Nilikuwa nqisubiri Sana hii.Nilipanda jukwaani kuperfom as a stand up comedian badala ya kucheka watu wakasonya TU. Nilijiapiza sitorudia kuchekesha Tena, kumbe chanzo Ni audience Haikuwa na idea kuhusu comedy🏌️🏌️🏌️
I do salute Samoha Zakwani, amenikosoa ama kunirekebisha kwa Direction ama Attitude niliyokuwa nayo ambayo hata wewe ulishindwa kunicoach ama kunitoa kwenye muelekeo huo. SO GIVE RESPECT TO CORRECTORS
Nashukuru kwa elimu Joel ,,napenda kuongeza kuwa ukweli n kitu ambacho hutembea taratibu Sana bali uongo hupenya haraka Sana, hvyo ikiwa umeaibika kwa kusingiziwa tulia na uvumilie ukweli ukijulikana hata wabaya huanza kukutetea,,,shda n kwamba wengi hushindwa kuvumilia,,,,na kuanza kujitetea wakati lile ulopakaziwa halijaisha bado utaonekana unataka kujisafisha tu
YAANI mi ndo nasibiwa na hio hali saiv KIUKWEL inanijenga ila hali ya kistaamil ndo nzito san ila maneno ulooandika apo yameshanipa nguv san SHUKRAN san kw joel ila brooh UMENIWEKEA SNA 🙏💯
Ni kweli kabisa, ninahitaji msaada wa ziada kwa naama hali yangu sio nzuri ninaona kama vile hakuna msaada wowote. Lakini ninajipa moyo ili niweze kutoka hapa nilipo. sio jambo rahisi na wala hakuna kinacho shindikana.
Nimepata katika aibu ila nilijaribu kukaa kimyaa japo ilikuwa ngumu ahsante Brother kwa Elimu hii Ubarikiwe sana maana mwanafunzi sipitwi na vipindi vyako 🙏
Shkrn sana brother kwa somo leo ni mara ya pili narudia kuskiliza hili somo. Katika maisha nimepitia hayo uliosema, nliwahi kujibu na kujitetea lkn haikuleta faid ila kuzidisha chuki kwa wengine. Kwa mara nyengine nilinyamaza matokeo yalikuwa mazuri nilipata utulivu wa moyo. Katika mafunzo ya dini kupitia maneno ya Mtume wetu Muhammad Alaihi Salaam alisema: " Ushujaa sio kugombana bali ni kuishika nafsi unapohamaki". Au km alivyokusudia. Fundisho lamaneno yake sio kugombana na kila anaeekuudhi, kukaa kimya inazima moto wa shetani. Shkrn sana kwa elimu yako yenye manufaa.
27.10.2021 Ndugu yangu wa tumbo moja tena mwanamke aliwanichulia maneno makubwa yaajabu nilitamani kufa lakini nilisimama na Mungu mwanzo mwisho nilijipa moyo katka Neno la Mungu lisemalo kutoka wafilipi 4:6
Usilipe ubaya kwa ubaya, mtenda mema hutendea nafsi yake na mtenda mabaya humrudia mwenyewe. Mola hayuko pamoja na wenye kudhulumu, hata kama hukulipiza Allah humlipa kila mtu kwa alilolifanya.
@@samohazakwani6899 Asalam aleykum, Advice yako imeniondolea mzigo mkubwa wa kuweka rohoni na visasi, nimejifunza the otherside of behaving, ningependa tufanye Friendship nawewe kama utapenda, bila ya sexual intrests, mimi niko na mke mjerumani na naishi ujerumani, kama hutopenda kuwa na urafiki nami basi I do appreciate your Great Advice which turned me to another dicection or Attitude. ALLAH BARIK
Mwaka 2019 ulkua mwaka wangu wa Aibu kubwa, lkn nashkuru mungu nimeinuka upya Aibu sio mwisho wa maisha Asante joel
Vipo vitu na mambo mengi yanayokatisha tamaa, lakini kwa ushauri huu utawasaidia wengi. Asante sana.
Wewe ni Hadhina ya Ulimwengu Nakukubali saana Mkuu. Umefanyika dawa kwa wanadamu sisi kupitia Mafundisho yako.
