Ufanye nini unapokutana na mtu muhimu?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 109

  • @Ernest-k2u
    @Ernest-k2u 9 месяцев назад +1

    Mungu wa Mbinguni akupe maisha marefu. Akuongezee hekima yake, maarifa yake, na ufahamu wake. Wasaidike wengi hasa vijana. Usikosekane mbinguni wewe na familia yako siku za mwisho

  • @aarantimotheo-hr8cr
    @aarantimotheo-hr8cr Год назад +1

    Mungu azidi kukikuza na kukilinda kitu ulichobeba ndani yako Mr joel

  • @brucemwanamawe5187
    @brucemwanamawe5187 3 года назад +5

    Nakufuatili sana kaka Joel uko vizuri sana kwenye life coach.
    Natamani sana kukutana na wewe kaka na Baba yangu Joel kwani nafanya network marketing na nawasaidia wanawake wa kitanzania kupata suluhisho la kudumu katika afya zao za uzazi, lakini sijawa vizuri sana kwenye sells.
    Ikiwa hata ni kwa ushauri nitashukuru, hata ikiwa vigumu kukuona kwa dk5 hata kuona namna ya kuniongezea kitu kwenye hilo. Mungu akubariki sana.

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 3 года назад +3

    NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.. Mr.Nanauka IN THE AIR.... ABDULHALIM FROM ZANZIBAR... 🔥 🔥

  • @mubarakarashidi1228
    @mubarakarashidi1228 3 года назад +1

    Napenda sana kua mfanyabiashara mkubwa kweny dunia hii napenda kukutana na the best business man

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 3 года назад +7

    "Ninachokuombea siku zote ni uzima ili uendelee kutupa masomo kila iwapo siku mpya,,,,,

  • @fredrickjosephat5105
    @fredrickjosephat5105 3 года назад +1

    Kiukweli nashukuru sana ni somo zuri na mm ni ndoto zangu kuzungumza na watu kama hao waliofanikiwa kifikira na kimawazo ili na mm niweze kuongeza maarifa lakin pia ujuzi katika kitu ambacho Nina interest nacho JOEL NANAUKA I respect you forever🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salomemrembo7482
    @salomemrembo7482 2 года назад

    Nice kwa hujumbe wako..nilikutana. na mama moja ako mkubwa..kwa kampuni fulani huku. Kenya. Alibadilisha..maisha yangu..kabiza

  • @abuuabuu9615
    @abuuabuu9615 3 года назад +1

    Kwa maisha yangu. Kila kukicha nataman niwe namoyo kama wako upendo kama wako usionachuki mana elimu unayo tupa nizaidi yamsaada. Mungu akupe umri mrefu zaidi!

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 года назад +2

    Ahsante sana
    Ni Elimu haina Mipaka

  • @japhetjohn5697
    @japhetjohn5697 3 года назад +2

    Asante, kwa Maarifa hayo,Mimi ninapenda kukutana na Mwalimu Wa Neno la Mungu Christopher Mwakasege.

  • @ruthmwakyusa705
    @ruthmwakyusa705 3 года назад +1

    Kaka yangu Natamani Sana kuonana nawewe na kuzungumzia maswala ya biashara.Karibu Sumbawanga siku moja tupate mafunzo live,nimejufunza mengi kutoka kwako.Bwana wangu Yesu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi siku hadi siku.

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 2 года назад

    Very interesting bro na Mimi ningependa kukutana na wewe Sana. Ukija Kenya 🇰🇪 nitahakikisha nimehudhuria kongamano lako

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 3 года назад +1

    Asante Sana Bro Joel wew ni MTU mhimu sana kwangu yaan huwa siwezi kuanzia siku yangu bila kusikia masomo yako thank you so much your have changed my life Bro

  • @geofreymchwemba9251
    @geofreymchwemba9251 3 года назад +1

    Kwa kweli umenipa mwanga nakushukuru sana brother

  • @lusekelonikumwitikangondo4707
    @lusekelonikumwitikangondo4707 3 года назад +1

