASAFI IMEKUWA?? HUO NI USHAMBA

  • @skysportsandEntertainment717
    @skysportsandEntertainment717 3 месяца назад +2

    Huyu mzee hana akili anafanya safari ya chizi safari ndeeefu anarudi na makopo mkononi 😂😂😂😂

  • @adamumsafiri9257
    @adamumsafiri9257 3 месяца назад +1

    Ndio Media pekee ambayo inampa huyu muhuni aliyezeeka Airtime 😂😂 halafu anasema anatumia gharama yake kuendesha kesi kwa mwaka wa tatu ungekuwa unachapa mguu

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 3 месяца назад +3

    Siwema chiokote kumbe aliwahi kuishtaki Yanga kumbe ni Mamake Maulidi kitenge mnamuenea Mzee Magoma 2

  • @ceankiiza9945
    @ceankiiza9945 3 месяца назад +1

    We mzee umelaaniwa

  • @abdallahsaid4139
    @abdallahsaid4139 3 месяца назад

    wasafi kweli imenunuliwa na uto

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 3 месяца назад +5

    Hee maulidi ganda la ndizi, una mana gani ? Aisee kweli ume mlipua 😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +2

      MZEE MAGOMA NA BI MACHO KOTE KUMBE WASHIKAJI HAYA GANDA LA NDIZI KUWA NA ADABU BABAKO HUYO 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 3 месяца назад +1

    Hatuingii kwenye mikutano na kadi zetu tunalipia wala hatuna mbambamba

  • @VedasElly
    @VedasElly 3 месяца назад +1

    Wasafi ndio redio inayopendwa zaidi

    • @Userog254
      @Userog254 3 месяца назад

      Imepoteza hiyo sifa

  • @AshaMwamba-g3l
    @AshaMwamba-g3l 3 месяца назад

    Nabaki nacheka tuuuu😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AishaAlly-q2t
    @AishaAlly-q2t 3 месяца назад

    Mwehu ww hujitambui

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 3 месяца назад +7

    Uyu mzee yuko sawa mi niko pamoja nae

    • @shadrackjairo238
      @shadrackjairo238 3 месяца назад

      Ni kweli Mzee yuko sw namkubali sn anajiamn kaona changamoto kaamua kutafuta Hali yake wabongo weng hawawez wao wanaangalia ushabik tu hawaon shda yoyte km timu inashnda

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 3 месяца назад +1

      Ww sikolo lazima uwe pamoja nae. Yani wabongo sisi sijui tukoje uyu mzee toka kitambo anaisumbuwa alafu hii chanel nayo kumamazao hawanaga ujanja wakutafuta habari zaidi ya magoma

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 3 месяца назад

      Tatizo letu sisi wabongo bendela fata upepo kwani hii yanga ni yawatanzania wote embu jiulizeni bungeni tunaendaga wote kutoa hoja uyu mzee anaelumu yakizamani maisha yanabadalika bana kuma mamazake mzee magoma

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 3 месяца назад

      Sababu huna akili kama huyo mzee

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 2 месяца назад

      ​@shadrackjairo238 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉you 😂🎉🎉🎉😂🎉🎉your 🎉🎉🎉🎉your 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉the sea and your 😂🎉head 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉6th May her 😂🎉🎉and 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉a 😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉a day I ?6🎉

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 3 месяца назад +1

    Halafu na wewe muandishi mnafiki sana unamjaza tu upepo mzee wa watu shauri yako

  • @abuudaudi-xn9vy
    @abuudaudi-xn9vy 3 месяца назад

    magoma umetsha

  • @SwaabirMuhammad12
    @SwaabirMuhammad12 3 месяца назад +1

    Mzee anamambo ya kizamani sn...sasa inabidi mkutano mkuu ufanywe Benjamin mkapa stadium na hawatatosha

  • @Mauya23
    @Mauya23 3 месяца назад +1

    Huyu Mzee hoja anayo, tuache ushabiki asikizwe na ni haki yake ya kikatiba kudai haki Mahakamani, tusimuandame kama mhalifu kabla mahakama haijatoa maamuzi hayo.