Nilikuwa nqisubiri Sana hii.Nilipanda jukwaani kuperfom as a stand up comedian badala ya kucheka watu wakasonya TU. Nilijiapiza sitorudia kuchekesha Tena, kumbe chanzo Ni audience Haikuwa na idea kuhusu comedy🏌️🏌️🏌️
Kwangu furaha kubwa kuelimika na haya mafundisho yako mwalimu.mungu ukupe umri mrefu wendelee kuwasaidia wengi zaidi
Sitasahau aisee aibu niliopita Tena ya kusingiziwa ikaniharibia future yangu Ila Mungu atalipa
Ukimya unafaa sana huku ukimshirikisha Mungu 💪
Kweli
Asante Kaka Joel kwa elim nzuri
I do salute Samoha Zakwani, amenikosoa ama kunirekebisha kwa Direction ama Attitude niliyokuwa nayo ambayo hata wewe ulishindwa kunicoach ama kunitoa kwenye muelekeo huo. SO GIVE RESPECT TO CORRECTORS
Nikwel kaka joel mim yalinikuta mwaka 2015 mpaka nikaomba taraka kwa mme wangu nashukulu san
Nashukuru kwa elimu Joel ,,napenda kuongeza kuwa ukweli n kitu ambacho hutembea taratibu Sana bali uongo hupenya haraka Sana, hvyo ikiwa umeaibika kwa kusingiziwa tulia na uvumilie ukweli ukijulikana hata wabaya huanza kukutetea,,,shda n kwamba wengi hushindwa kuvumilia,,,,na kuanza kujitetea wakati lile ulopakaziwa halijaisha bado utaonekana unataka kujisafisha tu
YAANI mi ndo nasibiwa na hio hali saiv KIUKWEL inanijenga ila hali ya kistaamil ndo nzito san ila maneno ulooandika apo yameshanipa nguv san SHUKRAN san kw joel ila brooh UMENIWEKEA SNA 🙏💯
Thanks brother for your gift !
Nimepitia hiyo Hali nashukuru Mungu Kwa ajili Yako coach
Nilipitia hiyo Hali, ashukuriwe Mungu nilikaaa kimya mpaka leo
Ni kweli kabisa, ninahitaji msaada wa ziada kwa naama hali yangu sio nzuri ninaona kama vile hakuna msaada wowote. Lakini ninajipa moyo ili niweze kutoka hapa nilipo. sio jambo rahisi na wala hakuna kinacho shindikana.
broohh!!! sio jambo rahis so sir TUNAPTYA MAGUM san
Alright big up sana mentor of all mentors, Mungu akubariki sana sana ktk kazi hii nzuri
Bro uko vizuri brother
Kaka ubarikiwe sana umebadilisha maisha ya wengi...naomba pia uzungumzie kushinda woga mbele za watu.
BIG UP broo azngumzie na ilo pya
Asante br.. Joel naendelea kujifunza
Nimepata katika aibu ila nilijaribu kukaa kimyaa japo ilikuwa ngumu ahsante Brother kwa Elimu hii Ubarikiwe sana maana mwanafunzi sipitwi na vipindi vyako 🙏
Kabisa nihaataliiiiii san 🤐🤐🤐🤐🙏🤝
Mungu akupe maisha maref bro ili watu weng wapate kuvuna mema kwako
Shukran kwa maarifa
Asante kwa mafunzo haya Mungu akubariki sana siku hadi siku najiona tofauti.
Asante sanaaaaa mwalimu🙏.
Safi sana yaani umeeleweka mkufunzi
Allah shall bless Samoha Zakwani for the extraordinary Advice, and shall bless Mr. Joel too as the way, Ameen!!!
Amiin kwa sote.
Asante kaka. Barikiwa na bwana
@@zidikubalikiwanabwanayesu7268 Amin, hata nawe ubarikiwe
Nice
Nilipata aibu kubwa mwaka 2020 na ilifika hatua nikakata tamaa ya maisha nashukuru Mungu nimeinika upya
Umefanyika baraka
❤.Ahsante sana
Shkrn sana brother kwa somo leo ni mara ya pili narudia kuskiliza hili somo. Katika maisha nimepitia hayo uliosema, nliwahi kujibu na kujitetea lkn haikuleta faid ila kuzidisha chuki kwa wengine. Kwa mara nyengine nilinyamaza matokeo yalikuwa mazuri nilipata utulivu wa moyo. Katika mafunzo ya dini kupitia maneno ya Mtume wetu Muhammad Alaihi Salaam alisema: " Ushujaa sio kugombana bali ni kuishika nafsi unapohamaki". Au km alivyokusudia. Fundisho lamaneno yake sio kugombana na kila anaeekuudhi, kukaa kimya inazima moto wa shetani. Shkrn sana kwa elimu yako yenye manufaa.