    Okay 👍🙏

  • @mrdesigner_2024
    @mrdesigner_2024 2 года назад

    Kukutana na wewe itachukua muda Sana,,,lkn angalau ningepata mawasiliano yako tu,, nikuulize angalau Swali Moja,,Akili yang ifunguke zaidi🙏🙏

  • @beast2439
    @beast2439 3 года назад +2

    Shukuran

  • @sheikhmbaruk5933
    @sheikhmbaruk5933 3 года назад +1

    Nmejifunza vyema ,,,me natamani kukutana na wewe JOEL NANAUKA

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 года назад +2

    Hakuna kunyenyekea mtu, anyenyekeweao ni mungu tu. TREAT HIM THE WAY HE TREATS YOU

    • @zubedaally9479
      @zubedaally9479 3 года назад +1

      Soma dini vizuri kaka. Ikiwa mungu anataka tuwaheshimu mfano wa wazazi wetu, viongozi wetu na n.k. inakuaje unapinga. Kumbuka kuheshimu sio kuabudu. Tazama kwa makini usikurupuke.

    • @kadeliamateo9627
      @kadeliamateo9627 3 года назад

      Hasema kunyenyekea jamani amesema ufanye nini unapokutana na mtu mhimu kwako

    • @AliMohamed-wp1op
      @AliMohamed-wp1op 3 года назад

      @@kadeliamateo9627 ukipima vizuri utakuta unyenyekevu ndani

    • @AliMohamed-wp1op
      @AliMohamed-wp1op 3 года назад

      @@zubedaally9479 Dini haijafunza kunyenyekea viongozi ama mameneja, wengi wao ni Arrogant, RIZK MIN ALLAH

  • @stephen9856
    @stephen9856 2 года назад +1

    Vizuri sana

  • @theresiachigali9482
    @theresiachigali9482 2 года назад

    Napenda sana ushauri wako mtumishi wa mungu

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 3 месяца назад

    Asante kaka.. mungu azidi kukulinda

  • @jomokin4823
    @jomokin4823 3 года назад

    Yes, izi video ime nisahisiya Sana kwa sababu wa kati nilikuwa nikikutana namutu muhimu Mara nyingi nilikuwa nakosa nisemenini, ahidha niki hongeya na hongeya mengi yaku nihusu. Asante Sana Joel may God bless you and keep you alive so to help people over the world

  • @edinestaantony3114
    @edinestaantony3114 Год назад

    Ubarikiwe sana kaka j

  • @elishahenry9257
    @elishahenry9257 3 года назад +5

    Mim ni dereva kaka naomba ushauri juu ya hili maana tunakutana na watu wa kubwa weng lakin tunawaogopa

  • @stoperm.k8347
    @stoperm.k8347 3 года назад

    Nakuelewa sana kaka hakika najiona nimeshaanza kubadirika toka mwaka umeanza

  • @gabbymaro6403
    @gabbymaro6403 3 года назад +1

    You are ma roll model bro joel

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 3 года назад +3

    KITU CHA MWISHO ALICHO KIFANYA MR. NANAUKA FROM YOU TUBE CHANNEL NI KUWEKA VIDEO YA UONGEE NINI UNAPO KUTANA NA MTU MUHIMU.... ABDULHALIM FROM ZANZIBAR...

  • @togolay24studio76
    @togolay24studio76 3 года назад

    Barikiwa sana

  • @michaelsiafu2369
    @michaelsiafu2369 3 года назад

    Honestly! Tunaelimikasana kipitia darasalako..niombe kwaniaba yabaadhi yawenzangu...ikiwezekana tuandalie somo on how we can improve confidence when we speak on the audience by relating compitence and perfomance

  • @noelajohn1381
    @noelajohn1381 2 года назад

    That would be you Joel! I am very interested in honing my people skills and you’re ideal when it comes to that!