  • @benardmwinuka6948
    @benardmwinuka6948 3 месяца назад

    Hizo pesa ungewapa watoto

  • @MartinWekesa-c2x
    @MartinWekesa-c2x 3 месяца назад +1

    Hawa Simba wanapoteza Mzee,atakuja kufungwa na wamuhepe

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 3 месяца назад

    Hilo ndio tatizo la wasafi media NI chombo kinacho tumika vibaya kama Baba Levo zembela anawekwa hapo nini kitajadiliwa

  • @ElvisMulenga-j5w
    @ElvisMulenga-j5w 3 месяца назад

    Maulid kitenge Ganda la ndizi

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 месяца назад +1

    Ila Hawa wachambuzi wa wasafi ,wanauchambuzi wa kishabiki sana ,,,,,,,,,ila kuna nyundo wataioata wasaf media,,,tusubir u

  • @JacklinaJohn
    @JacklinaJohn 3 месяца назад

    Yani we mzee kungekuwa hakuna serikali au sheria ningefanya waandishi wajae nyumbani kwako😡😬

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 месяца назад +1

    Kumbe mauridi ala ya kisu duuu mshikaji wake mauzinde

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 3 месяца назад

    Eti ametumia hela nyingi😂

  • @ErnestJosephat
    @ErnestJosephat 3 месяца назад

    MGODI UKITEMA😂😂😂UTEMEEE WAPI 😂😂😂HIYO HASARA UMEITAKA😂😂😂

  • @kiluwiibra6117
    @kiluwiibra6117 3 месяца назад +2

    Kiukweli Mzee magoma unasimamia maslai mapana ya Yanga tafakarini Timu inaongozwa na mashabiki sio wanachama. Kinachowafanya waotezee ni shauli ya ushindi . Pale GSM kamiliki duka. Na sikuwakimtoa ataleta deni kubwa . Na TFF inachangia sababu nao wanaokea bahasha km wale Wawakilishi 95 Toka mikoani. Msola na mwakalebela walihiuza Timu.

    • @isakajunior7139
      @isakajunior7139 3 месяца назад +1

      Nyie mmeuza timu bilion 20 kaeni pembeni mtulie na huyu mzee muhuni mtampoteza

  • @Sostere98
    @Sostere98 3 месяца назад

    Ila Yanga jitambieni yaani watu watano kila tawi wanashindwaje kupewa bahasha ili wakubali kila kitu kweny mkutano. Haya matokeo mnayopata yasiwafanye muwe vipofu mtakuja kujuta baadae. Hakuna uzalendo gsm wanatafuta pesa.

  • @richardmagasa4900
    @richardmagasa4900 3 месяца назад

    Hivi huyu mzee alishawahi kuitumikia Yanga mwaka gani?

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 3 месяца назад +1

    Mzee unataka watu 50,000 tukashiriki mkutano? Utasubiri sana. Hiyo tutawaachia makolo. Mimi mwanachama na nalipia kadi yangu na sina haja ya kushiriki mkutano.

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 3 месяца назад +1

    Nawe unayemfanyia interview Magoma nawe humpendi Kitenge sema unajisasasua tu

  • @sulaimanalhabsi2355
    @sulaimanalhabsi2355 3 месяца назад

    Kumbe huyu mzee mkichaa sana

  • @benardmwinuka6948
    @benardmwinuka6948 3 месяца назад

    Huyu mzee kammwaga kitenge

  • @abicotv4897
    @abicotv4897 3 месяца назад +1

    Mzee lpa faini

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 3 месяца назад

    Huyu atachemka parefu, katiba zilishasajiliwa ngazi zote. Na forgery haikwepeki

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 3 месяца назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢maisha Yako rufaa imesha tupwa mbali kwa ujinga wako unakuja weka familia matatani😂

  • @EmmanuelYengu
    @EmmanuelYengu 3 месяца назад

    Kitv hiki sahizi tuta puzia

  • @GivenMabena-h4u
    @GivenMabena-h4u 3 месяца назад +1

    Wewe sio yanga falawewe wasafi unaichukia saizi kes Kwa maulid sio yanga Tena una tupiwa nzima

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 3 месяца назад

    Huna content nyingine kaka?