Glory to God
Shukran brother kwa msaada wako kwetu.
27.10.2021 Ndugu yangu wa tumbo moja tena mwanamke aliwanichulia maneno makubwa yaajabu nilitamani kufa lakini nilisimama na Mungu mwanzo mwisho nilijipa moyo katka Neno la Mungu lisemalo kutoka wafilipi 4:6
Asante Sana kaka juzi umenipata aibu katika kazi
Shukurani kwa kututambulisha
Asantee kaka naendelea kujifunza
Asante ubarikiwe
Ubarikiw sana kaka Joel tuko pamoja
Sitaruhusu aibu iwe mwisho wa tumaini langu
Asante!! sana somo limekuwa msaada sana kwangu
Mungu azid kukubariki
My teacher
Tunashukuru sana
Nijambo Nzuri sana Mkuu
Thanks joel
Shukulan xana kaka joel
Kunyamaza ndiyo jibu asante sana kaka
Naitaji msaada kweli kweli sina raha ofsini hata kidgo yani umenigusaaa? Kabisaaaa
Nimejifunza kunyamanza kwakwer
Nanauka nikija dar nitakutafuta
Ahsante kaka
Asante kaka
Unajua kuna jambo nataka nilitapike ila najua litakua na aibu na nikikivumilia linazidi kuniumiza
Thanx bro
Kwakweli mwezi huu wa kumi nimepata aibu kubwa mno na chanzo ni mm mwenyewe
Asante
Tunakutana na hizo hali kwel na sis nahss tupo external yaani ni mamb yalio sababshw na watu NI VYEMA KUW katika hali gan ? Ukiacha ulizoorodhesha
Mwenza wangu alipitia aibu akachukuwa aibu yake nqkunichqfua mimi
Kuna aibu nyingine Zina vunja moyo mimi as me sina tumaini kabisa
Mpaka muda huu nipo kwenye wimbi hilo
Mr nanauka nitumie no yake mkuu
Mimi ninasumbuliwa na aibu ya kudai au kudaiwa hii ikoje na naweza kukabiliana nalo vip?
Na kama umeumbwa tu na aibu tangia utotoni ni nini nifanye ili kuondokana na hiyo Hali..??
Dawa ya moto ni moto, akuumizae muumize, akusingiziae msingizie
Ukifanya hivyo hutakaa salama
@@frankmtei3017 ni bora kutokaa salama kuliko kubeba uchungu
@@AliMohamed-wp1op uchungu ni mbaya sana nilikumbana na uchungu mwaka uliopita lakini nashukuru Mungu alinipitisha hicho kipindi
Usilipe ubaya kwa ubaya, mtenda mema hutendea nafsi yake na mtenda mabaya humrudia mwenyewe. Mola hayuko pamoja na wenye kudhulumu, hata kama hukulipiza Allah humlipa kila mtu kwa alilolifanya.
@@samohazakwani6899 Asalam aleykum, Advice yako imeniondolea mzigo mkubwa wa kuweka rohoni na visasi, nimejifunza the otherside of behaving, ningependa tufanye Friendship nawewe kama utapenda, bila ya sexual intrests, mimi niko na mke mjerumani na naishi ujerumani, kama hutopenda kuwa na urafiki nami basi I do appreciate your Great Advice which turned me to another dicection or Attitude. ALLAH BARIK
Utamujuwaj ambay hakuwukuma
🙏
Wengi utanguliwa na aibu..siri ni kuwa muwazi ili uwe huru
Mimi nilitupiwa mzigo na mtu ambae aibu kaifanya yy na mpenz wake chumban,,eti nikambiwa Mimi ndo nimevujisha ile vdeo ya utupu wao!!!???
🙏🙏🙏🤦♀️
Elimu unayo itoa hailingani kabisa n Subscribers ulio nao,
Naomba tulioko humu tusambaze link za Joel ili views wawe wengi wajifunze
I'll try to contact Samoha Zakwani and also give her a present if she Accepts for releasing my loads
Aksante Joel. Mimi bwana ni madeni mkuu. Daaa
Bro uko vizuri sana
Asante
🙏
Nimepata kitu hapAa