  • @franciscoeliasmkanwa8588
    @franciscoeliasmkanwa8588 3 года назад

    Kaka Asante sana, Nimejifunza Maana Jumamosi ya 19.06.2021 Nilikutana na wewe kwa Mara ya kwanza Pale KISENGA LAPF ICC. Kisha tukapiga picha tu Lakini Nilishindwa kuzungumza lolote na wewe , Japokuwa nilikuwa na Mengi sana , Sababu ni kwamba Sikuwa na Hii knowledge , MUNGU AKUBARIKI SANA .

  • @fahmialamri5958
    @fahmialamri5958 3 года назад

    As ante brothernafatiliza sana masomo yako mungu akubariki akuzidishie elimu

  • @captainkomba4739
    @captainkomba4739 2 года назад

    Et nauza gundi😀
    Umeniongezea kitu tena shukran sana

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 года назад

    Ahsante Brother kwa kuongezea Elimu maana kuna sehem niliteleza baada ya kukutana na mtu mmoja hivi 🙏

  • @ANANIUSELIAS
    @ANANIUSELIAS 2 года назад

    bro nakupenda sana nahitaji kuonana na wewe tafandharii

  • @victoremmanuelmwasalwiba9926
    @victoremmanuelmwasalwiba9926 3 года назад

    Bro!! We n genius 🙌 Shukran sana

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 3 года назад +2

    Ahsante Joel

    • @shabansalum6014
      @shabansalum6014 3 года назад

      Shukran sana...
      Maudhui muhimu sana sana...
      Watu wengi kwa hakika wanakosa hili... na hasa vijana wengi wa sasa wanasoma lakini hawana uwezo wa kujiweka karibu na watu...

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 2 года назад

    I appreciate you, what you teach are all define my life. God bless you

  • @isayajesca8928
    @isayajesca8928 3 года назад

    Somo nzuri

  • @jafarmgn5011
    @jafarmgn5011 3 года назад

    Shukran San kakjoel nanauka

  • @felistermakula9749
    @felistermakula9749 3 года назад

    Nataman kukutana na karolina protsenko the fermous violinist in Europe and amerca. Kwakuwa mim pia ni violinist napambana naamin cku1 ntakutana naye pia niwe Kama au zaidi yake. Thats ma dream

  • @symohsakani
    @symohsakani 3 года назад

    Nashukuru kwa ajili yako...

  • @MatikoRamadhan
    @MatikoRamadhan Год назад

    Habali brother

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 года назад

    Shukran sana

  • @anorddeodigard5572
    @anorddeodigard5572 3 года назад

    Thanks brother Joel,

  • @imanilutumo5876
    @imanilutumo5876 2 года назад

    Natamani kukutana nawe Kaka Joel Kuna mengi najifunza toka kwako

  • @mtobeshacomedy4722
    @mtobeshacomedy4722 3 года назад

    Safi Sana broo kila siku naingia kwenye account yako nakujifunza vitu vingi

  • @MatikoRamadhan
    @MatikoRamadhan Год назад

    Mimi Ilini tokea nilikutana na mtu ambae ni muhim kwangu ila Kwa maongezi jinsi nilivyo wasiliana nae ilikua nikama namlazimisha Kwa sabab jinsi nilivyo kua na wasiliananae ilikua nikama namlazimisha kwayo alikasilika na kuniacha na hakuta mawasiliano na mimi
    Sijui ata nifanyaje
    Naomba ushauri.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 года назад

    Nabarikiwa mimi uwiii 😘😘🙏

  • @ameirhajji5205
    @ameirhajji5205 3 года назад

    Nataman nikutane na kaka Joel nanauka nijifunz sanakupitia masomo yako.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 года назад