  • @FunnyArchery-mn8xt
    @FunnyArchery-mn8xt 3 месяца назад

    mwandishi viazi

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 месяца назад +4

    MZEE MAGOMA NI MANDELA MTUPU WASHINDILIE MSUMARI WATAKUELEWA TU NG'OMBE WA MAZIWA HAO YAO MAJANI TU 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shabani6631
    @shabani6631 3 месяца назад

    Siwema Chiokote

  • @StannMtweve
    @StannMtweve 3 месяца назад

    Mbona kila siku mnamkuta vichocholoni ana nyumba ? 😅

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 месяца назад

    KWANI UYO KITENGE KAANZA LEO KUWA YANGA?? PALE WASAFI KWENYE SPORTS YE HACHANGIAGI;;ANASOMA KICHWA CHA HABARI KAMALIZA;WACHAMBUAJI WENGINE😅;ANAJITOA☹️,,NA YANGA DEI AKAWEPO

  • @realbeda2880
    @realbeda2880 3 месяца назад

    Ko mzee kazi yake ni kuhudhuria mahakamani tu daaaah ingekua ndo baba yangu huyu ningemgawa bure

  • @TanomasekeSeba
    @TanomasekeSeba 3 месяца назад

    Magoma ujue unazeeka pia kifo kipo jitasimini yanga haizeeki Wala kuzeeka weka pembeni njaa

  • @ramadhanikaogo5016
    @ramadhanikaogo5016 3 месяца назад

    Sasa kama uyo GSM ana uwezeno sana anzishe tim yake alafu tuone

  • @StevenAnord
    @StevenAnord 3 месяца назад

    Wewe mzee ndo msenge kabisa manina zako,nenda ukanye huko na uchawi wako boya wewe

  • @AbdalaKambona-bw6zm
    @AbdalaKambona-bw6zm 3 месяца назад

    Umetumwa na simba wenyewe mambo yamewashinda wanapola wachezaji

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад

    Tatizo la Africa nzima kutofuatulia vitu huyu mzee ana haki yake ....Yeye achosema anataka atambuliwe kama mwanachama na kwenye kikao wajumuishwe sio kuytoa uongozi. ..lkn uelewa mdogo wa watu wanamuona sio

    • @JeffersonMwabuponde
      @JeffersonMwabuponde 3 месяца назад +1

      Hana akili nawewe kama una muunga mkono ni walewale yaani wanachama wote wa Yanga waende kwenye mkutanoʻ mkuu ukumbi gani utatosha

    • @DafiMohamed-dz8xk
      @DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад

      @@JeffersonMwabuponde kasema sio lazima wote waingie kuna simu wanatumia zoom ndio maana nasema Africa watu hawafuatilii ni kufuata mkumbo fuatilia vzr utamuelewa

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 месяца назад

    Haaaaa eti huyu mtoto ni mjinga mjinga maulid wa kitenge 😂😂😂 weeee magoma umepigaje hapo😂😂 Ila mzee huyu kagoma kabisa kuzeeka na hii ndio wazee wa yanga

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 3 месяца назад +1

    Naww una kazi nyingine tume wachoka ndugu muandishi muna poteza mvuto

  • @AbdalaKambona-bw6zm
    @AbdalaKambona-bw6zm 3 месяца назад

    Wasio futility wasafi wote ni makenge mnalisikiliza ili chizi maarifa anatafuta kuolewa😅

  • @AishaAlly-q2t
    @AishaAlly-q2t 3 месяца назад

    Acha uchizi unajidhalilisha mzee kwa umri uliokuwa nao jifanyie ibada acha kujitafutia ujiko ucyo kuwa na maana

  • @sulaimanalhabsi2355
    @sulaimanalhabsi2355 3 месяца назад

    Wewe muandishi mjinga unamfahamu huyo wanachama wapo mamilion wapi wanaingia jumba gani basi bungeni watu wote waenda asende mtu mmoja kuwashirikisha watu