Mashaallah mm binafsi nilishakaata tamaa katika haya maisha ila namshukuru Allah nawewe pia Allah ametuletea mwalimu mzuri wakutukomboa katika hili tatizo mm Sina chakukulipa ila japo zawadi nitakuandalia biidhni llah
MashaAllah yani nakupenda wew kaka yani mawazo yako yanaendana naakili yangu kabisa. Kunamuda nahisi niko kinyume kwafikra zangu, ila leo najikubal kumbe niko sahihi much love u brother. ALLAH akuzidishie uwelewa na busara
Kweli bloo tunajitahidi kutokata tamaa ila hapa tanzania changamoto ni nyingi sana hasa upande wa selikali yetu inatufanya tushindwe kufikia malengu yetu
Asante sana عبدالله باحميد kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
Toka nianze kufuatilia video zako audio zako ukweli zinanibadisha sana kaka kaka ongera sana Mungu akuweke sana umekuwa faraja kwangu nkipitia magumu uwa naangalia video ambayo inanipa amasa nanguvu uwa nakuwa nanguvu zaidi ongera sana pia asante sn
Asalam aleykum, wallahy Allah ni MWEMA sana nimeamka Niko down sana kaka, cjawah kukutana na unachofanya lkn Leo Allah amenikutanisha n mafunzo YAKO, naamin nitatoka nlipo mana nmechoka kuumwa vdonda n presha, nmechoka kukata tamaa, nmechoka hadi kuishi, Allah akujaze kher yahiki ufanyacho, asante, nakupenda kwa ajil ya Allah. Nahitaj ulez wako wa mawazo nisonge
Sawa kabisa nime kuelewa unatoa somo zuri sana la maisha haya uliyo ya eleza nimesha yapitia sana lakini kwasomo hili naenda kuanzisha tenabiashara yangu
Mimi nimeanguka kiasi kwamba najiona sina hata maana katika jamii samahan nilikuwa na shida na namba yako ya whatsap tafadhali simu ji ya mama lakin si mbaya

Thank you brother Ezden,may Allah bless you
Sitakata tamaa 🙇♀️inshallah
It's true thank you brother, well thinking
Yani kila nikifungua video zako sijutii kabisa najifunza mengi sana unazidi kunisoge mbeke mana mimi nilikuwa wangwanza kukata tamaa asante sana 🙏🙏👌
Never give up
Slm. Aleikum. Bro. Ntakushukuru. Sana. Bro. Maneno. Yko. Yanipatia. Morally. Kwenye. Maisha. Yngu. Jazaka. ALLAH. Kheer.
Asante sana عبدالله باحميد kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
nasema Ahsante brother Somo hili muhimu sana
Asante sana kwa ushauri hi nimepata funso kupitia hi mungu akubariki
Amiin brother. nashukuru sana kwa dua njema
Asante sana speaker ubarikiwe sana
Toka nianze kufuatilia video zako audio zako ukweli zinanibadisha sana kaka kaka ongera sana Mungu akuweke sana umekuwa faraja kwangu nkipitia magumu uwa naangalia video ambayo inanipa amasa nanguvu uwa nakuwa nanguvu zaidi ongera sana pia asante sn
Thank you bro. Mungu aendelee kukutunza
Thank u my big brother
hongera Sana Kaka umekuwa mbunifu wa hali ya juu katika kutupatia njia za mafanikio na pia ujumbe wenu tunaupata vizur m barikiwe sana,
Mungu aktangulie, mapito ni mengi lakin never give up 💪
Shukran broo ezden somo lako limenitowa pabaya God bless you
Thanks brother kwa mafundisho yako yananijenga sana.
Asalam aleykum, wallahy Allah ni MWEMA sana nimeamka Niko down sana kaka, cjawah kukutana na unachofanya lkn Leo Allah amenikutanisha n mafunzo YAKO, naamin nitatoka nlipo mana nmechoka kuumwa vdonda n presha, nmechoka kukata tamaa, nmechoka hadi kuishi, Allah akujaze kher yahiki ufanyacho, asante, nakupenda kwa ajil ya Allah. Nahitaj ulez wako wa mawazo nisonge
Pole san kwa kuumwa presha na vdonda unapatikan WAP?