    Mi nataka nikutane na wewe tu maana ni mtu wangu wa nguvu 🤝💪

  • @mbarukumagawa7305
    @mbarukumagawa7305 3 года назад

    Thank you coach

  • @mkondyaesther5074
    @mkondyaesther5074 3 года назад

    Be blessed

  • @Mkaambali
    @Mkaambali 3 года назад

    Asante

  • @Africa.Athuman
    @Africa.Athuman 3 года назад +6

    Mwanafunzi wako kutoka burundi natamani niwe na contact yako unanisaidia mengi

  • @samymdundu
    @samymdundu 3 года назад

    Nataman sana kuonana na Mr Joer Nanauka SKU nikionana nae nahisi nitafanya vzur niliyojifunza na pia nitamkumbusha hii comment asante sana

  • @beatricmmpantaleo3420
    @beatricmmpantaleo3420 3 года назад

    Wewe Apo kaka Joel

  • @Mlevimedia
    @Mlevimedia 3 года назад

    Me Abay kado... Nakumbuka nilifanyag hivy hivy pale Airport na ukanipokea vizur san

  • @neemarajabu9432
    @neemarajabu9432 3 года назад

    Natamani kukutana na wewe maana mimi nimtu ninayependa sana kushauli watu kuusu maswala ya mausiano na ndoa,natamani kutoa elimu kwa njia ya mtandao nashindwa

  • @tlbarakaministriesintl
    @tlbarakaministriesintl 3 года назад

    Ving'ang'anizi Oyeeeee 😊

  • @homemarket1601
    @homemarket1601 3 года назад

    Kaka umekua sana msaada kwangu naomba unipe namba zako 🙏nimezitafuta muda sana

  • @AsmaAsma-gd3mv
    @AsmaAsma-gd3mv 3 года назад

    Sana kaka angu ♥️♥️

  • @fayeezomary6563
    @fayeezomary6563 3 года назад

    Me natk nikutan nawe inshaallah

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 2 года назад

    God bless you. Mtumishi Mimi nahitaji ushauri eneo la huduma, nakutana na watu wakubwa sana nilowataka. Mfano mwaka juzi nilikutana na Daniel kolenda na wakaniachia contact, nahitaji ushauri wa jambo hapa, nawasilianaje na wewe private mtumishi?

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 года назад

    Siku nyingine uchange kidgo location au background whiteboard hiyo intufny tuiozeee kidgo tusuprize kitofauti

  • @Justinebaada
    @Justinebaada 3 года назад

    Hakika nimejifunza kitu muhimu hususani hapo kwenye namna ya ku display profile yako. Barikiwa sana bro

  • @husseinkatunka7548
    @husseinkatunka7548 Год назад

    Kaka joeli siwezi kumaliza siku bila kusikiliza mafunzo yako Yani wewe umekua mwalimu wangu siku zote najifunza mengi Sana kupitia darasa lako ,ila natamani sikumoja nikuone live lakini natamani nizungumze na wewe ata kwa simu , kuna namba yako malanyingi nikipiga haipatikani nakukubali Sana brother

  • @ErickAMinja
    @ErickAMinja 3 года назад

    Kaka Joel kwanini hukutoa haya mafunzo mapema zaidi jmn😅😅nimekutana na watu muhimu ninao wa admire lkn kwa sababu ya kushindwa kujieleza mbele yao naishia tu kuwatazama kwa mbali na kushindwa kutengeneza connection lkn asante sana kwa mwanga huo ulionipa kupitia hii video. Mungu akubariki sana.

  • @sultanmkima9825
    @sultanmkima9825 2 месяца назад

    Naitaji nionane na mkemia mkuu wa kemikali

  • @nicksonmusa3457
    @nicksonmusa3457 2 года назад

    Nikitaka mawasiliano naee

  • @khalidhaji-ls2or
    @khalidhaji-ls2or 3 месяца назад

    Mimi NATAMANI KUKUTANA NA JOEL ARTHUR NANAUKA NI APPLY YOTE ULIYOYAZUNGUMZA APO " SEE YOU AT THE TOP"

  • @DanielMsengi-zb1xp
    @DanielMsengi-zb1xp Месяц назад

    Mimi nipo na mtu ambaye ana nifahamu ila nataka kuongea nae nashindwa nianzeje nisaidie

  • @sanggroupofcompanylimited.
    @sanggroupofcompanylimited. 3 года назад

    Me naomba kujua apo mwalim mimi ni mfugaji wa kuku afu nimekutana mtu muhimu ila yeye labda ni kiongoz wa siasa sasa apo iyo point namba 2 ntawezaje kumpa solution

  • @dorcasmunisi8678
    @dorcasmunisi8678 2 года назад

    Mtu muhimu ninayetamani kukutana naye ni WEWE kakangu..japo cha kuulzia hasa cjapata

  • @honestkapufi6984
    @honestkapufi6984 2 года назад

    Kaka najifunza mengi juu yako

  • @nairobifly5524
    @nairobifly5524 2 года назад

    M nikukutana nawew

  • @annajoseph7197
    @annajoseph7197 2 года назад

    Sr Joel naomba no yako plz

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 года назад

    Mo dewji

  • @skillstalentartsgroup
    @skillstalentartsgroup 3 года назад

    Umenishawishi ni sabscribe chaneli yako asante.
    Funzo jema

  • @AsmaAsma-gd3mv
    @AsmaAsma-gd3mv 3 года назад +1

    Kaka joeli HIV auna Group WhatsApp

  • @theresiachigali9482
    @theresiachigali9482 2 года назад

    Naomba kukutana na w wwe

  • @lavieriziki4705
    @lavieriziki4705 2 года назад

    Utunzwe na MUNGU kaka.

  • @lwt472
    @lwt472 3 года назад +2

    jamani nawaomba asijitokeze mtu na kuweka unlike kwenye hii video.Asanteni sana.

  • @judykafuka
    @judykafuka 2 года назад

    Natamani siku nikutane na ww unishauri kwny channel yangu nini nakosea au niboreshe vp kaz yangu

  • @marrysaimon6952
    @marrysaimon6952 3 года назад

    Mimi nimeshapoteza MTU mhim sasa kaka namrudisha VIP ili nimpate tena

  • @officiallylucku90.81
    @officiallylucku90.81 3 года назад +1

    Sàfi

  • @jramadhanmgonja6110
    @jramadhanmgonja6110 3 года назад

    Kwangu Nahitaji Kukutana na Mtu Atakayenikuza Kisiasa kwani Nna Ndoto Ya Kua kiongozi Mkubwa katika jamii yangu

  • @alfanoah5354
    @alfanoah5354 3 года назад

    Ni wewe umenifundisha vitu vingi na kunakitu na hitaji kujifunza

  • @bundukitv
    @bundukitv 3 года назад +1

    Hapa kwenye gundi si ndio pale ulipocheka kama nyegere.... Ha ha ha ha (joke)😁😁

  • @kennytz6802
    @kennytz6802 3 года назад

    Masony

  • @faridamrema7627
    @faridamrema7627 3 года назад

    nataka kukutana na wewe NOEL

  • @fkone4312
    @fkone4312 3 года назад

    juma pili naenda kuonana na mc pili

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 года назад

    Kukutana na wewe nikirudi Tz 😃😃😃muhimu nijipange tu maaana sio muongeaji kabisa

    • @marthapatrick3851
      @marthapatrick3851 3 года назад

      AsAnte Sana Kaka Joel, nakumbuka siku niliyokutana na wewe, nilishindwa kabisa kueleza kile nilichopanga kukuuliza nikikuona, nilijawa na furaha ikichanganyikana na hofu, Baada ya kuondoka nilitamani nirudi Tena Ila fursa ikawa imeshapita, nikajilaumu
      Sitofanya makosa Kama haya Tena, Na Mungu anisaidie.

  • @veromkami3831
    @veromkami3831 3 года назад

    mi naitaji kukutana na wewe

  • @geofreyjoel2510
    @geofreyjoel2510 3 года назад

    Thank you brother

  • @marcopeter4091
    @marcopeter4091 Год назад

    Asante

  • @farajhassan1775
    @farajhassan1775 3 года назад

    Be blessed