Kiukweli kaka unatusaidia sana Kuna muda najikuta nakata tamaa sasa nimuda wa kusimama nakuanza upya Never give up 🤲
Thanx 4 inspiration bro
Ahsante kwa Elimu hii Brother
Ahsante sana kwa mafunzo.
Asante Sana kwa ushauli
Sawa kabisa nime kuelewa unatoa somo zuri sana la maisha haya uliyo ya eleza nimesha yapitia sana lakini kwasomo hili naenda kuanzisha tenabiashara yangu
Nina hitaji kukuona physically kama itawezekana! Shukran..
Maaashallah Allah aukuzidishie
Never give up ✌️
Ubarikiwe kaka..umenfnza kitu
Asante sana na karibu sana
Mshukur mungu kwa kila hatua unayo pitia 💪
Naam...asante
Shukran bro
Thanks bro
KUJIUNGA NA GROUP LANGU LA WHATSAPP BONYEZA HAPA: chat.whatsapp.com/JefLwp7YinU6PwSwsJYJs2
Never give up...
Asante kwa link💪💪
Linahusiana na nn hilo group lako
Shukrani kwa SoMo zuri,Ila Kuna muda inafikia mwisho kabisa sababu wanaokuzunguka ndio chanzo.
Assalamu-allykum ,kwa jina naitwa said khamis .Kaka ezden nilikuwa nahitaji hii link
Success Path Network
0719920216
Asante kk
Kaka we 💥💥💥💥
Kaka nakushukuru sana maana unazdi kunijenga na mabadiliko nayaona sana ninapo angalua clips zako mungu akubariki sana kaka angu
nakuelewa sana kakaaangu Allah akuongoze u
Asante sana kaka
Shukrani kwa somo zuri, Never give up,,,, never let uare dream die.
Asante sana nilihitaji kusikia hiki leo.💪🏽
Jazaka llah
Never give up!
Bg up brother
Ahsante sana kaka Ezden.....I like your approaches.
Asant sana kaka kwa maneno yanayo 2janga🙏🙏🙏
Nakubali broo
kwahiyo wa2 woteduniani
2spokata tamaa 2tafanikiwa
wote, izo ni nadhalia2.
🎉
Asante kaka
Nice
Mimi nimeanguka kiasi kwamba najiona sina hata maana katika jamii samahan nilikuwa na shida na namba yako ya whatsap tafadhali simu ji ya mama lakin si mbaya
Poa poa kwa hamasa.
Tunashkru sana kwaelim bro
Kweli kabisa 🙏🙏
By the way how will i reach to since I'm very far and need to talk to you plz!
Yes. Sure. I. Never. Give. Up
that's the spirit. Keep going
Ahsante mno,umenipa nguvu mpya Kaka
Aisee nimejikuta na nguvu mpya, nilikuwa nimekata tamaa kbsa nimechoka but nimeisikiliza audio hii bila kukusudia nimejikuta na nguvu mpya thnks
asante kwa ushauri wa maana
Amen
Nc
Sijawai kukata tamaa ktk maisha yng
Allah akubariki kaka 🙏
Huwa najiuliza mtu anaye dislike huwa hajakuelewa,au hakupendi tu??
Joesph Justine siunanaju huwezi pendwa na kila mtu wajina
Umeni_inspire sana kupitia hii kitu.
🙌🙏🏾🙏🏾
Kaka sijutii kukusikiliza
Nikwelikabisa lkn nikwasababu maisha magum sana maana mnawezakupambana watu100 wakafaulu 10 endelea kutuelimsha
Usifanye vitu ili uwafuraishe watu ili watu wakuone.
Kuna vitabu ulivionyesha katika mafundisho yako nitavipataje bro
Hamasa zimenibadilisha in real .
Duuu umenpa moy xan mana APA biashara yang aielewe mpk xaiv ila kun MD uwa INA win xan BT ntavumilia mapto magum hayadum ni ya md2
0719434804 naomba niunge kwa group brother ezden ,,,
Kaka naomba uniunge kwenye grop watsapp kunaghalama yakujiunga
niambie no 0743724465
Kaka ezden naomba uniunge kwenye group lako please 0716 461616
Thanx bro
Thanks Mr mkuu, blessings must be on your side
Asante kaka